MPYA: TRENI YA KIGOMA - 1/14 SIMULIZI ZA KUTISHA BY FELIX MWENDA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 85

  • @themagadir
    @themagadir 3 года назад +6

    Piga kelele moja kwa felix ake weweeee!!

  • @husnashindano1192
    @husnashindano1192 3 года назад +4

    Nime ku miss Mwenda wangu wlcm bake na treni ya Kigoma 💋❤️💋❤️❤️💋❤️💋❤️💋❤️💋❤️💋❤️💋❤️😇❤️😇

  • @nibigiramwajuma7925
    @nibigiramwajuma7925 3 года назад +3

    Asante sana felix masauti na mzee mzima amani hussein kigoye kwa kitu kipya mbarikiwe sana

  • @shebany-r7f
    @shebany-r7f 3 года назад +3

    Imetufikia kaka Felix imeibuka mpya japo nimecheleaa kuja shukrani Sana mungu azidi kukupa Afya nzur na uhai mrefu Bila kusahau Mr Amani KIGOYE PONGEZI kwenu.

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr Год назад +1

    Shukran kaka felix mwenda na amani kigoye mungu akubariki sana

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 3 года назад +7

    Asante felix mwenye saut yake

  • @zainabubahati3976
    @zainabubahati3976 3 года назад +1

    Shukraan saana kaka Felix na Amani

  • @aishaabdallah8558
    @aishaabdallah8558 2 года назад +1

    Asante Sana Felix mwenda kwa simulizi nzuriii

  • @valenshmosess7875
    @valenshmosess7875 3 года назад +1

    Vizuri filex mwenda

  • @dadamwalimu
    @dadamwalimu 3 года назад +2

    hapo ndiyo penyewe sasa🙌naisubiri kwa hamu hii kitu

  • @salmakea7797
    @salmakea7797 3 года назад +3

    Wow thanks sana kwa simulizi mpya

  • @fandeunchei3841
    @fandeunchei3841 3 года назад +1

    tupe mambooooo
    mimi niko zangu burundiii

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 3 года назад +1

    Hii sasa mna taka tulale Felix niote ucku nipige kelele uuuiii mie naogopa za kichawi

  • @JasminRobert-qd8cl
    @JasminRobert-qd8cl 8 месяцев назад +1

    🎉🎉

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 11 месяцев назад

    🙏🙏🙏🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️ from 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @gracelema1007
    @gracelema1007 3 года назад +2

    Literally..addicted to the voice

  • @naliimo622
    @naliimo622 3 года назад +1

    Wow🥰watu na saut zao

  • @ashurapandu4116
    @ashurapandu4116 3 года назад +1

    Moto wa kuotea mbali

  • @berthamghanga1093
    @berthamghanga1093 3 года назад +1

    Bundara hadi huruma,maisha haya ni changamoto

  • @aminaathumani6832
    @aminaathumani6832 3 года назад +1

    💃💃💃💃Karibuu kigomaaa kwetuuu

  • @sashaqueentz2917
    @sashaqueentz2917 3 года назад +1

    Miss you felix binti abeid anakusalimia

  • @sukainamusa1399
    @sukainamusa1399 3 года назад

    Asante kaka Felix simlizi ni Kali sukaina Musa uganda

  • @misstee102
    @misstee102 3 года назад +3

    Felix Mwenda uyoooo 🥰Love ur voice 🥰

    • @rashmamaulid1189
      @rashmamaulid1189 3 года назад

      Felix mwenda unajuaa sana Ila kunawatangazi wenu wengine wakihadithia unalalaa kabisa hamna hataa rahaa we unajuaa ww sanaa hongeraa kamuaa baba

    • @Chaudere
      @Chaudere 3 года назад

      @@rashmamaulid1189 jl
      lj
      I j
      Kj

    • @Chaudere
      @Chaudere 3 года назад

      @@rashmamaulid1189
      Hh
      Hl
      Lj7hl7

  • @zainabubahati5661
    @zainabubahati5661 3 года назад +1

    Asante saana Kaka Felix

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 года назад +2

    Huyo mama siangeamuashaa mume jamani naalivyo na majibu yakusimama 😢😢😢😢😢😢

  • @saravaingana9356
    @saravaingana9356 2 года назад

    Bwana Mwenda bado hamjaanza ule utaratibu wa malipo ya kulipa kwa. mwezi

  • @alisaid5378
    @alisaid5378 3 года назад +1

    Shkrn kitu kipya ndn ya tren yakigoma

  • @mwanahawayunus3653
    @mwanahawayunus3653 3 года назад +2

    Mashallah

  • @jescaclement3938
    @jescaclement3938 2 года назад

    Nzuri sana

  • @selinamilanzi4451
    @selinamilanzi4451 3 года назад

    Felix mwenye sauti ya aina yke, good

  • @catherinemuhagama7338
    @catherinemuhagama7338 3 года назад +2

    Tuko pamoja🤝❤❤

  • @chance0709
    @chance0709 3 года назад +1

    simulizi kali. njo naanja sasa

  • @Mwami_
    @Mwami_ 3 года назад

    Kuna felix na dr owen😍😍🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @Amanaoman
    @Amanaoman 3 года назад +1

    Duh ni 🔥🔥

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 3 года назад +1

    Pamoja Sana

  • @joycepeter7714
    @joycepeter7714 3 года назад +1

    We noma,

    • @valenshmosess7875
      @valenshmosess7875 3 года назад

      kumbe nawewe unasikilizaga simulizi za filex mwenda very good

  • @vero756
    @vero756 3 года назад +1

    Asanteni sana kwa kazi nzuri

  • @امينهالبلوشي-ع2ت
    @امينهالبلوشي-ع2ت 3 года назад +2

    Nice

  • @NasraTwair
    @NasraTwair Год назад

    Tatizo sauti sijaipenda

  • @naomiwilson8932
    @naomiwilson8932 3 года назад +1

    Woooh

  • @ندوش-و2ك
    @ندوش-و2ك 3 года назад +1

    Asante sana simulizi mix

  • @bbrsssaad1282
    @bbrsssaad1282 3 года назад +1

    Asante sana

  • @fatmarajab4209
    @fatmarajab4209 3 года назад

    Voice🌹🌹🌹🔐 story tamu kweli

  • @surekabasa9879
    @surekabasa9879 3 года назад +2

    MIMI NASEMA HIVIIIIII kaka KIGOTYME DAIMA HUA HAKOSEI YANIIIII

  • @usertecno4422
    @usertecno4422 3 года назад

    Wow amazing story

  • @rukianguzungwa1601
    @rukianguzungwa1601 2 года назад

    Nzuri Sana Felix mwenda ❤️❤️

  • @haraisarajabu2311
    @haraisarajabu2311 3 года назад

    Me kiukwel namtafutaga Felix tu jaman humu smx

  • @irenecherotich4975
    @irenecherotich4975 3 года назад

    Kaka una sauti tamu sana

  • @bahatimtuluma3798
    @bahatimtuluma3798 3 года назад

    Tumia vizur kiswahili ri na li unachanganya

  • @slellahpaul2399
    @slellahpaul2399 3 года назад +1

    Wahooó asante

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 8 месяцев назад

    2024 ❤❤❤

  • @kulwangika
    @kulwangika 3 года назад +2

    Ivi hizi simuli zinazo simuliwa niza kweli?

  • @leilafsadickfsadick5471
    @leilafsadickfsadick5471 3 года назад +2

    Hii tujiandaee kushtuka usiku 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 года назад +1

    Hao wafungwaa ninamashaka nao wanaitajika Mia kwani kuna biasharaa nao ama ndowanaenda kutolewa kafara mana hakuna ratiba Kaflaa 😢😢hilo container nishalishukuu

  • @josephynerassey4816
    @josephynerassey4816 3 года назад +1

    Kitu new jamanee daah 😜😜

  • @DiDaAly
    @DiDaAly Год назад

    Wanawake wengine wapeana wenyee waume zao

  • @AliBadi-p4i
    @AliBadi-p4i Год назад

    🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @priscamlyuka5531
    @priscamlyuka5531 3 года назад +1

    Duuuh

  • @maryamanalisi197
    @maryamanalisi197 3 года назад +4

    Nasubri mtiti wa kalomo chapambe tu hapa🤔

  • @aminasuleiman3825
    @aminasuleiman3825 3 года назад +2

    hapa hamna kuzima taa usiku 😆😆😆

    • @naliimo622
      @naliimo622 3 года назад +1

      Yan we acha t🤣🤣🤣🙌

  • @hasamsaid4083
    @hasamsaid4083 3 года назад +1

    🔥🔥✌

  • @clementngatunga5314
    @clementngatunga5314 3 года назад

    Habali brother mm naitaji kua kama ww na ninaitaji saana kua kama jeee naweza kujiunga na ww labda naweza kulecod sauti yangu nikiwa nasimulia labda waweza nipa ushauli nn niongezee na nn nipinguze please brooo naomba nipate namba yako ya wasap Ili niweze kukutumia maana kwa ss sp Tanzania ila naitaji nikiludi niweze kua pamoja na ww walau kwa ushauli broo

  • @atuganilemwakasangam2018
    @atuganilemwakasangam2018 3 года назад +1

    😁😁😁

  • @ناديهترتوب
    @ناديهترتوب 3 года назад +2

    Treni yetu haina mauza uza☹

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 3 года назад

    Sasa hii story inaenda je 😏😏😏

  • @Iragibarune1.
    @Iragibarune1. 3 года назад +1

    Asant sana nilikua nachambua kwenye acount yako nifurai kuikuta sauti yako ila samahani kwa kuhandiki ihivi. Mnafanya vizuri nyote
    Ila sauti ya yako Felix imeniba mba

  • @NasraTwair
    @NasraTwair Год назад

    Tatizo sauti sijaipenda

  • @NasraTwair
    @NasraTwair Год назад

    Tatizo sauti sijaipenda

  • @NasraTwair
    @NasraTwair Год назад

    Tatizo sauti sijaipenda

  • @NasraTwair
    @NasraTwair Год назад

    Tatizo sauti sijaipenda

  • @NasraTwair
    @NasraTwair Год назад

    Tatizo sauti sijaipenda