Namuelewa D Nob. Tufahamu hakuna mtu mwenye haki miliki ya Jina la Yesu. The moment unapoamua kumkili,kumpokea na kumuamini,hapo hapo unakuwa na mamlaka ya kutumia nguvu za jina la Yesu bila mipaka. Hongera sana na M ungu akusaidie uendelee kudumu katika wokovu wako hata siku ya mwisho.
Mungu akubariki broo kwa uamuzi mzuri wa kumfuta Yesu umechagua fungu jema umefanya uamuzi wa maana sana dunia hii inapita kupatana na Mungu ni jambo jema sana
Swali langu ambalo nilikua najiuliza kila siku alipo D"KNOB,sasa hivi nadhani nimelipata.Nilikua nazimiss sana flow zake sana,maana ana dizaini ya kipekee
Mpaka hao wanaomuhoji wapate neema ya kuingia kwenye maisha aliyoingia DKNOB they will never understand his shift from the previous lifestyle to the current one. Until then sema GOD IS GOOD!
Kumb nzuri kubwa saana....D nimesoma nae jitegemee A' level darasa moja Comb moja (PCM), kubwa zaidi sisi wawili tulichelewa kuripoti jite (orientation) tukaripoti siku moja tar 02.07.2001. Hata majina yetu yalipangana kwenye registration. Anyways nakumbuka mbali sana, hongera sana ndgu yangu Kwa hatua hiyo! Huo wimbo uliomkutanisha na Mika nafikiri ni "Kosovo" huo wimbo alibust kama dmx kabisa.
Track ya kwanza kuipenda ya d knob inaitwa usiniache yupo na mez B, aliongea mengi sana ndani yake, Mungu akusimamie bro, thanks kwa Soggy unawakilisha sana #salute
Ila kaka maisha yana space tofauti, kama spiritual space inamtoa mtu katika matatizo bora iwe hivyo kwa huyo mtu. Ila tunaweza kukuuliza kuhusu falsafa unazofata now, ukakosa base na facts.
@@danielmwita2136 Shida ni hiyo Spiritual space unapoifungamanisha na dhana na maumbo ya kufikirika, halafu ukaja kuyatamka hadharani bila wasiwasi. Yesu, Muhammad, Mzimu, Mungu, Shetani, nk... Tajwa hapo juu huweza kutenda kazi moja yenye matokeo sawa kwa kila muumini wake. Hili lilipaswa kuamsha wengi. Kwa watoto ni sahihi, lakini kwa MTU mzima tena mwanaume, ni kinyaa.
Huku Mombasa Kenya cannibal kichwa kibovu aliokoka na huyu nae huko Tanzania aliokoka na kipindi cha nyuma walifanya collabo nyimbo inaitwa Badman .....so BADMAN na kichwa kibovu ni kama walipanga waokoke au vip...,....,?
Kila mtu na iman yake inategemea unasoma kitabu gani na unaabudu dheebu gani!kwaiyo ww kama iman yako inakwambia hakuna dhambi endelea na hiyo iman yako ya kutenda dhambi!!!
Burudani ya watu kukaa uchi...? kuhamasisha ulevi...? kuhamasisha uzinzi...? kuhamasisha mapenzi ya kinyume na maumbile....? BURUDANI IKO WAPI HAPO KAMA SIO LAANA TU
Namuelewa D Nob. Tufahamu hakuna mtu mwenye haki miliki ya Jina la Yesu. The moment unapoamua kumkili,kumpokea na kumuamini,hapo hapo unakuwa na mamlaka ya kutumia nguvu za jina la Yesu bila mipaka. Hongera sana na M ungu akusaidie uendelee kudumu katika wokovu wako hata siku ya mwisho.
Daaah respect brother kwa ulichokifanya
UBARIKIWE SANA BROTHER D.KNOB..❤
Stara Thomas naye aliokoka Mungu ni mwema😊
Hongera D knob Mungu akutangulie bro
Amen
Wenzako wananiogopa ka ukimwi kabla hawjakushauri nakushauri mimi nakumbuka baadhi ya mistari Yako hongera saana kwa kukili Yesu ni njia ya uzima
Utukufu ni kwa Yesu.....maana kila ulimi ni lazima ukiri kuwa Yesu ni BWANA na mwokozi wa maisha yetu......🙌🙌🙌
Namshukuru sana Mungu kwa huyu jamaa kuokoka,ni jamaa nnayempendaga sana.
Kuokoka kwa D Knob ni jambo jema, namshauri akitumie kipaji chake kuokoa wengine. Aimbe mambo yanayoendana na wokovu wake
Mungu ni kila kitu, Hongera sana Brother D Knob! Mungu aendeleee kufungua njia zako.
Bora umeokoka bro...Mungu akubariki..... Nakumbuka moja ya mstari wako wa kibabe " VITA VYA PANGA NAKUJA NA GUN"
Hongera sana Kaka,dunia hii tunapita kumchagua yesu ndo jambo Bora zaidi duniani
D knob bhana 😀nakuelewa saana brother you my good site mirror now nimeokoka pia Jana yako inatufundisha vingi kuelekea kesho yetu ✍️✍️ blessed
Mungu akubariki broo kwa uamuzi mzuri wa kumfuta Yesu umechagua fungu jema umefanya uamuzi wa maana sana dunia hii inapita kupatana na Mungu ni jambo jema sana
Big up DKnob for making the right choice!
Naanza kuunganisha dots kwa sasa,kill kilicho mfanya Canibal shata kuokoka ni uyu DKnob .Mungu mkubwa
Swali langu ambalo nilikua najiuliza kila siku alipo D"KNOB,sasa hivi nadhani nimelipata.Nilikua nazimiss sana flow zake sana,maana ana dizaini ya kipekee
D knob ndio DMX wa kitanzania
Na crazy GK awe nani?
@@a.k.agenius2177 Crazy GK anahits ngapi mzee, compared na D Knob? Hiyo mashine nyingine mzee
Sijajua umeanza kufatilia miki lini ila Gk ana hits nyingi kuliko D knob pia flow ya Gk ni ya Dmx kabsa
True
Dknob mtu sana GK ukiacha sauti ya manka sizani kama alikua na hits kali nyingine
Ulifanya maamzi mazuri sana kaka. Mungu akubariki sana.
D knob, mzee wa huaaaaa
Uuaaah, kuna lile jiwe lake 1 linaitwa Usiniache ni🔥🔥 wimbo ulikuwa kwenye Albam ya zote kali vol 1, ulewimbo unatosha kumshukuru Mungu.
Here comes the Living water,
Power and majesty praise to the KING💜💕💜
Mpaka hao wanaomuhoji wapate neema ya kuingia kwenye maisha aliyoingia DKNOB they will never understand his shift from the previous lifestyle to the current one. Until then sema GOD IS GOOD!
Waoooh hongera sana sana Bro🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
D alitisha sana miaka hiyo hongera pia kwa kuokoka
Usiniache ni track yangu best ever toka kwa D, alirekodi tukiwa frm V (jite) na alirekodi na school mate wangu (Mez b)!
I REMEMBER "BACK TO MY ROOT" mlikuja jitegemee, namkumbuka sana ni mzee wa huaaaaaa
D knob kachagua njia njema.
D nob ulichagua fungu jema Sana kuliko kuangukia kwenye madawa yakulevya
Uko sehemu sahihi D MUNGU akulinde usirudi nyuma
Mungu akubariki D knob upo njia sahihi sana.
We share the same history, japo mimi niliokoka kabla sijawa superstar. Usonge mbele ndugu.
Karibu kwa YESU.D KNOB
The industry from Mombasa..big up
Nmemkumbuka mshkaji wng Philbert,r.i.p ,,,soggy dog na d nob
Umechagua njia sahihi sana
SOGGY DOGGY UNAMKUMBUKA ..ACHEBE WA MBEYA ENZI HIZO UKO META SECONDARY MBEYA TOWN ENZI ZILEEE❤
❤❤❤ Bwana Yesu asifiwe King. Love you.
Utukufu kwa Yesu
Sahani Colonel babaake mzazi Rafiki yangu.
d nob namkubali baba nakumbuka shule mhachie bradher
Dah roho inaniuma sana huyu mwamba kuacha game
Hakuna mwenye Panch nzito duniani kama huyu
Panch ni zipi tena? Duniani?🤣🤣
Kubal tu ndg,ww kwel inakuuma lakin uamuzi wake ni sahihi kwake na ana aman
Ndomaana akajitoa kwenye social platforms nyie ndo mngemrudisha nyuma
Huyu jamaa dah namkubali sana kumbe ameokoka dah
All time best rapper in Tz 🙌 //D-Knob
Kumb nzuri kubwa saana....D nimesoma nae jitegemee A' level darasa moja Comb moja (PCM), kubwa zaidi sisi wawili tulichelewa kuripoti jite (orientation) tukaripoti siku moja tar 02.07.2001. Hata majina yetu yalipangana kwenye registration. Anyways nakumbuka mbali sana, hongera sana ndgu yangu Kwa hatua hiyo!
Huo wimbo uliomkutanisha na Mika nafikiri ni "Kosovo" huo wimbo alibust kama dmx kabisa.
Congratulations brother D.knob
to receive Jesus
natamani kuonana ww live
Hongera mr Innocent
Salvation is grace hallelujah
Track ya kwanza kuipenda ya d knob inaitwa usiniache yupo na mez B, aliongea mengi sana ndani yake, Mungu akusimamie bro, thanks kwa Soggy unawakilisha sana #salute
Mez B alicharaza Chorus Kali sana...Beat ikitulia sana ila D Knob aliongea sana khs Mungu na unyonge wake yeye D Knob daamn
Noma sanaaa mzee
bonge moja ya track
Yaaaa man of Jah, Jah azidi kukutunza na kukupa neema zaidi ya ufalme wake
Yaani aisee nimefurahi sana kuwakumbuka hawa wasanii maana unakuta unajiuliza yukowapi then hupati majibu sasa hapa mjin fm nimepapenda sana
D knob uhaaa sauti ya gharama Mzee ulikuwa noma
Chaguo sahihi Mr d
Mr sahani❤mtaani most wanted
Big up wakuu
Ngoja nidownload nyimbo zake zote.
Safi sana. Mmenifanya niisikilize yote
Hapo kwenye pombe dah natamani sana kuacha na mm niokolewe inakua ngumu ila najua ipo siku na mm ntakua kama walioacha.Tuombeane!!
I can feel it he has met the saviour 🔥🔥🔥
He was an empty---->Alcoholic-----> experiencing a new lifestyle-----> moving forward.
Naomba kuonana na huyu mtu.
Ni neema ya BWANA 🙏
Safi sana, umechagua fungu lililo jema
Kaka Hajj Nura Ngarama ni muha wa Kakonko mama yake ndo Muhaya
Ubarikiwe sana na hongera kwa maamuzi
One among my best interview, D Knob namkubali sana. Hongera sana kwake kwa kuchagua njia iliyo sahihi!!
Jesus is the Power.
Ni yeye
Sijui kwanini nimehuzunishwa na Interview ya D Knob
Nimependa sana interview yake
❤❤❤❤❤ d knob
My favorites artist
Huyu jamaa yupo smart xana
Maisha yangu kabisa haya aisee...
Inahudhunisha sana kuona kijana wa kiume amerubunika kwa imani za makanisa na misikiti. Mnawapa kazi ngumu watoto wenu kujitambua.
Mbona sijakusoma
@@AsmaAmeir Kauli kama '...hata ukikutana na Yesu leo ana makovu...' inatia kinyaa kutamkwa na mtu mzima, tena baba wa familia.
Big brain 💪
Ila kaka maisha yana space tofauti, kama spiritual space inamtoa mtu katika matatizo bora iwe hivyo kwa huyo mtu.
Ila tunaweza kukuuliza kuhusu falsafa unazofata now, ukakosa base na facts.
@@danielmwita2136 Shida ni hiyo Spiritual space unapoifungamanisha na dhana na maumbo ya kufikirika, halafu ukaja kuyatamka hadharani bila wasiwasi. Yesu, Muhammad, Mzimu, Mungu, Shetani, nk...
Tajwa hapo juu huweza kutenda kazi moja yenye matokeo sawa kwa kila muumini wake. Hili lilipaswa kuamsha wengi.
Kwa watoto ni sahihi, lakini kwa MTU mzima tena mwanaume, ni kinyaa.
Kitu gani umemaindi,iliweza aisee
Kongole kwake afanye gospel hip hop
Inspiration interview for those who are struggling to seek his face.
Kama ningekuwa Mimi nisingekuwa rafiki wa mimi
Sogy dog nakukubali sana
Naomba namba ya Mtumishi wa MUNGU D knob
Nami pia nahitaji namba ya Mtumishi
Am happy for you
Mwamba bado ananyoa dongo tuh
Njombe Uwemba
Elimu mtaani ilibamba sana
❤ Aaaaamin
LEGEND🔥🔥🔥🇹🇿🔥🇹🇿🇹🇿🔥🇹🇿🔥🔥🔥🔥
Huku Mombasa Kenya cannibal kichwa kibovu aliokoka na huyu nae huko Tanzania aliokoka na kipindi cha nyuma walifanya collabo nyimbo inaitwa Badman .....so BADMAN na kichwa kibovu ni kama walipanga waokoke au vip...,....,?
Neema ya Kristo iliwafikia..
AMEN
dmx iyo ipo sahihi mkuu pambana uko sio baadae unarudi mjini
Dada jifunze kutofautisha r na l coz wewe ni mtangazaj na kipndi chenu kiukwel ni kizur
ktk interview nilizokua nazitamani ni hii, hadi nilitamani niwe presenter ili nimfanyie interview uyu jamaa...
D. knob namkubali sana🙌🙌
Soggy plz Hebu acheni kuweka mziki nyuma ya interview inaondoa utamu wa interview
Hayo ma miziki yanazinguwa
soggy inabd umtafute na kali p maana nae nasikia kawa shek.
Miraji Abdul Hawezi kuja hapo
Kakaman yupo wapi ilo swali hamujalijibu ata mm natka kujua yupo wap mujibuu
Mitaaani most wanted
Huyu mtangazaji mwingine mwanaume ukiacha soggy anaitwa nani.?
🔥🔥
Kali P”
kuokoka ni siku ya mwisho duniani hakuna kuokoka, soma marko 13/13
Shukuru tu mtu akiachana na vitu ambavyo yeye binafsi vinamuathiri.
Haujui tu why watu wanakula drugs n.k ni hiyo hali ya kuwa unajiskia down..
Unasubiri ufe ndo uokoke mzee,kuokoka ni kabla ujafa ndo wakati watu kama wanadam,ukifa ujaokoka jehanam inakuusu
Kaa hapo kwaiyo jehanum ni ya kaz gani
Ahadi za Boss (ndio boss) - Tonny ft Ngwair - Soggy hili pini kitambo sana, Tonny alichana sana
Uyo Presenter ni Soggy.?
Nauliza mrap kaenda wapi yule dogo..alikua anachana
Yuko Uingereza
Am a bad man huko ulipo sipo get away from me.
Kama ningekua mimi nisingekua mshikaji na mimi baadi ya mistari najarb kumbka kwenye track ya D knob
Mitaani most wanted
😂😂😂666
Bongo fleva ni burudani sio zambi ukisoma amosi 5 mastari wa 18 utaona mungu anasemaje acheni ushamba kuokoka mwisho kaburini sio duniani
Kila mtu na iman yake inategemea unasoma kitabu gani na unaabudu dheebu gani!kwaiyo ww kama iman yako inakwambia hakuna dhambi endelea na hiyo iman yako ya kutenda dhambi!!!
Kaka unachafua dini za watu okoka aisee...
Burudani ya watu kukaa uchi...?
kuhamasisha ulevi...?
kuhamasisha uzinzi...?
kuhamasisha mapenzi ya kinyume na maumbile....?
BURUDANI IKO WAPI HAPO KAMA SIO LAANA TU