How mmedominate mchezo wakati mmezidiwa possession, mmezidiwa passing ability, mmezidiwa shots on and off target mlichozidi ninyi ni fouls and rough plays.... Unajaribu kuchekesha na uchekeshaji huuwezi pia
Mdada mwandishi upo sahihi sana timu ndogo zinakamia timu kubwa. HUWA WANACHEZA RAFU SANA NAKUWAUMIZA WENZAO. KOCHA WA DODO USILALAMIKE HY NI PENATI HALALI. ACHA KELELE
Mpigaji penati wa Simba anatishia MARA TATU na refa anamuangalia Tu jee hii ndo sheria ya upigaji penanti? kweli simba ni mbeleko FC hawawez kushinda mpaka wabebwe lakin mara hii hata wafanye mbinu gani. YANGA BINGWA TENA
HUYO AFISA HABARI AACHE UJINGA KIKOSI GANI HAO?KM NI PENATI KWANN NA YEYE ASIPIGE PENATI? KWANI HAJAWAHI KUONA TIMU KUBWA ZINASHINDA KWA PENATI. ACHA UJINGA WEWE MSEMAJI. SASA SUBIRI MARUDIANO. TUNZA HAYO MANENO. WACHEZAJI WA SIMBA WAMEJITAHIDI SANA MAANA WAMECHOKA SANA.

Jipe nimoyo
WACHEZAJI WAMECHOKA GAME ZIMEKUA BACK TO BACK SANAA
Pamoja na hivyo ila hatuna budi kuwapongeza wamejitahidi kwa level yao ila wasiache kumshukuru Mungu maana chances lost ni zaidi ya nne
Anavuta bangi siyo mzima total
Vans tunakujua wewe ni uttpolo tako wewe
BARUA AACHE UCHOYO ANAIKOSESHA TIMU MAGOLI. VIONGOZI NA KOCHA KWANI HAMUONI HILI? BALUA BALUA SOMA HZ KOMENT NA UJIREKEBISHE
Wanakamia acha kubixha
muhamala umefeli huna timu ww
Mpigaji penati wa Simba anatishia MARA TATU na refa anamuangalia Tu jee hii ndo sheria ya upigaji penanti? kweli simba ni mbeleko FC hawawez kushinda mpaka wabebwe lakin mara hii hata wafanye mbinu gani. YANGA BINGWA TENA
Hana jipya kaka
@@iddiramadhannyau ww,hujui mpira.
HUYO AFISA HABARI AACHE UJINGA KIKOSI GANI HAO?KM NI PENATI KWANN NA YEYE ASIPIGE PENATI? KWANI HAJAWAHI KUONA TIMU KUBWA ZINASHINDA KWA PENATI. ACHA UJINGA WEWE MSEMAJI. SASA SUBIRI MARUDIANO. TUNZA HAYO MANENO. WACHEZAJI WA SIMBA WAMEJITAHIDI SANA MAANA WAMECHOKA SANA.
Sasa mlikua bora leo wakati hata possesion tu mmezidiwa, shot on target moja, sasa mmewazidi vipi?
Ana chekesha huyu
Tumbafu
Wewe bwata tu. Utakapokkuha dar tutakushugulikia
Hawa wachambuzi wetu ni bure kabisa. Watu wameahidiwa milioni kila mchezaji wataacha kukaza? Ngoja wakakutane na Namungo muone watapigwa ngapi🤣
ww chonga tu utakuja dar
kwani Dar ni Kwa mamaako?