Mimi ni mkenya Tena nipo shamba nimeona mashine zenu nikapendezwa nazo hasa hio Inna tumia solar na Mafuta ya taa Kama naweza kumiliki hasa huyo kijana Fundi mzuri sana
Kipindi kizuri sana sasa wazo tuwetunapata namba za simu za. Wataalamu wetu kama mimi hapa nimeshawishika sana kupata mashine ila sijui nitampata wapi?
nimevutiwa na kipindi cha juzi kilikuwa kinahusu ile application ya wafanyabiashara. hata Mimi nahitaji kuinstall ktk laptop dukani kwangu. naomba mniunganishe. 0757396576 0652597176
Kaka hongera sana natamani sana niwe kama ww
Brooo vip kwema,mm fundiii opiaaa
Namba za cm
Safi sana, I like this guy!!!
Ipo vizuri,tupeni no.zenu na sisi tufaidi ujasiria mali
Yaani kama hamtoi mawasiliano hamsaidii kitu
Namba zako ziko wapi we we nimusada mukubwa
Mimi ni mkenya Tena nipo shamba nimeona mashine zenu nikapendezwa nazo hasa hio Inna tumia solar na Mafuta ya taa Kama naweza kumiliki hasa huyo kijana Fundi mzuri sana
Very Creative
hii mm nipo zenji naomba no ya simu simu yahuyu mtaalam wakutengeza hiyi mashine nass wa visiwani tuduge
Sio kweli Unasifa sana mashine yenyewe umeiga
Na ww iga tuone yakwako
Bei kubwa
RUclips huyo mjasilia mali anatumia channel gan
yupo vizuri huyu kijana
Namba za simu
Naomba kaka niunganishe nipate namba yako wasap 0758655331
Kipindi kizuri sana sasa wazo tuwetunapata namba za simu za. Wataalamu wetu kama mimi hapa nimeshawishika sana kupata mashine ila sijui nitampata wapi?
Ninashida nami kama yako.
Ulifanyaje kuwapata?
naona umzungumza mengi mazuri lakini bila mawasiliano kwetu wasikilizaji naona ni BUREEE kabisa. No plz.
nimevutiwa na kipindi cha juzi kilikuwa kinahusu ile application ya wafanyabiashara. hata Mimi nahitaji kuinstall ktk laptop dukani kwangu. naomba mniunganishe. 0757396576 0652597176