Mt. Kizito Makuburi - Ukuu wa Yesu (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии • 359

  • @josephinebruno7698
    @josephinebruno7698 3 года назад +2

    Mnajua mpaka mnakera Mungu azidi kiwainua

  • @zakwetuupdate3387
    @zakwetuupdate3387 3 года назад +17

    Happy Easter
    Mungu awe nanyi nawakubali Sana
    Sauti tulivu mziki sanifu ladha zakipekee
    Like kwao

  • @simonshunza-bn3sj
    @simonshunza-bn3sj Год назад

    Hii ni kali makuburi mko juu sana

  • @gabrielmasanyiwa3889
    @gabrielmasanyiwa3889 3 года назад +6

    Anayeimba vizuri anasali Mara mbili. Mmesali Mara mbili. Mungu awe pamoja nanyi. Amina

  • @philemonfaustine7524
    @philemonfaustine7524 9 месяцев назад

    mungu awape mafanikio zaidi

  • @carenbowen789
    @carenbowen789 3 года назад +6

    Nice song...wapi likes za 🇿🇦

  • @samorahbanderas8767
    @samorahbanderas8767 3 года назад +4

    Duh! Aiseeeei Yani Kama Ni Kipaji Mko Nacho Napanga kuja Misa uko Niwaone tu

  • @magdalenacharles4393
    @magdalenacharles4393 3 года назад +9

    Bwana Kafufuka Naomba Afufuke na Maisha Yetu tuenende Katika Yaliyo mema tusije tukamtonesha vidonda ,Ndani ya Kristo Ni Raha 😍 Tuimbe Hallelujah 🙏

  • @paulmunguti6990
    @paulmunguti6990 3 года назад +1

    Tam sana kama asali

  • @joshuasarutwe4354
    @joshuasarutwe4354 3 года назад +1

    MUSHOBOZI ANAJUA SANAAAAAA NA MT.KIZITO MKOVZR ,

  • @mathiasmateru9977
    @mathiasmateru9977 3 года назад +6

    TYK
    Utunzi mzuri.
    Uimbaji safi, hongereni sana
    Melody na kucheza safi mno
    Hongereni sana.

  • @conybebkadaz1339
    @conybebkadaz1339 7 месяцев назад +2

    🎉🎉🎉🎉 Tushangilieni Amen 🙏🙏🙏

  • @mekitridiskambanga
    @mekitridiskambanga 8 месяцев назад +1

    Mbarikie sana sana yaani nairudia mara nyingi sana

  • @VanessaEmanuel-op9bv
    @VanessaEmanuel-op9bv 4 месяца назад +1

    Mungu awabariki sana wapendwa kwa kuimba vizuri

  • @frankmhoja2460
    @frankmhoja2460 3 месяца назад +1

    Kuimba ni kusali mara mbili hakika nabarikiwa sana na hizi nyimbo ...Hongereni sana wanakwayaaa na mungu atubariki ufufuko wa yesu ndo ushindi wetu barikiwa sana wana kizito

  • @pamelamugimi8081
    @pamelamugimi8081 3 года назад +4

    Tuimbe halleluyah yesu kafufuka nawapenda Sana kwa uimbaji wenu mzuri na utunzi wa nyimbo tamu ,mungu awabariki .vinanda na ngoma visikike kote ,leo. kenya

  • @petermachariandegwa449
    @petermachariandegwa449 9 месяцев назад

    Makuburi mko juu Tu sana

  • @AdelaSemboja
    @AdelaSemboja 7 месяцев назад +1

    Mungu atukuzwe ktk ninyi

  • @jamesgachau2566
    @jamesgachau2566 6 месяцев назад +1

    Kweli Yesu yu mzima

  • @FaithKageha-w9t
    @FaithKageha-w9t 9 месяцев назад

    Asante sana nyimbo hiii tuna ilenda sana kabisa

  • @theodorelubembe6894
    @theodorelubembe6894 8 месяцев назад +1

    Huu wimbo umeninyce especially ikichezwa kwa keyboard😃🥰 St. Kizito Makuburi mzidi kubarikiwa

  • @CAMTECHCOMMUNICATION
    @CAMTECHCOMMUNICATION 3 года назад +3

    Kinanda imepigwa vyema mpaka naisikia mpaka kwa roho!!

  • @johnb.j.m206
    @johnb.j.m206 3 года назад +2

    Daima mko juu Kwaya ya Makuburi. Mbarikiwe sana na Pasaka njema

  • @lucynerima8839
    @lucynerima8839 3 года назад +1

    Hakika amefufuka..tushangilie. Hallelujah. Nyimbo tamu sana

  • @DamianiJonh
    @DamianiJonh 10 месяцев назад

    Mungu awe pamoja nanyi

  • @danmchelsea658
    @danmchelsea658 3 года назад +4

    Kristo kafufuka, sura mpya zimeoneka katika kwaya hii tamu 🙏🙏🙏💓💓 hakika wimbo huu umenibariki hata zaidi nikiwa katika jimbo kuu la kakamega nchini Kenya

  • @justineapio-un8lu
    @justineapio-un8lu Год назад

    Nimesikiya utamu wa bwana katita hi nyimbo, bwana awabariki muendelee na kasiza bwana,👍💓

  • @rosekasian5246
    @rosekasian5246 3 года назад +1

    Nyimbo nzuri mbarikiwe sana

  • @denisaudax3365
    @denisaudax3365 3 года назад

    Barikiwa

  • @annadamian4178
    @annadamian4178 3 года назад +1

    Najivunia kuw mkatoliki,,sauti mmezipnga vzr hongren San waimbaji👏

  • @georgeagelleard249
    @georgeagelleard249 3 года назад +1

    Huu wimbo hatimae mmeuachia. Hongereni kwa utume

    • @marybenedict6434
      @marybenedict6434 3 года назад

      Nilikuwa nausubir kwa hamu sana huu wimbo wabarikiwe sana

  • @tabiinduku2595
    @tabiinduku2595 3 года назад

    kwaya zuri sana

  • @imaculatadominic7005
    @imaculatadominic7005 3 года назад

    KWAYA PENDWA WAINJIIRSHAJI MKO NA MVUTO WA KIMUNGU HONGERENI SANA SANA SANA MUNGU AZIDI NYUNYIZIA BARAKA KWENYE TALANTA ZENU NAWAPENDAAAAAAAA

  • @simonkitaka6369
    @simonkitaka6369 14 дней назад

    If it were not for this gospel artist i do not know where my life be you genuinely transformed my life got saved since your first volume ya bwana nipe uvumilivu.Miracle happened after watching the video at school hall in my primary level may God sustain you to continue serving His people through singing ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @mashala97
    @mashala97 3 года назад +2

    njooni tuushudie kuu wa yeah❤️❤️❤️

  • @bonydemaria2030
    @bonydemaria2030 3 года назад +3

    Hongereni sana KMK...Kazi nzuri.

  • @mtushjustus
    @mtushjustus 3 года назад +1

    Tamu sana mnatubariki sana. Keep it up kupitia kwa mwalimu mkuu Bernard Mukasa..... Naona vinny anakuja vizuri...

  • @simonthomas7969
    @simonthomas7969 3 года назад +1

    Kazi nzuri asanteni sana kwa zawadi nzuri ya Pasaka Mungu awabariki

  • @kamilusmponzi615
    @kamilusmponzi615 3 года назад +2

    🔥🔥🔥hongera sana

  • @henryoreo2283
    @henryoreo2283 3 года назад +1

    tamu sanah wanakmk makuburi! tamu zaidi its E F jissu again!

  • @mauriceokebe1894
    @mauriceokebe1894 3 года назад +3

    Kila ninaposikia nyimbo zenu,nabarikiwa sana.

  • @johnsadiki2657
    @johnsadiki2657 2 года назад

    Kwaya ya Mtakatifu Kizito Makuburi. Mungu awabariki, awalinde na awaongoze ili muendelee kumwimbia vyema.

  • @BilianAkoth-z4q
    @BilianAkoth-z4q Месяц назад

    So good and enjoyable continuous the spirits when praising the God's name

  • @michaelmutiso6272
    @michaelmutiso6272 3 года назад +3

    Inabariki Sana kazi mzuri "shunjaa Yesu"

  • @gregorykalory865
    @gregorykalory865 2 года назад

    Good song mung tulind

  • @immaculatekakuvi7509
    @immaculatekakuvi7509 3 года назад +9

    Tunawapenda sana huku kwetu🇰🇪🇰🇪🇰🇪, this choir never hits a bland ❤️

  • @joycemayco7702
    @joycemayco7702 2 года назад

    Kwaya ya makubari mpo vizuri karibuni Jimbo la geita parokia ya nzera

  • @mercykavaya5284
    @mercykavaya5284 3 года назад +7

    Waoooh big ups from Kenya. My best choir napenda sauti zenu saana...ingewezekana ningejiunga

  • @mumyhendry2919
    @mumyhendry2919 3 года назад +3

    Emma Mwanda,nmekuona na tabasam lako km lotee😅😅😅 nawapenda 😘😘😘

  • @lucypatrick6851
    @lucypatrick6851 3 года назад +1

    Najihic kubarikiwa, naomba muwe mnazirusha nyimbo upendo TV,ili nasi tujifai

  • @elielepetit8107
    @elielepetit8107 3 года назад

    Dushangilie na vigelegele.....
    .mfalme amefufuka.....bwana amefufuka
    Wimbo mzuri saaaaaans

  • @leonciagitonga6469
    @leonciagitonga6469 3 года назад +1

    Kazi nzuri kabisa. Mungu awabariki

  • @tushjuliusofficial5667
    @tushjuliusofficial5667 3 года назад +10

    Nice one,watching from Kenya 😁😁

  • @tesharose5041
    @tesharose5041 3 года назад +2

    Mungu azidi kuwabariki kwa unjilishaji 🔥🔥🔥🔥

  • @stephanokigosi656
    @stephanokigosi656 3 года назад +1

    Asante sana kwa wimbo mzuri kwaya yangu ya mtakatifu kizito

  • @pendonyangu4646
    @pendonyangu4646 3 года назад

    Mko vizuri sana kmk

  • @philomenasjohn9083
    @philomenasjohn9083 3 года назад

    Hongeren sana, Organist uko vizur

  • @JustinAgenonga-cm2hw
    @JustinAgenonga-cm2hw Год назад

    Aksante sana

  • @leolewa6248
    @leolewa6248 3 года назад +1

    😃👍💝thank for groop
    God bleees

  • @Godschildreninc
    @Godschildreninc 3 года назад

    GOD S CHILDREN Inc is bless to everyone else in yorre assemble the leglize la jesus Chris and GoD 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙏 bless to everyone and your beautiful 😘😘😘😘😘😘❤️ victoire force honer e lourange gloire gloire puissance egale espiritialite paciance cinserite

  • @fridoliusrushunju9093
    @fridoliusrushunju9093 3 года назад

    Mnajua sana hatr kuanzia kinanda sauti kila kitu nabarikiwa sana

  • @twavwanajemwalla6912
    @twavwanajemwalla6912 3 года назад

    MUNGU AWABARIKI KWA NYIMBO NZURI ZENYE MAFUNDISHO ÝA KIKATOLIKI HALISIA .ENDELEENI KUMTUKUZA BWANA NDUGU ZANGU. AMEN

  • @nyangimarwa3448
    @nyangimarwa3448 3 года назад +27

    Mwenyezi Mungu awabariki sana kwaya Mt Kizito kwa kuendelea kutangaza Uinjirishaji mnatufanya Wakatoliki tuipende nyimbo zetu sana Maana tulikuwa hatuzipati sana nyimbo zetu ila kwa sasa tushindwe wenyewe maana tuna kila aina ya nyimbo Tumsifu Yesu Kristo Ndugu zangu

  • @julithamubake4591
    @julithamubake4591 3 года назад

    NIVIZURI KABISA

  • @michaelkithembe
    @michaelkithembe 3 года назад +1

    Shujaa Yesu yu mzima,tufurahini ameshinda kifo.Kazi Amazing

  • @LykeMuteti
    @LykeMuteti 3 года назад

    Bwana Kafufuka.....kazi nzuri sana.... Hongera Hongera...

  • @obedeobed4236
    @obedeobed4236 2 года назад

    Muzuri wimbo and nice song mubarikiw sana

  • @emanuelalasway4424
    @emanuelalasway4424 3 года назад +1

    Wimbo mzuri sanaa

  • @verotura2041
    @verotura2041 3 года назад +2

    Kazi safi sana.
    Uimbaji mzuri❤

  • @hikahika7806
    @hikahika7806 8 месяцев назад

    Mwenyenzi mungu awabariki sana kuimba nikusali mara mbili Amina🙏🙏

  • @fransavinhonacmela827
    @fransavinhonacmela827 3 года назад

    Ameni ni utaratibu urio wekwa

  • @teoslasmbunda3936
    @teoslasmbunda3936 3 года назад +1

    Kazi nzuri sana, hongereni

  • @achienomarylyne7010
    @achienomarylyne7010 3 года назад

    Bwana kafufyka....tushangiliee🤩🤩

  • @felisternyambura6577
    @felisternyambura6577 3 года назад +9

    My all time choir. Uimbaji wenu mzuri wanibariki. Mob love from Kenya.

  • @hassanemmanuel6049
    @hassanemmanuel6049 Год назад

    Kwaya nzuli

  • @elickykibet3079
    @elickykibet3079 3 года назад +3

    Happy Easter, wimbo umepangwa ukapangika ,barikiweni kmk🇰🇪🇰🇪

  • @teilom.lwandeaj1947
    @teilom.lwandeaj1947 3 года назад

    Safeee sanaaaa!!!!

  • @elvisonyonka598
    @elvisonyonka598 3 года назад

    bwana kafufuka kweli kazi safi kizito

  • @angelinamagembe3106
    @angelinamagembe3106 3 года назад

    Nawapenda sana waimbaji hawa

  • @esterpius328
    @esterpius328 3 года назад

    Bwn apewe sifa.

  • @ipyanakajembula7879
    @ipyanakajembula7879 3 года назад +3

    Wimbo mzuri mno!
    Hasa wakati huu lakini nyakati zote Hii kwanya Is Awesome!

  • @lomerpusyohana7021
    @lomerpusyohana7021 3 года назад +1

    Wow, so colorful. Kazi nzuri Sana mtunzi, waimbaji na organist. Napenda Sana nyimbo zenu.

  • @IreneKaroki-c2e
    @IreneKaroki-c2e Год назад

    Makaburi hongera Tena na Tena.

  • @lucasshirima2880
    @lucasshirima2880 3 года назад +1

    Waoooooo
    Kishindooooo

  • @anestinastephano-hu3rv
    @anestinastephano-hu3rv Год назад

    Hakika mungu utusaidie tufufuke nae

  • @jenifermlay9201
    @jenifermlay9201 3 года назад

    Nilikuwa najiuliza inamaana pasaka inapita hivi hivi
    Hongereni sana

  • @venantbashizi436
    @venantbashizi436 3 года назад +2

    Muna sauti nyororo sana kwa kumu imbia Mungu wetu. Abariki kila moja kati yenu awe na maisha mema na mwisho nzuri. Alléluia Amina!

    • @eddahwanjala2023
      @eddahwanjala2023 2 года назад

      best place to be proud to be a Catholic God blesse me with a Catholic man

  • @idrissekasongo376
    @idrissekasongo376 3 года назад

    Mungu awa bariki sana

  • @gichirojeanne8089
    @gichirojeanne8089 3 года назад

    Asanteni wandugu yee

  • @damianakivamba5835
    @damianakivamba5835 3 года назад

    Safi sana jamani kanisa letu Mungu ali inue.

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 3 года назад

    Hongereni kwa wimbi mzuri

  • @constantinewilbroad1654
    @constantinewilbroad1654 2 года назад

    Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri

  • @josephwambua7454
    @josephwambua7454 3 года назад +1

    Nyimbo nzuri sana ya pasaka.... congrats Makuburi choir for the nice and inspiring songs

  • @magrethmichael1924
    @magrethmichael1924 3 года назад +1

    Tuimbe aleluya bwana amefuka tuimbe aleluya Yesu amefuka,tushsngilieni kwa vigelegele vinanda na ngoma visikike koteeeee.Asanteni sana kmk Mungu azidi kuwabari.Aleluya Yesu amefufuka

    • @joshuagaspary5561
      @joshuagaspary5561 2 года назад

      Ni balaaaaaaa tupu hawa jamaaa wanaimba kwa kweli hongereni sana KMK kwa kuvitumia vipaji vyenu ipasavyo.mungu awabariki sana

    • @jovithamsambure6988
      @jovithamsambure6988 Год назад

      Big up

  • @rosekisogole4161
    @rosekisogole4161 3 года назад

    Asante mungu awape ubunifu zaidii

  • @magrethpeter9552
    @magrethpeter9552 3 года назад +1

    Asante kwa nyimbo nzuri

  • @bernardisaya
    @bernardisaya 2 года назад

    Aahxanten sana

  • @rahelJoseph-b3i
    @rahelJoseph-b3i Год назад

    Nabalikiwa sana nanyimbo zenu

  • @everlyneimende3487
    @everlyneimende3487 2 года назад

    Mungu awabariki

  • @sizimweelias5132
    @sizimweelias5132 2 года назад

    Ee mungu endelea kuwaongoza