My bro ngoma zako nimeanza kukarir toka skul na nilifanya watot wa kike skul kwetu wapende rap mana nlikuwa nkipanda kwenye stage la talent watuu woyooo mbishi kaingia
NAKUELEWA SANA Nikki Mbishi aka 1.UNJU 2. BABA MALCOM Hatunywi sumu hatujinyongi Mezani kuna supu ya kuku na tungi nyomi, Kulikoni Kulikoni game imejaa wachovu wanapiga magoti kwa Dazen na Adam mchovu
Fanyeni fanyeni muwafanyie interview ya pamoja nikki mbishi,chid beenz na one the incredible nnaimani itakua ni interview kali ya mwaka au miaka kabisa
Unaweza ukaw n akili darasani ukatusua from lakwnza to university bt when u come in street mzaz unakutn n wadau walio fel wametusuaa hap ndo kunatofaut kt y akil z darasn n mitaan wachache mmeelewa
Kama unamkubali @nikkimbishi Gonga like hapa twende sawa
This guy is very intelligent.
Hili genius,IQ score kubwa,ukiminterview anakujibu kwa haraka na kwa usahihi
Nikki Mbishi HipHop professor mwenyewe🙌🏾🙌🏾👑
Mbishi safi sana Br wewe uko really una maanisha unacho sema uko fiti ktk punchline unajua kujielezea yan ki hip hop zaidi good Niki mbishi
Daah Nikki Mbishi noma nimekukubali sana leo
My bro ngoma zako nimeanza kukarir toka skul na nilifanya watot wa kike skul kwetu wapende rap mana nlikuwa nkipanda kwenye stage la talent watuu woyooo mbishi kaingia
Baba marcom unju nickk mbish namkubali noma rap tam mashairi makali unajua
NAKUELEWA SANA
Nikki Mbishi aka
1.UNJU
2. BABA MALCOM
Hatunywi sumu hatujinyongi
Mezani kuna supu ya kuku na tungi nyomi, Kulikoni
Kulikoni game imejaa wachovu
wanapiga magoti kwa Dazen na Adam mchovu
Best lyricist of all time.
Sure I get you!!!! darasa utupe elimu zaid kuliko burudani I remember previously Darasa gave fully Edutainment via punch lines!!!
Nikki mbish yuko sawa..... Siku akichange anaweza kupotea mazima, abaki hivyohivyo ndio mafans tunapenda
Sure
Unjuu anaupiga mwingi
Sure
Nyiee mwambiee Pii akaaee mbalii apaaa...tandiboy utingo zohan
Mbishi half Nikki nomaa broo sijawah kumaliza siku bila kuskiliza Ngoma zako
The level of conciousness in him is beyond normal!!!
say normal
Sure jamaa is very intelligence
nikki mbishi ana madini mengi sana
Nilishasema bila kupendelea, Nikki anaongelea maslahi ya hip hop Zaid wala sio mabifu,ila wasio elewa ndo wanachukulia bifu
Nikki's thinking capacity is something else
Watu wengi hawajui ila jamaa genius
Back again to comment, this guy is so intelligent,
Very very💪💪
Nick Mbishi Zohan" King of freestyle"
Unju he's genius
Unju i gatchu you hommie...much love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya
Consciousness..... fire dem weakness people
One of the best interview I think your ahead of time
Fanyeni fanyeni muwafanyie interview ya pamoja nikki mbishi,chid beenz na one the incredible nnaimani itakua ni interview kali ya mwaka au miaka kabisa
Akija chid benzi hapo siataongea pekeake na matusi juu🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Huwa haangushi kwenye interviews huyo, ni kichwa sana... 👍
Lil ommy...still folling...king of interviews
Mwng unju...mkulia na mhaya sifa na hasira zikikutana ni ubaya.... tuwekee nash mc kwenye albamu zko zijazo.msije kukubali kutumika km nabii kibonge
Nikki mbishi nimekuelewa sana sana... LAKIN wasioelewa watasema Una diss tu...but u r so really
Unju is pure black & white human
Kama unakichwa maji huwezi kumuelewa unju bin unuki
Kweli Lil Ommy ni King of Interviews
Shikamoo Unju the Geneous
UNJU BIN UNUK underground king 🤴 be strong 💪
Elimu imepatikana
Genius for sure
DR. UNJU BIN UPUPU 💪🏾
Always listenin to genius
Unju is a complete artist...wachache watanielewa
The smart brain nick mbishi sio yule a slave of education daily anasifu mtoto wa kikiiiiiiieee
Jamaa anaongea points sana asee
Talented one
Nikki anasema sina noma na mtu mwenye noma nami aseme tukae tuyaweke saw ili tuingize mapeme
Lil ommy
Bango kubwa
Tunakiwasha the switch
Sijawahi kuchoka kumsikiliza NIKKI MBISHI “Hunju”. You are much intelligent.
Unaweza ukaw n akili darasani ukatusua from lakwnza to university bt when u come in street mzaz unakutn n wadau walio fel wametusuaa hap ndo kunatofaut kt y akil z darasn n mitaan wachache mmeelewa
There's your MC then there's UNJU.
NIKKI MBISHI Ur only, let say U king over
Unju Bin Unuq
Mtu atar cn
Genius cn jamaa
mbishi akifanya interview na lily ommy anakuaga na mzuka sana
Kwasababu unju yupo sawia plus lily ommy yupo sawa
Ninjas wote
Unju fundi sana lkn anachosema pia na yey kinamhusu. naamin as long as yey mpk sashv n pioneer bx yote aliyoyasema bx afany hvyo
Nikki please arrange battle with One incredible..
😂😂😂
Wote wapo toka m rab mpaka kikos kaz
kipindi kinaeleweka hadi raha sio kama kile kingine cha mawingu O Oooh ! ho ho hooo mtihani !!! (:
Wozaaa asante bro u only stend 4 hip hop unju Bini unukii , maneno ya mashabiki
Huyu Nikki mbishi sio powa anachana laana
Mura uwe nikki mbishi ur legend huy mukangi pusi mawenge anarusha,
Ngwea 1 God Zila 2 chid mbezi 3 niki mbishi 4
jamaa anaongea fact sanaaaa
Big international interview
FUTI 6 NDO JIBU LAKO ....Hope you got it nick
Nikki Mbishi jogoo mtata wa vina...
Saw nikki nakubali sana
IQ ya unju iko juu sana.
UNAJUA P NI FALA SANA ETI ANATAKA BATTLE NA BABA AKE WA RAP
Ammy gal huwa kana feel sana hip hop... Sikia kakicheko kake yaan she is really 🔥🔥
Sijajua kisa cha nikki na p mawenge kuzengua ila niko side ya nikki yes... I'm taking sides.... Mbishi forever
Kisa line ya picha na gaspa badala ya feat (kolabo)
If u need challenge , step forward🔥🔥🔥
I love it
Zohan unju u always genius.... keep it up
Huyu ndio Tupac wetu bongo kwa sasa
Lilommy naskia jon umemtupilia mbaliiiiiiiiiiii xana
Japo yuko poa ila alioiga kamnyeshoo
Mashairi yaliyoandikwa sio freestyle
Ni frestyle maana yake haina topic
P the mc kaka kacheze unako chezaga unju anajua unju fundi unju moto
Kaka @nikkimbishi moto mbaya😎
Interview yeyote akiwepo unju lazma iwe hot.
This guy is HIP HOP
We need mwana fa
He's a lyricist though personal behavior is something else.
🔥🔥🔥🔥unjuuuu bin unuq
mbishii we umesimama kwenye hiphop kitambo sana
Bin upupu🔥🔥🔥
Dah kweli HIP HOP NI SCIENCE
Music doctor ...
Dooh! Huyu Jamaa Genius Upande Wa Hip Hop
The goat
Uyu jamaa ni nomaa sana
Show kalii
Unju bin unuq...🎯
Duuuuuuu 🌟
Mkali wao 🔥🔥🔥
cado kitengo #
Nick anakukubali san mzee
Ankol kichwani smart sana 🫵✅
Hatari nikimbishi
Bongo akuna Kama Nick mbishi kwenye hip hop
We mzee ni mbaya sana unju baba marcon
Unju bin unuq sio powa
UNJUUU✊🏾
Genius Zoan🔥
Noma na nusu
Mbishiiii we mtuuuu🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
kwenye freestyle hakuna km nick hata kwa hichi kizaz
Iyo nyimbo yake straight outa gambosh na sio free style
Huyu jamaaa hatari sana
Respect bro@unju@ommy