Basaga Mp4 & Saigon ft One Six- Kabla Sijafa (Official Video Lyrics)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии • 112

  • @Storyzaibrahim
    @Storyzaibrahim 5 месяцев назад +1

    Toa kitu kingine basaga unakitu kuwa consinsanc RUclips bro

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  5 месяцев назад

      @@Storyzaibrahim Shukrani saana ndugu yangu,nipo naandaa video mpya mzee wangu....ulichokiandika wengi wananisisitiza na kunishauri hivyo.
      MUNGU akubariki saana Mzee.

  • @Kamanda12
    @Kamanda12 6 месяцев назад +1

    Basaga kazi nzuri sana na makumbusho pia

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  6 месяцев назад +1

      Shukrani saana ndugu yangu Kamanda!
      Tuendelee kusapotiana❤

  • @Storyzaibrahim
    @Storyzaibrahim 7 месяцев назад +4

    Sns imenileta hapa

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Shukrani saana ndugu!
      Karibu tena na tena....

  • @patrickmkini9757
    @patrickmkini9757 7 месяцев назад +1

    Hongera saaana Basaga ndugu yangu.... Wimbo mzuri saaana na mwenyezi mungu akujaalie kheri mzee

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 7 месяцев назад +2

    Hoihoihoi- Hooiiiiihii
    Mshua Saigon BigUp sana kumshika mkono mwana poa sana. Na Mmefanya kitu Unique sana na bora ktk Umoja.
    Hio Ngoma mtu yoyote anasikiliza labda hawe mchawi kupitiliza.

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Lets us spread the Looooove

  • @ezekieljailos9398
    @ezekieljailos9398 7 месяцев назад +1

    Ujumbe mzur tisha sanaa

  • @HaldAthuman
    @HaldAthuman 7 месяцев назад +1

    Ujumbe wa kijamii kabisa huu
    Safi bro ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @tysonbadness
    @tysonbadness 7 месяцев назад +1

    Mjomba nakuona 🙏🙏

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 7 месяцев назад +1

    Ujumbe mzuri

  • @ibrahimabdallah7639
    @ibrahimabdallah7639 4 месяца назад +1

    Noma Sanaa hommies

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  4 месяца назад

      @@ibrahimabdallah7639 Yaah man

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 6 месяцев назад +1

    Acha kutaja Mungu na mtume ktika muziki

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  6 месяцев назад +3

      Sawa Mwanamfalme uijuwae dini kuliko wengine.
      Binafsi nakuahidi kuwa nitaendelea Kuwataja kwasababu hata mwenyezi MUNGU anapenda Sifa,Kuabudiwa,Kusujudiwa na nk...
      Tuseme Insha'Allah 🙏
      Allahu maaaaamin!

    • @stanslausmushi9919
      @stanslausmushi9919 4 месяца назад +1

      Asitaje kwanini? Acha chuki

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  4 месяца назад

      @@stanslausmushi9919 Hawa ndio wanaojifanya wanazijua dini kuliko mitume hahahahahah

  • @mohammedabdallah9692
    @mohammedabdallah9692 6 месяцев назад

    Kazi bomba

  • @ShedrackLawrence-u3p
    @ShedrackLawrence-u3p 7 месяцев назад +2

    Oiiiiii oiiii ebwana daaahhhhh deplowmatz Saigon back in the days my freestyle master the tz has ever seen

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад +1

      Yaaah Man yaah man

  • @KalamuYaGalana
    @KalamuYaGalana 7 месяцев назад +2

    Jeuri ya kiumbe hai ni uzima tu. Nakubali! Love from Malindi, Kenya

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Oooh Hahahahah Asante saana Kalamu...MUNGU akubariki saana.
      Umetishaaaaaaaaaaaa😊

  • @MBANGA_NAME
    @MBANGA_NAME 8 месяцев назад +2

    Mapambano yanaendelea safi sana kaka

  • @Therealcurtis
    @Therealcurtis 7 месяцев назад +1

    Oiiii oiiii kalinye kalinye 🔥🔥🥶🥶

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Ebwaaaaaana Daaaah😅

  • @ahmeddola4648
    @ahmeddola4648 7 месяцев назад +1

    Ujumbe umefika ma kamanda ! Endelea kujinowa na kuboresha kazi . Uko na mwalimu Bora kuliko wote, Masta Saigon ! Big up Sagg represent the Real Hip Hop. Pamoja sana, Balozi Dola

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Aaaaamin Aaaaamin Aaaaamin

  • @LukumaniAthumani
    @LukumaniAthumani 7 месяцев назад +1

    Kwangaruuuuuuu mungu akujaalie mwanangu ipo diku tuu Kila kitu kitakuwa sawa

  • @mohamedhamisi9766
    @mohamedhamisi9766 7 месяцев назад +2

    Nimekuja hapa baada ya kumsikia brother saigon

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Shukrani sana mkuu....tuendelee kuwa Pamoja.
      Usisahau Kusubscribe mzee

  • @mrmtono3897
    @mrmtono3897 7 месяцев назад +1

    Amani saana Basaga. May God bless you

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Shukrani saana kaka yangu Mtono.
      Mwenyezi MUNGU atujaalie kheri kwakweli

    • @mrmtono3897
      @mrmtono3897 7 месяцев назад

      @@Basagamp4 Amein

  • @mwanimuzic8067
    @mwanimuzic8067 7 месяцев назад +1

    well done bro✈️✈️

  • @doyenrae
    @doyenrae 7 месяцев назад +1

    AHSANTE🙏🏾 let’s keep playing this masterpiece together 💪🏾

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Mr International

  • @Vichuda_Tz
    @Vichuda_Tz 7 месяцев назад +1

    Kalinye kalinye bro bado mkali ana floo flan hv hazipitwagi na wakti noma

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Ebwaaaana Daaaah

  • @YasreArafat-kk9en
    @YasreArafat-kk9en 7 месяцев назад +3

    bro Saigon
    ulikuwa umexhukua uamuzi mzuri Sana
    wy brother umerudi kukanyaga Yale yale
    unajua namaanisha nini
    ujumbe mzuri hauwezi kupitia ktk mziki
    bro rudi rudi rudi
    acha kuxhafua hii kitu kabisa
    ujumbe huu ni kwa ajili ya ndugu yangu Saigon
    dah umenishangaza Sana
    ulikuwa ushapiga hatua kubwa
    mbona umerudi nyuma hatua kibao bro
    sukutegemeA kabisa hii bro
    @bro Saigon

    • @emmanuelchacha6718
      @emmanuelchacha6718 7 месяцев назад

      He tryna make a living bro.

    • @AbdulyMajaliwa-v4r
      @AbdulyMajaliwa-v4r 7 месяцев назад

      ASa kakosea wapi..uelewewa ni kitu kizurii kabla ya kuhukum

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Sikiliza Ujumbe mkuu....Tunatembeza Kalimah

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Hahahahhahahahh Saaaawq

    • @reggiemass6413
      @reggiemass6413 7 месяцев назад +1

      Punguza ushauri, watu wana mipango yao.
      Unaweza kuta wewe usiyeimba una dhambi nyingi kuliko Saigon, acha kuhukumu si kazi yako.

  • @priscakaiza4951
    @priscakaiza4951 7 месяцев назад +2

    Saaaafi kazi nzuri kijana 🏆

  • @SLTN4503
    @SLTN4503 7 месяцев назад +1

    SNS kanileta hapa.. kazi nzuri big up

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Shukrani saana ndugu yangu

  • @G-meJames
    @G-meJames 7 месяцев назад +1

    Nimeletwa na the Classic ya @kuvifact. Shout out to you Jabir Saleh

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Respect ndugu yangu....Lets us be together ❤

  • @petrokimages8820
    @petrokimages8820 7 месяцев назад

    Kazi nzuri sana ndugu yangu Basaga. You're the best. Nakuona mbali sana.
    Says Chief.

  • @kennedynthiwa5100
    @kennedynthiwa5100 7 месяцев назад +1

    Beautiful song sir. Well done

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Tuendelee Kuwa Pamoja

  • @arnoldmassawe95
    @arnoldmassawe95 7 месяцев назад +1

    Kazi nzuri kaka hongera sana

  • @SallyBaby-cr3qx
    @SallyBaby-cr3qx 8 месяцев назад +1

    Hongera saana kaka yangu

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Shukrani saana ndugu yangu

  • @FortunatusCharles-xh4py
    @FortunatusCharles-xh4py 7 месяцев назад +1

    Hongera mnyalukolo shef mseri baa!

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Hahahahaha Be muyaaaaaa wifiha mbaha huno?

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 7 месяцев назад +3

    Nimekuja baada ya kusikia the classic we miss you Sygon

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      YAAAH MAN TULIKUA PALE

    • @hemedyally1643
      @hemedyally1643 7 месяцев назад

      Kali ni kali

    • @saidsidaz
      @saidsidaz 7 месяцев назад +1

      Km mm vile

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      @@saidsidaz Respect Saaana

  • @ocheydebillionaire2520
    @ocheydebillionaire2520 7 месяцев назад +1

    tunapambana sana bro .......... Mungu akufungulie milango

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Rangeee rangeee rangeeee.....na tuseme Aaaaaaaamin

  • @yassinuddi
    @yassinuddi 7 месяцев назад +1

    Keep pushing, great content

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Asante saaana....usisahau Kusubscribe big bro

  • @anithaastony6482
    @anithaastony6482 7 месяцев назад +1

    Kazi kubwaaa shem

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Shem langu la Dunia......unakwenda kama Annie the Best of the Best 👌 KUUUULA CHUMA HICHO

  • @stanslausmushi9919
    @stanslausmushi9919 7 месяцев назад

    Big up my young bro, you're burning

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 7 месяцев назад

    Much love from Helsinki Finland upako umetufikia🙏

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Respect 😂 Hahah Tehteh Kaaaaaazi kaaaaazi tu

  • @mfalmewaghetto
    @mfalmewaghetto 7 месяцев назад

    Ngoma kali sana mzee wangu..!

  • @cleoperngeve8059
    @cleoperngeve8059 7 месяцев назад +1

    Good job we got u from makambako

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Shukrani saana mzee wangu

  • @dstarofficially725
    @dstarofficially725 8 месяцев назад +3

    nomaaa

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 7 месяцев назад +2

    Nimeisikiliza sababu ya Saigon

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      SHUKRANI SAANA NDUGU YANGU....SIO VIBAYA PIA

  • @mrtallentsgp2623
    @mrtallentsgp2623 7 месяцев назад +1

    Real time hatujakata tamaaa

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      MUNGU mwema kwakweli

  • @GastorVisenti
    @GastorVisenti 7 месяцев назад

    Safi saaana kakq❤❤❤

  • @mfalmewaghetto
    @mfalmewaghetto 7 месяцев назад

    Keep moving bro

  • @MAILAGUN
    @MAILAGUN 7 месяцев назад

    Hongera buddah

  • @tanzaniteofficial1445
    @tanzaniteofficial1445 7 месяцев назад

    Bonge la gomaaaaaaaa

  • @allykessy158
    @allykessy158 7 месяцев назад +1

    Safi blood

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Uhakikaaaaaa Chibe Booooi

  • @chafutz690
    @chafutz690 Месяц назад

    Saf saf

  • @godfreymbumi
    @godfreymbumi 8 месяцев назад +1

    Nomaaa

  • @mroriginaljezitv4193
    @mroriginaljezitv4193 7 месяцев назад

    Keep movin ...

  • @amiryabdallah6283
    @amiryabdallah6283 7 месяцев назад

    Felling snaa

  • @kulwakifanga4620
    @kulwakifanga4620 4 месяца назад +1

    Kabla sijafa

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  4 месяца назад

      @@kulwakifanga4620 nimefurahia kukuona hapa kakaake

  • @iamgoldendee1
    @iamgoldendee1 7 месяцев назад

    Nice work

  • @samisegumba
    @samisegumba 7 месяцев назад

    #AMANI YA MITUME IWE NANYI NYOTE

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 6 месяцев назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥

  • @nusuhelatv
    @nusuhelatv 7 месяцев назад +1

    Jeuri ya kiumbe hai ni uzima tu

  • @keystonetv7357
    @keystonetv7357 7 месяцев назад

    broda

  • @farnworldd
    @farnworldd 6 месяцев назад

    🙌

  • @mariolevels2818
    @mariolevels2818 5 месяцев назад

    🎉🔥🔥

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  5 месяцев назад

      @@mariolevels2818 Respect 🙏

  • @muddylikwena128
    @muddylikwena128 6 месяцев назад

    Saigoni

  • @HappyMunis
    @HappyMunis 7 месяцев назад +1

    🔥

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Dadaangu Mzuri huyooooooooooo.
      Saaafi Nimependa

  • @AbdulyMajaliwa-v4r
    @AbdulyMajaliwa-v4r 7 месяцев назад +1

    Basaga mk hood😂😂

    • @Basagamp4
      @Basagamp4  7 месяцев назад

      Naaaam
      Tuuuuuuupo hapa

  • @anithaastony6482
    @anithaastony6482 7 месяцев назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HidayaSwai
    @HidayaSwai 7 месяцев назад

  • @stevechampion6559
    @stevechampion6559 7 месяцев назад

    Saigon

  • @SaydonMusic
    @SaydonMusic 7 месяцев назад

    Nomaaaaa