Tani 40 za chakula na dawa zawasili kutoka India

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 май 2024
  • Maafisa wa serikali wakiongozwa na waziri wa maeneo kame Penina Malonza, katibu wa baraza la mawaziri Mercy Wanjau na msemaji wa serikali Isaac Mwaura wamepokea msaada wa chakula na bidhaa nyingine za kusadia waathiriwa wa mafuriko kutoka taifa la India.

Комментарии • 1