Tatizo la serikali yetu ni uoga wa kufanya maamuzi, ukie da kwa Mw/kiti, anamlalamikia Diwani, Diwani anamlalamikia DC, DC anamlalamikia RC, RC anailalamikia Wizara husika
Bora makonda angekuwa raisi ili wanyooshane upuuzi ni mwingisana km upande wa shule ya msingi walimu wanaangalia helatu yaani wanasomesha tuisheni tu km mwanao hana hela ya tuisheni atapigwa saaaana km unataka kuamini njoo shele za ulongoni b niuozo mtupu
Pole sana RC kweli inavunja moyo
Haya bana....nilijua tu ikimfikia Mzee baba atanyoosha maelezoo
Nimechekatu makonda kuwapongeza wananchi wazomewe wannanchi noma
Wanapita Bila kupingwa hawajui majukum hawafanyi mikutano wana
DAWA CHUNGU UPONYA VIONGOZI CHUKUENI ITO MFANO MKAFANYEKAZI
Tatizo la serikali yetu ni uoga wa kufanya maamuzi, ukie da kwa Mw/kiti, anamlalamikia Diwani, Diwani anamlalamikia DC, DC anamlalamikia RC, RC anailalamikia Wizara husika
Leadership leadership 😢😢😢
Makonda hoye. Wewe ndio waziri mkuuu wa 2025
barabara ya sanawari ya juu itengenezwe
MAKONDA upewe miaka kumi tena Arusha
Makonda apewe mauwa yake
Hivi makonda kaka nitakuona wapi nnikushike walau mkono kabla yesu hajarudi Jamani katika dunia hii?!
Hongera
UKO vzur kiongoz WETU
Kunasuku itafika kwako tutakutumbukuza
Makonda mtu wa maana kabisa
Nimecheka kwa sauti ukikuta uchafu tupia kwa mwenyekitu
Huo ndio ukweli jembe
Hv mwenyekiti na diwani ni watekelezaji wa irani?
Wezi wa kura lakini hakuna utendaji tz lazima watu wabadilike na rushwa ndogo ndogo ikomeshwe
Mhhh
Makonda awe raisi kabsa