Nayahisi maumivu ya medick kiukweli mapenzi yanauwa mama na yy kama moto si ungekuwa na huruma kidogo angalau siku moja acheke na mkewe na mama pamoja kwa mama vituko kwa majirani chugu aki inauma saana😢😢 hongera saana kijjana kwa kazi nzuri maumivu yako iko siku yataisha tu kua na moyo huo huo ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
JARIBU MCHEZO WAKO KUEKA WIMBO MMOJA TUU. NA UFITI KILA KIPANDE. MANA NYIMBO IKISOMEKA PIA ITAHITAJIKA KWA JAMII YAKO. PIA KAZI IYO KAKA. HONGERA KWA KUPAMBANA
😊😊😊wallah huyu kijana ana acti kwa hisia sana hongera yako kwanzia leo mm ni shabiki yako Rasmi❤❤❤
Nikwl kwl
wanaume kama huyu ni wachache, Mwanaume anao uwezo mkubwa sana wa kumfanya mwanamke abadilike
Ten mungu ambrik san wallah
Sana yaani ninaushuhuda
Nayahisi maumivu ya medick kiukweli mapenzi yanauwa mama na yy kama moto si ungekuwa na huruma kidogo angalau siku moja acheke na mkewe na mama pamoja kwa mama vituko kwa majirani chugu aki inauma saana😢😢 hongera saana kijjana kwa kazi nzuri maumivu yako iko siku yataisha tu kua na moyo huo huo ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Kaz nzuri Merck kuwa na msima❤❤❤❤❤❤mo wako mpende sana mkeo
Kama mm mke wangu nikama hiii move dah😢😢😢😢
Safi sana njoji mahitaji nomb yko Wang pole ep 4
Medick pongezi sanaaaaaaaa Kwa kazi nzuri usife moyo binadamu hawakosi kasoro🎉🎉🎉 sau yaliopita chenga yajayo na usimwache Tete ❤❤
Lingala uyu mdada mkongo ❤❤❤
Safii sana kaka kwa kaz Yako nzuri
Nice
Medck wewe fundi nimekukubali upo sawa katika uhalisia wa uhusika wako
Pole sanaa mama yake tete nimependa uchezaji wako nimekupendaa
Kazi safi Sana hongereni 🎉🎉 ❤❤
NYOKA WA SNAKE BOY NAKUBALI KAZI KAZI NGINJA NGINJA
Dada wa kazi anapenda umbea 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Napenda luga ya lingala DRC 🇨🇩
Pongezi kaka derick unajua kukwepa maneno ya watu.. ila inauma but unamoyo wa uvumilivu
Kazi nzuri medi🎉
Nawapenda sana mnamove zur san ♥️♥️♥️
Kazi mzuri sn mpende mke wako
Mchawi pesa kwan haiendelei au,,,, vitu nusu nusu kwann sas
Unyama mwingi jaman
Eeh mungu naomba nipee mume kama medick please Ameen😂😂
Nice work medick
Ila uyu mamamkwe wa baba ni mmnafik daa
Medick kulia tuuu muda wote
jamani Hawa watu watatuulia medick wetu mwenyewe Hana nyama tuachieni😂😂😂😂
Niliwahi kupata mwanaume kama hyu mbwa umeolewa lenyewe nilikukomalia Kam kuroga kila siku Kam yake linafanya kaz hela zote kwa waganga kula nina
❤❤❤🎉🎉🎉
❤❤❤❤
Me wakuanza naomba like zangu kutokueya 20:04 🇲🇿
Sou o primeiro
Med bhana Ukitoa mov nyengine uwe na furaha Unaniumiza😭
Wanaume wa hiv walishapoteaga zaman jmn.
Wallah wapo
❤
JARIBU MCHEZO WAKO KUEKA WIMBO MMOJA TUU. NA UFITI KILA KIPANDE.
MANA NYIMBO IKISOMEKA PIA ITAHITAJIKA KWA JAMII YAKO. PIA KAZI IYO KAKA. HONGERA KWA KUPAMBANA
Bora umesema we maana Nish kereka na vivyo vinyimbo
Nice lydia merykyor
Good work ❤❤❤❤
kazi nzuri❤❤❤❤❤❤
Much love from saudi ❤❤❤❤
Unyama damu yangu❤❤❤❤
😢😢😢 ni nzuri ila hii nyimbo imezidi kwa kweli inaboa
❤❤much love from Burundi
Medick usimuache Tete amebadilik tayar huyo kuwa na msimamo wa moyo wako
❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😢
Tujitahidi kumsapot hebu kila m2 a subscribe❤
🎉🎉🎉
4 iko wapi
𝐌̰𝐞̰𝐝̰𝐢̰𝐜̰𝐤̰ 𝐧̰𝐚̰𝐩̰𝐞̰𝐧̰𝐝̰ 𝐤̰𝐳̰ 𝐳̰𝐤̰𝐨̰
❤❤❤❤
Nice
❤