I was detained at the Tanzanian Airport | Dar es Salaam to Serena Hotel

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии •

  • @magazijuto7991
    @magazijuto7991 3 месяца назад +17

    Yaan unabehave kama wale slay queens wanaoigiza maisha...You see the road is under expansion (Installing the BRT system which will help you in the future to use a BRT bus from Airport to the City centre instead of tax or uber by just paying 33ksh) na bado unalalamika kuna vumbi...sasa unataka construction iweje...au kwenu hamjengi barabara? Kwanza hii video umechukua maybe last year maana sasa hio Nyerere road construction imefika mbali wako kwenye finishing...Hila huna pigo za kiume...una ukike kidogo sijui ndo ushamba....Kuwa detained ni normal kama wanataka kuconferm something...sio kitu cha kuandikia title RUclips about a country... wanaume huwa na tunamute hiz challenges...kutangaza achia wamama

    • @utopolo543
      @utopolo543 3 месяца назад +5

      yaani umeongea ukweli kabisa...Jamaa ni mshamba sana. he has to change...and I know well my Tanzanian people...they will discipline him...at analalamika vumbi la construction wakati kwao hata BRT phase moja ya thika road iliwashinda...waliishiwa pesa....Hajui BRT system barabara inakuwa reconstructed kabisa from everything...au anajua tunapaka rangi barabara kama walivyofanya thika road

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 3 месяца назад +2

      Ni muhalifu na asiye heshimu Askari wa uhamiaji wamemfunza adabu kidogo, usicheze na jeshi la Tanzania utaenda kunyea ndoo

    • @alfredodipo3513
      @alfredodipo3513  3 месяца назад

      @@magazijuto7991 umejuaje mm ni slayqueen. Ww ni kijana mwerevu sana 😅😅😅

    • @alfredodipo3513
      @alfredodipo3513  3 месяца назад

      @@utopolo543 ushambaaaa 😂😂

    • @alfredodipo3513
      @alfredodipo3513  3 месяца назад

      @@darajalakidatukilomgi2362 😅😅

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 29 дней назад +2

    We fala kweli. Dare salaam capital city of Tanzania

  • @danielkullwa1613
    @danielkullwa1613 3 месяца назад +4

    Pole bro..nice content..you visited dar while most of the roads are undergoing massive expansion/ construction, BRT phase 3 etc & you didn't tell us why u were detained at the airport..

    • @alfredodipo3513
      @alfredodipo3513  3 месяца назад

      @@danielkullwa1613 thanks bro, I did explain why… maybe check it out again. But generally Tz is a beautiful country

    • @DanielKullwa
      @DanielKullwa 3 месяца назад

      Ooh okay ...

  • @steveStc.
    @steveStc. 3 месяца назад +5

    Wewe you need to redo this video ,that's just a small part of Dar CBD infact Kuja uchukue fare uende ufanye hiyo video vizuri puga! Anyway good stuff 👍😅😅

  • @Sean1877
    @Sean1877 3 месяца назад +6

    Dar is the biggest city in East Africa

    • @alfredodipo3513
      @alfredodipo3513  3 месяца назад

      @@Sean1877 oh really?

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 3 месяца назад +2

      @alfredodipo3513 Geographically Dar is two times and more bigger than nairobi Dar is 1530km2 NBO is 696km2 however Nairobi is more popular and hosting multinational companies, u have just seen 0.005% percent of Dar es salaam..

    • @esem135
      @esem135 3 месяца назад +1

      @@FreeGod368 That is old Nairobi. Nairobi is now a metropolis and is larger than Dar!! Even by population.

    • @esem135
      @esem135 3 месяца назад +1

      @@alfredodipo3513 Let these Tanzanians be. They have no idea Nairobi boundaries changed from colonial boundaries. Nairobi is larger since it is a metropolis.

    • @alfredodipo3513
      @alfredodipo3513  3 месяца назад

      @@FreeGod368 you mean its twice the size of Nairobi?

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 3 месяца назад +2

    That road is not being expanded its phase 4 of BRT road underway

  • @tumainimayala8187
    @tumainimayala8187 3 месяца назад +2

    Hiyo detention nzuri 😂😂Hapo ungeopa na cold drink na sambusa😂😂😂

  • @martinotiende6108
    @martinotiende6108 3 месяца назад +1

    Alpha my guy..long time

  • @florenceakinyi2793
    @florenceakinyi2793 2 месяца назад +1

    I am glad you weren't mishandled. Tanzanians are a little cool compared to.........

    • @alfredodipo3513
      @alfredodipo3513  2 месяца назад

      @@florenceakinyi2793 yes sure, I know 😄

  • @chepkiruilangat9725
    @chepkiruilangat9725 3 месяца назад

    Waw 1:39

  • @Selemanian
    @Selemanian 3 месяца назад +3

    They detain you and gave you the phone. It only happens in Tanzania

    • @alfredodipo3513
      @alfredodipo3513  3 месяца назад +2

      Yes at the Airport they dont take your belongings unless you are a criminal

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat 3 месяца назад +1

    Mm ni Mtanzania, sasa nimerudi Tanzania nimekaa kenya miaka 2 na walikuwa wanataka wanakunifunga

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 3 месяца назад +1

    ubber differ from TAX ...note tax must return to the airport.....ubber can get another customer from there where u end

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 3 месяца назад +1

    JULIUS KAMBARAGE NYERERE is a big name❤❤

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 3 месяца назад +5

    Ila nawe tax za airport unalinganisha na uber real? Even here in canada if you take tax the same distante it double to uber.that is not true foreign country? kenya? We dont count as foreigh country we say majirani... you need to redo this video so you can think straight Tanzanian we treat our kenyan brothers and sisters if you dont obey the rule they will detain you

    • @alfredodipo3513
      @alfredodipo3513  3 месяца назад

      @@tanzcanmediatv4473 haha 😂😂 maisha tamu kweli

  • @ernestsinje9700
    @ernestsinje9700 3 месяца назад +1

    Tanzania and Kenya is just the same

  • @nassoroc
    @nassoroc 3 месяца назад +1

    Lemme enjoy the "feud" between Watoto wa Mjomba na Shangazi in this video though I miss the Cousins' card that Wabongo hatujui kuongea Kiingereza🤣😂! Where are you Cousins'- don't tell me you're already grown up and there4, you don't give a damn about colonial language no more 😃😀! Anyway, next month naenda kuchukua cousin wa Kimombasa- nyie wa Nairobi subirini kwanza manake mie dini yangu yaniruhusu 4, and I bet kule Mombasa watanielewa😂!!

  • @ColletaOgola
    @ColletaOgola 3 месяца назад +1

    Why

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 3 месяца назад +1

    You get detairn still the host you by giving phone Tanzania are polite i swear

    • @esem135
      @esem135 3 месяца назад +1

      Giving a phone is not a sign of politeness!! It is a right for someone who has not been detained officially!! Tanzania police are worse than Kenya police!!

    • @alfredodipo3513
      @alfredodipo3513  3 месяца назад

      @@esem135 for a moment I thought so. That police was rude

    • @alfredodipo3513
      @alfredodipo3513  3 месяца назад

      @@tanzcanmediatv4473 when you are detained nothing is taken from you unless its been confirmed that you are a criminal

    • @magazijuto7991
      @magazijuto7991 3 месяца назад

      @@esem135 sijui Tanzanian ilikufanya nini wew mwanamke? labda ulibakwa ukatiwa mimba na ukaachwa...maana nakuona kutwa mitandaoni kuisema vibaya Tanzania...au unalipwa na gachagua? at Tanzania police...yaan ufanye ujinga kwenye nchi za watu uachwe tu eti police wakuwe polite? Do you think peace ya Tanzania inakuwa kept kiaje...let them do their work...na huyu ndezi wako dipo...nilifikiri labda amekuwa detained 2 days labda...sasa masaa tu ndo kitu cha kuandikia title youtube...anyway labda ni gay tutajuaje maana ana pigo za kike...wanaume tunamute hizo challenges ni za kawaida...Hata Tanzanians tunakumbana na mengi huko kenya lakini tunamute tu.

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 3 месяца назад +3

    Dares Salaam is not only feels or look like Mombasa, the truth is Mombasa was Part of Tanzania in the Past before independence and during British, Arabs and German Colonial just so you know. But because of Politics, the British took or Drew a weird line of the whole southern part of Kenya from lake Victoria to the ocean which included Mombasa as part of Kenya until now, the same as During Zanzibar Sultan Colonial Mombasa was Part of Zanzibar but because of British overpowered Sultanate colony Mombasa was taken and became part of Kenya till now, but one day Tanzanians will wake~up Maybe the next generations and Claim their Land.

    • @alfredodipo3513
      @alfredodipo3513  3 месяца назад

      Thank you for the history, I learnt something new 😁

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 месяца назад

      ​@@alfredodipo3513huo ndiyo ukweli Pwani ya Kenya yote ni sehemu ya Tanzania, na Makabila yote ya pwani ya Kenya ni jamii ya Tanzania, hao wote ni watanzania ni waswahili kama sisi wa huku. Na ndiyo maana serikali ya Kenya haitaki kusikia raisi anatokea pwani, maraisi wote wa Kenya wanatoka Kenya (Bara), na wanafanya hivyo ili kuwabana wapwani wasiweze kujikomboa kwa sababu wanajua hao kiasili ni watanzania. Lakini ipo siku fahamu kunzia Lamu, Malindi hadi Mombasa pakinuka wakakataa unyonge mtaona watakuwa upande gani Kenya au kwa ndugu zao wa damu Tanzania?!

    • @esem135
      @esem135 3 месяца назад +1

      Don't be stupid!! If there was no Kenya there was no TZ. Every country in Africa was divided up!! Not just TZ. Let Kenya be. Mombasa is in Kenya. Just the same way Kilimanjaro is TZ and was part of Kenya. Sit down!!

    • @magazijuto7991
      @magazijuto7991 3 месяца назад +5

      @@esem135 Pumbavu...yaan sis wachaga wa kilimanjaro tuwe kenya? God forbid.... Mimi ni mchaga nimezaliwa machame kabisa karibu na gate la kupandia mlima kilimanjaro there no where in my clan history that says we were part of kenya....acheni kujipa umuhimu....

    • @Kijana-wa-Tanzania
      @Kijana-wa-Tanzania 3 месяца назад

      @@esem135Ridiculous that you think Kilimanjaro has ever been part of Kenya. If you go down through history from both sides you’ll realize that even the mountain is more attached to Chagga tribe rituals in Tanzania than anyone in Kenya. So there was no way you could part that powerful tribe within the country from the mountain which has been there as there praying site for centuries.
      An issue of Mombasa being part of Zanzibar was then during the sultanate era and for a lot of reasons is no longer relevant now.

  • @kelvincharles7263
    @kelvincharles7263 3 месяца назад +1

    Their just building BRT roads

  • @michaelsamson4784
    @michaelsamson4784 3 месяца назад +4

    Dar es salamaa isn't the Capital city, Dodoma is!

  • @kelvincharles7263
    @kelvincharles7263 3 месяца назад

    Their just rebuilding the roads brother

  • @Morisset-g4e
    @Morisset-g4e 3 месяца назад +2

    Dar haifanani na mombasa ww kwani huwez kufanya tour yako bila kucompare yaan kunyans🤮

    • @MubarakaCloud
      @MubarakaCloud 3 месяца назад +1

      Mm mwenyewe ananishangaza sana kila muda oh Dar kama mombasa Sisi mbona hatusemi Arusha ipo km Nairobi au kuna mtu asojua km miji ya coastline hufanana majengo yao mbona arusha mazingira yake km Nairobi but humsikii mtu akipayuka

  • @MubarakaCloud
    @MubarakaCloud 3 месяца назад +3

    Hayo maswali yako ni kama mtoto ina maana we hujui maana ya ujenzi au ety kuna vumbi sasa ulitegemea nn na ujenzi unafanyika au uko kwenu hamjengagi

    • @alfredodipo3513
      @alfredodipo3513  3 месяца назад

      Uko na hasira sana, uku tunafurahia maisha. Siku njema

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 месяца назад

      ​@@alfredodipo3513wewe jamaa unavuta bange au umetumwa kuja kuikashifu nchi yetu?!, umeona barabara ina vumbi inatengenezwa barabara ya mwendo kasi unajaribu kufanya comparison na Mombasa ili ionekane Kenya ipo juu zaidi ya Tanzania kwa sababu barabara zake ni za vumbi. Acha upuuzi, kama umekuja hapa kuichafua nchi yetu tutakufatilia na tukikugundua tutakuripoti polisi urudishwe kwenu. Hatuhitaji wageni wa aina yako hapa!!

    • @section8ight174
      @section8ight174 3 месяца назад +1

      @@alfredodipo3513lakini ni kweli maswali ya kijinga nashangaa dereva kakuvumilia 😂

    • @temuemanuel4671
      @temuemanuel4671 3 месяца назад

      @@section8ight174Kwa kweli ingekuwa mimi ningemtoa nje ya gari. Ana maswali ya kijinga na ya kitoto sana. How old is he?

    • @temuemanuel4671
      @temuemanuel4671 3 месяца назад

      I understand why police detained you!

  • @menagainstaidsyouthgroup119
    @menagainstaidsyouthgroup119 3 месяца назад +1

    Today don't be detained again at doha ❤

    • @alfredodipo3513
      @alfredodipo3513  3 месяца назад

      @@menagainstaidsyouthgroup119 haha ill try my best

  • @YvonneAtieno-c5z
    @YvonneAtieno-c5z 3 месяца назад +3

    Don't be rude again oooo!!!

    • @alfredodipo3513
      @alfredodipo3513  3 месяца назад

      I was polite, the police was rude. He should have been detained 😅

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd 3 месяца назад

      @@alfredodipo3513 stupid. Some of u r rude. It shows that you were rude just by u saying the officer was the one to be detained . U speak kiswahili but u use English instead just to patronize people here. Be humble bro. Skinny head.

    • @temuemanuel4671
      @temuemanuel4671 3 месяца назад +1

      @@alfredodipo3513No! The way you are judging things, and the way you are asking questions to the driver… it clearly shows that you are rude.

    • @alfredodipo3513
      @alfredodipo3513  3 месяца назад

      @@temuemanuel4671 Arrest me. I love Tanzania 🇹🇿

  • @LuckymusyokiMueni
    @LuckymusyokiMueni 3 месяца назад +2

    Mjinga anauliza dere kwani saa ndio wamefikiria kutengeza barabara ,ni kama kwa barabara hawatengenezi mjinga moja ww,kwani umetoka dubai ama chani ama usa ndio kwenu

    • @section8ight174
      @section8ight174 3 месяца назад +1

      😂 yeah I found that line if questioning quite bizarre!

    • @alfredodipo3513
      @alfredodipo3513  3 месяца назад

      @@LuckymusyokiMueni si chani, ni china . Uko ndio kwetu 😅😅

  • @SATZ-news
    @SATZ-news 3 месяца назад

    Dar es salaam is not a capital of Tanzania
    Dodoma is the one🇹🇿

  • @YvonneAtieno-c5z
    @YvonneAtieno-c5z 3 месяца назад +1

    But pole. Haha😂