VYUO VYA BIBLIA NI MPANGO WA KUZIMU ILI KUHARIBU UTENDAJI WA MUNGU NDANI YA WATU || MWL. TENGWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 56

  • @wangombegathondu120
    @wangombegathondu120 Год назад +1

    Barikiwa tuu Yesu atosha mwl Tengwa mtumishi wa Mungu aliye hai

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 Год назад +1

    Nimejua kwanini unapigwa Vita Sana Mtumishi Barikiwa sana

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 Год назад +1

    Aminaaaaa nzitoooooo ubarikiwe Sana mtumishi wa BABA,,ata kama wakichukia ukweli ndivo ulivo kuna ata malaki2:1_4, Bwana asema atawapaka mavi ya sadaka zao,hayo maandiko wanayaficha wanatupiga na malaki 3:10 mpaka wemgine wanalaani madhabahuni yaaani unatamani uabudie nyumbani tu,,nachoomba mtumishi usirudi nyuma na Bwana Yesu Kristo hakika akufanikishe katika kila hatua na akupe kushinda tuko nyuma ako mtumishi lazima kieleweke tumechoka kuwa mateka wakuzimu loooh.

  • @failaprince9250
    @failaprince9250 Год назад

    Ubarikiwe sana mchungaji kwailoneno nikweli kabisa wamedanganya watusana Aho wasomaji wabiblia wachungaji 10kama wewe kabisa lita badirika kabisa wengine ingeni mfano wauyu mchu ngaji

  • @jenithaSalvatory
    @jenithaSalvatory Год назад +1

    Hakika mtumishi wa YESU Kristo,,, Bwana YESU Kristo atusaidie sana

  • @RoseBathlomeyo
    @RoseBathlomeyo Месяц назад

    Amen

  • @rizikiesromu1418
    @rizikiesromu1418 Год назад

    Uko sahihi kabisa kwenda kusoma vyuo vya bibilia ni kumdharau mungu kwamba hawezi kumfundisha mtumishi wake .ayubu 36:22,yohana 6:45,8:28.

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp Год назад

    Amen mungu akubarki san mtumishi kwa mahubiri mungu atusamehe

  • @TitoHabeLy
    @TitoHabeLy Год назад

    Amen tunashukulu kwa habali njema aenderee kukupatia nguvu ya kuihubili injili yakwer

  • @majaysjrmtitu5300
    @majaysjrmtitu5300 Год назад

    Asante baba.

  • @nurutakatifu
    @nurutakatifu Год назад

    Ubarikiwe mtumishi

  • @innocentkituma2714
    @innocentkituma2714 Год назад +1

    Baba wa mbinguni tusaidie Mungu tukae chini ya wachungaji sahihi

  • @WinifridaCosmas-qh7ms
    @WinifridaCosmas-qh7ms Год назад

    Amina Mtumishi wa Bwana Yesu.

  • @magdalenalaban8895
    @magdalenalaban8895 Год назад

    Kweli tupu Mungu akubariki

  • @scholasticakariuki6775
    @scholasticakariuki6775 Год назад

    Hapo umegonga ndipo, hapo ndipo penye shida kabisa ya kanisa. Yesu Azidi kukulinda.

  • @sarahamri1620
    @sarahamri1620 Год назад

    Japo sijui sana mambo ya huduma lakini moyoni nimeshuhudiwa kabisa umenena kweli

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano Год назад

    Hapo umeongea kweli, jifunze kwa Mjumbe wa agano upate kweli yote. Angalia Mjumbe Agano RUclips channel.

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 Год назад

    Hii ni kweli kbs kbs wengi ni watu wa mshahara na ndio maana wakobjwenye kulinda maskahi ya dini demotion

  • @christinephilip5043
    @christinephilip5043 Год назад +1

    Nikweli baba 🙏🙌

  • @mosesmligo9614
    @mosesmligo9614 Год назад

    Uko deep mnooooo.

  • @paulinakiswaga7505
    @paulinakiswaga7505 Год назад

    Aminaaa

  • @innocentkituma2714
    @innocentkituma2714 Год назад

    Wow!

  • @pastorpetermageta6833
    @pastorpetermageta6833 Год назад

    Uko sahihi

  • @Werema3760
    @Werema3760 Год назад +1

    ■Yaan mtumishi kwa Neno tu huwa nakwelewa sana na hata unabii wako nishauoneshwa yakuwa kuna mapigo. Sema sasa kuna jamaa uko anakuchafua sijajua ni tuhuma za kweli au Laa.UNYAKUO TV.

    • @ivonaevarista4654
      @ivonaevarista4654 Год назад

      Yani unamwelewa tengwa afu unamuuliza ujumbe wa boniface Kama nikweli anayomshuhudia?una Roho Mtakatifu au unatumia akili zako?

    • @Werema3760
      @Werema3760 Год назад

      ​@@ivonaevarista4654 Acha paniki mtu wa Mungu. Kwan ukiwa na Roho ndo usitumie akili? Ndo maana kunaviongoz wa din wengi sehemu ya akili/maarifa wanatumia maombi. Relax.kwan mim nilitumia Roho kusikia hizo tuhuma?

    • @ivonaevarista4654
      @ivonaevarista4654 Год назад

      @@Werema3760 Sasa wewe Kama unamfuatilia tengwa na unaamini anatumiwa na Bwana kwanini umuulize juu ya anayochafuliwa?ndio maana nikakuuliza unatumia Roho Mtakatifu kumfuatilia au unatumia akili nikiwa na maana hii Kama unatumia Roho Mtakatifu huwezi kuuliza swali lakitoto Kama Hilo kwake wewe utajua wanayomnenea sio sahihi Ila Kama unatumia akili kumfuatilia basi utamkubali lakini ukisikia tuhuma napo unaweka mashaka,alafu Mimi Sina panic Ila nashamgaa namna gani watu ndani ya mioyo hawaendi na Yesu Kristo,Sasa ujiulize unategemea akujibu Kama tuhuma n zakweli au laaaah,Kama umeokoka kweli hutatabaishwa na machafuko yawatu juu yamtu ukue kiroho Sasa.

  • @ezekielphilemon7343
    @ezekielphilemon7343 Год назад

    Jina la Bwana lipewe sifa

  • @helenarhobi1250
    @helenarhobi1250 Год назад +1

    Uuuuuuuuuuuu wi! Watumishi wa Mungu mnajituka sasa Kama vyuo vya Biblia mnafundishwa mambo ya kuzimu tutaponea wapi?

    • @Chimbohuru
      @Chimbohuru Год назад

      Mungu ni ufunuo

    • @lightymarco851
      @lightymarco851 Год назад +1

      Baadhi ya mafundisho yanayotolewa vyuo vya Biblia vinapingana na neno la Mungu

    • @kihilamasuke6976
      @kihilamasuke6976 Год назад

      Soma neno la MUNGU omba Sana Kwa MUNGU

    • @wilsonlugata4040
      @wilsonlugata4040 6 месяцев назад

      ​@@lightymarco851Upo sawa kabisa mtumishi

  • @pastorjamesbwata7604
    @pastorjamesbwata7604 Год назад

    Hizi injili hizi we need to be careful about the word of God , hatari Sana mpaka matusi madhabahuni

  • @ezekielsemeteyndulugo236
    @ezekielsemeteyndulugo236 Год назад

    Nilijua to ya kuwa ulipotoka sana

  • @JoshuaMwamala-z1g
    @JoshuaMwamala-z1g Год назад

    Uongo uongo uongoooooooooo

    • @Chimbohuru
      @Chimbohuru Год назад

      ni ukweliiiii siyo uongo

    • @kihilamasuke6976
      @kihilamasuke6976 Год назад

      Muongo ni wewe usiye jua kitu unatakiwa kuomba Sana ingia deep Sana katika maombi ili kujikagua kuwa uko salama ulipo na uondoe kwanza vinyago ulivyo navyo kutoka Kwa wachungaji wako yaani mafundisho Yao na usome neno halafu linganisha na matendo Yako na mafundisho ya wachungaji wako mtajiona watatu tofauti halafu jitafute uli ujiset katika biblia

  • @GeoffreyfreenielLuka
    @GeoffreyfreenielLuka Год назад

    Mtumishi asante kwamafundisho mazuli hapo ulipo gusa ndipo penye vita ninao kutana nayo eti kama sijaenda chuo cha biblia siwezi kufanya kazi pamoja na mungu eti nikweli???

    • @drvaxminja2133
      @drvaxminja2133 Год назад

      Tatizo unashindwa kusoma Biblia ujue ukweli kwamba vyuo vya Biblia vipo tangu wakati wa manabii kama Eliya na Elisha. Achana na wachungaji wanaokataa elimu ya Biblia. Huyu anatatizo la uelewa, wa neno la Mungu

    • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
      @RubenMtuwaMungu-bz8ee Год назад

      Thiology ni elimu kumhusu Mungu, naamini mtu yampasa aokoke kwanza kisha ajazwe Roho mtakatifu ndipo aende chuo. Kuna wachungaji wengi tu wanatumika vizuri na wamesoma thiology. Tukiishi Kwa maono tu tutapotea angalieni vituko vya mitume na manabii wa Sasa.

    • @jediokokoma8670
      @jediokokoma8670 Год назад

      Nyie mlio soma hivyo vyuo mmebadili nini katika Jamii ya watanzania acheni uhuni Eliya na elisha imeandikwa wapi kuwa walisoma wakapata cheti, Diploma na kuendelea ndipo wafanye kazi ya Mungu ?

  • @benjaminbatano698
    @benjaminbatano698 Год назад

    Vyuo vilikuwepo tangu kipindi Cha manabii wakati wa Agano la kale,

  • @noeleliasi8401
    @noeleliasi8401 Год назад +1

    KUNA UJUMBE WAKO UNYAKUO TV KULEEE

    • @ivonaevarista4654
      @ivonaevarista4654 Год назад +1

      Ujumbe wake????wewe nahuyo boniface mnachotafta kwa Bwana hakika mtakipata endeleeni kuhangaika Ila hatutoki hapa kwakeeeee.

    • @noeleliasi8401
      @noeleliasi8401 Год назад

      @@ivonaevarista4654 we ng'ang'ana tu kwani chawa dawa yake si maji ya moto..UTAPEL TU HUNA LOLOTE

    • @Chimbohuru
      @Chimbohuru Год назад

      lisikie neno upone

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 Год назад

    Katika watu wenye vipara vya umasikini wa elimu kichwani ni pamoja na huyu jamaa😂😂 wewe ni mavi kabisa biblia yenyewe inahimiza elimu

    • @lightymarco851
      @lightymarco851 Год назад

      Hongera yako wewe ambaye una elimu ,Mungu akusamehe pia

  • @lazarodaniel-ts6uq
    @lazarodaniel-ts6uq Год назад +1

    Aminaaa