Chado, content ya hii series ni nzuri sana. Na wachezaji wako bora sana. Ila usije uka fanya kama wenzako, kufukuza wa chezaji kwa kupenda kujinufaisha sana. Riski inayo patikana mupe kila muchezaji kwa haki. Usije uka libomoa kundi hili, utafika mbali sana. Usi muache hata mumoja atoke. Ni wa sanii bora sana: cheusi, baga, najma, mzee wa misumari, bonge, maman ngwengwe, ngwengwe, Askari kikofiya, mjomba mzee wa kulipisha Deni, etc.... Wote wana juwa sana. CHADO usi liangushe kundi hili.
Nakubali sana mwanangu chado God bless u wote na crew lako sema fosi 37 mapema kaka kipande iki Mzee wa misumali kauwa sana ila ngwewe katisha kinoma 😂😂😂😂
Hiyo scene aliyocheza dogo ngwengwe apo mwisho aliyomkaba najma bonge moja la scene...mtoto kama ngwengwe kuitendea haki kiasi kile aisee ni noma sana,janja kama yupo mbele ya muda hivi....chado asante kwa kumuamini huyu mtoto,Mungu azidi kukufikisha mbali kwaajili ya ngwengwe na team yako yote....episod imeisha ila naparudi apo kwa ngwengwe tu zaid ya mara 6
Pole sana Mzee wa misumari Leo ndio nimeamini kua ukiona mama au baba anamchunga mwanae anampenda na hataki aharibike, unampenda dada Ako sana2 japo unaigiza ila funzo kubwa sana, wanafunzi mnaoangalia hii movie kuweni makini mtaharibiwa ndoto kuweni makini sana
Aaaa ngwengwe we una juwa kabisa uta fika mbali sana. Ni Mr Baraka toka kampala nawa kubali sana, na ombeni basi likes zangu nami musi ni baguwe ndugu zangu
Baga ni character inayoonyesha kwamba kweny maisha au mahusiano au kweny jambo lolot lzm kuwe na ups en down ..... maana ata kama asingkuja af kidem jau na chado wawe wanakutana kila sik pia ingeondoa ladha
Laiti ni ngelikua na Na Kaka mwenye kujali kama Daddy Kaka ake Najmah hakika ni ngelifurahi sn pia ni ngelimpenda na kumjali vile vile 😭😭😭😭😭😭😭😭Ila Bahati hiyo sikujaaliwa kuipata jamoni 😭😭😭Ila Alhamdulillah kwa kila kitu.
CHADO MASTER nimekubali 😅NAZUMYA. imefika patamu hasa, afande kikofia kayatimba, na baga analilia mapenzi halafu ati ooo mi silii wala nini 😅mnajua mpaka mnakeraaa😅
Kaka Najma polee sana jaman lkn Chado piah poleee Kwa tofauti ambayo imetokea Nina Iman mtarud kuwa SAWA na Najma wako lkn huyo rafiki Yako daaaahh. Hafai kabisa maana yey ndo kasababisha hayo mambo yote
Watu wa misumari tuwape likes.....kazi nzuri
Makofi kwq kaka najma Leo kaongea maneno Ya busara sna kwq mdg wake🎉🎉
Mimi apa
Namimi kbs
Hakika
Kama unamkubali mzeeee wanna misumali au ukipenda muiteee ally dady Tia like hpo🎉
Dady
asande kwaku nifula sha nasiki lahasa ninapotazama siliiziyenu
Huyu kak kama maisha yakawaida yuko ivo bs dada zake wanabahati😢😢😢
Ila kaka ake Najma leo ameambiwa ukwl mdg wake na maneno ya busara sanaaaah, ❤❤
Sanaaa
Baga nomaaa
Chado, content ya hii series ni nzuri sana. Na wachezaji wako bora sana.
Ila usije uka fanya kama wenzako, kufukuza wa chezaji kwa kupenda kujinufaisha sana. Riski inayo patikana mupe kila muchezaji kwa haki. Usije uka libomoa kundi hili, utafika mbali sana. Usi muache hata mumoja atoke.
Ni wa sanii bora sana: cheusi, baga, najma, mzee wa misumari, bonge, maman ngwengwe, ngwengwe, Askari kikofiya, mjomba mzee wa kulipisha Deni, etc.... Wote wana juwa sana. CHADO usi liangushe kundi hili.
Nakuunga mkono umesema kweli yni chado ametufanya tumesahau n movie zingine mpaka hua nikizimaliza nazirudia rudia hongera chado n team yko🎉❤❤
Chado unyama kaza kwa baga
Unyama ni mwingi kitengo ukihitaj kaschn kakuigiza Niko hapa
Ee mwenyez mungu wabaliki watazamaji wote wanaofatilia kazi ya chado ❤
🤲🏽🤲🏽 ameen
Oya broo umeongea kikubwa sana respects kwako mzee wa misumali nimependa
Asalaamu walekum bwana yesu asifiwe yeyote atakayesoma hii coment uwe na maisha marefu 🤲🤝👊🤛🤛🤛🤜👏🙌🙌👐🤲🤲🤲
❤❤
Amin 🙏🥰
Amina
Amen
Amin
Chado HongerA Kwa kizaz!. Kipya NgwengwE 🎉🎉 💯💯💯
Kwakwel mapenzi hayana mwenyew 😢 chado kapigwa namtoto mdogo mapenz shikamoo❤❤❤❤
Jamani tunaempenda ngwengwe mikono njuuu❤❤❤❤❤
Nami piya sijapenda alivyo dhalilishwa kaka Dady 😢
Daaah! bc tu jmn
Sema sharap kwa gwegwe dogo anavijua mpaka basi mungu amjalie👍
Ni shout up sio sharap
Duuh Naskia baridii,hauna panadol hapo zakumeza🤣🤣🤣🤣🤣
Kila anae soma hii comment mungu ampe balaka na neema kwenye Maisha yake Amin🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏
Amiin Ya rabb
Amen
Amen
🙏
Nimejifunza mengi saaaaana kbs kwa ajili Yako chado masta
Leo Mzee wa misumari na mm umenitoa machozi😭😭
Kabisa yaan nimelia atali 😭😭😭😭
Hata Mimi bimeumia jamani@@SarahRichard-iv2dl
Nakubali sana mwanangu chado God bless u wote na crew lako sema fosi 37 mapema kaka kipande iki Mzee wa misumali kauwa sana ila ngwewe katisha kinoma 😂😂😂😂
Hiyo scene aliyocheza dogo ngwengwe apo mwisho aliyomkaba najma bonge moja la scene...mtoto kama ngwengwe kuitendea haki kiasi kile aisee ni noma sana,janja kama yupo mbele ya muda hivi....chado asante kwa kumuamini huyu mtoto,Mungu azidi kukufikisha mbali kwaajili ya ngwengwe na team yako yote....episod imeisha ila naparudi apo kwa ngwengwe tu zaid ya mara 6
Gonga misumari na chado big up sana mnatisha
Baga man nakukubali sana uko vizuri sana unajua aisee "mm ninakisukari sili vyakula vya chumvi"😂😂😂😂
Mganga 😂😂😂😂😂
Kila mwenye pumzi siku ya Leo na aseme ameni ❤
Kwa misingi ya dini zenu au asili
Amen
Amiin
Amen 🙏🙏
Amen 🙏
Baga kaleta mambo kwa najm na kaka ake😢 kaz nzur🎉🎉🎉❤
Nimekuwa🌏 zima Sasa inatrend...rispecti chado masta
😂😂😅😅😊😊mzee wa misumari amebadilika sana na anavaa ugmhusika wake vizur.Big UP
Aise bingo up nyingi sana chado master hunabaya🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Big up siyo bingo up we wa wapi mbwinde au😅
😂😂😂😂😂😂😂@@Kabeya410
😢😢Najm umemuumiz San kak yko urum Kwa Misumali.. n manen maneno yke y Busra sana honger San Ally
Cheusi acha uongo maneno mengi nahuna lolote nyau wewe 😂😂😂😂😂
😮😂😂😂😂wewe tokahapa 🤣
Pole sana Mzee wa misumari Leo ndio nimeamini kua ukiona mama au baba anamchunga mwanae anampenda na hataki aharibike, unampenda dada Ako sana2 japo unaigiza ila funzo kubwa sana, wanafunzi mnaoangalia hii movie kuweni makini mtaharibiwa ndoto kuweni makini sana
Mama ngwengwe waraiiii mm nampenda balaaa😊😊😊
Moral Sana chado usimuache ngwengwe plzzzz ako poa anakufaa Sana Katika kazi zakoo
Maskin chado,sasa ngwengwe kosa lake nn# ila baga we fala sana umenimaliza na kicheko kwa kilio chako😂😂😂 ati "chembamba na chajichubua" 🙌 😅😊
Sasa leo nimekuwa wa kwanza lakini Like nitakuwa wa mwisho kuzipata 😂😂❤❤
Kazi nzuri mashaallah mungu awaongoze 🙏🙏
Aki Chado ,umefanya nikakutamani ,eti mwanamke hapigwi waaaaah! Kwa kwl nimejisikia vizuri mnooo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂
Ivo ndo invytakiw kwa mabint tuzitumie nguvu maneno y busar fimbo kubwa 👏👏 kwako kak najma👍
Ukichelewa kidogo tu , unakuta kila mtu wa kwanza humu😅, kazi nzur Chado na timu yako hongera sana 🎉🥳
Afadhal umeliona leo mana me nilishindwa kusema 😅😅😅😅😅😅😅😅😅 kila mtu me ndo Wa Kwanz naomba like zng😅😅
Chado chado master
Nko live kutoka Mombasa
mmmmmmmmmmh 😮😮kidemu njau Leo umesisimuwa❤moyo wangu
Leo kidemu njau umesema neno moja tu nimehipenda sana
chado kapatikana shobo shobo 😂😂😂😂😂 ila kuikweli mnafanya kazi nzuri sana
Bonge iyo singilendi chado kazi nzuli
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 napenda kaz zenu mnazo waisha hv inapendeza
Pongezi kwa MR.Ddaddy big up we ni mwana sana unaweza sana.
Baga analia vizuri jamani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂sana
😂😂😂😂😂
😂😂kachekesha sana
😂😂😂 siokweli
Cheusi nimcharuko sana
Aaaa ngwengwe we una juwa kabisa uta fika mbali sana. Ni Mr Baraka toka kampala nawa kubali sana, na ombeni basi likes zangu nami musi ni baguwe ndugu zangu
Nawapenda sana kwa kazi nzuri
Nimtoe wap me kaka WA aina kama ya dady🎉🎉🎉🎉dady mungu akubariki sana🙏🙏
Kidem chenyewe chembamba kina jichubua😅😅😅
Nampenda sana chado mana hakawizi kuachia mzigo nakubali san❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kazi nzuri sana tupelo mwendelezo nawapenda nyote ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Kama unaamini baga amekuja kuharibu radha ya hii movie like zenu
Baga ni character inayoonyesha kwamba kweny maisha au mahusiano au kweny jambo lolot lzm kuwe na ups en down ..... maana ata kama asingkuja af kidem jau na chado wawe wanakutana kila sik pia ingeondoa ladha
😂😂😂 mi naona Yuko sawa tu
Ww akati kaja kunogesha uko love baga❤❤😂😂
Kaja kuchamsha😂😂
😅😅
Chado Hasila zako kamalize kawa Baba tia mikofi sana Arafu Jishushe nenda Kaka ake na K dem jau omba msahama bwana 😔😔
Oya baga mtemi respect 🎉🎉 unajua sana
Mungu akusimamie wewe unae tizama hii move
❤❤❤❤ kiukwel hii move tamu aisee kama itoke Kila siku vile uwii mpewe Mauwa yenu kazi nzur😊
Mojaaa
Mzee wa misumar Leo ameongea mafumbo 🤣🤣🤣
Sn😢😢😢
Baga m najua hulii wala nini af kidem chenyewe chembamba mwanangu af kijichubua ndugu angu we meza zako panado af baridi t mwanangu baga izo👉😅😅🤜🤛
Baga 😂 mapenzi shikamo mpaka wewe😅msela
Afande kikofia aka chenga kaz unayo😂😂😂😂😂 kmbe co polic😂😂😂😂😂 utamlipa mama ngwe ngwe rushwa zake zot alizokupa😂😂😂
afu watu wa umundani sisi wa Burundi atupewi like sijuwi zalau afu musinicanganyi sili vyakura vya cumvi😂😂😂
Movie imeweza 🔥🔥 kitengo wetu karibu agonge 100k subscribers 👌 let's go guys 🤝
Najikuta nacheka kama fala sasa kama umpendi walia nn 😂😂😂😂
Dah mwanangu chado umenichekesh kumpa makavu baga kwamba mam ako😅😅
Unapiga kitengo kama nani? This is the best scene keep the good work dogo the next Chado Masta Gwengwe 🎉❤
Cheusi hakuna kuremba hapa nimwendo wamishangazi t mwanangu umetisha sana nahio plan ako maniga🤜🤛😂😂😂😂
Najima anatoa action kama really life tumupatie like zake hapo
Duuuh !!!! Naskia baridi
Mambo ya baga mwanaume choz
😂😂muhuni kaumia chezea kupenda😂😂
Leo mzee wa misumali ametaifixhwa haha leo baunsa kapata baunsa mwenzie chado 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Muuni kapenda namuelewa sana chado❤
Laiti ni ngelikua na Na Kaka mwenye kujali kama Daddy Kaka ake Najmah hakika ni ngelifurahi sn pia ni ngelimpenda na kumjali vile vile 😭😭😭😭😭😭😭😭Ila Bahati hiyo sikujaaliwa kuipata jamoni 😭😭😭Ila Alhamdulillah kwa kila kitu.
tafadhali twa waomba muwe mwaziwaisha na mapema inatubamba sana jitahidin sana muwe mwatuekea episode mbili twawaomba
Huyu msela anaboesha sn ila movie Kali hongereni Mr Chado
Hapo ndio utakapojua nini maana ya mwanaume ametisha mzee wa misumali maneno kuntu
Kaka Kitengo hiyo scene apo ya kupigwa kibao ni kali sana , until 'm excited . Lets push #Najma #Ngwengwe wana vipaji sana Brother✊🏽
Mzeee wa misumari big up sanaa
Sema chado mwamba huwa hacheleweshi kazi ndo ninacho mkubali💯💯💯
Wow chadoo we mkaliii unajua
Ngwengwe ,, namkubali sana unampenda sana kitengo...🖖🖖🖖🖖
toka nafatilia movie hii épisode moja kali kushinda zote ni hii
Ngwengwe ety oyah izooo zalauuu una mpigajeee kitengoooo
Oya sio poa mwambie bonge meneja wake anodi masta ana muulizia bonge kasaliti chama😂😂
Kaka dadi kula Mau yako 🎉🎉🎉🎉🎉leo umeongea Sana pwenty Mzee wa misumari 🎉🎉
😂😂😂baga eti weee kubabako nini
CHADO MASTER nimekubali 😅NAZUMYA. imefika patamu hasa, afande kikofia kayatimba, na baga analilia mapenzi halafu ati ooo mi silii wala nini 😅mnajua mpaka mnakeraaa😅
Wakwanza Mimi leo
Najma ni wewe sasa muamusi umupende kakako ua Chado good episode continue guys 🎉🎉🎉
Wa kwanza Leo ❤❤❤
😄😄😄baga jmn nimechek adi nimejikojolea we na yule dem wote mafara we kubabako
Jaman nisaidie ile nyimbo inayopigwa sana pale chado anamkimbilia najma inaitwaje nimeipenda
Aniuwe by Chine
Ahsante
Chado waupiga mwingi wajua mpka basi 👊👊👊shida songi lako twalipata vipi
Jaman Leo nimekuwa namba 1 sema nimechelewa kuweka koment toeni like ❤ yangu
Kaka Najma polee sana jaman lkn Chado piah poleee Kwa tofauti ambayo imetokea Nina Iman mtarud kuwa SAWA na Najma wako lkn huyo rafiki Yako daaaahh. Hafai kabisa maana yey ndo kasababisha hayo mambo yote
Much love guys mubarikiwe nyote mnao soma hi comment na mungu awape maisha marefu❤❤❤❤❤
Ubarikiwe unayetoa sms za baraka kwa wengine,
Fresh Baridi...fresh tusiongeleshane...shobo×2😂😂😂😂❤🎉🎉duuh naskia baridi 😂😂😂😂😂Baga×Chado master🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kwan huyu chado mbn hamwmbii ukwel huyu baga atamuarbia mwnzk
Sijui alikua n najma kwaajr yakulipiz kisasi
😅😂😅yani huyu cheusi duuuh maneno mingi kama chiriku vile 😅😂😅😂😅😂😅😂
Aiseee Leo nimepatwa na uzuni sana Mzee wa misumali 👏👏👏