Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Tunakupenda tunakujali pia Mungu Asimame na wewe daima hakika hatuna cha kukulipa ila Mungu wetu anacho cha kukulipa
Lisu MUNGU akulinde kamamanda uishimyaka mingi akuepushe lohochafu zawaovu wote wanakuchukia tuu huna baya❤❤❤❤
Nimeipenda hii 😊😊
Mungu akuweke we baba
Safi sana mnawakomaza vijana kisiasa, hapohapo baadae wengi ni mawaziri wengine wakuu wa mikoa na wilaya, kama ilivo sasa hv akina katambi walitokea chama pinzani, joshua nasari, walitoka huko wengi na wengi wapikeni vijana badae watasaidia taifa
mashaAllah mheshimiwa lisu Mungu yupo pamoja nanyie chadema inshaallah ushidi upo karibu CCM wanawaongopa sana
NAKUPENDA UNAVYOFUATILIA CHADEMA NAKUIOMBEA USHINDI DHIDI YA CCM. UBARIKIWE SANA HADIJA.
Dr Tundu Antipas Mugwayi Lissu a man of practical
Kamanda mpambanaji wa ukweli, MUNGU aendelee kukulinda na kukupambania.
Hajajiandikisha kamanda gani huyoooo
Nimeipenda hii,kiongozi.
I love that Mwamba naingia shambani , na panga!! Wakaibe kura kesho ...mamae zao!!?
Xafi sana mheshimiwa lisu
Hongera Mojomba wa khaitro unajituma mnooo
Mungu akulinde sana lisu
Msanii sana Lissu wakati wa kujiandikisha alikimbia
Lissu ni kipenzi cha watanzania MUNGU akubariki mheshimiwa
Mungu awajaalie mpande viti kadhaa kwa wingi zaidi ili kuwastua waliopo madarakan
Huyu jamaa anajituma kweli yaan anaifanya kazi ya ukatibu ipasavyo
MWALIMU anagawa mitihani ya J.mosi ...😂😂😂
Huyu ndo anafaa kuwa mwenyekiti chadema
Kwahiyo unawapangia ?
Anafaa
lisu ww ndio kiongozi
Kiongozi gani hajajiandikisha, kiongozi ni mbowe huyuuu ni msaniii
Umeumia kubananishwa kamjusi@@MaguguStore
Mbowe et kala rushwa ?
@@MaguguStoreWote Viongozi ndugu.
@@DavidDanken-uf7kpKwani yeye Malaika au ajabu? Inawezekana akateleza. Pia kuna sheria
Huyu ndio rais wetu 2025 mungu akusadie mh.lisu✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
Labra tz ya kwenu ila ii apa sizani kama itakuja kutokea chadema kushika dora
Big up
Sawa kaka lisu pambanis
KIKAZI ZAIDI MH.LISSU
💪💪✌✌
❤🎉
Mchapakazi lisu wewe n jembe❤❤❤❤
NIMEIPENDA HII YA TUNDU LISSU, NI KIONGOZI ANAYEWEZA KABISA.
Uchaguzi.serikali.mungumungu.tunakuita.baba.wa.ndunia.tunawake.mikononi.mwako.utoe.watu.wako.wanao.tenda.mema.wasidiehakiIkatawale.asante.mungu
Muwe mnaitikia jana na leo
Mpeni kula muone
HEKO MZIMU WA MUNGU ULIO HAI
Lissu uwezi piga kura kesho utakuwa kama mpiga debe tu
Kweli wewe kichwa 0
Kwenye mtaa wake wagombea wa chama chake wameenguliwa wote. Unataka akampigie wa CCM? Atakuwa Lissu huyu wa kupigia CCM au mwingine? 😂😂
Ww umeipambania nn inch kuliko lisu😂😂😂
Wilaya yake ndio inaongoza nchini Kwa kuwa na wagombea wengi,ana asilimia93
Wote hao tunawapiga kama ngoma
Tunakupenda tunakujali pia Mungu Asimame na wewe daima hakika hatuna cha kukulipa ila Mungu wetu anacho cha kukulipa
Lisu MUNGU akulinde kamamanda uishimyaka mingi akuepushe lohochafu zawaovu wote wanakuchukia tuu huna baya❤❤❤❤
Nimeipenda hii 😊😊
Mungu akuweke we baba
Safi sana mnawakomaza vijana kisiasa, hapohapo baadae wengi ni mawaziri wengine wakuu wa mikoa na wilaya, kama ilivo sasa hv akina katambi walitokea chama pinzani, joshua nasari, walitoka huko wengi na wengi wapikeni vijana badae watasaidia taifa
mashaAllah mheshimiwa lisu Mungu yupo pamoja nanyie chadema inshaallah ushidi upo karibu CCM wanawaongopa sana
NAKUPENDA UNAVYOFUATILIA CHADEMA NAKUIOMBEA USHINDI DHIDI YA CCM. UBARIKIWE SANA HADIJA.
Dr Tundu Antipas Mugwayi Lissu a man of practical
Kamanda mpambanaji wa ukweli, MUNGU aendelee kukulinda na kukupambania.
Hajajiandikisha kamanda gani huyoooo
Nimeipenda hii,kiongozi.
I love that
Mwamba naingia shambani , na panga!!
Wakaibe kura kesho ...mamae zao!!?
Xafi sana mheshimiwa lisu
Hongera Mojomba wa khaitro unajituma mnooo
Mungu akulinde sana lisu
Msanii sana Lissu wakati wa kujiandikisha alikimbia
Lissu ni kipenzi cha watanzania MUNGU akubariki mheshimiwa
Mungu awajaalie mpande viti kadhaa kwa wingi zaidi ili kuwastua waliopo madarakan
Huyu jamaa anajituma kweli yaan anaifanya kazi ya ukatibu ipasavyo
MWALIMU anagawa mitihani ya J.mosi ...😂😂😂
Huyu ndo anafaa kuwa mwenyekiti chadema
Kwahiyo unawapangia ?
Anafaa
lisu ww ndio kiongozi
Kiongozi gani hajajiandikisha, kiongozi ni mbowe huyuuu ni msaniii
Umeumia kubananishwa kamjusi@@MaguguStore
Mbowe et kala rushwa ?
@@MaguguStoreWote Viongozi ndugu.
@@DavidDanken-uf7kpKwani yeye Malaika au ajabu? Inawezekana akateleza. Pia kuna sheria
Huyu ndio rais wetu 2025 mungu akusadie mh.lisu✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
Labra tz ya kwenu ila ii apa sizani kama itakuja kutokea chadema kushika dora
Labra tz ya kwenu ila ii apa sizani kama itakuja kutokea chadema kushika dora
Labra tz ya kwenu ila ii apa sizani kama itakuja kutokea chadema kushika dora
Big up
Sawa kaka lisu pambanis
KIKAZI ZAIDI MH.LISSU
💪💪✌✌
❤🎉
Mchapakazi lisu wewe n jembe❤❤❤❤
NIMEIPENDA HII YA TUNDU LISSU, NI KIONGOZI ANAYEWEZA KABISA.
Uchaguzi.serikali.mungumungu.tunakuita.baba.wa.ndunia.tunawake.mikononi.mwako.utoe.watu.wako.wanao.tenda.mema.wasidiehaki
Ikatawale.asante.mungu