As Christ sat looking upon the party that waited for the bridegroom, He told His disciples the story of the ten virgins, by their experience illustrating the experience of the church that shall live just before His second coming.- Reflecting Christ May God bless you abundantly
Very nice song, nawaombea songeni mbele ninaona IAA Arusha TUCASA mnaenda mbali sana sana sana
Amen Pastor, Uzidi kutuombea pia Ili Bwana aendelee kututumia Kwa kazi yake
Halleluyah... glory to the Almight God. Mbarikiwe TUCASA IAA wimbo mzuri
Hongeren Sana nmeliona madame keep it up❤️❤️❤️
Familia yetu ya wahasibu barikiweni sana.
Amen, Mungu Awabariki pia
Nice song, Mungu akaubariki wimbo huu watu wakapate kuja zizini
Hongeren saana vijana wetu songen mbele....hongeren kwa wimbo mzuri sana
From Iringa-Tanzania Mungu abariki kazi za mikono yenu mzidi kumtukuza yeye aliye juu. ❤❤❤❤
Ameeen wimbo mzuri mno..
Barikiweni sana IAA
Barikiweni Sanaa Vijana Wetu, Wimbo ni Mzuri na Unatuandaa kwaajili ya Kumlaki Mwokozi Ajapo 🙏🙏🙏
Amen, Tujiweke tayari Kwa marejeo yake Bwana
Will be my favorite song🎉
Mbarikiwe San Wana wa MUNGU 💯💯
Barikiwa sana na ujumbe mzuri, 🙏🙏
Kazi nzuru 🎉
Bwana awabariki sana Kwa kutoa mda wenu mkiwa masomoni kwa ajili ya kumtukuza Bwana Hata waacha kamwe
Amen Bwana ni Mwema siku zote
Amazing
Thank you! Cheers!
🎉
Instrumental 💫💫 keep it on guys❤
Amen
Bwanga Ametubariki katika Instrumental
Nyimbo nzuri sanaa mbarikiwe
Amazing 🎉🎉
Nakubali uncle madevu,kjana noah na aloyce
On 🔥 my lovely family. My Boys and Girls never disappoint. Mungu ajitwalie utukufu, tusubiri now Album,, mbarikiwe familia
It's message
Mungu awabaariki sana ❤❤
Amina sanaaaa
Mungu awabarikii Familiaa❤🙌
MUNGU atukuzwe kwa nyimbo nzuri, songeni mbele kwa ujasiri
Amina🙏🙏🙏🙏
Wanawali .......ni 🔥 🔥 🔥
Bwana anajitukuza Brother Enock
Wooh kazi njema
❤️nicee
Barikiweni Sana tucasa iaa family❤
As Christ sat looking upon the party that waited for the bridegroom, He told His disciples the story of the ten virgins, by their experience illustrating the experience of the church that shall live just before His second coming.- Reflecting Christ
May God bless you abundantly
The God's church is proud of you Brother
Amina
Siku moja tunakuwa kundi kubwa Hadi mbiguni wakashangae, barikiweni sana
Amen, Ni Raha iliyoje kufika Mbinguni Kwa Baba🙏
Next time tujitahid kuuvaa wimbo
Good message ❤❤❤
Be blessed our kids
1:07 Ujumbe mzuri sana katika wimbo pendwa. be blessed so much more
Mbarikiwee
Ujumbe mzuri sana katika wimbo pendwa. be blessed so much more
Amen, zidi Kubarikiwa sana
Congratulations, ila mwanga ni mdogo
Thanks You, Tumelipokea🙏
Wimbo ni mzur sana tena sana hongereni sana
Amen Barikiwa sana Madam Nancy
MUNGU awabariki na awainue juu zaidi familia
Barikiwa sana mpendwa katika Kristo Yesu 🙏🙏🙏😇😇😇
Amina
❤❤❤❤
Elinazi my friend sm glad bvoz of u
🔥
❤❤❤
amen
Kazi nzuri tunaomba mtujuze account zenu za mitandao mingine ya kijamii
IG tunaenda kwa @tucasauhasibu
Audiomack. @tucasa iaa
❤
In God we did....😂