Tatizo umeme gesi bei umeme kijijini wanatamani hata usingekuepo tu nyumba kijijini ilipiwe unakuta mzee uezo wakulipia hana kila mwezi buku mbili mia tano akiweka umeme kumbe anaiwa ushuru wa nyuma anaweka mideni mwishoe hataki umeme tena inauma sana
Kupika kijanja kila mtu anapenda tatizo bei ya umeme na gas viko juu mtu mwenye kipato cha chini anashindwa kumudu halafu nyie mnawaonesha watu wenye maisha ya juu ambao wana maokoto, mbona hamuwaoneshi wamama ntilie
Kipindi kizuri ila watu wa Production wanazingua big time kuanzia sauti shots location setup toka kpindi cha mama samia production inabidi mjirekebishe unapata interview na watu wakubwa kama hawa alafu production inakua ivi
😂😂😂😂 wake za waheshimiwa wanapikaga kumbe 😂😂.shkmoo mama
tatizo gas bei sana kijaza nyinyi matajili mnajuwa watu wa chini mbaka leo wengine hawana kutokana na uchumi 😢😢😢
Kabisaa kuna wengine hawana uwezo
Watatusikia kweli,wako bzy kutaka madaraka..
Aliwahi kuwa bosi wetu kutoka chuo cha ustawi wa jamii(Dar es Salaam)❤😊
Hongera mama kwa kula natural
Hongera sana mama mpango
❤
Asante mama,ntaenda kutafuta mawese❤❤❤
Big up sn mama yetu, uko viziri sn mamangu
Mama unapika kikigoma 😂😂😂
Hongera mama Mpango. Ninakukumbuka sana
Mama mkarimu ❤
Hongera sana mama unajuwa kupika
Duh hiyo nyumba sasa kama ikulu...
Tatizo umeme gesi bei umeme kijijini wanatamani hata usingekuepo tu nyumba kijijini ilipiwe unakuta mzee uezo wakulipia hana kila mwezi buku mbili mia tano akiweka umeme kumbe anaiwa ushuru wa nyuma anaweka mideni mwishoe hataki umeme tena inauma sana
Z
Zzzx0
😂😂😂😂😂
Maji yanatoka mengi
Kupika kijanja kila mtu anapenda tatizo bei ya umeme na gas viko juu mtu mwenye kipato cha chini anashindwa kumudu halafu nyie mnawaonesha watu wenye maisha ya juu ambao wana maokoto, mbona hamuwaoneshi wamama ntilie
Uyu Mama inaonesha jikoni bado uwa anapitapita,sio wengine unaona kabisa kaingia jikoni sababu ya kipindi tu
USHAURI KWA BAMIA PASHA MOTO BREND WEKA KWENYE MCHUZI WA SAMAKI KAMA KUNA WAZEE MIAKA 80-90.NA Watoto wanakula vizuri
Mbona nyumba ya spika nzuri kuliko ya makamu wa raisi😂😂
Huyo bibi anapika nywele zote ndani ya msosi
Ni mafunzo mazuri sana kwa Afya bora.
Umeme sikuhizi vitu vinaletwa vyenye umeme mdogo,sema watu wanaishi kwa kikariri, mwingine hata brenda hatumii anakuambia inakula umeme!
😅
Mama hatumii non stik nimependa
Mashaallah chakula chavutia.hongera sana mama.samahani anaejuwa hii mashine ya kusagia mahindi wapi inauzwa nimeipenda sana
Huku Zanzibar zipo no strong
Njaa inaniuma ila ndo ivyo tu na kula vitu ivyo uezo navyo sina
Kipindi kizuri ila watu wa Production wanazingua big time kuanzia sauti shots location setup toka kpindi cha mama samia production inabidi mjirekebishe unapata interview na watu wakubwa kama hawa alafu production inakua ivi
Mimi napenda mchemsho
Mama anawaangalia tu wanavyojipakulia, ila ushauri wangu waache kuongea wangali wanapakua siyo afya, nadhani wanaelewa kwanini
Wapo kwenye kipindi
Mbona mboga mmeweka kwenye bakuli moja?
Hiyoo ni tamaduni yetu Waha mboga na ugali tunakula pamoja
@OdethaMudugu kumbee
Mtangazaji ni bi Mariam au?
😅ndiyo
Mke wa makamu wa rais???
Ndio
Ni majukumu yake