LAST CARD _ EP 21

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • #kp #kpnazebuu #lastcard #bintinyoka #wamangushi #zebuu #kpcomedy

Комментарии • 941

  • @salimkharisa8186
    @salimkharisa8186 Год назад +63

    Yani uyu sheila anavyonikosha anafaa kabisa kupewa kazi serekalini anajua sana uhusika❤❤

  • @BiisheBugao
    @BiisheBugao Год назад +309

    Congratulate sheila 😂😂😂 Nakupenda msichana hauna mbambamba kwenye kazi zako....kma umemkubali sheila gonga like tukisonga jamanii...

    • @Malandodaudjr
      @Malandodaudjr Год назад +10

      Hii Kali sana 😂 kisai kazi anayo

    • @sharifmwinyi5282
      @sharifmwinyi5282 Год назад +11

      Saum nikiwa saudi,,pongezi Kwa wote, yani hoo movie Muli ipanga ikabakika kweli,Sheila ongera Sana,nimepeda Leo ulifo weka SIM Kwa box kisai amebaki mdomo wazi ,Kwa kweli nawapeda nyote

    • @mang2202
      @mang2202 Год назад +5

      Mimi hua nibaili kutumia MB RUclips ila kwa hii movie imeniteka sana pongezi kwao👏👏👏

    • @fatumasalim1745
      @fatumasalim1745 Год назад +3

      Nampenda San sheila na mzee Likoma na kp hongeren sana

    • @Soda-c9x
      @Soda-c9x Год назад +2

      ❤❤❤❤Sheila good girl

  • @AgnesMwongeli-n4f
    @AgnesMwongeli-n4f Месяц назад +3

    I adore you, Sheila, for the way you act. You are truly exceptional, and wherever there are your movies, I never fail to watch them.

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 Год назад +7

    Duu sheila noma Haha kinasasauti pap chezea mpelelezi wakujiamini

  • @ChristianRugenge-kd1xh
    @ChristianRugenge-kd1xh Год назад +15

    Sisi wengine tunakesha RUclips Kwaku subiri serie yetu last card muwe Na towa ata mbili mbili Kwa Siku. Sheila apewe mauwa yake jamani Kwa sababu ana igiza vizuri sana thanks Sheila ❤❤❤❤

  • @gracejastini
    @gracejastini Год назад +6

    Mres shei shei uko vzur kweny kazi yako nakupenda bule

  • @Zadig_Le_Juste
    @Zadig_Le_Juste Год назад +47

    Best Team ever to see,
    Kp's lovers gonga like hapa

  • @ishladyishlady7897
    @ishladyishlady7897 Год назад +10

    Mrs sheishei na mr kp mpewe hongera kwa kazi nzuiri sana pig up team last card 🤜🤜🤜❤

  • @NancySibiaOnguti-gb9yq
    @NancySibiaOnguti-gb9yq Год назад +5

    Shey shey haki wewe na akili mnaedana sana sijui nikushake unigawe kidogo

  • @faithnyansera1124
    @faithnyansera1124 Год назад +9

    Jibu atasema nn WOW I like this game Sheila much love to you na kp na zebuu good work make me happy ❤❤❤

  • @MasikaCom-dv8vf
    @MasikaCom-dv8vf Год назад +5

    Heee yaani leo muna juwakuni furahish Mrs sheishei well done ayiiiiyaa nahitaji mwendelezo hata sahiii ila uwezo hanina asanteni watu wangu Mungu awa zidishiye

  • @abasskamanda7761
    @abasskamanda7761 Год назад +5

    Ms shei kiukweli uko vizuri ktk kazi yako

  • @damawangoni
    @damawangoni Год назад +69

    Much love from 🇰🇪❤❤ great job kp and your group congratulations

  • @purity134
    @purity134 Год назад +26

    Much love Sheila,you fit every character dear talent pays

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 Год назад +4

    Waooo sijachelewa sn jmn ❤❤❤❤ naipenda sana tm KP Mungu azidy kuwapigania

  • @MarthaIsrael-kn7ud
    @MarthaIsrael-kn7ud Год назад +14

    Kp nakuoneya urumasana kupambana akiyako kisai nimekuta nimekuchukia kuwagombanisha zebuu na kp unaakilinyingi kwenye last card fram Australia gali bado natafuta ela kwasababu yako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😮😮😮😮😮😮❤❤😢😢😢😢😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ninalia kp nakupenda mimi nimuzungu nimeanza kupitia tanzania❤❤❤❤❤❤

    • @AshreyMartine-gz5vu
      @AshreyMartine-gz5vu Год назад

      Tunakupenda pia

    • @ulediSada
      @ulediSada 2 месяца назад

      Haki mss shei shei haa umenipa raha sana kwenye hiyi mouvi yani umewuva uwusika kama nikweli vile haki unastaili kazi serikalini nakupenda wewe

    • @ulediSada
      @ulediSada 2 месяца назад

      Na kp na zebu haaa mweye namweye ninoma sana duu

  • @Mummywamulumewe
    @Mummywamulumewe Год назад +21

    Nimependwa hiii ya Leo sheilaa Binti likoma hongera sna Kwa kujua kucheza hii move aki 🎉🎉🎉❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹🌹

  • @SarahWanyonyi-dz6hq
    @SarahWanyonyi-dz6hq Год назад +14

    Mrs shayshay we n mnoma sana aky mungu akuzidishie mpendwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @celinandyamkama1821
    @celinandyamkama1821 Год назад +6

    Miss Shei shei nimekupenda bure yaani umecheza vizuri ❤❤

  • @AgnesMwongeli-n4f
    @AgnesMwongeli-n4f Месяц назад +1

    I have immense admiration for you, Sheila, because of the incredible way you portray your characters. Your talent is unparalleled, and your performances resonate deeply with me. You stand out as an extraordinary artist, and whenever one of your movies is on, I always make sure not to miss it. Your presence on screen is captivating, and I’m constantly in awe of the magic you bring to every role you play.❤❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @everlynlyn7863
    @everlynlyn7863 Год назад +5

    Sheila hii kazi unayoifanya ni nzur sana pongezi na pia nakupenda bure pamoja na kikosi chote❤❤❤❤

  • @carsoncarter53
    @carsoncarter53 Год назад +5

    Daaaa we msenge kp aisee we nooma yani kulipo ishia apo 😅😅😅 daaaaa nimepapenda mno kaka salute kwako ❤🎉🎉🎉🎉

  • @RebeccaMasika-p7c
    @RebeccaMasika-p7c Год назад +12

    Shei shei umeweza kwenye mtego wako Nina Imani Mzee dipoz hatomwamini tena kisai nawapenda sana kazi nzuri Becky mpole from Kenya ❤❤❤

  • @SÙAREZMAHANGOBYAOMBE
    @SÙAREZMAHANGOBYAOMBE Год назад +2

    Aaaah Sheishei weweeee unataniuwa naraha kbs. kiukweli kipaji kinatoka kwa Mungu .dada unajua sana

  • @Baudouin-Tv
    @Baudouin-Tv Год назад +6

    Kazi nzuri saaana KP mungu ami zidishiye wewe na team yako ❤❤❤❤❤tuna suburi ep 22 ijuma inne kikizani 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💯💯💯💯

    • @NeemaFransic-zr3tb
      @NeemaFransic-zr3tb Год назад +2

      Jamani mm. Ananifulaisha sheila najiisi ni wa thamani na wembamba wangu kwasababu uyu dada ni mwepesi sana jamani

    • @Baudouin-Tv
      @Baudouin-Tv Год назад +2

      @@NeemaFransic-zr3tb yeah kazi nzuri saaana Sheila apo kime umana kisai na dibozi lazima pa chimbike 😁😂😁😁😁

  • @Mamakewaynewesley
    @Mamakewaynewesley Год назад +3

    Wow nimecheka zaidi suraji kabebamimba mchonga😂😂😂😂 na baba ndio kumpeleka mwanawe hospitali kujifungua

  • @OlivierMageni
    @OlivierMageni Год назад +5

    Nampenda sana sheishei anacheza vizuri

  • @leuntkigahe5538
    @leuntkigahe5538 Год назад +2

    Oya KP we mwamba man nipo pande za njombe nakufatilia Sana mwambie Shei Shei nakubali .
    Nataman mwendelezo njue nn kiliendelea baada yakuona picha

  • @Mariam-er8nn
    @Mariam-er8nn Год назад +9

    Anajiita miss sheishei nimeipenda sana hio

  • @AshreyMartine-gz5vu
    @AshreyMartine-gz5vu Год назад +2

    Miss shey shey my boo asante kwa kumsave mchumba angu nakupendeni wote aisee kisai litakukuta jambo nmechelewa nilikua zangu kijijini💛💚💚💚💚

  • @antoniadudus7917
    @antoniadudus7917 Год назад +7

    Team mis sheishei tumpe mis sheishei maua kwa ubora wake 🎉🎉🎉🎉 Much love from kenya ❤❤❤❤

  • @zainaabdallah809
    @zainaabdallah809 Год назад +9

    Top 10 aya team furus naomba tusalimiane team kupambana team WiFi za Bure big up KP

  • @ZubeidaMohammed-y8f
    @ZubeidaMohammed-y8f Год назад +3

    Salute for the queen Sheila,u are the king ND queen of missions, congrats ❤❤❤

  • @laxy_lee
    @laxy_lee Год назад +7

    Sheishei uko vzur dada ang

  • @RuthNyatuka-qe3kd
    @RuthNyatuka-qe3kd Год назад +21

    WA kwanza from Kenya,,, wakenya show some love ❤❤❤❤❤

  • @bakarimusa6297
    @bakarimusa6297 Год назад +2

    Sheila bonge la mpelelezi upo powa sana uku unashirikiana na master plan kp

  • @Official-Bee
    @Official-Bee Год назад +50

    Wa kwanza, kivumbi leo, nataka kujua kaa Kisai atawin Zebuu, likes Kaa tuko pamoja kwa hili🎉❤0

  • @magaliesalal6054
    @magaliesalal6054 Год назад +3

    Nimeipenda iyo, da sheila twende kazi , msichelewe sana

  • @SirJustuskimKimeu_254
    @SirJustuskimKimeu_254 Год назад +23

    Your Kenyan number 1 fan is here with you........I love your work

  • @KhadijaKhadija-v9x
    @KhadijaKhadija-v9x Год назад +2

    Kasaï utajuta nakwambi ,mist chèche amkuchezea wandani❤❤❤❤❤

  • @nancyshikuku-vs9le
    @nancyshikuku-vs9le Год назад +15

    Good job guys am watching from Saudi Arabia.

  • @eliphasethobias1133
    @eliphasethobias1133 Год назад +7

    ❤❤❤❤ pongezi sana kwenu nyote chukueni 🎉🎉🎉🎉yenu Napenda kucheza hiii karata
    Sheila na Kp napenda sana Mbinu zenu nzuri sana natamani Kisai ashindwe hiii video

  • @emilymosata
    @emilymosata Год назад +10

    Watching from Kenya congratulations team kp na Sheila ❤

  • @VeroHerman
    @VeroHerman Год назад +2

    Safi sana sheishei nakupenda bure

  • @Lucksrenmwaz
    @Lucksrenmwaz Год назад +6

    Great job .waigizaji wote wanacheza role zao vyema inapendeza sana

  • @NeemaFransic-zr3tb
    @NeemaFransic-zr3tb Год назад +2

    Nakupenda sana sheila ww ni mwepesi sana unatu wakirisha vizuri wenye mili myembaba

  • @dancankawa2007
    @dancankawa2007 Год назад +6

    Sheila is actually more intelligent than any other,,she has even to given some position in courts mostly in Kenyag,,we are aware of lies and corruption ,,love you miss shiela good job,, from. Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪,, watching

    • @AshreyMartine-gz5vu
      @AshreyMartine-gz5vu Год назад

      Thank you but you have to congrats all team because if she can walk alone no body can see we have to respect all the team and apriciate them all thank you we love u❤

    • @IssaShahibu
      @IssaShahibu Год назад

      O my god😂😂

  • @umfarooqjumbe1702
    @umfarooqjumbe1702 Год назад +2

    😀😀Shey kiboko yao kimemlamba kisai

  • @elishamartine6744
    @elishamartine6744 Год назад +100

    Wakwanza jamani naomba like hata 10

  • @rogatusmeleki1660
    @rogatusmeleki1660 Год назад +2

    Shei shei hadi kamluzi
    Kweli haukukosea kupewa huo uhusikaa😀👏

  • @MulukweJohari-ip2cs
    @MulukweJohari-ip2cs Год назад +6

    Sheila nimenza kukupenda sasa 🥰

  • @sofiaswedi7284
    @sofiaswedi7284 Год назад +2

    Love Sheila kazi nzurii

  • @AshaMbeyu
    @AshaMbeyu Год назад +4

    Chezea ms sheila ww utakamatwa kisai ❤❤❤🎉

  • @FelisterNjokie
    @FelisterNjokie Год назад +1

    Unapendeza sana mdada ukiwa katika kaz zko.....penda sana miss sheyshey

  • @LeahDavid-rn2ii
    @LeahDavid-rn2ii Год назад +3

    Waaaah kazi mzuri mrs sheishei en kp,,,🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @JescaFelix
    @JescaFelix Год назад +2

    Safi Sana Sheila akili kubwa Mr kisai kisayakanyaga

  • @stacymutindi7699
    @stacymutindi7699 Год назад +29

    Much love from Israel ❤

  • @NizigiyimanaEmmanuel-c7f
    @NizigiyimanaEmmanuel-c7f Год назад +1

    Sheillaa ni mjanja sna nawapenda team nzima uwa mnanipa raha sna mimi shabiki weni

  • @safiasafiya7904
    @safiasafiya7904 Год назад +5

    Waooooooo sheilla leo umenifurahishaga umetumia akili😂😂❤❤❤❤❤❤

  • @matanoathman
    @matanoathman Год назад +1

    Kp naja bongo kumwangalia miss sheishei mashallah ako juu

  • @eliphasethobias1133
    @eliphasethobias1133 Год назад +8

    Hahahahaha jamani Suraji na likoma mmenichekeshass😂😂😂😂 Suraji una Mimba 😂😂😂😂

  • @Damacline4004
    @Damacline4004 Год назад +2

    Sheishei much love from kenya upon vizuri sana kwenye kazi zako hongera sana

    • @zachayomzury
      @zachayomzury 11 месяцев назад

      Kp wee noma zachayo from marekan😢😢

  • @christinamethod2364
    @christinamethod2364 Год назад +5

    Kp unaweza bhn.. Binafsi me siwez kulalamika et unachelewesha kaz coz ni waz kuwa unatumia akili nying so unahitaj muda mwing pia😁 thus why unatutulea vitu conkiiii💪🏻❤❤❤

  • @EssangyaBitta
    @EssangyaBitta Год назад +2

    Ms shy shy,braiton, Norah na likoma ni 🎇🎆🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 Год назад +9

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI

  • @magnibrondi3152
    @magnibrondi3152 Год назад +2

    Cheilla umecheza kama pele pokeya 🌷🌷

  • @rehemakatundu7027
    @rehemakatundu7027 Год назад +4

    Kisai kimemramba 🤣🤣🤣🤣 shey shey weeh umu nimekupenda bule

  • @oswardjaphal-cd6np
    @oswardjaphal-cd6np Год назад +1

    Kwahiii Sheila ume wua haki yamungu ume kava nafasiyako vizuli sana. Kwabwembwe kama zote hongela

  • @ZiporahMs
    @ZiporahMs Год назад +13

    Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 good job 👍

  • @NuruJuma-f9q
    @NuruJuma-f9q Год назад +1

    Kbsaa sheila nakupenda tu bure kwa kaz zako

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 Год назад +27

    Together we can 🤝💪 This is love from Moçambique 🇲🇿🇲🇿

  • @MaqiuletPaul-jk7xn
    @MaqiuletPaul-jk7xn Год назад +1

    Madam shei shei upo vizuri natamani kukuona

  • @marynamachanja1836
    @marynamachanja1836 Год назад +3

    Wow hongera sana miss Sheila na kp 😂😂😂😂❤❤mpewe kazi kwa serikali sasa

  • @johnkalela2810
    @johnkalela2810 Год назад +1

    One love sheilla kazi nzuri sans watching you Lusaka Zambia

  • @eliasmaziku1841
    @eliasmaziku1841 Год назад +12

    Wakwanza leo jamaniiiiiiiii😊😊😊 msiwe wachoyo naombeni like zenu basi

  • @fatumaandrea247
    @fatumaandrea247 Год назад +1

    Safi sana Sheila kazi nzuri

  • @IreneMwai-r3k
    @IreneMwai-r3k Год назад +3

    Great job miss shei shei 💖 I like your idea and deaks❤❤❤

  • @REHEMA-t1m
    @REHEMA-t1m 4 месяца назад +2

    Wife snatcher huyu hapa sasa Mr. Kisai😂😂

  • @HazinaSaid-ze8lk
    @HazinaSaid-ze8lk Год назад +80

    Team Kp &Zebuu mkiwa gulf gongeni likes zenu apooo❤❤❤❤

  • @LilianWanyonyi-d3k
    @LilianWanyonyi-d3k Год назад +1

    Congratulations Sheila gud work siz APO umeweza kabisaa siz much love you

  • @OdiliaKamara
    @OdiliaKamara Год назад +3

    Salute miss shey shey

  • @Mjingafaki
    @Mjingafaki Год назад +2

    Shey shey nimempenda sana❤

  • @gaf9874
    @gaf9874 Год назад +4

    Congratulations guys Kp&Zebuu Nawapenda sana wote❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @rufinalucas-bv9ct
    @rufinalucas-bv9ct Год назад +1

    Chei chei nakupenda sana, from Mozambique

  • @purity134
    @purity134 Год назад +16

    Can't wait next episode guys 😍

  • @chambomvungi
    @chambomvungi Год назад +1

    Miss shei shei we n noumaaa kweli utamlamba kisai

  • @godwinlaizer1714
    @godwinlaizer1714 Год назад +8

    Oyaaaa wanafamilia kp mpoo❤❤❤❤

  • @BebecheriLadyswinengiama
    @BebecheriLadyswinengiama Год назад +1

    Haaaa Ms Shai wewe umefanya makubwa kabisa

  • @AronMerchory
    @AronMerchory Год назад +4

    Jaman suraj🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MWANAIDIMBETO
    @MWANAIDIMBETO Год назад +2

    Nan km Sheila,hakunaa

  • @EsperanceNzeyimana-wu8ks
    @EsperanceNzeyimana-wu8ks Год назад +7

    Much love from Burundi

  • @MwA-ni1uk
    @MwA-ni1uk Год назад +1

    Shey shey na kukubali sana unaweza

  • @Glorian-iv6xz
    @Glorian-iv6xz Год назад +12

    Much love from kenya❤❤❤❤

  • @rayyanKassim-s8x
    @rayyanKassim-s8x Год назад +1

    Yan hii ya leo imejua kunifurahisha😅😅😅😅😅😅 duh yan shei shei nakupa saluti we love you hauna mamba ktk kz zko tena ❤❤❤

  • @naomiehakizimana5000
    @naomiehakizimana5000 Год назад +2

    Miss cheichei mwenye mpango songa mbele nawakubali san kisai kinakuramba 😂😂😂eti unamtaka zebu pôle niwa kp❤

  • @Zulpher-d1x
    @Zulpher-d1x Год назад +1

    Aky nawakubli jmn congratulations kwa mrs sheishei

  • @marthaelias3422
    @marthaelias3422 Год назад +7

    Miss sheishei kiukwer nafas yako hua unaitendea haki chukua maua yako🎉🎉 ila kwenye wamangushi nilikuchukia kwer🤣

    • @AshreyMartine-gz5vu
      @AshreyMartine-gz5vu Год назад

      Asante aliteka hisia zako thats why tunajifunza kutokana na makosa asante kwa kumfatilia mteja wangu atakaemtukana mwanasheria wake niko hapa😁😁😁

  • @PerpetuaJackob-sg5yq
    @PerpetuaJackob-sg5yq Год назад +1

    Sheila upo gud iseeeee unajua kuigiza 🎉🎉🎉maua yako miss sheishei nakupenda na team yote Kwa ujumla

  • @gerardnduwimana9603
    @gerardnduwimana9603 Год назад +35

    Much ❤ from BURUNDI 🇧🇮

    • @GoshenKaylah
      @GoshenKaylah Год назад +1

      Very interesting,,,much love Mrs Sheishei❤❤

  • @Zari_og
    @Zari_og Год назад +2

    Brother munatumia akili Sana izii ndy move zinazo takiwa kwakweri story Yani ujuii kinacho tokea mbeleee safii snaaaaa❤❤❤❤