KWAKE TWAPATA FARAJA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 окт 2024
  • Huu ni wimbo uliotugwa na Johann Sebastian Bach na kuwekwa maneno na Credo S. Mbogoye kisha kuimbwa na kwaya ya Bikira Maria Mshindaji iliyopo Parokia ya Kigoma mjini, Jimbo Katoliki Kigoma.
    Waimbaji hawa wanakukaribisha uweze kushiriki katika kutazama video yao hii ambayo ni miongoni mwa nyingine nyingi zinazofanya album yao mpya.
    waweza kuwasiliana nao kupitia namba +255 755 762 591
    #kwayakatoliki

Комментарии • 38

  • @Silvester270
    @Silvester270 Месяц назад

    Wanakwaya wamedhurumiwa😢😢😢 haki yao na uyu jamaa
    Laah siivyo ingekuwa kwaya Bora sana

  • @jumanneenos2481
    @jumanneenos2481 5 лет назад

    Wimbo Mzuri, waimbaji wameimba vizur, ngoma haina shida, melody nzuri, kiufupi well performed. Kuna mambo ya kuzingatia kwenye muziki siyo ststic ni dynamic, hongereeni sana!

  • @Silvester270
    @Silvester270 Месяц назад

    Duuuuh inahuzunisha sana 😢😢😢

  • @essaundababonye9526
    @essaundababonye9526 6 лет назад

    Ujumbe umeendana na matayarisho big up kaka Credo Mbogoye hujawahi kukosea kutendea haki nyimbo hizi

  • @andreasmtita7084
    @andreasmtita7084 6 лет назад

    Hapa mmemwakilisha vzr sana mtunzi mwenyewe Bach. Wimbo maarufu sana huu. Hongereni sana Wanakwaya wote.

  • @maryreginasechali5625
    @maryreginasechali5625 6 лет назад

    Kazi nzuri. Wimbo mzuri. Ray kaka angu umefanya vizuri. Ila sauti nyepesi sana.

  • @sarahtevienda2870
    @sarahtevienda2870 6 лет назад

    Classic song, nota zake si mchezo. Hongera sana kaka

  • @elizabethmwandu9899
    @elizabethmwandu9899 6 лет назад

    Amina wanakwaya wa bikira maria mshindaji mubarikiwe kwa wimbo wenu mzuri, Twapata faraja

  • @hilalionmushobozi4819
    @hilalionmushobozi4819 6 лет назад

    Kazi zako ni nzuri sana. Big up RAJO PRODUCTION

  • @f.a6043
    @f.a6043 6 лет назад

    MBARIKIWE NDUGU ZETU KWA KUMSIFU MUNGU KWA NYIMBO NZURI SAAAANA!

  • @deusdeditmuguha6590
    @deusdeditmuguha6590 6 лет назад +2

    Hongera mtunzi na waimbaji kwa mpangilio mzuri .Hata hivyo wimbo mzuri umekuwa wa muda mfupi sana ambapo melody imepewa nafasi kubwa sana hadi kupoteza maana na utamu.Ujumbe ni mzuri lakini mfupi mno why why why wakati ni watunzi wazoefu

    • @rajopro
      @rajopro  6 лет назад +3

      Naomba kukuelimisha kaka. Wimbo huu umetungwa na mtunzi anayeitwa Johann Sebastian Bach, na wimbo huu unaitwa Jesus Joy of Man's Desiring...kuanzia ala na mpangilio wa nota zake umechorwa kama unavyosikika. Kilichofanyika hapa ni kuweka maneno ya Kiswahili, na yamewekwa kwa kadiri ya mtunzi alivyochora. hakuna ala zilizopigwa kwa urefu zaidi kwamba eti mpigaji kajisikia kupiga tuu, hapana, kila unachosikia ndivyo kilivyochorwa. Utafute uusikilize kaka, kisha rejea tena kwenye huu wenye maneno ya kiswahili, then rejea coment yako.

    • @ludovickmyumbo5756
      @ludovickmyumbo5756 6 лет назад

      Jibu zuri sana. Ni busara kuuliza kwanza kabla ya kukosa kitu kama hukichui

    • @magdalenangenzi8208
      @magdalenangenzi8208 6 лет назад

      Deusdedit Muguha @

    • @obadiaandason9042
      @obadiaandason9042 5 лет назад

      hongereni sana bmm

  • @mariammichael9773
    @mariammichael9773 6 лет назад

    mbona mapigo ya wimbo na uimbaji yanatofautiana?? haijakaa sawa kabisa

  • @philipokomba9217
    @philipokomba9217 6 лет назад

    MBARIKIWE KWA NYIMBO TAMU ......

  • @EnestFSoka
    @EnestFSoka 6 лет назад

    Ujumbe mzuri saana japo mepooza kidogo

    • @bernardjohn8788
      @bernardjohn8788 6 лет назад +1

      Umepooza??? mimi nalaumu kwa nini wametumia ngoma!! na kuukimbiza spidi kiasi hicho!!! kweli tunatofautiana maana asili ya wimbo huu"Jesu, Joy of Man's Desiring" ni wimbo laini wa polepole ambao sii lazima saana kutumia beat

  • @augustineshileka1755
    @augustineshileka1755 6 лет назад

    Kazi nzuri mbarikiwe saana

  • @newmanh
    @newmanh 5 лет назад

    how amazing. God Bless you all

  • @stephanopeter6722
    @stephanopeter6722 6 лет назад

    Kazi Nzur sanaaa hongereni

  • @ghislainecellio6442
    @ghislainecellio6442 5 лет назад

    Magnifique !

  • @marykalei8147
    @marykalei8147 6 лет назад

    Nice song waah inabariki

  • @s.simponda138
    @s.simponda138 6 лет назад

    wote mmeimba sauti moja,sauti ya tatu na nne hawajasikika. ila kazi nzuri

  • @gervasvitus1925
    @gervasvitus1925 5 лет назад

    Wonderful songs

  • @ireneapronal9268
    @ireneapronal9268 6 лет назад

    mbarikiwe sana

  • @nelsonalex2805
    @nelsonalex2805 6 лет назад

    RAJO best audio and video producer in tz

  • @seuyadavid4618
    @seuyadavid4618 5 лет назад

    hongera

  • @marcohamisihubill.1649
    @marcohamisihubill.1649 6 лет назад

    Hongereni ila merodi yenu imeboa Sana Badilisheni

  • @christiansanyiwa9310
    @christiansanyiwa9310 6 лет назад

    Mmeimba kisabato mno

  • @bernardjohn8788
    @bernardjohn8788 6 лет назад

    Huu wimbo ni " Heavy weight" wenyewe wazungu hawatumii ngoma sijui ni nani aliyewapotosha watumie ngoma. Sio kwa sababu kinanda kina ngoma basi kila wimbo ni ngoma tuu!!!Hata hivyo waimbaji wameimba vizuri na wamefungua ukurasa wa kwaya zetu kuzigusa nyimbo kubwa na za watunzi wazito.Hongereni kwa hilo
    ruclips.net/video/HSZg6sQ5J2k/видео.html

    • @ShimboPastory
      @ShimboPastory 2 года назад

      Sidhani kama ngoma zinaharibu chochote.

  • @gervasvitus1925
    @gervasvitus1925 5 лет назад

    Wonderful songs