BOB HAISA ASIMULIA ALIVYOOKOTA MAKOPO BAADA YA KUFILISIKA/WCB NAMTAKA MMOJA/HARMONIZE NAMKUBALI SAN

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024

Комментарии • 28

  • @salimucvales7495
    @salimucvales7495 4 года назад

    Mungu ni mwema kaka mungu akusaidie bado uko vizur piga kazi

  • @masumbukoramadhan7309
    @masumbukoramadhan7309 4 года назад

    Hongera brother wa mitindo cina aka bonden

  • @josephkafumu6921
    @josephkafumu6921 4 года назад

    Ludi kwenye gem best mziki wako niwatofauti sana Radha nzuri sana

  • @yudatadeshayo4434
    @yudatadeshayo4434 4 года назад

    Jamaa ni super dope kuna funzo kubwa sana hapa

  • @saedissah2197
    @saedissah2197 4 года назад +2

    King Haisa duuh long time bro

  • @kamalbashir5127
    @kamalbashir5127 4 года назад +1

    Big up 'Bob waisa Uko vizuri' rudini wenye mziki wenu 'akina hamo na wengine wanaimba kopy tuuu

  • @paulnkuba4203
    @paulnkuba4203 3 года назад

    Pw brooo nimekuelewa

  • @shaculabdul8242
    @shaculabdul8242 4 года назад +1

    Nakukubali sana haisa

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 4 года назад +1

    Uyu Jamaa ni MTU mzuri sana pia amejielezea vizuri tena kuna watu tumejifunza vingi sana

  • @deboramatpapaztv
    @deboramatpapaztv 4 года назад

    Haki ya Mungu nyimbo zako za kisukuma unaziwezeaga sana kaka

  • @vincegelas
    @vincegelas 4 года назад +2

    Nnakkumbuka nlikuon hapo misungwi man umevaa yeboyebo zako walaaa huwazi
    Dah Mungu akupiganie urudi kweny levo zako kamanda wng

  • @aceotz2579
    @aceotz2579 4 года назад

    Muziki una kupanda na kushuka❤

  • @johnmatiko2596
    @johnmatiko2596 4 года назад +3

    Nimependa hiyo HIP hop ya kisukuma 😂😂😂😂

  • @sylvestermihale404
    @sylvestermihale404 4 года назад +1

    Daaah weee jaamaaa upo kumbe na ulikuwepoo??
    Nilikua nikikukumbuka kwa nyimbo zako hususani huo wakisukuma wa shipando wachileee daaah 😭😰 rudi tena kwenye gem broo.

  • @deboramatpapaztv
    @deboramatpapaztv 4 года назад +1

    Nilichokitarajia kwenye hii interview
    .tunajua kweli karudi ila zaid tulitarajia kujua in 8 yrs aliishije,,,mke wake ameenda wapi?kwa undan ili tujifunze..sasa mpaka yy ndo anajikuta ndo anajielezea ..ila kuna vingi sana kwa huyu kaka....

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 4 года назад +1

    Ata Mimi pia nilishindwa sana kuwatofautisha

  • @fuadshell5188
    @fuadshell5188 4 года назад +1

    Jiunge na bwana mdogo Hamonize (rajabu) mutapanda sana

  • @kerosenealimasi8019
    @kerosenealimasi8019 4 года назад

    This funny 😂😂😂
    Ili GOGO jamani silikaye limuabudu Allah! !!

  • @fuadshell5188
    @fuadshell5188 4 года назад

    Msukuma mwenzangu nimefurahi k

    • @fuadshell5188
      @fuadshell5188 4 года назад

      Nimefurahi kwa nyimbo ya kisukuma umenikumbusha mbali.hata alibai soda akiueka

  • @mwanzashinyanga8060
    @mwanzashinyanga8060 4 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣nimecheka kwa sauti sana bob haisa

  • @rosemaiko9405
    @rosemaiko9405 4 года назад

    Music asili mbongo freva

  • @cmantz8837
    @cmantz8837 4 года назад

    Bhatoja shipando dah! raha sana

  • @deboramatpapaztv
    @deboramatpapaztv 4 года назад

    Ila kwa nn nyimbo zako zote hazipo youtube?hata hiyo ya rap za kisukuma ht ule wa twizaga ooh twizaga?

  • @gydherbals255
    @gydherbals255 4 года назад +1

    noma

  • @paulmafuru7283
    @paulmafuru7283 4 года назад

    Huyu jamaa n kweli bn aliokota makopo Misungwi pale stand tulikuwa tunamwona lkn tunashukuru Mungu Kama amerudi kweny mziki Mungu apewe sifa

  • @romadanromadan4398
    @romadanromadan4398 4 года назад

    😀😀💪

  • @hashimumohamed7641
    @hashimumohamed7641 4 года назад

    Wakitambo