Ushaul kwa wanaum wenzang Ilikuondoa adha zote hiz inatakiwa mwanaume kabla ya kuoa 2jitahidi 2wetumejipand kwa maana ya mambomengi yaw yamesimama vizul ukianza 1 na mwana mke atakutesa Sana mwanzoni huwezi amini kwamaan mapenzi yana kuwag matam lakini mwanamk akishaanza visa huwezisema akaheshim sianajua huna jeuri😭😭
Mke wangu alijiandikisha jina lake kwenye kiwanja tulicho Jenga hakuna jina langu Wala kitu chochote kinacho nionesha Mimi Kama mumiliki na hakishia hapo akaweka anuani ya shemeji yake mume wa dada yake ambae analea mtoto wake nilipo jua nikamwambia kwa hili ulilolifanya Bora tuachane kaenda mahakamani je hapo inakuwaje na alikuwa ananiambia yeye anapipwa laki180 kumbe analipwa 380 inakuaje hapo
Kama ndo hivyo hata dada wa kazi apewe chake 😂😂 maana ameosha vyombo!! Hukmu za kuvunjika kwa ndoa kwa waislamu zitahukumiwa kiisilamu.. “Na wale ambao hawatohukumu kwa kile ambacho Mweneyezimungu amekiteremsha basi hao ndio Makafiri” Al maida: 44
hii sheria inamfanya mke awe mvivu kwamba nikiosha vyombo na kufua na kupika basi tunagawana mali, na sheria hii pia inavunja moyo wa mwanaume kujituma kusaka mali, nasema hivi kwasababu kama mume akiamua kua mtumiaji mbovu wa pesa zake kiasi kwamba hakuwekeza kwenye mali huyu mke aliekua anapika na kufua atagawana nini?
Mara nyingine mwanamke huwa anakaa nyumbani kutunza watoto wakati mwanamme anakwenda kutafuta, huyu mwanamke pengine alikuwa mchakarikaji baada ya kuanza kupata watoto inamlazimu akae nyumbani
mtwara selia hiyo inamuhusu upande wamali nzamwanaume jea mwanamuke akiwa nakiwaja mukajenga pamoja
Mwanasheria wa kwanza asiejua sheria 😂
Na kama hamjafunga ndoa ila mmeidhi miaka 4 na mnamtoto?
Ushaul kwa wanaum wenzang Ilikuondoa adha zote hiz inatakiwa mwanaume kabla ya kuoa 2jitahidi 2wetumejipand kwa maana ya mambomengi yaw yamesimama vizul ukianza 1 na mwana mke atakutesa Sana mwanzoni huwezi amini kwamaan mapenzi yana kuwag matam lakini mwanamk akishaanza visa huwezisema akaheshim sianajua huna jeuri😭😭
Mke wangu alijiandikisha jina lake kwenye kiwanja tulicho Jenga hakuna jina langu Wala kitu chochote kinacho nionesha Mimi Kama mumiliki na hakishia hapo akaweka anuani ya shemeji yake mume wa dada yake ambae analea mtoto wake nilipo jua nikamwambia kwa hili ulilolifanya Bora tuachane kaenda mahakamani je hapo inakuwaje na alikuwa ananiambia yeye anapipwa laki180 kumbe analipwa 380 inakuaje hapo
Je ? Nimemkuta na kiwanja na tukajenga wote?
je kama mali mliyonayo mmojapo hajachagia chochote au amechangia kidogo je nagawana sawa
Kama ndo hivyo hata dada wa kazi apewe chake 😂😂 maana ameosha vyombo!!
Hukmu za kuvunjika kwa ndoa kwa waislamu zitahukumiwa kiisilamu.. “Na wale ambao hawatohukumu kwa kile ambacho Mweneyezimungu amekiteremsha basi hao ndio Makafiri” Al maida: 44
Hiyi shelia ni kandamizi
hii sheria inamfanya mke awe mvivu kwamba nikiosha vyombo na kufua na kupika basi tunagawana mali, na sheria hii pia inavunja moyo wa mwanaume kujituma kusaka mali, nasema hivi kwasababu kama mume akiamua kua mtumiaji mbovu wa pesa zake kiasi kwamba hakuwekeza kwenye mali huyu mke aliekua anapika na kufua atagawana nini?
Hato tukuwa anakulindia familia😬😁😁😁