NAMNA NGUVU ZA GIZA ZINAVYOFANYA KAZI (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 май 2021
  • Nguvu za giza zikiwa ndani ya mtu sio kwa sababu huyo mtu ni mdhambi sana,bali kuna sababu mbili zinazopelekea mtu huyo kuwa na nguvu za giza ndani yake.
    Sababu ya kwanza ni familia au ukoo aliotokea.Koo nyingi za Kiafrika zinajihusisha sana na masuala ya upande wa giza,iwe ni kwa kufanya matambiko,uchawi,ushirikina na kadhalika.Vitendo hivyo huzipa uhalali nguvu za giza kufuatilia watu wa familia au ukoo huo.Na watu wa aina hii huwa hata wakijitahidi vipi ili wafanikiwe kwenye eneo fulani la maisha huwa hawafanikiwi,na hii huwaumiza sana maana huwa hawajui sababu ni ipi.Maana mara nyingi vitendo vya giza vilivyofanywa kwenye koo walizotoka huwa hawavijui.
    Lakini sababu ya pili ni kutoishi maisha ya utakatifu.Watu wa aina hii wakiwa na nguvu za giza ndani yao mara nyingi hujua chanzo cha hizo nguvu za giza kukaa ndani yao ni kipi.
    Karibu usikilize somo hili kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando ambalo litakupa majibu ya maswali mengi uliyokuwa unajiuliza.
    UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
    Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
    Like our Facebook: / therealityof. .
    Follow our Instagram: / realityofch. .
    Subscribe our RUclips: ruclips.net/channel/UC67L...

Комментарии • 26

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 Год назад +1

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @childrengospelmissiontanza1474
    @childrengospelmissiontanza1474 2 года назад +1

    Yananihusu mimi kabisa hayo,nimesaidia sana ndugu na hapa nilipo mguu unanisumbua

  • @nikolaussaimon8897
    @nikolaussaimon8897 3 года назад +1

    ROHO MTAKATIFU.AZIDI KUKUPA,MAARIFA.ZAIDI KWA AJILI YA WENGI.nimepona sana.na nimepata jambo kubwa sana .

  • @estherwambui4908
    @estherwambui4908 3 года назад

    Praise Jesus...jina langu in Esther niko Kenya...nimekuwa ni kifuatilia mafundisho yenu nanime barikiwa sana mungu awa bariki sana.Mutumishi Wa mungu nilikuwa ninaomba unisaindie na shule ya theology yenye inaeza nifundisha mambo ya mungu vizuri...nimeenda shule ya theology hapa kwetu but niingetaka bado kuongezewa hekima zaidi,nisome na ya Tanzania sasa.ningeomba unisaindie vile unaeza uni connect na zenye ninaeza some a online.plz plz naomba na uta barikiwa na Mungu. Neno LA Mungu linasema wanaomtafuta kwa bidii watampata.

  • @anifasifa6150
    @anifasifa6150 3 года назад

    Mungu atutiye nguvu. Aksanti mchungaji mafundisho mazuri hayo.Nimehelimuka sana kwa jambo la kuwa na face mbili.....maono makubwa Baba. Ubarikiwe zaidi

  • @everlineeva594
    @everlineeva594 3 года назад +1

    Ameeen hayo maubiri yame nilenga mimi ,mtumishi najitoa sana kuwa saidia watu hata na kusimama na huduma ya mungu ,,but nahandamwa sana na mikosi sana 😢 🙏

    • @gracemlawa5508
      @gracemlawa5508 2 года назад

      🙏🙏🙏🙏 barikiwa mtumishi nimekuelewa sana mungu akubariki na akutuze tupone

  • @Grace-zw5jj
    @Grace-zw5jj 3 года назад

    Asante sana Min. Sunbella... imenigusa na kunihusu sana. Pia imeconfirm you are the right person. Mtumishi WA kweli WA Mungu. Ni vizuri kutest every spirit. Be blessed in everything you do.

  • @delishbby8542
    @delishbby8542 3 года назад +1

    Spiritual world is more really than physical world

  • @mhamdahmd7758
    @mhamdahmd7758 2 года назад

    Barikiwa mtumishi

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 3 года назад

    Nimebarikiwa sana mtumishi

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 3 года назад

    Amen pastor kyando

  • @edwigemwigha1542
    @edwigemwigha1542 3 года назад

    Mtumishi wa Mungu shukrani kwa Mungu aliye kuweka kwa kazi yake. Somo hilo naamini inanihusu pia. Kupitia somo hii naomba rehema ya Mungu na kupitia moambi yako Mutumishi niponyeshwe hii maumivu ya miguu wangu wakuume aksanti

  • @onesmoemmanuel3842
    @onesmoemmanuel3842 3 года назад

    Karibu

  • @rwesimbibicharles8994
    @rwesimbibicharles8994 2 года назад

    Alléluia

  • @irenefrank2644
    @irenefrank2644 3 года назад

    Naelewa sana mafundisho sijutii kuabudu reality mungu akutunze vyema baba

    • @janembalinga7074
      @janembalinga7074 3 года назад

      Huyu mtumish nampataje nimesikiliza RUclips somo la 2017 haki vile nimejuta kuchelewa kumjua maana ningekuwa mbali japo kila neno linakuja na wakat ili uvuke pale ulipo kwama mda mrefu

    • @irenefrank2644
      @irenefrank2644 3 года назад

      @@janembalinga7074 karibuni Kanisani yupo sinza Mori mkabala na ofic za tamwa

    • @janembalinga7074
      @janembalinga7074 3 года назад

      @@irenefrank2644 je kumwoona private inawezekana kweli?

    • @irenefrank2644
      @irenefrank2644 3 года назад +1

      @@janembalinga7074 ndio

    • @janembalinga7074
      @janembalinga7074 3 года назад

      @@irenefrank2644 tafadhali nisaidie jmapil nataka nije niabudu hapo maana nimeona pana nguvu za mungu za kutosha asee mwalimu mungu amemweka ili kutuvusha

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 3 года назад +1

    Nawezaje kukuona mtumishi ?tafadhali msaada

    • @aselina5862
      @aselina5862 3 года назад

      Nenda kanisani kwake dar