YATENGENEZENI MAPITO ( Official video) Mtunzi:M C MABOGO
HTML-код
- Опубликовано: 10 фев 2025
- kwaya ya Mtakatifu mikael Malaika mkuu kutoka parokia ya Mtakatifu Yakobo mtume -Mhandu,Mwanza ,Jimbo kuu katoliki la Mwanza Wanakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu unaoitwa YATENGENEZENI MAPITO
Song Description
wimbo: YATENGENEZENI MAPITO
Mtunzi:M.C.MABOGO
Audio: RAJO PRODUCTIONS
Video:MOZEN PRODUCTIONS
Mawasiliano kwaya +255686131305/+255766656631
kwayayamtakatifumikaelmalaika@gmail.com
studios: MOZEN PRODUCTIONS :+255746775116
RAJO PRODUCTIONS +255758988827
"Onyesha upendo Kwa ku "subscribe,share,like and Comment"nawe utakua umeshiriki katika utume huu na mungu aendelee Kuku bariki maradufu"
#mozen productions#moyo Mtakatifu wa yesu #kwaya katoliki
Hongera, sauti nzuri za kumsifu Mungu, mbarikiwe sana...
Hongereni sana. Sauti ni nzur mno. Naomba nota ya huu wimbo
Wooooooow❤❤…I love the song…Naomba nota tafadhali
Safi Sanaa. Asanteni Kwa kutuandaa kumpokea Masiha
Hongela sana kwawimbo wenu Mungu awabariki kwasauti nzuri zenu.
Pongezi nyingi sana kwenu huu ndyo mziki mtakatifu tunao utaka MUNGU awabariki sana
Congratulations you did it very well❤
Kristo,mpo vizuri sana ila yule tall simuoni ambaye yupo kwenye wimbo wa moyo Mtakatifu wa Yesu
Mungu awabariki xn kwakweli nimependa hyo
Kazi nzuuuri mbarikiwe sanaa
Perfect yatengenezeni mapito
Good arrangement of music, keep it up
Congratulations indeed
Safi sana
Naomba koppy
Good massage, to receive noel
🔥🔥🔥🔥🔥🔥majilio njema kwa wote
Perfect 👍 and I am proud to be a catholic
Mbarikiwe sana
Pongezi Sana watu wa Mungu.🥰🥰🥰
Beautiful
Glory be to Our Almighty God
Kiswahili is My mejor problem but l always translate
Lyrics please
You produce good song without lyrics why
Kongole kwenu wote 🙌🙌
Mbarikiwe sana