Ni tabia za kipumbavu za ujinga wa kutokujielewa,kwa ujumla wanaaibisha sana hawa,na qamesababisha wimbi kubwa la utovu wa nidhamu kwenye uendeshaji wa hizi pkpk,kwa sasa wana kufa sana vijana walioingia kuwaiga aina yao hawa,sijui usalama barabarani wanawachukuliaje hawa vijana watoto
Arusha miaka ya mbeleni itapoteza kabisa kizazi cha kiume! Kama ndo vijana wenyewe wako hivi! Sisi makabila mengine tunajua vijana ni taifa la kesho! Lakini arusha hilo halipo!
Hapo Amna lolote hicho no kizazi kilichopotea Amna ujanja wowote mkiendelea na tabia hizo mungu atawaondoa wote maana kwa tabia hizo mnakuwa Amna faida kwa taifa
Angekua Hana faida kwa taifa angecha bike mbili?! Elewa anachoongea sio kuwaza bangi. Dar imejaa ushoga, mikoani wamejaa wajinga na wasiozalisha kwa tija, kumbuka maadaui watatu wa taifa na upambane nayo kwa akili na maarifa. Know your enemy and fight it.
Dah! Vijana wa R chuga wamepinda kinoma
United Streets of Arusha. Hii life lao na mambo yao kivyao vyao tusifosi tufanane
Ila arusha daah 🙌🙌
Arusha aseh wame pinda sana😮😂😂😂😂😮
MaOG toka Chuga haoo... dah sema msiba wao umesikitisha ingawa duh lakin Hao wahuni washavurugwa ..yani hawana habari...
Uhuni wa arusha ni washenzi sana
Arushaa hapanaa jamanvijanaawameharibikaa
Kaka unaitaje binadamu mdudu alie umbwa na Mungu
Fireeeeeeeeeeee
Ni tabia za kipumbavu za ujinga wa kutokujielewa,kwa ujumla wanaaibisha sana hawa,na qamesababisha wimbi kubwa la utovu wa nidhamu kwenye uendeshaji wa hizi pkpk,kwa sasa wana kufa sana vijana walioingia kuwaiga aina yao hawa,sijui usalama barabarani wanawachukuliaje hawa vijana watoto
Unakula without permission 😂😂
Uhakika abuu tupo pamoja huyo mamen Kenny nimemlea daa
Life is process without permission 😂😂
Arusha sio Tanzania jamani.🤣🤣🤣🤣🙌
Wanataka warushwe ITV waonekane!!Ila hawa wajomba nyie.🤣🤣🤣🙌
Hivi serikali iko wapi😂😂😂
Mbon uongelei dar nimashoga tu ndowamejaa akuna waowaji
Hawa wadudu wajaribu olgilai
Hawa hamna watu
Ety hawa ni waandishi wa habari enyew usije niletea utofauti
Pikipiki mnakimbia hamchukui tahadhari ndio shida kubwa
chuga ! hoyooooooooooooooo!!!!!
Kuna wazeee wa hovyooo miaka 20 ijayooo mmmhh cpati picture
Meno meusi..kwa nini
Nchi ya arusha
Tuko pamojaaa sawa bhana abuu chidi bennii must na wenginee
Mnazalilisha jiji la Arusha elimikeni barabarani ni kufuata sheria mkifanya hivyo mjue kifo kinakuita
Jamuhuri ya muungano ya watu wa Arusha
😂 Arusha nikubwa kuliko Tz
Watisha hawa
Yaaani Hawa wamejawa na upuuzi mwingi katika vichwa vyao hamna anaejitambua hapo
Kizazi kilichopotea
RPC anatakiwa ajitahidi Sana.
Hawana lolote ni waigizaji tu, wacheze na polisi wangolewe meno!
Uuuwii madingirii
Vijana wa ovyo
Chuga ni 🔥🔥
Mnafukuzana
Mkiendelea na Ujinga Huo Mtakufa Sana
Arusha miaka ya mbeleni itapoteza kabisa kizazi cha kiume! Kama ndo vijana wenyewe wako hivi! Sisi makabila mengine tunajua vijana ni taifa la kesho! Lakini arusha hilo halipo!
Wala hawajalewa hizo ni swaga tu.
Kila mkoa una kundi la wahuni so hao ndo wahuni wa Arusha
Hiyo ni swaga za chuga tuu
Bora bangi kuliko ushoga
Hapo Amna lolote hicho no kizazi kilichopotea Amna ujanja wowote mkiendelea na tabia hizo mungu atawaondoa wote maana kwa tabia hizo mnakuwa Amna faida kwa taifa
mjomba acha kuongea kama xhoga ongea kiume unaongeaje kama adande rama axee!.na ukizid kupiga lomoni utafrah
Chuga wajinga kabisa
Angekua Hana faida kwa taifa angecha bike mbili?! Elewa anachoongea sio kuwaza bangi. Dar imejaa ushoga, mikoani wamejaa wajinga na wasiozalisha kwa tija, kumbuka maadaui watatu wa taifa na upambane nayo kwa akili na maarifa. Know your enemy and fight it.
Unahoji ujinga gani wewe mtangazaji?
duu
Q😅
Hawa ni wajinga ..uhuni wakipumbavu ..
Nchi ya arush