Mmmmmm waitara kweli bila uongo fanya mpango mwingine bila hivyo hauna kitu chochote nenda ukanywe pombe tena changaaa usijisumbue tu labda tena upite bila kupigwa.
Kinara wa kuuza bandari zetu. Na ilivokuwa: akatokwa povu la ajabu bungeni akitetea mkataba wa kuuza bandari kwa waarabu DP World. Na tangu siku hiyo akajinasibu kuwa chawa mkuu wa mama! Nasikitika, tangu siku hiyo nikamuweka kwenye orodha yangu maarufu ya wapinga mapinduzi duniani kanda ya tanzania.
Jamaa liongo hili balaaaa
Majizi matupu haya
😂😂😂😂Sijakuelewa kabisa
Mmmmmm waitara kweli bila uongo fanya mpango mwingine bila hivyo hauna kitu chochote nenda ukanywe pombe tena changaaa usijisumbue tu labda tena upite bila kupigwa.
Hakuna chochote hapo sio inapo fikia wananchi kuwapitisha viongozi mna wageuza daraja.. hakuna jipya.
Kinara wa kuuza bandari zetu. Na ilivokuwa: akatokwa povu la ajabu bungeni akitetea mkataba wa kuuza bandari kwa waarabu DP World. Na tangu siku hiyo akajinasibu kuwa chawa mkuu wa mama! Nasikitika, tangu siku hiyo nikamuweka kwenye orodha yangu maarufu ya wapinga mapinduzi duniani kanda ya tanzania.
Ngoja niangalie upumbavu huu ? Unavozungumzwa apa
Umunyi wa marwa
Hiki chama kishajifia
Ww ni buer
Yani Kati ya wakurya wajinga ambao njaa imewaingia kwenye ubongo ni wewe waitara unamuaabisha baba yako George waitara