Jinsi ya kuchop na kusample wimbo na kutengeneza beat kama s2kizzy

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 20

  • @Aroncademy
    @Aroncademy  3 года назад +5

    Kama kuna kitu umejifunza usisahau kulike kucomment na kushare video hii kwa wengine

  • @lamecknyalus6252
    @lamecknyalus6252 2 года назад

    mjomba haki mm mgen kabisa kutumia hii mambo vp sample na make vp

  • @kibeginiblue7188
    @kibeginiblue7188 3 года назад +1

    Big up

  • @nyaky_fighter
    @nyaky_fighter 3 года назад +1

    ♨️♨️♨️

  • @djbaddest255
    @djbaddest255 3 года назад +1

    kaka nimekubali bless up manigga endelea kutupa ideas tofauti tofauti

  • @samuelakili4942
    @samuelakili4942 3 года назад +1

    Vp br unaweza tuonesha jins yaku tafuta key ambayo anaye imbiya mwimbaji

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 года назад

      Usijali brother tutafanya hivo

  • @lawboymaker2999
    @lawboymaker2999 3 года назад +1

    Naomba link ya slowm iliniweze kudowlod

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 года назад

      I search Google brother inapatikana

  • @mrchazzy6551
    @mrchazzy6551 3 года назад +1

    Eti bro nini maana ya bus

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 года назад

      Kunavideo niliwah fanya kuhusu bus send and return tracks jaribu kuangalia kwenye playlist za mixing utaipata

  • @SampleKiller99
    @SampleKiller99 2 года назад

    Duh! 🤣

  • @bombaman925
    @bombaman925 3 года назад +1

    Kama gita au melody uliyokusudia ina percussion unafanya fanya vipi..

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 года назад

      Apoa nadhan njia nzuri ya kufanya ni kufikiria jinsi ya kutumia pamoja ma percussion zake au kutumia app ambazo zinaweza kukusaidia kupunguza kiwango cha percussion

    • @bombaman925
      @bombaman925 3 года назад +1

      @@Aroncademy SHuKRai sana mzee
      I

    • @Aroncademy
      @Aroncademy  3 года назад

      Tupo pamoja brother