ULIZA UJIBIWE ZNZ

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025

Комментарии • 84

  • @mwambirekwamboka9525
    @mwambirekwamboka9525 5 лет назад +5

    Hamdhillah nashkuru sanaaaa kuifaidisha nafsi yangu kwa maneno ya Mwenyez Mungu. Mola Atuzidishie Afya na umri uzidi tuelimisha

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 5 лет назад +1

    Mashaa Allah Mashaa Allah Sheikh nimefurahi sana kwa mawaidha yako mazuri yameniingia kichwani na na nafsin mwangu.Allah anijaalie nizingatie na kuyafanyia kazi maamrisho ya Allah.subhanah hu wataAllah.

  • @pp1153
    @pp1153 5 лет назад +4

    Masha Allah mungu akujalie brother uzidi nakupat elim zaid maishan mwako

  • @rashidhusain2958
    @rashidhusain2958 5 лет назад

    Mashallah Tabarakallah! Kisha cha mwisho cha paka kimenipa ibra na natija mno. Jazakkallahu kheirran

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 5 лет назад +2

    MashaaAllah Sh.IzzuDeen endelea na kazi yako nzuri

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 5 лет назад +1

    Allah akuzidishie barak na kheir dunian na akhera ameen.mie niko Oman lkn sikujaaliwa kuja kwenye muhadhara lkn nilitaman sana.

  • @aliyomar9140
    @aliyomar9140 5 лет назад +7

    Nakukubali shekh wew hivutii upande wako Bali unafafanua pande zote.. .ingekua wengne ndio sababu ya kujivtia upande wao...so Allah atubarik

  • @generalgg5074
    @generalgg5074 5 лет назад +7

    Mashaa Allah akujalie umri n.a. ubora wa Afya mwenyezi mungu

  • @muniramohamed8887
    @muniramohamed8887 5 лет назад +7

    Mashaa-Allah Allah akuzidishiee elimu yenyee manufaa uziidii kutuelimisha

  • @ashouraattoumani3258
    @ashouraattoumani3258 4 года назад

    Mashallahhh baraka Allah houfik

  • @manusimba4197
    @manusimba4197 5 лет назад +2

    Mashaalah qaswida ya nabii salam alayka nii search vipi naipenda sana

  • @ishajembe5913
    @ishajembe5913 2 года назад

    Maasha Allah . MUNGU AKUZIDISHIE ELIMU ILI UTUFUNZE

  • @halimamuketi6738
    @halimamuketi6738 2 года назад

    JazakaAllahu kheir

  • @mohamedkhamis6780
    @mohamedkhamis6780 5 лет назад +2

    Naomba mtuwekee na darsa za sheikh shamimu Allah amrehemu amin

  • @zaidumohd3125
    @zaidumohd3125 4 года назад

    Mashallah karibu sn znz

  • @ashourarashid289
    @ashourarashid289 5 лет назад +3

    Mashaallah nzuri mungu akujaalie

  • @aishaabdullah233
    @aishaabdullah233 5 лет назад

    Masha Allah sheykhe Izudin Allah akuweke uzidi kutuelimishe amiin Mimi nauliza hivi , Mimi nimeolewa Lakini kabla ya kuolewa niko na nyumba yangu Lkn naishi kwenye nyumba ya mume wangu je nikifa hii nyumba mume wangu anaweza kurithi kwa vile bado hatujapata mtoto naomba jibu sheykhe wangu.

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  5 лет назад

      Ndio Atakurithi kama bado yeye nimume wako

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 3 года назад

      @@IzudinAlwyDin Naam MAASHALLAH habiib nikupongeze Sana kwa kujibu maswali kwenye comments Ina leta faraja Sana ALLAH akupe umri mrefu wenye Barara INSHALLAH nakupenda Sana shekh kwa ajili ya ALLAH

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 3 года назад

      Cha kuongezea tu hapo Dada ujue ni atakurithi nusu ya Mali yako Kama Ulikuwa hukuacha watoto na kama uliacha watoto mumeo atakuridhi robo ya Mali yako WALLAHU aa'lam

  • @kishakajuma8274
    @kishakajuma8274 5 лет назад

    Assalam alaykum warahma tullah wabarakat shekhe mimi nna shida wazazi wangu wametengana na hawana maelewano mazuri baba yupo pemba mama yupo dar Allah kanijaalia ridhki ya mume kaja mume wamempokea lakn nilipomtafuta baba nimjulishe hakuwa hewan na kutokana mume nimempenda na yeye kanipenda nikaambiwa nidai mahari mwanamme katika dini hana tatizo na mimi anataka kunioa niwe mke wa pili shida imekuja kwa baba walipompata kumueleza kasema asihusishwe kwa lolote kisa nimedai mahari mwenyewe na kasema hatoozesha nikatafute wa kunioza je hapa nafanyaje juu ya hili

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 Год назад

    Shuqrani shekhe maswali yaliuzwa yametupa ilimu nzuri ameeni ❤❤❤

  • @ibrahimali-tf1or
    @ibrahimali-tf1or 5 лет назад

    Allah akulinde na Shari za wasiokupenda

  • @moridohome4790
    @moridohome4790 4 года назад

    MashaAllah Allah akupekilalakheir shekhewetu

  • @ashouraattoumani3258
    @ashouraattoumani3258 4 года назад

    Mashallahhh

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 5 лет назад

    Man'sha Allahu tabark Allah Shukran Jazeeran jazak Allah khayri

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 4 года назад

    Man'sha Allah tabarka Allah jazak Allah khayran 💕

  • @yusuphumohammed5833
    @yusuphumohammed5833 5 лет назад

    mashaalah jazakum llah, alla akulipe ishaalah

  • @Abisto10
    @Abisto10 5 лет назад +4

    Ma’sha’Allah: Ramadhan Kareem 1440

  • @makameibrahim5086
    @makameibrahim5086 5 лет назад +1

    Mashaallah sheikh

  • @nafesamohamed7553
    @nafesamohamed7553 5 лет назад

    MashaAllah jazakAllah kheri Sheikh

  • @soondreamtv2348
    @soondreamtv2348 5 лет назад +3

    Masha allah

  • @halimaiddy3659
    @halimaiddy3659 5 лет назад +3

    Mashaallah

  • @seifhamed5859
    @seifhamed5859 5 лет назад

    A aleykum sheikh nina suali kwa miaka mingi huku zanzibar wanawake wanafariki wakati wa kujifungua na wala yule mtoto hatolewi sasa jee sheikh vipi musuala haya

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 лет назад +2

    Masha Allah, tabarakallah

  • @sarukhagakani2091
    @sarukhagakani2091 5 лет назад

    Khudh al a'fuwa wa amur-bilma'ruff.ameen Mungu atuongoe.

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 5 лет назад +1

    Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh Sheikh Izudin.

  • @alizahranmohd4095
    @alizahranmohd4095 5 лет назад +1

    HAHAHAHAHA SHEKH WANGU NAMKUBALI SANA, APO ANASEMA ET
    WAKAMUULIZE UHAMIAJE

  • @asinakassim1548
    @asinakassim1548 5 лет назад

    ALLAHU AKBAR

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 лет назад +2

    MaashAllah

  • @jumadarwesh6017
    @jumadarwesh6017 3 года назад

    Ni jambo jema kumueka Sheikh Izydin kutoa taaluma Yuki fasaha na anafaa kuigwa in kigezo chema

  • @alimajamo4848
    @alimajamo4848 5 лет назад +2

    MashaAllah

  • @salem9874
    @salem9874 5 лет назад +2

    ALLAH AKUJALIE AFYA NJEMA SHEKH

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 5 лет назад +1

    Jmn awa redio nnur wapo youtebe mbon mim nkiwasarch siwapati???? Nilikua naifatilia saana redio nnur ila sasa nimeolewa Nipo Dubai najitahid juitafuta siipat jmn nisaidieni pls

    • @rashadinho8887
      @rashadinho8887 5 лет назад

      Bint Salim..hii channel ni ya Sheikh Izzudin na si ya Radio channel.

    • @bintsalimalbimany5340
      @bintsalimalbimany5340 5 лет назад +1

      @@rashadinho8887 najua kaka ang but awa watangazaji wamesema katib redio nnur ndio nikaona channel ya shekh izudin wao wanasema redio nnur nikajua nawao walikuwepo hewani ila nimeshaipata broo nimeshaiserch

  • @zenababdullah3093
    @zenababdullah3093 5 лет назад +1

    Mimi nauliza iv mimi na mtu napenda hataar lakini yeye hajui kama nampenda jee inarusiwa nikiwa na swari nikiomba duwa ya kuomba anioe nataja mpaka jina lake inarusiwa na inamfikia mlegwa plz naomba jibu nakama kuna marekezo niyambieni

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  5 лет назад +1

      Waeza kuomba dua lakini usitaji kwa ulimi taja kwa moyoni na bira mwambie huyo umpendae akuoe nibora pengine atakukubalia usiogope sio aybu kumwambia mtu umpendae napenda kuolewa na wewe .

    • @zenababdullah3093
      @zenababdullah3093 5 лет назад

      @@IzudinAlwyDin shukran sana shekha ila kutamka kumwambia siwezi nasi atanifikilia vibaya nifundishe duwa ya kuomba

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  5 лет назад +1

      @@zenababdullah3093 soma RABBI LAA TADHARNII FARDAN WA ANTA KHAYRUL WAARITHIIN

    • @zenababdullah3093
      @zenababdullah3093 5 лет назад

      @@IzudinAlwyDin swara ya usiku au sawara yakawa ida

    • @zainaburajabu2863
      @zainaburajabu2863 5 лет назад

      Aslm alykum wewe, uwapi na swali uliloulza uweze pata shauri yuwapa faham inshaallah. Ulimuliza mwalim redio

  • @ummamne2558
    @ummamne2558 5 лет назад +1

    Masha ALLAH

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 5 лет назад

    Jazzakumllah Khery

  • @samiryshamsa4330
    @samiryshamsa4330 5 лет назад +2

    Maaashaallah

  • @hamisamaundi5661
    @hamisamaundi5661 5 лет назад +1

    Shuklani sheikh 🙏🙏

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 лет назад

    Mashallah

  • @qurankareem582
    @qurankareem582 5 лет назад +1

    uhibbuka fiillah

  • @seifhamed5859
    @seifhamed5859 5 лет назад

    Sheikh naomba no yako

  • @NurdinKishik
    @NurdinKishik 5 лет назад +1

    yaallaah

  • @jamilamunisi1480
    @jamilamunisi1480 5 лет назад +1

    mashallah

  • @harunamzule2448
    @harunamzule2448 5 лет назад

    Jazaakallah

  • @mapishiyetumazuri2312
    @mapishiyetumazuri2312 5 лет назад

    Naomba namba yako shekh

  • @zainabuhmbabazi4928
    @zainabuhmbabazi4928 5 лет назад

    Shekh ww nilisema uko mwanga kwang nimejifunza mengi kwako

  • @saidmohd2575
    @saidmohd2575 5 лет назад

    Mmi nauliza jee kumfanyiya hakika mtoto kama yupo tanga na hakika uifanye dar inawezekana naomba jibu

    • @oyay2821
      @oyay2821 5 лет назад

      Yawezekana bila shaka

    • @saidmohd2575
      @saidmohd2575 5 лет назад

      @@oyay2821 shukran sana shekhe omer azzy

  • @kanikilutonja1877
    @kanikilutonja1877 5 лет назад

    Kama unataka usilm hujui kialabu utafanyeje

  • @zaisalum1044
    @zaisalum1044 5 лет назад

    A alykum VP hali nauliza VP kama unaishi na mtu hujafunganae ndoa je anaweza kufuturu kwenye familia ya mwanamke? nipo singida

    • @AbuuAbdilRahmaan
      @AbuuAbdilRahmaan 5 лет назад

      MTUME YEYOTE ALIYEFUNGA SWAUM...ANAWEZA KUFUTURU KATIKA VYA HALALI KATIKA NYUMBA YOYOTE...
      ILA HILO SUALA LA KUISHI KATIKA ZINAA...HILO NI HARAMU...NA UKIWA UNAENDELEA KUISHI HIVYO SWAUM YAKO WALA SWALA YAKO HAITASWIHI NA WALA HAITOPOKELEWA...MAANA HUJALIFIKIA LENGO LA SWAUM...

  • @masikaibrahim3122
    @masikaibrahim3122 5 лет назад

    kama kapaka lipstiki

  • @moridohome4790
    @moridohome4790 4 года назад

    MashaAllah

  • @munirakibwana1091
    @munirakibwana1091 3 года назад

    MashaAllah