Kiukwer hiimovie imenifunzakitu japo inachekesha😅 rakini mwisho inahuzunish 😢ira inamafunzo kwa wazazi napia kwa Sisi vijana napia tunapaswa kuwa makini kiukwr naw penda sana kep pamoja nazebu nibenitha gutok Burundi tunawapenda sanaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hapa mm nalauumu babake zebu kwa sababu mwanzo hangemkazia angeolewa na wale waume wa kwanza,pia shogake anachangia pakpwa ,yapaswa watu wase makini na marafiki😢😢
Kosa ni la baba coz wanaume walikuja wengi wengi ila baba kawafukuza wote hadi huyu kaka yake alikuja but baba alikataa kuja kuwaona kamwambia bintiye awaambie waondoke maramoja
Aseee hongereen sanaa kwa kazi mnaoifanya,,,nawapendaa
Nipeni like za kp na zebuu
Duuuhh aaaah mko vizur zebuu na kp nimeipenda hiyo
Wazazi wawe makini sana kuunganisha familia pamoja na kujuana ili mambo kama haya yasitokee,,,
we mzee wewe wajua hii kazi yako sana ,,umefanya nikacheka sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂
@@MaryMmm233-yh3hf⁰
Shukuran KP na Zebuu for your good work love you all ❤❤❤❤
Hii crew inawasha moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nawakubali sana nyie 😢😢😢😢😢❤❤❤😂
Waaah hii movie imeweza kunifunza mengi sana Kuna wale wakuhuku kabla ya kumalizia movie. Kp na Zubu si kaka na dada
Much love guys KP n zebuu Mzee likoma and your team ❤❤❤❤❤
Aisee Hili ni Bonge Moja la Muvi...
Sijawahi Kuangalia Bongo Movie You Tube ni kwa mara ya kwanza....Shout Out sana...
Zebuuu NAKUPENDA ❤🥰😘❤️
Inafundisha inafurahisha mpo vzr hongeren sana😂😂😂😂
Inafundisha kwa kweli hongera sana kwa kazi nzuri kp na zebu nawapenda2 burew😘😘🤩🤩
Muvi inafundisha baaaaa ❤
Sijapenda kabisa kp amepoteza mke mwema mungeowana tuh😭😭😭
Big up sn 👌🌹💐 i Say Guys KP&Zebuu Na Wakubali sn Pia mnaweza hongereni♥️💚❤️♥️
Hakika mnajuw vijana Mungu azidi kuwapa maarifa mengi zaidi.
Zebuu Hana kosa kosa ni la mzee likoma kugoma kuwaona wageni huenda hayo yasinge tokea kohapo huyomtoto atamuita kp ankle baba😂😂🎉🎉
Kp sioni kosa la sebuu, kosa ni la baba siku ya kwanza kp ulienda kwa sebuu mzee alikataa angekuja muongee na wageni ungesuia
Movie ni nzur
Sio sebuu bhana ni Zebuu
Team kp hongereni🎉 sana nawapenda sana mnanifanya namaliza Wi-Fi ya waitituuu😂😂😂
Nunua bando kumbe unatumia wifi wakati watu hapa tunamaliza vocha dukanii
Nunua bando kumbe unatumia wifi wakati watu hapa tunamaliza vocha dukanii
Mpk hapa nilipo USA marekani nawatuzama muda wote. Yaani kwakweli .❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Aloo huo nimtihani mgumu sana , Sema huyo Mzee likoma ananichekesha mnoo😂
Sheila wamwabiya kisha nasa kisha nasa kikeli 😂😂😂
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Iko poa jaman Mzee anatisha
Waaaa acheni uongo bas mimba taar jana usiku asubui wahisi uko na mimba hata haipiti wiki mbili
Kiukwer hiimovie imenifunzakitu japo inachekesha😅 rakini mwisho inahuzunish 😢ira inamafunzo kwa wazazi napia kwa Sisi vijana napia tunapaswa kuwa makini kiukwr naw penda sana kep pamoja nazebu nibenitha gutok Burundi tunawapenda sanaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
RAKINI - LAKINI
IRA - ILA
KIUKWERI - KIUKWELI
KISWAHILI KISWAHILI KISWAHILI
Apa miye niko Goma DRC nawaonaga sana sana kbs na munanifurahishaka sana❤❤❤❤❤❤❤❤ à
nakupend sana zebuuuu mwaaaaaàaàaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mwenye makosa n yule aliyewaunganisha kp na hii familia ya likoma
Baba hana kosa mshauli wa zebuu ndio kayakoroga mzee yuko sahihi sio kila mke au mume nisahihi kuowana lazima uwanfalie mazingira kwanza
Sio kaka ni baba mtoto 😂😂
nafurahi sana Wapendwa congratulations 🎉🎉🎉
Hapa mm nalauumu babake zebu kwa sababu mwanzo hangemkazia angeolewa na wale waume wa kwanza,pia shogake anachangia pakpwa ,yapaswa watu wase makini na marafiki😢😢
Aisee pole sana brother 😮 lkn sio kosa lako
Zebuu ❤❤❤❤❤❤❤❤ nawapenda san na kp ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Waaah kumpenda kaka nao kuna shidaaaa😮😮😮
Alie torea bikra sasa😂😂😂 anavyotimua😂😂😂 sema finzo lipo
Dah kp kashampa ujauzito dada ako
Zebuu kaishia kumpenda kaka Yake 😂😂😂😂
Kosa ni la baba coz wanaume walikuja wengi wengi ila baba kawafukuza wote hadi huyu kaka yake alikuja but baba alikataa kuja kuwaona kamwambia bintiye awaambie waondoke maramoja
Badala ya kaka dada imekua baba anko
Jaman kwa kweli mfanyayyo yatufunza sote endeleeni pamoja sana Mungu awabariki sana❤
asante sana kwa fundisho nawa penda sana
Mzee anakazi ya kumzoom Kp wakati wenziye washakuwa wapenzi kwisha habari ya kaka na dada
Mzee mbon mukali hvyo utamuoa mwanao kumbe mzee unapenda chipsi ety
Zebuu
nimejifunza kitu apa tena sana ongeleni sana zebuu kp
Asanteni sana kina kp
Good I love it ❤❤❤🎉🎉🎉 congrats
Binge la muvi nimeipenda jaman
Hilo barua lenyewe,ndoo limesababish nilie😭😭😭ni huzuni😭
Jmn Zebu huwa ananitia huruma movie zote...
Mzee lukoma sichoki kuangalia movie zako yani navunjika mbavu kwa kucheka
Unyama mwingi😢😢😢😮😮😮
Huyo mzee n roho chafu af azae mtoto n baraka na zawadi kumbwa kutoka qwa mungu
Asitoe mimba
Duh kimeumana zid ya kp na zebuu
Kp we nimtambo ushari wangu ongeza washiriki kwenye mvi zako.
Ni nzuri kweli❤❤❤
Filamu asili halisi sana na nimeipenda mno.
Kwangu mmeitamatisha vyema mno. Pia mafunzo kibao.🇰🇪
Sijapenda. Alicho Fanya mzee likoma. Ety anamchagulia mwanaume wakuoa bit yake
Mm naitwa bahati kutoka dalesalam kiukwel mm zebuu nampenda kweli si siasa
😂😂😂😂😂😂 your so funny nauza chips wa kwaza kutoka gulf
Pambe iyo tunasubir movie mpya jamn Sina pa kuziwek MB bira kp na zebu
Huyu mzee anachekesha jmn😅😅😂
Haya macho ya mzee likoma sijawahi kuyazowea kabisa😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂Saaana😂😂😂😂😂😂😂
Hongereni sana mko vzr ❤❤❤🎉🎉
Nakupenda sana zebuu aunasho mbovu dada angu
Dah kp umetisha kaka
Kp nimesoma😮😅😊
Jamani mimba ya Kaka heee😂😂😂😂😂 ndoa dabodabo❤❤❤❤❤
Nawapenda sanaa asa zebuuu hy
Unyama good nawakubaliii
Mr dibozi eti aende kablahakijanuka hhhhhh safi sana
Da baba umeharibu nibora angeolewa na konda 😂😂😂❤❤❤❤
Mzee likoma😂😂 Binti kashika
Nawe zebuu alivyo ingiza ukujua nicha ndugu kinaingia
I love your work guys... keep up
Oaneni nitasimamia harusi yenu❤❤❤😂😂
Mtoto hatupwi wala haachwi hospital alelewe nyumbn na wazazi wote wawili iwe funzo.
😂😂😂😂
😢hongeren sana mupo vizuri
Nawakubali sana🎉❤❤❤❤
Daa unaweza kaka hadi machozi
Kwan imeanz ten❤❤❤
Aisee! Ama kweli huyu baba ni noma
Jamani mzee likoma umenifanya nicheke kwa sauti 😂😂
Wau hi ni kali sana ❤
Congratulations all of them
Nakupenda likoma
Naona aka kafeelings uesi lala😂😂😂
Mzee umenifulaicha sana
Oii mmetisha Sana zebuu na kp na huyo mzee antisha sana
Mzee likoma tulia
Zebuu mamayao mwenyewe uko mbAchuwe
😂😂😂😂😂Et buzaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ni fundisho kweli kwa wazee wanaojiusisha na mapenzi ya binti zao. Ona anaingiza aibu nyumbani sababu ya ukali wake
Dhuuu Niki sanga 😢😢😢😮
Zebuu anasauti nzuri sana jamani❤
Ushauri wangu ni hivi dada anapojifungua hiyo mimba aende hospitalini,ajifungulie huko na aache mtoto wake huko badala ya kuua mtoto.
After giving birth there, she can't abandon her responsibility so she's to give birth in the wilderness 🎉🎉😅😅😊
@@ramaamofarah8967àààà1111l😊
😊
Da nakupenda happy du❤😂❤❤😂🎉😮😢😮😅😅
Mr dibozi hongera sana
😂😂😂😂😂😂eti kenge wa blue😂😂likoma wewe
Kp and zebu ❤❤❤❤
Mjaribu siri muitunze kp na zebuu plz
Tam sana❤
Alfu wee mzee likoma una maajabu