🔴LIVE: MHE TUNDU LISSU AZUNGUMZA NA UMMA MUDA HUU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 114

  • @NuruLutembeja-h1r
    @NuruLutembeja-h1r Месяц назад +10

    Anayeungana na Mimi ya kuwa TUNDU LISSU ni miongoni mwawatu muhimu kwa TANZANIA yetu na AFRIKA pia.Nipe like zangu za kutosha.

  • @JosephineKabuka
    @JosephineKabuka Месяц назад +21

    Yaani hii speech imefufua matumaini ya kuishi❤

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam Месяц назад +1

    Pole Sana Mh. Lisu Mungu aendelee kukulinda, Hawa wanaotumia vyeo vyao kuutoa uhai watu Mungu atawaadhibu tu, Tigo subirini anguko kubwa la kibiashara Mungu haitawaacha salama.

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 Месяц назад +2

    Mwenyezi Mungu Azidi Kukulinda Mh,Tundu Lisu.🙏🙏🙏

  • @MagakaManyanya
    @MagakaManyanya Месяц назад

    Namshukuru mungu kwa kuniweka hai. Na kuwepo nyakati hizi za lissu na na mama abdul akiwa raisi

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 Месяц назад +21

    Kimenuka hakuna marefu yasiyo na nchi

  • @michaelernest4814
    @michaelernest4814 Месяц назад +2

    Ubarikiwe kiongozi,mungu anakutetea

  • @JamesNdanya
    @JamesNdanya Месяц назад +1

    Pole sana Mjomba! Mungu yu nawe!

  • @ngowestanley2535
    @ngowestanley2535 Месяц назад +21

    Lisu ana mungu sana ndo mana anajiamini

  • @FikiriniMwaluko
    @FikiriniMwaluko Месяц назад +14

    Mh uko vizuri sana tena sana

  • @FransiscoKaiza
    @FransiscoKaiza Месяц назад +1

    Mungu ana makusudi yake🇹🇿♥️✌️⛪🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤳

  • @johnsonsamwel7207
    @johnsonsamwel7207 Месяц назад +8

    Huyu mtu analindwa na jeshi la Mbinguni

    • @Wamisangi
      @Wamisangi Месяц назад

      Huriah Mhiti wa Tz kagundua mgodi/kisima cha kuopoa mapesa. Huyu Mh atafute mshauri wa Kiroho.

  • @MamaVote-k6g
    @MamaVote-k6g Месяц назад +2

    Mungu yuko pamoja nawee ataendelea kukupigania

  • @benjaminmassawe9891
    @benjaminmassawe9891 Месяц назад

    Mungu wakwetu sote anayeua Kwa upanga nau litamuhusu

  • @francomwalutende7864
    @francomwalutende7864 Месяц назад

    Mungu mwema na hashindwi na mengi yatafunuliwa yaliyo maovu ya kutisha, hongera Lissu kwa kuendelea kuwa muungwana na mnyenyekevu

  • @ShaibuYahaya-v4b
    @ShaibuYahaya-v4b Месяц назад +1

    pole sana mzee kidonda hiki akiwez kupona kwetu huyo aliejifanya anakuja kukuona osptar Nairobi alikua amekuja kujua kama umekufa uyo mama ni mnafiki sana sana pia anajifanya anafunika kichwa anajifanya mwislam kumbe adui nae

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Месяц назад +7

    Mimi sijawahi kumwamini kwa jinsi anavyo jifanya kuwa mchawa kwa viongozi ili aminike.Alijipendekeza kwa Kikwete. Lakini baada tu akageuza mwelekeo akaende upande mwingine. Mpaka akaweza kupata alicho kuwa akitafuta. Sasa ana mama yake mzazi ambaye alichonganisha wenziwe kuwa wanatukana mama yake.

  • @nasserriyami9885
    @nasserriyami9885 Месяц назад +1

    We MZEE a happy uongo😂😂😂

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule Месяц назад +3

    TIGO kazi wanayo

  • @oyay2821
    @oyay2821 Месяц назад +12

    Ni kweli Bashite ni jambazi sugu na muuaji

    • @JohnKumila
      @JohnKumila Месяц назад

      Kwani ni yeye ndo alimuua mama yako😢

  • @jaredayiera3279
    @jaredayiera3279 Месяц назад +2

    25/09/2024
    Mithali 29,:2 wenye haki wakiwa kw mamlaka Watu hufuraiii zaidi bali Mtu muovu atawalapo watu wanahumia.

  • @ngowestanley2535
    @ngowestanley2535 Месяц назад +6

    Mungu wake aendelee kumpambania mana kila jambo linaanzia kwake tu

  • @godsson5954
    @godsson5954 Месяц назад +4

    The dark is coming to light

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Месяц назад +9

    Yaani Bashite.

  • @gwasaboy3069
    @gwasaboy3069 Месяц назад

    🎉🎉🎉🎉duh! Wewe kichwa

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 Месяц назад +5

    Hii Tanzania sio ile Tz tuliyo ijua

  • @FransiscoKaiza
    @FransiscoKaiza Месяц назад +2

    Mungu yupo nasi tigo kazi mnayo 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸⛹️🚣⛹️🚣🚣🚣⛹️🚣⛹️🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣✌️💪💪💪💪💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿♥️✌️💪💪💪💪💪💪💪

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k Месяц назад +2

    Hatimaye MUNGU wa mbinguni kafichua mambo ya bashite, kabla hajafuta maaskofu na wachungaji wa kweli kafutwa na tapeli mwinzie mwamposa

  • @abdulmajidmageja6562
    @abdulmajidmageja6562 Месяц назад +1

    Yani hadi mwili unaganzi mungu wangu

  • @Josephgoliama1
    @Josephgoliama1 Месяц назад +1

    Mapenzi ya Mungu ni Haki, naomba haki itendeke.

  • @eunho9529
    @eunho9529 Месяц назад

    Mimi nichukue nafasi hii kuwashawishi Watanzania kuisusia TIGO ili liwe fundisho kwa taasisi nyingine

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo Месяц назад +4

    Aibu kwa liinchi hili..
    Usaha( dhambi ) lazma uonekane!!

  • @jaredayiera3279
    @jaredayiera3279 Месяц назад +1

    Nikiwa Washington DC states of America,
    CHADEMAA tunatezwa na Maskari wa mwanamkee.
    Lkn Ipo siku moja Mungu Aliye Juu Mbinguni Na Atawaondoa hawa waashi Ktk mamlakani
    Next year,,2025,

  • @josephmwita6012
    @josephmwita6012 Месяц назад

    hii dunia ogopa sana utandawazi (tundulisu is amiracle)

  • @amidulyuma1833
    @amidulyuma1833 Месяц назад +7

    Crown ileeeeeeeeeeeeeeeee😂😂

  • @gwejonoah1900
    @gwejonoah1900 Месяц назад

    bt hii ilitakiwa iibukie mahakamani kwanza kabla ya kuja kufanya press

  • @VITUSPROTUS-wh4mn
    @VITUSPROTUS-wh4mn Месяц назад +6

    Afu wanampa cheo kigumu kama hicho mh Mbowe, et gaidi Dah!

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 Месяц назад +3

    Shule na mwenendo hili siyo tangazo ukibaini nenda mahakamani

  • @jaredayiera3279
    @jaredayiera3279 Месяц назад +1

    Nikiwa Washington DC states of America,
    CHADEMAA tunatezwa na Maskari wa mwanamkee.
    Lkn Ipo siku moja Mungu Aliye Juu Mbinguni Na Atawaondoa hawa waashi Ktk mamlaka

  • @JohnManyilizu-rl5bm
    @JohnManyilizu-rl5bm Месяц назад

    Hatari sana kumbe ni hivyo tena

  • @Mosmwampa
    @Mosmwampa Месяц назад

    Tayari mungu kaanza kuwaumbua, walisema chadema wanatekana na kuuwana wenyewe, Sasa waseme sasaiv

  • @MeshackErnest-qt6xi
    @MeshackErnest-qt6xi Месяц назад +6

    Naona kama Mtu anafutwa kwa Jina la Yesu

    • @SaidAli-rs5pc
      @SaidAli-rs5pc Месяц назад +1

      Pambana kaka mungu atatenda haowahusika wote waanikwe waache kutuulia watu

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 Месяц назад +5

    KUFUATIA KUZUIWA KWA MAANDAMANO YA KUPINGA UTEKAJI NA MAUAJI YA WATU WETU,WATANZANIA TUSINYAMAZE TUPANGE KUPIGA DUA KWA TAIFA ZIMA KWA MUDA WA SIKU 3,TAREHE NA MUDA VITANGAZWE NA HUO MUDA UKIFIKA KILA MTU ATANYAMAZA KIMYA POPOTE ALIPO NA KULAANI MATENDO HAYA NA KUWAOMBEA HAO WAYATENDAYO WAFE.

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 Месяц назад +3

    Lisu Ndio Maana Mungu Hakukuondoa Ili Siku Ya Watanzania Kujua Ukweli Ifike, Mashetani Tuko Nao Na Mbaya Zaidi Wanacheka Na Sisi.

  • @FrancisThomas-jc8wq
    @FrancisThomas-jc8wq Месяц назад

    Kweli Mungu hadhiakiwi,na mwisho wa ubaya ni aibu.

  • @middlemamba6062
    @middlemamba6062 Месяц назад +1

    Kwa hiyo kama muuwaji ni magufuli ushahidi gani tena unahitajika?

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Месяц назад +10

    Pole Sana Tundu Lissu

  • @Chocococoliam
    @Chocococoliam Месяц назад +1

    50 cents got nothing on my guy here….he survived em 16 bullets cuz

  • @JohnManyilizu-rl5bm
    @JohnManyilizu-rl5bm Месяц назад

    Pole sana tundu lisu

  • @gracious2020
    @gracious2020 Месяц назад

    Watuambie ni kina nani????? Na vyeo vyao, wakina Bashite Malyange!

  • @shadrackwilbard3834
    @shadrackwilbard3834 Месяц назад

    Wasi wasi wangu ni kwamba usije ukawaongezea spidi ya kukumaliza ili pasiwepo na kesi.

  • @saidmakombeni5155
    @saidmakombeni5155 Месяц назад

    Hivi wanasheria mtusaidie, kwani ni kosa kufatilia mawasiliano ya mtu?

  • @MoajGraphics
    @MoajGraphics Месяц назад

    Daaah

  • @amanduskimario4980
    @amanduskimario4980 Месяц назад +2

    Sitatumia mtandao wa Tigo kuanzia leo

  • @amankayinga3475
    @amankayinga3475 Месяц назад

    Tuone panapovuja endelea tuone kesi inakoenda yetu macho tu

  • @abdulwaheedsheikh8015
    @abdulwaheedsheikh8015 Месяц назад

    Kwa hiyo ndege ni za serekali ao za wananchi, kumbe watu wanataka wachukue ndege za wananchi ,ndege zilinunuliwa na kodi za wananchi wakiwemo wa vyama vyote , sasa inakuwaje

    • @kwayaviwawaparokiayabashne9281
      @kwayaviwawaparokiayabashne9281 Месяц назад

      Hiyo sijajua labda wakikataa wito wa Mahakama ila sijui itakuaje ila kama ni kweli MUNGU Amsaidie apate HAKI yake

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 Месяц назад

      Huo ndio utaratibu pale serikali ikishindw kutimiza wito au kulipa fidia

  • @AverinaShirati
    @AverinaShirati Месяц назад

    Hicho ndicho alichofanya apigwe risasi

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 Месяц назад +2

    Lisu una maneno mengi ya kulalamika sana lakini huna kitu chochote unachowapa wananchi cha kuwafanya wakuamini wewe kama kiongozi na wala si kibaraka wa wazungu kama unavyoonekana?

    • @youngsachafurniture5482
      @youngsachafurniture5482 Месяц назад

      Ww utakiwi kuongea kwa sababu ujaumia

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati Месяц назад

      Alikuwa kibalaka wazungu​@@youngsachafurniture5482

    • @MagakaManyanya
      @MagakaManyanya Месяц назад

      Lissu ndio kiongozi wetu kwa nyakati hizi. Huyu mama hawezi hata kupambana na cathelini ruge. Sembuse Lissu. Bila jeshi samia hawezi kushinda

    • @NuruLutembeja-h1r
      @NuruLutembeja-h1r Месяц назад

      Kama hauna cha kuongea acha,unataka awe MC wakukaa anasifiasifia upumbavu,kaumbwa kusema ukweli,anahaki yakulalamika nakama amekukela nenda mahakamani ukamshitaki moyo na roho yako ifurahi,kumbuka Tanzania ya Leo si ya miaka milioni iliyopita na kama haujarizika na maneno haya,njoo na Mimi unishitaki.Hatutaki ujinga tena.

    • @dullah-f7p
      @dullah-f7p Месяц назад +1

      wewe subili atekwe ndugu yako ndio utaona umuhimu wa lisu

  • @Lord-Kipsang
    @Lord-Kipsang Месяц назад

    Akiba haiozi.

  • @simonkosianga724
    @simonkosianga724 Месяц назад +1

    Hii ni moto

  • @abdulwaheedsheikh8015
    @abdulwaheedsheikh8015 Месяц назад +3

    Wazungu jamani wazungu hawa, hata kama ni wakweli ni ngumu kuwa amini maana wazungu lazima wafarakanishe wa africa ili nchi zao zi zidi kunufaika na madini na ma dili ya africa , so sijui wazungu kama wanatakia africa mema hata kama yanaonekana mema kwa macho.

    • @NuruLutembeja-h1r
      @NuruLutembeja-h1r Месяц назад +1

      Ukijitambua utaelewa.

    • @abdulwaheedsheikh8015
      @abdulwaheedsheikh8015 Месяц назад

      ​@@NuruLutembeja-h1r ni sawa nikijitambua nitaelewa lakini ukumbuke wazungu hao hao ndio walio kamatiwa na kuzuwiwa makinikia yasisafirishwe nje na alikuwa anawatetea wazungu makinikia yasikamatwe ni lisu kwa hiyo hata wazungu wamakinikia wanaweza kuwa walimpiga ili ionekane ni magu kafanya hivo. Sio kwamba napinga ao naunga mkono ila wazungu sio watu wakuamini ,wanajali maslahi ya ulaya, tizama yanayo endelea congo, siera Leone...lazima wawafrica wachonganishwe , ukikuwa utaelewa siasa mzungu kimataifa ,kuiba madini, mafuta, Mali asili,...

    • @NuruLutembeja-h1r
      @NuruLutembeja-h1r Месяц назад

      @@abdulwaheedsheikh8015 Kaa ukijua kuwa hakuna Lissu anatetea wazungu,kupindi hicho aliishauri Serikali kuwa isivunje mikataba kichwakichwa kwani italeta hasara kwa taifa,badala akaonekana MTU mbaya na akaitwa kila aina ya majina mabaya,na ukweli walopochukuwa maamuzi ya kukurupuka Serikali imelipa mapesa mengi tu kwa kutokuzingatia ushauri,na hakumaanisha kwamba kama wangefuata sheria mzungu angenufaika zaidi hapana,tungelipata haki yetu wa Tanzania na wao kama wawekrzaji wangrlipata haki yao kwa kufuata sheria vizuri,sasa unaposema tuiangalie Congo,Rwanda,Burundi,Libya nk,tambua kuwa kuwa watawala wengi duniani wenyemamlaka hawapendi wananchi wao wajie haki zao,wasihoji panapostahili kufanya hivyo,kingine mwamvuli wa Amani bandia usitufanye kuwa wa tumwa wa watu Fulani,kama ukweli hakuna upendeleo haya yanayoendelea yanakufurahisha,na kingine usitegemee Serikali ianze kumponda MTU wake wakati ni washirika.Wanayoyafanya ni screen language tu.kwa hiyo wote wanao lalamika kutendewa vibaya na Serikali wote ni vibaraka wa wazungu.Nikuombe mtanzania mwenzangu utafakari kwa kina zaidi na uruhusu akili na moyo wako uisimamie ukweli hapo ndipo utajua mbichi na mbivu.Tafakari sana Chukua hatua.

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 Месяц назад

      ​Na saiv makinikia inaendelea kwenda nje 😅ww una kiwanda gan cha madini 😅

    • @JacobSanday-u9h
      @JacobSanday-u9h Месяц назад

      Nibora ukoloni wa wazungu kuliko huu wa sasa. We unaongelea hayo makinika unajua baada ya kuzuia wazungu walifungua kesi na wameshinda? Ko aliezuia alitukosea sana na kipindi kile aliambiwa na lisu acha kuvunja mikataba kichwa kichwa itakugarimu na sasa imetugarimi tutawalipa wazungu

  • @Hemedally-o9x
    @Hemedally-o9x Месяц назад +4

    Tundu lisu hivi huyu slaa alie miandikia mpaka kitabu hamumuoni hamtaki ukweli wake mmekaxana uingereza ndio wakweli

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 Месяц назад

      Ona huyu nae!!

    • @mbwanahasan2971
      @mbwanahasan2971 Месяц назад

      Wee ndio mbumbumbu wa mwisho kama hujui karopoke kwenye mipira huko sio huku huelewi sijui ni uchawa?

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu Месяц назад

      Hili naloooo!! Una akili kweli wewe?

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 Месяц назад

    SASA UKIZIWIYA NDEGE KWANI NDEGE NI ZA WANANCHI AU SEREKALI?

  • @ayububrantaya6624
    @ayububrantaya6624 Месяц назад

    Kumekucha tayal

  • @RamadhaniAlly-mi2dg
    @RamadhaniAlly-mi2dg Месяц назад +1

    Wewe ni mleta matukio na machafuko kutoka kwa mabwana zako mabeberu.

  • @MaulidHimidi
    @MaulidHimidi Месяц назад +1

    Chadema SI tishio tena Kwa ccm

    • @CharlesMwakajinga-r5d
      @CharlesMwakajinga-r5d Месяц назад

      Toa sababu

    • @hamzakhamis1575
      @hamzakhamis1575 Месяц назад

      Baada ya kufeli kwa maandamano sasa wameamua kuja na mambo mengine ambayo sio kipao mbele kwa watu tunaojielewa.

  • @KopiscoIsaya
    @KopiscoIsaya Месяц назад +1

    We Usha kua victim wa risasi,tulia

  • @ghottaman2570
    @ghottaman2570 Месяц назад +1

    Tundu nae kuna mda kichwa chako kina matundu sijui sasa ndege ziki kamatwa hunae mkomoa nani Kama si mwana nchi aliye nunua izo ndege, au za Mama Samia? Kingne muache Magu apumzike kwa amani

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 Месяц назад

      Kazi ipo 😂😂

    • @JacobSanday-u9h
      @JacobSanday-u9h Месяц назад

      Apunzike wap wakat yey ni chanzo cha mambo yote

    • @hamzakhamis1575
      @hamzakhamis1575 Месяц назад

      Tundu inaonekana pyschological ameathirika kwahiyo mtu wa aina hii tujuwe kuishi nae tu.

  • @FredMramba-hx3gl
    @FredMramba-hx3gl Месяц назад +1

    CCM wanatamani huyu jamaa....

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw Месяц назад

    Nyie shabiki yeni tu mwisho wa picha ushahidi unatolewa anaonekana mbowe na genge lake sijui ntawaonaje kenge nyie

    • @emanuelsam1543
      @emanuelsam1543 Месяц назад +1

      Amka usijikojolee

    • @ShaibuYahaya-v4b
      @ShaibuYahaya-v4b Месяц назад

      we kenge mwenyewe mbwa mwitu

    • @youngsachafurniture5482
      @youngsachafurniture5482 Месяц назад

      Na akijulikana huyo unaemuamin itakuaje?

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 Месяц назад

      @saidAlly wewe ni laana.
      Yaani kuna watu wa ovyo. Wewe Saidi unafikiri chuki zako zitakufikisha mbali. Sio ajabu wewe ni kati ya wale wahusika wanaopaswa kutoa taarifa.

    • @NuruLutembeja-h1r
      @NuruLutembeja-h1r Месяц назад

      Wewe unasema anagenge Mbowe,basi lisaidie jeshi la polisi katika upelelezi,kingine wapuuzi kama wewe kwa dunia ya Leo hawahitajiki kabisaa kuendelea kuongea ujinga kama huo,jitafakari sana,hatuna ushabiki wewe ndiye unaushabiki,haiwezekani MTU anaongea mambo ya msingi unampuuza kiasi hicho,hata kama ni haki yako ya kuzungumuza,kama unafanya hivyo ili upate uteuzi,kuwa wazi tukupambanie na si kwa kuponda mambo ya msingi.Badilika chukua hatua.JITAFAKARI SANA.Mimi sikuohopi hata chembe,acha ujinga kabisaaaa!

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 Месяц назад +2

    Mwenyezi Mungu Azidi Kukulinda Mh,Tundu Lisu.🙏🙏🙏