WAHESHIMIWA MADIWANI NA WATAALAM KUSIMAMIA NA KUFUATILIA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO
HTML-код
- Опубликовано: 1 фев 2025
- Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Mhe,Ramadhan Shumbi amewataka waheshimiwa madiwani na wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya kuendelea kushurikiana nkatika kusimamia na kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa miradi ya maendeleo.