WAMAMA WA KANISA WAJITOKEZA KWENYE DAWAH || MSIKITI WA MZEE DAUD

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 май 2024
  • Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya Straight Path Dawah ili uendelee kunufaika kupitia video zetu.

Комментарии • 75

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 24 дня назад +10

    Sheikh Ramadhan Allah anajuwa atakacho kulipa sisi ni dua Tu twakuombea Allah akuzidishie hekma na maarifa rizki afya wewe na fanilia yako

  • @swidiqrajab4519
    @swidiqrajab4519 24 дня назад +1

    Mashaa Allah Jaza'kumullahu Khayr Ustadh Ramadhan Kuria Bin Kaguo kwa juhudi zako na Allah Amlipe kila lakhayr Mzee DAUD na Janatul Firdaus

  • @magrammagreens3873
    @magrammagreens3873 23 дня назад +2

    Mashaallah sheikh Ramadhaan.
    Wallahi nilikuwanamuomba Allah day and night mskiti wa almarhum mzee daud umalizike .
    Alhamdulillah Allah ni mkubwa msikiti uko vizuri jazakallahu lkheyr

  • @nayef3903
    @nayef3903 24 дня назад +11

    Hao wanawake wakisabato huwa hupoteza muda kwenye muhadhara siku zote. Wanajifanya wanajua wala hawajui

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 24 дня назад

      Yes wasabato hua ni wabaya hao ndio huuwa watubwakisilimu

  • @user-kp3ic9um1x
    @user-kp3ic9um1x 24 дня назад +4

    Asalamu aleikum sadaka ni mskiti ya baba yetu Mzee Daud mungu amlipe pepo in Sha allah

  • @user-kp3ic9um1x
    @user-kp3ic9um1x 24 дня назад +5

    Asalamu aleikum mtafute mwalimi nimuhimu saaana Kisha tutagaziye tushikane ili kulipa ili dini ifahamike allah akulipe janna kaka yetu kwa kazi muhimu akufunguliye Kila lililofungika in Sha allah

  • @saeedisa9798
    @saeedisa9798 24 дня назад +6

    Alxamdulillah. Ni furaha kuona mskiti na kumuona mama.

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 24 дня назад +3

    Mama sura ina noor wallahi MaashaAllah

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 24 дня назад +5

    Allah Akbar!! Alhamdulilah ashukuruwe Allah na waislamu wote walio toa sadaka yao ktk kujenga msikiti huu. Mzee Daudi Allah akupe pepo ya Firidausi. Natamani Mzee Daudi angekuwepo hai auone huu msikiti.

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 24 дня назад +2

    Mashallah mama Mariam Allah akupe mwisho mwema

  • @sallysally6622
    @sallysally6622 24 дня назад +5

    ManshAllah tabarak Rahman ❤ inshAllah ntawatembelea soon from Oman

  • @user-ie7yt9db6f
    @user-ie7yt9db6f 23 дня назад +1

    Mashallah tabarakallah❤❤❤❤allah awazidishie nguvu na afya njema

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 24 дня назад +2

    Maa shaa Allah
    Allah awazidishie wote waliojitolea katika msikiti ❤❤❤❤❤ Amiin

  • @aminajumale6805
    @aminajumale6805 20 дней назад +1

    Ma Sha Allah Ramadan Allah atakulipa

  • @user-ts9ql7mo3w
    @user-ts9ql7mo3w 24 дня назад +2

    masha-Allah may Allah give you grace for the work you are doing.

  • @yasinsalim6179
    @yasinsalim6179 14 дней назад

    Mashallah mzee daudi mungu amrehemu kuanzia uwe matope hadi saii sadakatul jariarah mashallah...

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8l 24 дня назад +1

    Ma sha Allah tabaraka Rahman.Hussein ndugu ktka dini ya haki

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 24 дня назад +2

    Masha'allah Masha'allah Masheikh wetu

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 24 дня назад +2

    Allaahu akabar ,hussein

  • @mukandamaakbar599
    @mukandamaakbar599 24 дня назад +4

    Allah awabariki kua kazi zenu pia awakinge na kila baya

  • @Alinuribrahim1
    @Alinuribrahim1 23 дня назад +1

    MashaAllah kazi nzuri sana shiekh

  • @salmaminja7714
    @salmaminja7714 21 день назад +1

    Assalam Alaykum. Uctadh Ramadhani na wenzako hakika Allahu barik Biidhinilah.Hakika nna iman Allah atawabariki stahiki yenu. Awajalie pepo yake tukufu. Idhaa Aradallah. Amiiyn

  • @HamdiNuh
    @HamdiNuh 24 дня назад

    ❤❤❤in Sha Allah IPO Siku pia mimi nitaitetea Quran kitabu Cha haki

  • @Shillingi
    @Shillingi 24 дня назад +3

    Mashallah 🙏🙏

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 24 дня назад +3

    Sawa kabisa.

  • @josemu870
    @josemu870 24 дня назад +3

    Kwa neema ya uislamu

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 24 дня назад +1

    Aamin thumma Aamin mama yetu pia wewe Allaah akuzidisgie hivyo hivyo na nguvu kesho ukifa ukakae pamoja na mume wako huko aliko jannah tul firdhaus

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 24 дня назад +1

    MaashaAllah msikit8 wa mzee daudi ,i alway tearing when i remember mzee daudi ,i know he's in jannah

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 24 дня назад +4

    Naona wanaanza kuukataa ukristo

  • @user-kp3ic9um1x
    @user-kp3ic9um1x 24 дня назад +1

    Asalamu aleikum tulete no ya mama yetu alochwa na baba in Sha allah

  • @user-lg8nc5gn4m
    @user-lg8nc5gn4m 14 дней назад

    Yesu ni Bwana

  • @user-du2fy5sd5u
    @user-du2fy5sd5u 24 дня назад +2

    مشأ الله تبارك الرحمن

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 24 дня назад +2

    مشأ الله

  • @user-fc6uf6be5u
    @user-fc6uf6be5u 23 дня назад

    Mashallah tabaraka Allah

  • @mahdiyusuf3431
    @mahdiyusuf3431 24 дня назад +2

    Mansha Allah

  • @maymunamakungu6265
    @maymunamakungu6265 23 дня назад

    Wao! Surprise, MaashaAllah MaashaAllah MaashaAllah !

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 24 дня назад +1

    Yesu alikua njia yes ,wakristo wanakosa kuelewa, hata Musa ,na mitume walikua njia ya kumjua Mwenyezi Mungu,

  • @hasahm1995
    @hasahm1995 24 дня назад +1

    MUISLAMU shekhe ajitolee kwafundisha hao ..... Huu ni mtihani kweli

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 24 дня назад

    Maa shaa Allah ❤❤❤❤

  • @HABIBMEDIA-fk9hg
    @HABIBMEDIA-fk9hg 18 дней назад

    ASSALAAMU ALEYKUM MASHEIKH. SAUTI YA HAPO SIO NZURI NAOMBA MUREKEBISHE INSHAALLAAH

  • @user-fc4vl8zi4r
    @user-fc4vl8zi4r 23 дня назад

    Mashaallah ❤

  • @zainabhussain4114
    @zainabhussain4114 24 дня назад

    MashaaAllah

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8l 24 дня назад

    Mungu wetu Allah hakuzaa Wala hakuzaliwa hana sifa za mtu na hafanan na chochote

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 24 дня назад +2

    Paulo mwenyewe hakumjua yesu,alikua akiwasaka wenye kumkubali awauwe,,hili jambo ndio lumefanya wazungu wengi wanafloid kutoa shahadah

  • @kassimjuma6151
    @kassimjuma6151 24 дня назад +1

    Wanasalimiana kwa mabusu hao Warumi 16:16

  • @user-te3ir8yh6k
    @user-te3ir8yh6k 20 дней назад

    Assalamualaikum,huyu mwanamke anafurahisha ajitetea na Quran na Haina mini,wanafik kweli.

  • @TabuOdhiamboOmiya
    @TabuOdhiamboOmiya 22 дня назад

    Kila mara nikiona huu msikiti haswa alioujenga mzee Dawuud natokwa na machozi Allah amrehemu

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 24 дня назад +1

    Waislamu wanafata yesu msikitini na kusujudu kutawadha kufunga

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 24 дня назад +1

    Basi mama kama wataka uzima wa milele,soma Qur'an utauona ukweli yaani sma kuanzia Aya ya kwanza

  • @AllyPawaga
    @AllyPawaga 23 дня назад

    Shida yote kaleta Paul

  • @athmanmuhammed7333
    @athmanmuhammed7333 24 дня назад +3

    Sheikh ramadhan nitakupata vipi ili tuongee jambo la mshahara wa mwalimu wa.kuafunza hao kina mama hapo kwa kina mane wa mzee.daud.

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  24 дня назад +1

      Nipigie Insha'Allah number zipo hapo

    • @athmanmuhammed7333
      @athmanmuhammed7333 24 дня назад +1

      @@StraightPathDawah jee hiyo namba iko na whatsapp sababu niko saudia

  • @Adm9464
    @Adm9464 24 дня назад +1

    Hawa wadada wameletwa na mpishi Josephu. All the come is to waste time

  • @harunmuriiki8011
    @harunmuriiki8011 24 дня назад +1

    Naeza pata wapi ile kitabu yako sheikh

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 23 дня назад

    Mushichokee wapeee ukweliii na mwenyezimngu Atawasaidieeeni wajuweee ukweliiii wanaushindaniii

  • @user-hy5zd5rn6r
    @user-hy5zd5rn6r 24 дня назад

    Bila Yesu ni bure

    • @SuleimanmumaniOmar
      @SuleimanmumaniOmar 23 дня назад

      Tutajie kanisa ya yesu, Wacha kutubabaisha

    • @user-hy5zd5rn6r
      @user-hy5zd5rn6r 23 дня назад

      @@SuleimanmumaniOmar Yesu aliingia Kwa Synagogue kama kawaida ya Wayahudi.Na Wala usidhani Yesu ni muisla Wala hajaingiza mguu Kwa msikiti

    • @SuleimanmumaniOmar
      @SuleimanmumaniOmar 23 дня назад

      @@user-hy5zd5rn6r mbona nyinyi mnaingia katika kanisa wakati yesu hakuingia huko

    • @user-hy5zd5rn6r
      @user-hy5zd5rn6r 22 дня назад

      @@SuleimanmumaniOmar Mwishowe utauliza mbona Yesu Yuko mbinguni na nyinyi mko duniani.

    • @SuleimanmumaniOmar
      @SuleimanmumaniOmar 22 дня назад

      @@user-hy5zd5rn6r jibu swali . Kwanini mnaenda kanisani?

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 24 дня назад

    Hapo hapo.

  • @kennedyodhiambo8049
    @kennedyodhiambo8049 24 дня назад

    Can any Muslim who believes that the present Bible has been changed, corrupted and contains errors point out even one scripture i.e. verse, chapter or even a book that was changed. I also challenge you on the same note to share with us the original scripture before it was changed or corrupted.
    Let me be sincere with you my Muslim brothers and sisters, there's a big plot to cover up the truth and that is why you have been told the present Bible is corrupt, has been changed and contains errors. Jesus Christ said, "You shall know the truth and the truth shall set you free", (John 8:32). The truth is what is being covered by mere allegations on the Bible because if you find the truth you cannot even spend one more minute in Islam. There's also the threat of being killed if you become a Christian. I beseech you to just put aside whatever notions you have about the Bible for a while, read the Bible for yourself then judge for yourself whether it is what has been alleged it is.

  • @nayef3903
    @nayef3903 24 дня назад +2

    Wamefunzwa kuwa wapoteze mda juu kwa vile ni wanawake. Waisilamu watawapea mda mwingi hao kina Yusuf ni kiongozi wao huwa ni mbishi sana