Amina, Mchungaji naomba uniombee pia,mm nlipoteza ndoa yangu ya miaka kumi na sita baada ya mume wangu kuoa Malaya ambaye walishikana na mume wangu kuenda Kwa waganga Ili niwawe lakini vile sikufa, alikua akinipiga kila siku na akaamua kunifukuza, sai ni miaka mbili.
Baba niombee Mimi ni mama Caleb kutoka Kenya atamimi nilinyanganywa mume wangu nakufukuswa nawatoto watatu sasa naangaika na watoto sijui niende wapi?, nawatoto wakijaribu kurudi kwao wanamwakiliwa dawa wanakuja wajielewi sasa baba naomba maombi yako baba sina mahali pa kwenda na watoto sai nimiaka kumina mbili sijawai kuona mume wangu
Mtumishi wa Bwana familia ya baba yetu tumevamíwa na wanafamilia washirikina na Freemason kesi Kila panapoitwa Leo na wengine tumepewa siku za kuishi tusaidie
God bless you servant of God, Nyumba yangu mwingine dio anakaa but Mungu atanifungulia mlango mwingine from Kenya
Amina ninamresha mume wangu kwajina la yesu mtumishi ubarikiwe Sana 🙏🙏🙏🙏
Glory to Jesus, wanaoniwinda wawe mawindo...🙏👋🙏🙏🙏
God you are awesome. Pastor niwekelee mikono
Nakupenda mchungaji,Mungu adhughulike na walokole wanafki,wachawi.
Amen 🙏
Amen servant of God.
Wanalogwa wao...Amen ameeen 💥💥💥💥fire of the Holy ghost shuka..
Sema baba mchungaji, wafe maadui wangu, fire🙏💥💥💥💥🙌👐
Mungu wetu fire 🔥 🔥 🔥
Napokea kwa Jina la Yesu uzima narudisha ubaya wote kwa mafarau wa maisha yangu, ubarikiwe Mchungaji naomba namb zako
Praise the Lord Jesus Christ. I'm Loise from Kenya please niombee niko na stroke naniskia uchuñgu sana, niombee
Ameen mch Napokea uponyaji kwa jina la yes
Amina, Mchungaji naomba uniombee pia,mm nlipoteza ndoa yangu ya miaka kumi na sita baada ya mume wangu kuoa Malaya ambaye walishikana na mume wangu kuenda Kwa waganga Ili niwawe lakini vile sikufa, alikua akinipiga kila siku na akaamua kunifukuza, sai ni miaka mbili.
Watching from Saudi Arabia be bless man of God
😳😳😳😳
Ameeeeeen mch, Mungu akubariki sanaaaaaaaaa kwa injili hii umeponya maisha ya wengi
Watching from Zambia God bless you 🙏🙏🇿🇲
Barikiwa Sana mchungaji wangu. Ungolobhi adimaje ishinza wilaaaa
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU Leo umezid kunikuza kiroho upya naomba na Mme Wang arund nyumbn Kwa spidi kutoka huko aliko Amen
Ameen barkiwa mtumishi wa MUNGU alie hai
Mungu akubariki sana mtumishi
Ubarikiwe
Mungu akubarki sana mchungaji kwa mafundisho mazuriii.karbu na Morogoro
Ubarikiwe pst
Excellent preaching ,praise the Lord
Twashukuru kwa huduma njema. Ubarikiwe sana
Mtumishi Mungu akutunze
Ubarkiwe mtumishi
Haleluya, Mtumishi nakupenda kwa kweli umenitoa mahali. Mafundisho yako yananijenga ajabu
Glory to you living God
Wooow glory to our lord Jesus christ 🙏
M
M
My rosheni ,my kapeti puapua, haàhaa
Aaah MUNGU akubarikiii Mtumishi wa MUNGU aliye hai!!
Napokea kwa jina la Yesu
Mungu akubariki
Hallelujah Glory to God Almighty
Wanarokwa wao
Watching from zambia
Amen nimeipenda hiyo mtumishi
Mahubiri Yako yananibarik mno
Ubarikiwe Mtumishi
Sema baba!!! wale ni waganga wa kienyeji kabisaaaaa
Amen God bless
Aminaaaaaa
😂😂😂🙏🙏🙏 MUNGU WA AJABU SANA TUNAPITA KWENYE MOTO LAKINI ANATUTETEA .MUNGU AKUBARIKI SANA MCHUNGAJI
❤❤ amen 🙏 Amen
Nakupenda mwinjilisti wangu
Wapigweeeeeeeeeee
Amen and Amen
Aminaa
Wewe ni mchungaji Nani kanisa lako liko mbeya sehemu gan
Halejuya Haleluya
Napokea uponyaji Kwa jina La Yesu,,naomba kuja Kenya Mchungaji
Mungu atutetee kwa kweli
Balikiwa Sana muchungaji kalibu Tena kahama
Baba niombee Mimi ni mama Caleb kutoka Kenya atamimi nilinyanganywa mume wangu nakufukuswa nawatoto watatu sasa naangaika na watoto sijui niende wapi?, nawatoto wakijaribu kurudi kwao wanamwakiliwa dawa wanakuja wajielewi sasa baba naomba maombi yako baba sina mahali pa kwenda na watoto sai nimiaka kumina mbili sijawai kuona mume wangu
Nami najishangaaaaa. Yanatoka yenyewe. Ongela ongelaaaaaaaaaaa mchungaji Na mimi niko njiani uko.
Amina
Naomba namba yako Mtumishi wa Mungu ninayo yanayonisibu nahitaji maombi
Shangazi yangu wali na kakayake mwala,walivunja ndoa ya wazazi wangu,piga ombi waharishe mpaka wafe...
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.....uuuuuuuuu Jesus
Amen
мιмι nмĸenya мwanangυ anaυgυa ĸιѕυĸarι naoмвa υnιoмвee ĸιѕнa ιĸιwezeĸana nιĸυone ιla ѕιjυι тanzanιa vizuri
Mchungaji unapatikana wapi
Mtumishi wa Bwana familia ya baba yetu tumevamíwa na wanafamilia washirikina na Freemason kesi Kila panapoitwa Leo na wengine tumepewa siku za kuishi tusaidie
Mtumishi wa Mungu unapatikana wapi?
Shangazi yangu afe badala yetu,mana alitaka tufe...
Adui zangu wanapigwa kwa jina la Yesu
Ameeeen 🙏🙏🙏
Bariki
Mchingaji naomba umwombee mdogo wangu Adelhelma ana uvimbe tumboni kwa muda mrefu
Wapigwe kwa jina la Yesu
Mchungaji niombee magonjwa yamenisonga yaondoke
nitampta ajeeh uyu mtumishi jamani!?
Wapigweee
Mchungaji naomba niombee Kuna kesi ya shamba inatuandama
Pia Mimi naomba niwe na ndoa kamilifu
Mimi Tasa mchungaji Kwa hivo ndoa haisimami kwangu
Am from Kenya watching from saudi, yaani sema kubarikiwa be blessed too mutumishi
Uyo ndio yesu tunao muamini
Omba baba omba!!!!!!!!!!!!!!!
Niko na fibroids Kwa tumbo imeniuma Sana,,naomba ukuje Kenya
Wapigweeeeeeeeedeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
Sozi
Amen 🙏🏼🙏🏼
😂😅😊🎉😢
Ninaombanisaidiewatotowangu
Haha muchungaji nimefurahia ushuuda wako niobee nauniabie nitakupata aje Niko Kenya tafari tafari sijalala nikusikisa wewe
Hio no hauko whatsp mtumishi
Mungu tupe mwisho mwema tusiumize ndoa za watu
Amen and Amen glory to be God
Aki ushuhuda wa ajabu
Nakupenda mwinjilisti wangu
Amen
Ninaombanisaidiewatotowangu
Amen