My dearest Rose I love your songs and I am so much blessed. Please Rose arrange to have your own band where you will sing live you will bless the world.
Rose Muhando history will judge you well. You are truly blessed. You have never disappointed us. Always a blessing to us and many generations to come. Mungu akuweke to uplift His name. With Love from Kenya.
Dont 😊Touch my Annointed wow wow pure gift of God at work in all generations...mom Rose youre untouchable choosen and Annointed..hauzuliki imba kabisaa and kenya we love you.
I think this was the only gospel singer choosen by God wale wengine n drama na movie alfu mashauzi rose keep that spirit now I trust Kuna mungu♥️♥️♥️♥️♥️
Akuna ubishi.... Mama rose muhando ni malkia wa nyimbo za injili.... If you believe so Gonga like... More love from "kinya" 💖💖💖
raundi hii rose ametisha ....anachezwa kila mahali hata kwa club enyewe mungu ameeka signature
Kumfananisha Yesu na wengine ni wazimu...kweli kabisa Rose Mungu hafananishwi na yeyote yeye ni Alfa na Omega.Hakuna aliye kama yeye Jehovah
Mungu ameniweka signiture
Uhai wangu umewekwa signiture
Yesu aliandika signiture
The only legend in gospel who has managed to compete with all generations and still outshines them
Malkia rose muhando uishi milele uedelee kusifu mungu
Tumewekwa signature! Yesu ametuweka chapa ya damu! Malkia unaupiga mwingiiiiu....malkia katika ubora wake!!!!
Numba one tazania i love you rosa 💃💃💃💃🕺🕺🕺🕺
Nina imani hata mimi mungu anaenda kuniwekea signature 2023
Napenda yimbo zako Mungu Awabariki sana kwa wimbo mzuri sana Amen Rose 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
💃💃💃💃 waaaah 🔥🔥🔥 tosonge mbele na Injili bila wasiwasi na uoga maana tulishawekewa signature 👏💃💃no worries with Jesus
Weka signature,love from Burundi 🇧🇮, Barikiwa sana dada yetu
Yesu aliandika signature .Amen.love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Noma sana....fire 🔥🔥 baada ya firr🚒🚒🚒🚒. Wapi likes za huyu mtumishi wa mungu...!!
Amen hakuna mwenye atatoa signature yenye yesu ashanieka 🙏🙏 love you from 🇰🇪🇰🇪
Kenyans gather here to support our sister
Yesu alishaweka sahihi. Amen. Hakuna wakufuta signature...niko salaaaaaaaaaaama
Ingine Moto Moto imeachiliwa! Shetani wanaisoma signature Yesu ameiweka kwangu.
Ur Messi of Gospel....u have already conquered them....
wooooow congratulations 👏 from Kenya yesuuuuuu weka signature 2023 itakapoanza
Mamaa eeeei signature.hakuna WA kufuta.
What a good way of celebrating this Christmas
😍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wale wakenya tunaompenda rose mhando nione malikes hapa......
Much love Rose you are just a wonderful singer
Huyu ndie Mungu eti saa ako America kweli Mungu ameweka signature wow ✅
Yesu peke yake ndie waku weka signature akuna mwengine ❤️❤️❤️
A dot dot do do do doo. Aki wewe🤭😋😋Nyimbo tamu
Always blessed, kumsikiliza huyu mama, ni msanii wangu pendwa wa gospel muda wote.
Achana na kina Diamond platnumz huyu mama Ni legend 😂😂🖐️
Huyu mummie atasimamisha hii Dunia siku moja ...lots of love
Surrendered to you God,
wa Rose,, mikono juu!!!
Another trending song #signature
Rose is killing us, hit after hit.. Kenya music expose foundation has already signed after God and jesus
So talented woman..nimeweka tick ✅ kila kitu 🙏🏾
Signature 🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶ati Nini signature 🎶🎶🎶🎶🎶🔥🔥🔥🔥🔥🔥moto kama pasi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥰,noma sana 🔥🔥🔥🔥🎶🎶🎶🎶🎶🎶ati Nini signature 🎶👍
This woman is talented and blessed...anabariki wengi sna✨❤👑🥇
Sure...
Huyu mama ni madhabahu inayotembea. Amen Rose!!!!
Pongezi kwa wimbo mzuri. Rose rudia basi kuimba ule wimbo wa Moyo wangu. Hakika tumeumic sanaaa
Jamani hapa tungi baada ya tungi tumsifu mwenyezi Mungu ❤️🎵 let's go mama Rose 🌹 only hits 🎯.
I love the song ,,,,Mungu ameweka signature kwa maisha yangu
ANOTHER BANGER MAMA WE HUANDIKA AJE IZI NGOMA ZAKO UNIFUNZE
ONE LUV FROM KENYA😍😍😍😍😍😍😍😍😍
The same quiz here
Am waiting this one ❤let’s all add this signature. God has already signed my goals in Jesus Name 🙏🏻
Wow indeed He is faithful God
We love you , nice song
Yesu ameweka signature.👌👌👌👌❤️❤️ Do saa nyingine sielewe mie
Among the first to listen to this banger of a song. Be blessed and Merry Christmas.
This woman is an angel and a blessing to us,all her hits heats our head we love you Rose muhando from kenya
We love you mama African. May God bless you for the hard work always 🙏 ❤️
Waoooh! Rose unanibamba sana napenda sana nyimbo zako mungu akubariki sana mummy
Signature ya neema na mapendo agape ya Mungu🙏🏾😊✔️
Signature.. Maisha yangu yamewekwa signature🔥🔥
The beat goes direct to my bone marrow 💃💃💃maisha yangu yamewekwa SIGNATURE💯❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Mum, your annointing has moved to a climax level, salute from 🇰🇪
Amen maisha yangu yamewekwa signature Yesu ameweka signature maisha yangu signature amen
Niko salama kwa sababu mungu aliweka signature....Barikiwa mama nakupenda sana
Maisha yangu yamewekwa signature 🥰❤️🙌
Jesus put his signature on my life ,my son and husband's life. I thank you Lord!!! Asante Rose Muhando. Mungu azidi kukubariki!!!!
Love your signature songs it's encouraging 💗,let's welcome 2023 by the power of signature if God, all the best be part of our life
Nipeeni likes za rose muhando🔥🔥🔥this song is on another level🥰🥰🥰
Maisha yangu pia yesu ameweka signature......be blessed rose
ew'oooo.....mama you are blessed.....keep firing and moving higher.....shalom,wapi likes zake mama wa Gospel
This song give me courage kwa ukweli Mungu aliweka my goal and dreams sighnature in Jesus Christ name
Heavy song, wow naweka 2023 signature ya restoration. Kabisa Rose we love you sisi kama Wakenya
Rose muhando from 🇰🇪🇰🇪kenya and 🇹🇿🇹🇿tanzania
Listening from Switzerland.
My dearest Rose I love your songs and I am so much blessed. Please Rose arrange to have your own band where you will sing live you will bless the world.
yesu aisha weka signature kwangu hallelujah. God bless more and more the child of God 🥰🥰💥💥.
Hapo Sawa ...si Kama Ile ingine...eti secret agenda...this is the best
Malkia kama Malkia kwenye ubora wa viwango vya juu. Hongera na ubarikiwe baraka za Yakobo. Huu wimbo ni fireeeeeee. signature fireee
Rose Muhando history will judge you well. You are truly blessed. You have never disappointed us. Always a blessing to us and many generations to come. Mungu akuweke to uplift His name. With Love from Kenya.
Rose muhando the queen of Gospel 🥰
Yesu aliweka signature hakuna wa kufuta signature,Amen barikiwa Sana dada Rose mhando Mungu aendelee kukuweka viwango vya juu zaidi 🙏
Another kenyan signature here approving how the song is so great. Much love Rossy. God bless.
ah weeh signature🔥 haleluyahh signature from Jesus
Wa kwaza hapa Nipe like zagu ❤🎉🎉🎉🎉 we love you rose
I love you so much you inspire me always to salvation. My greatest desire is to meet you and worship God together
@@carolynekangogo64 amen
🔥🔥
Pitia kwangu
Ikosawa
Dont 😊Touch my Annointed wow wow pure gift of God at work in all generations...mom Rose youre untouchable choosen and Annointed..hauzuliki imba kabisaa and kenya we love you.
My Name sake ur Blessed ❤️🥰..Mungu akubariki naaniinue Kaa wewe mum ...Rose we're Blessed nmeweka signature
Signature, Yesu alishaweka signature, hakuna wa kufuta
I'm so much blessed keep going mama rose muhando 👏🏿🙏🏿👏🏿🙏🏿
Was praying God to go before my 2023 and change my name and put his signature then I found this🙏🙏thank you lord
Pongezi Sana mama Kwa bindii zako MUNGU jamani hazidi kukupa nguvu👍👍👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏
Twende signature ishawekwa💃💃💃🕺🕺🕺
First here let's bring likes, subscribers zangu hapa kwa roses muhando
Yesu ameweka signature. This song will one day be my testimony. I do believe
Nipo mjini nairobi Kenya nikisubiri video ya huu wimbo maana ni mtamu sana🎉❤
Noma sana,,,Huu wimbo unanifanya nimkummbuke jimmy gait,,,weka signature ,,,sign kabisa Mzee
hakika umerudi kwa nguvu zote mtumishi wa Mungu love u mich
2025 Nani hata vuta signature ya yesu kwangu no one
Mungu akubariki na aku inuwe tena zaidi, acha adui zako washuudiye kuinuliwa kwako!
I think this was the only gospel singer choosen by God wale wengine n drama na movie alfu mashauzi rose keep that spirit now I trust Kuna mungu♥️♥️♥️♥️♥️
haupoi yan tangia wimbo wa yesu we nakupenda jadi leo singnature
nani anamkubali Rose Muhando kama Mimi nkiwa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪, ebu nipeni like zangu
Watching from 🇰🇪 ❤
Mama weweeeeee
First viewer wap likes za mama wa mungu
Hallelujaaaaaaaaaaaaaaah 🙌🙌🙌🙏🙏 Nimesha weka signature yangu
Actually God ameeka signature.Amen amen amen amen
Yesu ameweka signature maishani mwangu
YESU Amesha weka Singnature Sina hofu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥Kwa damu Yake
This lady is the queen of Gospel music,love you Muhando, live to conquer territories.
signature moto kama pasi Rose muhando u made it again ,,,,,,, God bless you
Safi Sana mama mi nakupenda.Nimeipenda hi chorus inasema to to tototo signature 🤣🤣🤣🤣 Asante Mama.
This lady is blessed ...majirani Wanalalamika the volume is too high my morning glory