BEHIND THE SCENE: SKUDU, JUX, NA G NAKO WAKISHOOT VIDEO YA UTAMBULISHO.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 июл 2023
  • #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi
  • СпортСпорт

Комментарии • 161

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 10 месяцев назад +33

    Alhamndulilah upendo uliokuwepo ndani ya timu yetu nizaidi ya upendo nakuomba Allah tuzidishie na uwezo Inshaallah

  • @jobagustino9077
    @jobagustino9077 10 месяцев назад +17

    Ukiangalia unajikuta untabasamu, alafu hujui unatabasamu nini, hii Yanga hii 😂😂 keep it on president

  • @joshuakyungu1856
    @joshuakyungu1856 10 месяцев назад +14

    Sport is about entertainment
    Big up my club. I so appreciate the way our leaders take their responsibility for our team
    I can't wait for the league to start 💚💚💛💛💚💚
    Daima mbele -Nyuma mwiko

  • @yasinkhatib618
    @yasinkhatib618 10 месяцев назад +15

    Mlomuona mwanasheria wa FIFA akiwa Makin kufatilia burdan gongeni 👍

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 10 месяцев назад +4

    Kuna mchezaji ukimwangalia tuu unajua kabisa huyu ni hatarii bado ni kijana anaonekana nguvu anayo Mungu amuongezee nguvu zaidi kuipambania Tim yetu furaha ziendelee

  • @essaujonathan6663
    @essaujonathan6663 10 месяцев назад +7

    My team my everything 💚💚💚🤗🤗🤗🤗

  • @tariknassoraucho5814
    @tariknassoraucho5814 10 месяцев назад +10

    Ali kamwe uache uandish yanga uwe dance wetu hahah 😂😂😂😂 I love you Yanga ❤

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 10 месяцев назад +14

    Skuduuuuui All the best brother..Wananchi we're happy for you.
    Welcome YOUNG AFRICANS.

  • @user-pl3du3jf8s
    @user-pl3du3jf8s 10 месяцев назад +5

    Mungu akupe afya kaka ufanye vizuri

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 10 месяцев назад +3

    Alihamundulilah Mashaalah mungu awajalie afya njema viongozi wetu. Hakika no upendo mkubwa

  • @graceanyungu2774
    @graceanyungu2774 10 месяцев назад +4

    Alikamwe oyeeeh I like ur vibe my team

  • @rashidywandwi1543
    @rashidywandwi1543 10 месяцев назад +6

    Al kucheza ajui na unaaibu ukicheza nakuona unajirudishq nyuma mzee❤

  • @iamabuumanimani8927
    @iamabuumanimani8927 10 месяцев назад +4

    sema mwamba analeta vibe sana

  • @yusufumwakyambiki8062
    @yusufumwakyambiki8062 10 месяцев назад +1

    Hiii team imeshindikana 😂😂💛💚💛💚🙌🙌 mungu atujaarie msimu ujao ukawe wenye fura kwetu tukabebe wakombe tena

  • @mamuwadomu8448
    @mamuwadomu8448 10 месяцев назад +5

    Alikamwe anavyopuyanga sasa 😂 😂😂

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj 10 месяцев назад +3

    Karibu kwenye upendo na kazi🎉

  • @jr_mkumbojr
    @jr_mkumbojr 10 месяцев назад +5

    Yanga digital team🎉🎉🎉

  • @fortunatafelician5625
    @fortunatafelician5625 10 месяцев назад +3

    Bravo!!!!vibe kama lote

  • @naomysalumu1858
    @naomysalumu1858 10 месяцев назад +3

    Uyo Ali kamwe anarusha mikono2 😁😁

  • @kongodamas7407
    @kongodamas7407 10 месяцев назад +4

    Such kind LOVE🔰🔰💚

  • @latifamohammed61
    @latifamohammed61 10 месяцев назад +4

    Wakwanza wanainchiii

  • @leoncengabo5799
    @leoncengabo5799 10 месяцев назад +2

    Yanga raha jamani!!!
    Bujumbura tunasemaje???Yanga namba one.Nimejalibu kuzunguuka Bujumbura kuona jezi ya dunduka nikama kutafuta maziwa ya chura.kkkkkkkkkkkkkkkkkk

    • @francepaul7711
      @francepaul7711 10 месяцев назад

      Ila wewe jamaaa😂😂😂😂

  • @bujashidaniel5537
    @bujashidaniel5537 10 месяцев назад

    Skudu jamaa kama celebrity fulan hv ,, Yanga Kubwa sana

  • @salahtv5591
    @salahtv5591 10 месяцев назад +1

    Ali kamwe kuchez hujui

  • @BonifaceBoniface-sm3xx
    @BonifaceBoniface-sm3xx 10 месяцев назад

    Alikwamwe unachekesha jamaaa. Kipaji chako ni kuhamasisha tuuuuuyu

  • @rezicky
    @rezicky 10 месяцев назад

    Waoo yanga rahaaaa daima mbele 💚💛💚💛💚💛💚💪

  • @abdulysaid4106
    @abdulysaid4106 10 месяцев назад +1

    Wapili mwanaaaaanchiiiiii

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 10 месяцев назад

    Kijana saana huyu jmn,karibu utupe rahaaaaaa

  • @magrethmwantwebe358
    @magrethmwantwebe358 10 месяцев назад

    Amekuwa mwenyeji mapema sana aiseee, all the best kwenye majukumu yake, akawachezeshe amapiano Uwanjani, umaarufu atuachie sisi mashabiki😂

  • @kamdinindevu5185
    @kamdinindevu5185 10 месяцев назад +1

    Asanteee

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 10 месяцев назад

    Yanga niacheni kidogo nazidi tu kunenepa kwa ajili ya Yanga 💛💚💛💚🙏🙏

  • @ashurahatibu5069
    @ashurahatibu5069 10 месяцев назад

    Mpiga picha na kitambi mweeee

  • @emanuelmiyonjo4484
    @emanuelmiyonjo4484 10 месяцев назад +1

    Hersi naona anatabasamu tu
    Oyooooooooooo yanga tamu

  • @othumanally4529
    @othumanally4529 10 месяцев назад

    Big Up kwa kitengo cha Digital chini ya wataalam vijana wadogo kabisa wa YANGA. Tthe way mnavyotambulisha wachezaji wetu ni Buruuuuudaaasni. Kumbe makolo nao jana walikesha?

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 10 месяцев назад +1

    All the best all be blessed all I love you all shalom shalom shalom

  • @gudalifa
    @gudalifa 10 месяцев назад

    Hii imeenda

  • @mirroyjunior8348
    @mirroyjunior8348 10 месяцев назад

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @lightnessabdallah2340
    @lightnessabdallah2340 10 месяцев назад

    Oya eee mwenzenu mm shabiki wa yanga ukijipitisha tunapiga bao Ahsante💛💛💚💚

  • @asiasaidi-zc5gq
    @asiasaidi-zc5gq 10 месяцев назад +3

    Kamwe na alwatani kucheza awajui ila tunainjoy 😂😂😂😂

  • @dannychali7936
    @dannychali7936 10 месяцев назад +4

    Photographer fanya mazoezi Nundu hyo
    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @nettrekker
      @nettrekker 10 месяцев назад

      😂😂😂😂

  • @saidindambachia8229
    @saidindambachia8229 10 месяцев назад

    daima mbele

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 10 месяцев назад

    Hii yanga ni ya moto Sanaa saaan zaidi ya mcimu uliyopita

  • @reganclarence4657
    @reganclarence4657 10 месяцев назад +1

    daah...kweli mmejua kuua wajomba maana sio kwa raha hizi

  • @paulwalker4383
    @paulwalker4383 10 месяцев назад

    Yanga hadi laha💚💛

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 10 месяцев назад

    Inapendeza sana

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy8499 10 месяцев назад

    Huyu namba 6 kweli ni amabiano boy yaani Kama msanii tu😂😂😂🎉🎉🎉

  • @emanuelijabu
    @emanuelijabu 10 месяцев назад +1

    Hii imeenda😂😂

  • @nemamgona5886
    @nemamgona5886 10 месяцев назад

    Ila uyo skudu sasa mwepes kushika jambo ajitahid nampil iwe ivo ivo

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 10 месяцев назад +2

    Na enjoy tuuu🎉❤

  • @jafariignas
    @jafariignas 10 месяцев назад

    Yanga rahaaaaa

  • @marryhaule110
    @marryhaule110 10 месяцев назад +1

    Ali acha uongo

  • @athumaninyituki7011
    @athumaninyituki7011 10 месяцев назад

    Jamna yangAaaaaa

  • @FirdausyAbubakary-bl2wo
    @FirdausyAbubakary-bl2wo 10 месяцев назад +1

    Skudu ana miaka mingapi mbn kadogo saana na naona katawakimbiza hattaree😂😂😂😂

  • @greaterjustin2231
    @greaterjustin2231 10 месяцев назад

    Skudu na Azizi vipenzi vya eng Hersi rais wa club si mnaona jamaa anavyofrah

  • @hamisuuhamadi1663
    @hamisuuhamadi1663 10 месяцев назад

    Jamn skudu kachangamka blaaa anaubonda kisawswa😂😂😂

  • @janethalbert2636
    @janethalbert2636 10 месяцев назад

    Kwan skudu kaja lin bongo nakujua kucheza jmn

  • @SUNDAYMRGAMINGTZ
    @SUNDAYMRGAMINGTZ 10 месяцев назад

    Nice 1

  • @MashakaIddy-go2tv
    @MashakaIddy-go2tv 10 месяцев назад

    Atari sanaa

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 10 месяцев назад

    Yanga tamuuuuuu😂😂😂

  • @mwanjaaseif5229
    @mwanjaaseif5229 10 месяцев назад

    🔥🔥

  • @MbuyaJrAlvin
    @MbuyaJrAlvin 10 месяцев назад +1

    Khaa! Kwl Skudu alikuwa na siku ndefu sanaaa 😂😂😂

  • @HussainMaula-mw8vz
    @HussainMaula-mw8vz 10 месяцев назад

    Misukule ina kazi

  • @nemamgona5886
    @nemamgona5886 10 месяцев назад

    Jamani alikamwe unatuuwa uku mhhhh

  • @senseiamani4684
    @senseiamani4684 10 месяцев назад +1

    Namba 6 imetikisa zaidi kuliko usiku wa Aziz kii

  • @rahmalovelymakeup-xy1qp
    @rahmalovelymakeup-xy1qp 10 месяцев назад

    Alikamw Ebooh😂😂

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 10 месяцев назад

    Reginald kabisaaaa

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 10 месяцев назад

    Yanga Raha jamn jmn

  • @irenemwewe3566
    @irenemwewe3566 10 месяцев назад

    Ally kamwe abaki tu kwenye kitengo chake,,uku hapana kwakweli

  • @reginaldstephen7712
    @reginaldstephen7712 10 месяцев назад +1

    Naomba Taarifa zifike na upande wa pili huko mlimani Kilimanjaro ya kwamba Kuna watu watapigwa chenga mpk waombe poo😂 Niko pale.hii imeenda

  • @fayeezabdallah2217
    @fayeezabdallah2217 10 месяцев назад

    camera kitumbo kama bastola fany mazoez inshaAllah

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 10 месяцев назад

    Raha km zote jmn

  • @emmanuelbmaduhu3198
    @emmanuelbmaduhu3198 10 месяцев назад

    Good things

  • @brightontheogenes5093
    @brightontheogenes5093 10 месяцев назад

    ile ngao yenye mapembe kaikataee

  • @hassanchikwaya4170
    @hassanchikwaya4170 10 месяцев назад +1

    Siku ya wananchi tunaomba Jux hawepo

  • @mariamsuku7021
    @mariamsuku7021 10 месяцев назад

    💛💚💛💚

  • @zubedahamis2346
    @zubedahamis2346 10 месяцев назад

    😅😅😅😅anaelewaaa au anacheza TU maskini ila anajua😅😅😅😅😅

  • @ibrahimmwasamila6412
    @ibrahimmwasamila6412 10 месяцев назад

    Nimelipia kadi yangu kupitia mpesa lakini hamjahuisha kadi yangu

  • @augustinomkongwa5444
    @augustinomkongwa5444 10 месяцев назад +1

    Ally kamwe huyu scudu ndugu yako?? Mnamrandano fulani 😄😄😄😄

  • @kanchitarshi
    @kanchitarshi 10 месяцев назад

    😂😂😂😂😂 our team yangaaaaa

  • @IsaacMadoshi-kq8uw
    @IsaacMadoshi-kq8uw 10 месяцев назад

    Mnamchezesha asahau mpira 😅

  • @mwishee84abdallah99
    @mwishee84abdallah99 10 месяцев назад

    🎉🔰🔰🔰👊🏾

  • @Andrew_Kibasa
    @Andrew_Kibasa 10 месяцев назад +1

    Skudu master 🔥🔥

  • @davidkapwela6239
    @davidkapwela6239 10 месяцев назад +1

    😂😂😂😂alikamwe

  • @ceciliadaudi1632
    @ceciliadaudi1632 10 месяцев назад

    Ali kamwe hapana 😃😃😃😃

  • @mariamkisra5966
    @mariamkisra5966 10 месяцев назад

    💚💛💚💛💚💛

  • @maronlukas
    @maronlukas 10 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @mgayamwananchi
    @mgayamwananchi 10 месяцев назад

    Asee watu mna siri nyiee😅😅😅😅😅 yaani nyie wote mlishindwa ata kutupenyezea

  • @micomeshack7024
    @micomeshack7024 10 месяцев назад

    Hii imeenda 😅😅

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 10 месяцев назад

    Yani kuna mtu bado yupo kwenye club ya thimbwa kweli majambu hebu njoni huku kwenye tasisi kubwa km yanga ufurahie maisha uwongeze siku za kuwishi

  • @abdallahjuma382
    @abdallahjuma382 10 месяцев назад +1

    Huyu cameraman wetu wa timu itabidi awe anafanya mazoezi na timu apunguze mwili na tumbo

  • @ellymichael386
    @ellymichael386 10 месяцев назад

    Skudu angeamua kudanganya umri angedanganya na watu wasingejua..huyu kimwonekano unaweza amini kwamba kapombe kazidiwa naye umri kwel😁😁😁

  • @user-zx1rj4tt3i
    @user-zx1rj4tt3i 10 месяцев назад

    Chechezeni mi naitaji nione uwanjani

  • @rehemahalfan5044
    @rehemahalfan5044 10 месяцев назад

    Ama piano

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 10 месяцев назад

    Alikamwe😂😂😂😂😂😂

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 10 месяцев назад

    Huyu yupo viziri saana ajua ball huy

  • @neziajoseph9726
    @neziajoseph9726 10 месяцев назад

    Hahaha huyo skudu kama dancer vile akili za haraka ana master style hapo hapo

  • @paulsamwel1144
    @paulsamwel1144 10 месяцев назад

    Utopol bhana bora ata angebaki kisinda

    • @mishikombowato1457
      @mishikombowato1457 10 месяцев назад

      Unateseka ukiwa wapi

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 10 месяцев назад

      Unatufatilia vzr dada angu ndani ya Moyo wako unasema hawa jamaa msimu huu Wanabeba Tena sisi tunasema hivi hii IMEENDA

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 10 месяцев назад

      @@mishikombowato1457 unafikir anateseka huyu ,,,,si umeona ana burudika na vitu vya yanga Moyo wake usingetulia ndo maana yupo bize kwel kwel kutufuatilia ila anajidai Bora kisinda ili hali anatambua ukwel ulivyo kuwa Kuna balaa litawakuta Tena 😁😁😁

  • @Veni584
    @Veni584 10 месяцев назад +1

    Kipindi mmekitendea haki, shughuli ya wanaume ni wanaume tu

  • @user-mz4ji4ft2k
    @user-mz4ji4ft2k 10 месяцев назад

    Jaman wadau makabi lilepo Ni kweliii ama hiii Ni kufuru,,,

  • @rehemanmkumbo5631
    @rehemanmkumbo5631 10 месяцев назад

    Yaan unatamani kuendelea kuangalia nakusikiliza