POLENI SANA NDUGU ZETU WOTE MLIOPATWA NA MSIBA NA WOTE WALIOJERUHIWA MUNGU AWAPONYE MAJERUHI WOTE, PIA WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI MUNGU AWAPOKEE, KWELI MSIBA NI MKUBWA MUNGU AWATIE NGUVU WOTE WALIO ONDOKEWA NA NDUGU ZAO POLENI SANA WAPENDWA WETU SISI TULIWAPENDA LAKINI MUNGU KAWAPENDA ZAIDI😢
Yaani Hii Serikali Inao ushindani WA kijinga Sana SASA Leo wanajua kunao Maandamano than wanakuja kuweka tena iwe ndo siku ya kuwaaga wenzetu waliotwngulia Mbele Za Haki Mbona tunakosa Uungwana Jamani SASA Hapo furaha ya Serikali NI KUONA Maandamano yanapata Dosali ... Daah
Nafikiri nyie mnaoandana situ wajinga ni wapumbavu. Mngekuwa na busara mngeahirisha hayo maandamano yenu ya kijinga ya kiki yakuchumia tumbo. Watu wamefiwa eti waendelee kukaa na maiti kisa CHADOMO wanazurura mfyuuuuu shem on you. Kaandamane huko. Acha binadamu wenye utu wafanye Ibada na kuaga ndugu zao waloitwa mbele ya haki
Da! polen Wana Arusha mungu aziweke pema roho za ndugu zetu na wafiwa wote mungu awatie nguvu
Mm hiz ajali jmn tz too much mungu azilaze roho pema pepon
Ee Mwenyez Mungu utusaidie wape faraja ndungu jamaa na marafiki walio potelewa na ndugu😢😢😢
Poleni San ndugu zetu mungu ametoa na ametwaa
Tunakataa ajali 😢zote mungu tunaomba uruma yako
Poleni sana Kwa Wana Arusha Kwa ujumla mungu awatie nguvu
Poleni Sana ndugu zetu Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
😢😢 kifo hakina huruma na hakizoeleki aisee
Polen mungu awalze mahli peponi
Wapumzike kwa Amani, Kwahiyo na wazungu wamezikwa Tanzania?Au.
Du inauma Sana jamani poleni Sana Wana Arusha mungu awatie nguvu
Allah atuepushe pia Awalehemu polen ndug wafiw
Mungu anajua kwa kweli . Asante Mungu😭😭😭💔💔💔
Pole sana wana arusha mungu awatie nguv
Wapumzike kwa amani amiiina
Mungu ailaze roho za marehemu wote mahali pema pepon
Ooh God this is too painfull😭😭, mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu wote mahala pema peponi Amen
Poleni sana😢😢 mungu awatie nguv
Mungu awape faraja wafiwa wote,Arusha na Watanzania wote
Inaliahi wainailayhraghajighuni Allah awape kauli thabiti
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu
Innah lillah wainna ilayhi rajiun Allah awarehemu wote walio tangulia mbele za haki
Poleni sana wapendwa Mungu awatie nguvu
Mungu wewe wajua poleni japo aitoshi
Polen Sana jaman inauma sana 😭😭😭😭jaman wana family
Mungu awapumzishe kwa amani
Ameuma Sana Jamani. Pole Sote.
Poleni sana ndugu zetu
POLENI SANA NDUGU ZETU WOTE MLIOPATWA NA MSIBA NA WOTE WALIOJERUHIWA MUNGU AWAPONYE MAJERUHI WOTE, PIA WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI MUNGU AWAPOKEE, KWELI MSIBA NI MKUBWA MUNGU AWATIE NGUVU WOTE WALIO ONDOKEWA NA NDUGU ZAO POLENI SANA WAPENDWA WETU SISI TULIWAPENDA LAKINI MUNGU KAWAPENDA ZAIDI😢
Kifo ni fumbo sana , unajzuia kwa kila njia ili kifo kisipate sababu ya kukupata ila hapo hapo ulipo Kumbe uko nacho...RIP mliotangulia🙏
Kwaheri kaka Vicent RIP
Poleni sana Mungu awatie nguvu, na awape subira kiukweli 💔😭😭🇹🇿
Poleni jamani mungu awaited nguvu poleni
Mungu awatie nguvu jaman
Poleni sana wafiwa
Poleni ndugu na jamaa
Pole kwa familia zote😢😢rest in piece
Wapumzike kwa aman ndugu zetu 🤲
Polen Sana Mungu wa mbinguni awape nguvu ya kuvumilia tukio hili zito
Mungu awatie nguvu kipindi hk kigum
Polèn sana munĝ hawàienguvu
Polen familia zote
Daaah😥😭😭😭😭😭😭eeh mungu wape pumzko la milele 🙏
Mungu awape ustaimilivu wafiwa wote
Polen san inauma jmn
Pole Sana Ndugu Zetu Fro Rwanda
Mungu awape pumziko la milele
Waislaam walishawazika watu wao kesho yake tu na Allah anaendelea kuwapa subra
Ni msiba makubwa poleni nyote mliofiwa Mungu awape faraja, ni msiba wa taifa Zima la Tanzania.Hii ni safari yetu sote. Amina.
Msiba mdogo ukoje?
Poien jaman nimeumia Sana
Poleni wafiwa inauma mnoo
Dereva wa lori yuko wapi? Sijamsikia toka ajali imetokea
Kwa kweli inasikitisha kweli
Poleni sana ndugu zangu 😢😢😢
Innallillah wainna llillah rajun Allah awpe kaur thabit😭😭😭😭😭
Poleni sana 😢😢
Mungu awarehemu
Poleni kwa msiba nyote muliofiliwa 😭😭😭😭
Poleni sanà ndungu zangi
Vilio hivi vimesababishwa na mkenya mmoja mpumbavu Mungu hatomuacha atashuhulika naye hizi Damu zitamlilia kila iitwapo leo
Yani uyo mshenzi ameshindwa kulitupia gar mashambani uko adi akaingianalo mjini jmn
Alikuwa mtoa kafara kubwa jinga huyo.
poleni sana
Muwape fidia sasa wafiwa sio mnawapa yanga tu milion zetu
Eeeee Mungu wapumzishe Kwa amani😭😭😭
Polen ndungu wafiwa na watanzania kwa ujumla😭😭😭😭😭😭😭😭
innalillah wainailih rajiun
Ee Mungu Baba tuhurumie🙏💔😭😭🙌
Poleni sana wanaarusha na Tanzania nzma
Sadly.May their souls rest in peace
MIDA MINGINE CC MADEREVA KAMA UMEONA GARI IMEKUSHINA INGIZA POLINI UKAFE PEKEE AKO SIO UNALIPELEKA KWA WATU WASIOKUWA NA HATIA
Poleni jmn
Kuzuia ajali ni kitu akiwezekani akii duh
Polen sana subhaanallaah😢
Asante
Pol3ni sana jamani
Wapumzike kwa amani
queen 😭😭😭😭
Innalillah Wainnailaihi Rajiun
So sad may their souls rest in peace
HUYU DEREVA KWA NINI AJALIPELEKA GARR POLINI AKAFA PEKEAKE MPAKA KAAMUA AKAUWE WATU WENGI
Tena lenyewe halikufa et.
Sad😢
Roho za Marehemu zikapumzke kwa amani
Waliozembea na kuacha hilo gari kupita kote bila escort muajibishwe
So sad
R I P wapendwa wetu!
Wazungu hawajafa wao waliumia tu
Mbona walisema kuna baadhi ya watoto wao walitoka vipande vipande.
😭😭😭😭 RIP
R.I.P
Mungu wewe ujuaye warehem ndg zetu
Yaani Hii Serikali Inao ushindani WA kijinga Sana SASA Leo wanajua kunao Maandamano than wanakuja kuweka tena iwe ndo siku ya kuwaaga wenzetu waliotwngulia Mbele Za Haki Mbona tunakosa Uungwana Jamani SASA Hapo furaha ya Serikali NI KUONA Maandamano yanapata Dosali ... Daah
Kaandamane hata wewe mwenyewe hujazuiliwa
Maandamano na hili jambo lipi ni muhimu??
Nafikiri nyie mnaoandana situ wajinga ni wapumbavu. Mngekuwa na busara mngeahirisha hayo maandamano yenu ya kijinga ya kiki yakuchumia tumbo. Watu wamefiwa eti waendelee kukaa na maiti kisa CHADOMO wanazurura mfyuuuuu shem on you. Kaandamane huko. Acha binadamu wenye utu wafanye Ibada na kuaga ndugu zao waloitwa mbele ya haki
Wote hao walikua wakristo au😢😢😢
Jiongeze
Humo wamehifadhiwa tu so kwa Islams hawatozikwa nayo
Wewe acha ubaguzi wa kidding wewe nenda ukazikwe uwe moja wapo wa mwislamu shwaini sana watu wanalia unakuja na maswali za kijinga,,,
@@Ernestlaiza ndugu samahani nauliza kufaham alokuambiauk naubaguzi nani kila mtu anauchungu wew wako ukizidi njooo nikuzalishe 😏😏😏😏😏😏
@@iddymsusa7217 shukrani sana
Poleni sana wafiwa mungu awai
Awatie nguvu
Mungu awape pumziko la milele