HOTUBA YOTE YA LISSU TARIME MJINI, AMVAA VIKALI RAIS SAMIA, "MAASKOFU RUDISHENI PESA ZA LAANA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 ноя 2024

Комментарии • 95

  • @FrankNzombo-k3j
    @FrankNzombo-k3j 16 часов назад +2

    Nikweli ni aibu kwetu ccm chama chetu akikubariki mana tusipo tumia kusomba watu kutoka maeneo tofauti hatupati watu kwenye mikutano pia tunatumia pesa nyingi kusomba watu ambazo zingesaidia masikini

  • @Nangayivuza
    @Nangayivuza 3 дня назад +16

    Kamara halisi wa Malekani Hatobowi mwaka huu

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 3 дня назад +3

      😂😂😂😂😂🙌✌️✌️✌️✌️✌️💪

    • @ErnestLaiza-g6m
      @ErnestLaiza-g6m 2 дня назад +2

      ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✍️✍️✍️

    • @issacklyandala7023
      @issacklyandala7023 2 дня назад

      Sawasawa hatoi

  • @benardkinde8496
    @benardkinde8496 3 дня назад +8

    Safi sana lisu ni kweli ccm haipo siku hizi maasikari

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 3 дня назад +8

    Mungu akupe ulinzi na maisha marefu

  • @DanielMgeni-x1z
    @DanielMgeni-x1z 3 дня назад +8

    Matumizi Mblaya Ya Akili ni kumbeza Lisu

  • @EsterKalinga-c3y
    @EsterKalinga-c3y 3 дня назад +8

    lisu napenda sana msimamo wako

    • @BIGCHENDREADLOCKS
      @BIGCHENDREADLOCKS 3 дня назад +1

      Sipat picha akiwa rais coz namkubali saana lisu ❤❤

    • @ErnestLaiza-g6m
      @ErnestLaiza-g6m 2 дня назад +1

      ​❤️❤️❤️❤️❤️

    • @kaguripenina63
      @kaguripenina63 2 дня назад +1

      Pamoja na kumbeza kwa viongozi wa ccm lakin anaonekana ndoo mwamba kuliko wao

  • @PeterKisiongo
    @PeterKisiongo 2 дня назад +1

    Mungu awe nawe Kila wakati

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 3 дня назад +7

    Ccm inauza bandari yaani swala la bandari linatuuma sana mali zetu zinakabidhiwa kwa wageni sisi tunakosa ajira

    • @joscamwoshezi2986
      @joscamwoshezi2986 3 дня назад +1

      Jamani kuwa waelewa nani anaweza kuuza mandari,tafautisha kati ya kuuza na kuwekeza.

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 3 дня назад +3

    Mungu aendelee kukulinda lisu jamani hao ni roho za kenya majembe hawataki ujinga hao wako imara sana tarime

  • @danielpaul4108
    @danielpaul4108 3 дня назад +4

    Lissu hatariiiiiiiiiiiii

  • @charlesngalison7554
    @charlesngalison7554 2 дня назад +1

    Asante shujaa LISSU.

  • @AlbertoAkonaay
    @AlbertoAkonaay 30 минут назад

    Heche yuko wapi

  • @HumphreyMoha-h9x
    @HumphreyMoha-h9x 3 дня назад +8

    Kuna w2 nchj hii bd awajielewi bd Wana ukungu wa moshi wa mwenge

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 2 дня назад

      Lisu anahimiza umwagaji damu Tanzania watoto wake na mke wake wako uberigiji watanzania mkimfuatamtaumia

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 2 дня назад

      Lisu nibwage mkubwa Leo amewageuka maasikofu

    • @kakanicodemus3632
      @kakanicodemus3632 2 дня назад

      ​@@EmmanuelMlowe-u1vmaaskofu wana watu weng chin yao ukiwadharau unakosa wapiga kura weng sana

    • @levissanga8867
      @levissanga8867 2 дня назад +1

      Watu wana akili zao. Hawahitaji matusi wala kuelezwa Lisu ni nani. Mungu azidi kukubariki mh Lisu.

  • @MariegorethNsekera
    @MariegorethNsekera 11 часов назад

    Big up sana lissu

  • @FelisterBazil
    @FelisterBazil 2 дня назад

    Ubarikiwe

  • @ElishaNyasebwa
    @ElishaNyasebwa 2 дня назад +1

    Wewengine tukisikia jina la Samia tunahisi kichefuchefu

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 День назад

    MBARIKIWE TARIME MUNGU YU NANYI DAIMA👊👊👊👊

  • @PeterEliya-b7p
    @PeterEliya-b7p 5 часов назад

    Lisu akiwasema ukweli coming mnachukia yanawachoma

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel6980 2 дня назад

    Tarime mko vizuri sana

  • @mwitamarwa329
    @mwitamarwa329 2 дня назад

    Only a mad man can talk ill of Antipas Tundu Lissu , the patriotic revolutionalist.

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 3 дня назад

    Amina.

  • @SleepyPrancingUnicorn-qq3xj
    @SleepyPrancingUnicorn-qq3xj 6 часов назад

    Mwambija mzee wa upako

  • @mosesimsalaba
    @mosesimsalaba День назад

    Wasije wakajinyonga Kama yuda ruswa hupofusha

  • @AhmedAli-gh1lm
    @AhmedAli-gh1lm 3 дня назад +6

    Lissu usijisumbue kuwataka wananchi wakapige kura za hapana. Nchi hii kura si kipimo cha kuchagua mgombea. Wagombea wanachaguliwa na Tume wakishirikiana na CCM. Hii watu kwenda kupiga kura ni geresha tu. Tutafute njia nyengine ya kushinda chaguzi lakini si kwa kura kwe utaratibu uliopo sasa.

    • @csato9415
      @csato9415 3 дня назад

      Ukiwa raia wa Tanzania washirikishe maoni yako mbadala ili washide badala ya kutumia sanduku la kura.

    • @nyabahailani3169
      @nyabahailani3169 3 дня назад +1

      Mungu atawazimia soketi shauri yao utaona mungu anaende kufanya maajabu

    • @melch3097
      @melch3097 3 дня назад

      Toa njia basi,

  • @magrethsengati2564
    @magrethsengati2564 2 дня назад

    Chadema imepita bila kupingwa

  • @kelvinmushi5080
    @kelvinmushi5080 2 дня назад

    ✌🏻✌🏻❤️❤️❤️🔥🔥🔥✌🏻✌🏻

  • @juma3049
    @juma3049 2 дня назад

    Kwa hiyo Tanzania mnashindana kujaza viwanja au kutafuta kura😂😂😂

  • @EmmanuelKolambo-ig6js
    @EmmanuelKolambo-ig6js 2 дня назад +1

    Uko vizur

  • @Cmmbungi
    @Cmmbungi 2 дня назад

    Sijawahi ona mtu mwenye akili nyingi kuliko tundulisu tangu nizaliwe

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 2 дня назад

      Huwezi kuona kwakuwa wewe mwenyewe huna akili kabisa

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 3 дня назад

    TARIME NINAWAPENDA SANA WANA AKILI NYINGI SANA(WANATAMBUA HAKI NINI) NATAMANI UFANYIKE UTAFITI NI NINI SABABU YA WATU HAWA KUWA NA AKILI NYINGI.

  • @onoriamngongo1131
    @onoriamngongo1131 2 дня назад

    Mnadanganyika na huyo tapeli

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 3 дня назад

    Pia wakaweka mawakala wa cdm ili kuhakiki

  • @mwitamarwa329
    @mwitamarwa329 2 дня назад

    Tutegemee mabadiliko makubwa ya kihistoria katika siasa za Tanzania katika uchaguzi huu ulio mbele yetu.
    MUNGU IBARIKI TANZANIA NA ASANTE KWA KILE TUNACHOKWENDA KUKISHUHUDIA.
    UMESIKIA MAOMBI YETU EE MOLA!

    • @mwitamarwa329
      @mwitamarwa329 2 дня назад

      MUNGU AMEINGILIA KATI KUONDOA "LAANA HII"

  • @sistermkinga
    @sistermkinga 2 дня назад

    HECHE WAPI?

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 2 дня назад

    Lisu anafundisha mauaji

    • @stephanokajuni8807
      @stephanokajuni8807 2 дня назад

      Mbwa ww

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 2 дня назад

      @stephanokajuni8807 mbeya Kama mwanamke, anataka kuvhafua tz yetu yy watoto wake amewapeleka nje namkeww anataka warudi kula Raha lkn waliopigwa mabomu niwengine

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 3 дня назад

    Rais amemtendea nini lisu alirudi nyumbani kwao alikozaliwa siyo hisani ya mtu ni mtanganyika halis tatizo fisiemu kila kitu mnaona ni mali ya rais mna mtindio wa akili

  • @AnnoyedFlowerPot-mr2ps
    @AnnoyedFlowerPot-mr2ps 3 дня назад

    We jamaa hujajiandikisha utashindaje

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 3 дня назад

    Shoga ni baba yako na mama yako we fisimu

  • @NaimanaMzala
    @NaimanaMzala 2 дня назад

    Acha ukuda lisu

  • @NaimanaMzala
    @NaimanaMzala 2 дня назад

    Una jipya wewe mzee

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 3 дня назад

    Haya mke wa wabelgigi. Unatuvuruga halafu akasepe kwa kwa Waume zako

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 2 дня назад +1

    Lisu fafai kuwa hata balozi

  • @bakarhassan2364
    @bakarhassan2364 2 дня назад

    Ulipewa hongo na ccm kutengeza gari yako ukapokea,marehemu turki alikupa hongo ya ndege kupelekwa nairobi,mboee alipokea pesa za samia kanisani Arusha usiwe msahaulifu

    • @TufaniMcharo
      @TufaniMcharo 2 дня назад

      Pesa haikataliwi ndugu matendo ndio yanakataliwa

  • @gabrielmwikanu1160
    @gabrielmwikanu1160 3 дня назад

    Rais aangalie pia watu wa kuwasaidia
    Ulivyomtendea Tundu lissu hana hata shukurani.
    Huyu lissu mimi simuelewi kama usomi wake uko vizuri kichwani.
    Anavuruga amani halafu atakimbia

    • @Globalpeace123
      @Globalpeace123 3 дня назад

      Alimsaidia kitu gani Lisu
      Mbona unaongea mambo yasiyoeleweka
      Tafuta undani wa jambo kabla hujaandika kwenye kadamnasi
      Do your research before commenting anything.

    • @Mussaphanuel-p1q
      @Mussaphanuel-p1q 2 дня назад

      wanao mkosoa lisu.sidhan kama wanajitambua.

    • @JumanneShida
      @JumanneShida 2 дня назад

      Ndio wanaobebwa kwenye maroli Kama machungwa ya Tanga

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 3 дня назад

    Shoga mkubwa huyo muongo mkubwa fatani mkubwa

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 3 дня назад

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @TNgwale-eu3xl
      @TNgwale-eu3xl 3 дня назад +2

      Alifanya ushoga na Wewe au Baba Yako!! Au unaropoka tu kwa vile uwezo wako wa kufikiri na kuchanganua mambo nyeti ni mdogo.

    • @csato9415
      @csato9415 3 дня назад

      Nadhani ni mshiriki mwenzio maana asiyeshiriki asingejua hayo.

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 3 дня назад

      Kwani hujui Chakula cha Wabeljamu huyo. Kuku wee kama hujui Maandazi wahed

    • @joojombi2341
      @joojombi2341 3 дня назад

      Video zake zimezagaa huku Belgium na Ufaransa Maandazi wahed