KIPOZEO AJIBU WALE WANAO INGILIA WAKE ZAWO KINYUME NA MAUMBILE / BAADA YA SHUTMA KWA MASHEIKH
HTML-код
- Опубликовано: 9 фев 2025
- Kipozeo afafanua zaidi kwa niaba ya masheikh kusemekana kuwa nawo miongoni mwawo wako wale eeehhhh wapenda bata.....sheik asema ni HARAM NA NI LAAAANA
SubhanaAllaah yaani mtihani sanaa kuona sheikh anahojiwa na mwana dada mwenye hana sitara hata
Allaah azidi kuwaongoza
Naweza kusema, kulingana na maswali naona ni sawa, sbb hizi media huwa zinafatwa na wenye mambo hayo yakuingiliwa kinyume na maumbile, kinyume ujumbe umefika na sioni kosa la Sheikh
Subhanallah sheikh huyo dada angejistiri mwanzo mbona dini yetu tumeitupa kiasi hiko jameni wapi twaelekea sisi
Shek mama anava mavazi yakushawishi angeva ushungi 100%
Sheitwaan rajeem
Wataumbuka mmoja mmoja na Allah atadhihirisha uhakika wao ili muwajue ni akina nani wao. Ikiwa hawa ndo MASHEKHE jamii yategemea basi jamii hio haina walim ina waigizaji...kipozeo kaoza huyu msanii tu kama.hao wmzake wanaomhoji
SHEIKH ,NIKUSHAURI SANA JITAIDI ILI MTANGAZAJI WA KIKE AWEZE KUFANYA MAHOJIANO NA WW AWE KAJISTIRI, NAJUA UNAFAHAM KUA NYWELE WAZI KWA MWANAMKE WA KIISLAM NI UCHI, NA WW NI KIYOO CHETU SHEIKH WETU.
Isitoshe wamekaa karibu sana utasema bwana na bb 😜
Mtangazaji jistiri.
Sheikh wetu mpe mawaidha binti huyu.
Huyo dada mwenye hana adabu, stara nimuhim sana
Miss Bantu ndio mpango mzima
Mtangazaji ilikuwa unamtia mtihani sheikh!!
Dada hebu jihifadhi kidogo we dada japo kwa heshima ya dini.
Kwanza shekh mfunde uyo aliyeuliza
Subhana Llah Sheikh wangu Kipozeo kidogo ungelimpa huyo mtangazaji muhadhara mdogo ingekuwa vizuri sababu kakaa uchi huyo au tugeuze msemo tuseme yuko kazini anaruhusiwa kukaa hivyo?
Hizo picha shehe tayari niuchi na huyo bibi ungeanza nae kumpa ushauri wakujihifathi ingekua bora sana lakini hio sio sawa
Kuweni waadilifu mashekhe
Usilolijua sawa na usiku wa giza Kipozeo mmmmmmh shekhe wa mjini.
Wataumbuka mmoja mmoja na Allah atadhihirisha uhakika wao ili muwajue ni akina nani wao. Ikiwa hawa ndo MASHEKHE jamii yategemea basi jamii hio haina walim ina waigizaji...kipozeo kaoza huyu msanii tu kama.hao wmzake wanaomhoji
Subhanallah huo ni uislamu kweli,
Subhanallah huyu utandawazi wa mwanamke wakiislam kumuhoji sheikh bila kujistiri dunia inatupeleka pabaya tunajisahau saana. 🙁🙁
Yani ndo mumeona tu na kujifunza heee apana bona mtandio siku izi ni fashion tu ppfff mumuace avae anavyo taka my boss baby girl nakupenda bure well done 😎
Ni ayibu Hadi kwa iyi Sakata TV munamushushiya heshima sheikh wetu kwa kumtumia mtangazaji Asie jielewa
Kosa anaongea na mtu Yuko kichwa wazi
Shehe anaekuhoji yupo uchi
Yan mimi hapa umenitoa akili yan hapa navyo kutamani doh
Hili ni swaalaa tuu nimeliulizaa kumuiyngiliya mwanamke Nyumaa ni Haaraam naakumnuusa 2 yaakee Anaposhutaa machunzi nikimnuusaa 2 yaakee huwaa inaafaa auu haifai kumnuusaa mwanamke yoyote tuupuu yaakee yaa nyumaa ni Haaraam kumuiyngiliya ni mbayaa kbsaa naa kumnuusaa 2 ni Haaraam auu haalaali ni swaalaa hili Naaliulizaa tuuu hili swaalaa
Mwanamke anakabilian na shekh hata stara han
Ndugu yangu shekh mwenyewe inaonekana mashaka.
Dada huna stara kisha anakwenda kumuhoji shekh au dada kwa vile shekh kipozeo anapenda wanawake wa mizigo na yy anamzigo
Wataumbuka mmoja mmoja na Allah atadhihirisha uhakika wao ili muwajue ni akina nani wao. Ikiwa hawa ndo MASHEKHE jamii yategemea basi jamii hio haina walim ina waigizaji...kipozeo kaoza huyu msanii tu kama.hao wmzake wanaomhoji
Dada kope hizo Zina tutingisha
Mtangazaji umejitahidi, umependeza
Mtoto wa kiislam unamhoji sheikh bila kujistiri 🤦🏿♀️
Ni mtihani kweli manyewele hiyo ni kutojipenda wanawake wa kiafrika tumejaaliwa nywele nzuri lakini kuna wanaovaa mawigi akivuwa tu ananuka kichwa
Mikorogo sasa
shekhe mupe mawaidha huyo dada juu ya mwanamke kuwa na stara ya kuhojiana ww ni shekhe watu wanapenda kukusikiliza kwa mawaidha
sheikh unakaaje na dada ambaye hajajistri hivyo ... laana za Allah zitawashukia jamani
Nahao wazungu nao ni mashia
Mashekh.muwe na mahali muhimu kwa kuhojiwa sasa unahojiwa na mtu kichwa wazi kifua kipo wazi
Wataumbuka mmoja mmoja na Allah atadhihirisha uhakika wao ili muwajue ni akina nani wao. Ikiwa hawa ndo MASHEKHE jamii yategemea basi jamii hio haina walim ina waigizaji...kipozeo kaoza huyu msanii tu kama.hao wmzake wanaomhoji
Assalam alaykum, Shehe unajipotezea heshima kwanini ukubali kuhojiwa na mwanamke ambae hajajistir, kwanini usikatae kuhojiwa na hujamwambia akajistiri. Haipendezi
HISHIMA YA WATU NDO YALAZIMA AO ALLAH AKIKUPA HISHMANDO MUHIM KUJIOMYESHA INAITWA RIA MAMA YANGU ila mwakaribishwa kwa Maoni yenu twayapenda ila kuayibishana sio uwungwana kama Mtu anakoseya kuna usulubu mzuri sio kashfaa MWEYE HANA ILI ANA LILE
Ikiwa huo usulubu mzuri waujua vipi umeshindwa kumfikishia mpk unaandaa kipindi na kukirusha hewani wamuona..
Ittaq llah! Wewe mja
huyu sheh ajiunge2 n mkojani kweny comedy
Penda wewe bure bosslady msikie wanaco ongeya apana nini kafanya or kava well done
huyo anae kuliza ni mwislaamu mwanzo mpaka akuulize maswali ya kislaamu na kama huyo dada ni mwislam mboni hafungi kichwa kama mwislamu wee mwanamke plz acha unafiq usiite mashekh wetu na wewe uko uchi ni haramu
nivizuri Ajistiri
Shk kipozeo hata masunni wanaruhusu kuingiliana kinyume soma muwatwaa ya imam Maliki .sasa msiwape shutma wengine wakati vitabu vyenu imo hio halafu ushia haukubali Hilo .tafautisha Kati ya Shia na ushia .kama ushia unaruhus nikitu kingine kama ni mashia basi ni ushetani lakini sio ushia
Hicho kitendo unachozungumzia ni haram je huko kukaa ma mwamamke ako uchi tena bila stara kwa ukaribu huo afu mwazungumza ya kukosa adab
Kipozeo huna adab kma hayo mahojiano yako tu
Musiangalie huyotu huo ujumbe unawafikia wengi
Kunawatu wengine hawasikilizi Tv zenye maadili ya Kiisilamu
Ni kweli huyo dada kafanya makosa ila SHEKH kwa kujibu Swali zito kama la Hilo ni jambo kubwa na limewafikia WATU wengi
Wataumbuka mmoja mmoja na Allah atadhihirisha uhakika wao ili muwajue ni akina nani wao. Ikiwa hawa ndo MASHEKHE jamii yategemea basi jamii hio haina walim ina waigizaji...kipozeo kaoza huyu msanii tu kama.hao wmzake wanaomhoji
Hyo mtangazaji mwenyewe anaoji vitu ambavyo yye mwenyewe anaonyesha ndo michezo yke kakosa haibu hata kujistil hawez
Huyu Dada hana usilamu ana ukristo
Jamani huyu Dada hajajistiri hana aibu
Na wewe uliyo uliza utubiye si salama pekee kwanza hivo ulivo vaa tayari na weweumo
Siku hizi naona wanawake wengine wa kiislam wanavaa hijab kama fashion
Uyo kipozeo atakubalije kuhojiwa na wanawake wasio uhishimu uislam.
@@userAysha ovyo kwa sheikh kuhojiwa namashangingi
@@jumayahya2661 siku hizi baadi ya ma sheikh njaaa sana wako tayari kufanya lolote ingelikuwa zaman kipozeo asingekubali mahojiano
QORAN 2:223
Inasema waingilieni wake zenu mpendavyo
Hujajua maana yake. Qur'an inajijibu hakuna swali wala jambo linakosa jibu katika qur'an kama akili yako iko sawa. Ianze mwanzo na uimalizie. Imesema wake zenu ni kama makonde. Kama unajua kiswahili makonde ni mashamba. Maana ya mashamba ni mahali unapoweza kupanda kitu kikaota. Je ukimuingilia kwa nyuma ukamwaga utaotesha. Inahitaji mwenye akili yenye uelewa kuijua tafsiri ya qur'an ndugu yangu. Umma wa Luttu usingeangamizwa. Uliza uelimishwe kaka.
Mtakavyo inamaana pana sana ndugu yangu. Sio hiyo uliyoimaanisha wewe qur'an na hadithi ndivyo vinaenda sambasamba kuitafsiri qur'an fuata wenye elimu wakushibishe ndugu.
QUR-AN 2:223 inasema...Wake zenu ni km konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpemdanyo......inaendelea.
Benjamin Lijongwa, unajua nn maana ya konde au unajua nn kinachopatikana kwenye konde??? Tupu yambele ndio konde mana Allah akitaka hutoa kizazi/watto mafanikio. Na ndio aliokuamrisha uingie utakavyo Lkn tupu ya nyuma haina sifa ya kuitwa konde maana haitoi tija wtto.
❌❌❌ hiyo ni tafsiri yako bwana mdgo
Yani wewe shehe unakubali kufanya na mtu kipind wakat yupo ivoo
Siku hizi ana njaa chochot anafanya
Wataumbuka mmoja mmoja na Allah atadhihirisha uhakika wao ili muwajue ni akina nani wao. Ikiwa hawa ndo MASHEKHE jamii yategemea basi jamii hio haina walim ina waigizaji...kipozeo kaoza huyu msanii tu kama.hao wmzake wanaomhoji