MUNGU ANATENGENEZA MAZINGIRA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 окт 2021
  • Hauwezi ukazaa utajiri wako kwenye kanisa ambalo haliamini katika utajiri,
    Mungu uandaa mazingira ya mtu kuzaa kwa kitu ambacho umebeba, Kuna sehemu ambayo Mungu huwa ana andaa kwa wewe kuzaa hicho kitu, sio kila sehemu.
    Kama Mungu ameweka kitu cha ki-Mungu ndani yako, usipokua na "discipline" utahangaika kila kanisa.Mungu anapo andaa eneo la wewe kuzaa, inawezekana wewe usilione hilo eneo kama lina thamani. Mpaka hapo ulipofikia, Kuna namna jicho la Mungu LINAKUANGALIA.
    #PastorSunbella#Mungu#Anatengeneza

Комментарии • 23

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 Год назад +1

    Amen mtumushi barikiwa sana

  • @sifumungu2
    @sifumungu2 Год назад

    AMEN AMEN FORT 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Год назад

    Nakupenda sana YESU WANGU

  • @sundawnsmedia6659
    @sundawnsmedia6659 Год назад

    Umenibariki sana Baba, Mungu akuimarishe

  • @dorothyshiyyo3370
    @dorothyshiyyo3370 Год назад

    Asante sana mchungaji.Nimekula mkate mtamu. Mungu akubariki sana.

  • @nancylinaamos7618
    @nancylinaamos7618 2 года назад

    Thanks God 🙏

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Год назад

    🙏🌹

  • @jeremiaisowe4443
    @jeremiaisowe4443 2 года назад

    Mungu naomba roho mtakatifu aniongoze nakunisaidia kutenda kwauaminifu

  • @breezy9398
    @breezy9398 2 года назад +2

    Dady🙏🙏🙏❤

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 2 года назад

    Amen Asante Sana pastor Sanbella kyando... barikiwa Sana.soon najiandaa kuja Reality dear Mama.dodoma.

  • @papyprosper8073
    @papyprosper8073 2 года назад

    Tunakufatilia sana Baba wetu soon Mungu anipe kukuona

  • @angeljoseph4666
    @angeljoseph4666 2 года назад

    Amen 🙏🙏🙏

  • @georgengao9825
    @georgengao9825 2 года назад

    kindly blessed, thanks for everything.Jina la bwana litukuzwe

  • @cutemamy9602
    @cutemamy9602 2 года назад

    Sasa Ndio nimeelewa Kwa Nini Mungu kanidirect hili kanisa nihudhurie Ibada Mana niliomba wapi niwe naabudu..Na The first day nahudhuria Ibada online nilipokea..Mungu AWAWEKE watumishi wa Mungu pastor Subbella na John

  • @user-xe4ci5yx3m
    @user-xe4ci5yx3m 2 года назад

    Jamani naomba mnisaidie namba za baba mchungaji ambayo nitampata kwenye whatssap, naitwa Malkia Lucian
    Nipo Dubai Nina shida naitaji msaada.

  • @lucynyimbile8360
    @lucynyimbile8360 2 года назад

    Nakupenda yesu

  • @furahasanga2534
    @furahasanga2534 2 года назад

    ASANTE MTUMISHI, NAKUELEWA.

  • @mhamdahmd7758
    @mhamdahmd7758 2 года назад

    Amen nina barikiwa sana

  • @gilbertwanje
    @gilbertwanje 2 года назад

    Amen🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @jacomusford9139
    @jacomusford9139 2 года назад +1

    Nimebarikiwa sana pastor 🙏🙏

  • @peninashideko6049
    @peninashideko6049 2 года назад

    Ameen....Mtumishi.

  • @christinesavai884
    @christinesavai884 2 года назад

    Amen

  • @ThomsonTumain
    @ThomsonTumain 2 года назад +1

    I love God