Haki ya nani rac Niko pamoja na wewe hata Mimi wamenichukiza sana wanao jiita mawakili wanao shadadia kuwatetea makahaba,sijuwi wanapendezwa na ufuska huu unaoendelea na kufundishwa watoto wadogo,tunapaswa kukemea vtendo viovu siyo kupingana msilete ujuwaji kwenye hili rac yupo sawa
Nchi ngumu anajizalilisha akikamatwa na kupelekwa kituoni anageuka na kudai anazalilishwa watuumiwa kwa kosa la kujizalilisha mbona mtu akitaka kujinyonga anapelekwa mahakaman na kuukumiwa

Uko sahii kaka
Hongera wenye akili tumekuelewa achana na mazumbukuku
Safi Sana
Tunakuherewa🎉mkuu wasio chitambua ndo wanaroroma mwenyezi mungu awasimamie wewe na makonda mpo vzr 🙏🙏
Saf sn mkuu wa mkoa, kaza mkuu watu hawawez kukuunga mkono unaposimamia haki. Mtegemee MUNGU
Angalia huyu
Dar inekushinda
Shida,
Mlitumia sheria upi
Hii awamu ya sita Wanashindwa kukamata mafisadi,wanakamata watu wasio na hataia, Rip JPM
Nchi ngumu anajizalilisha akikamatwa na kupelekwa kituoni anageuka na kudai anazalilishwa watuumiwa kwa kosa la kujizalilisha mbona mtu akitaka kujinyonga anapelekwa mahakaman na kuukumiwa
Vip pale mambo ya ndani
Sipingi ukamataji wa dada poa ila nauliza tu ulitumia kifungu kipi cha sheri kuwakamata?
Sijasikia.hata.siku.moja.mkiongerea.wizi.ufisadi.wa.ccm
Akili.ndogo
Huyu ni kiazi tangia mwanzo
Hamnakitu
Iko wap iyo mikopo
Makonda Rudi dar atutaki wanasiasa tunataka wachapa kazi
We nawe sisi tunamtaka Roma
Hh
Tukutane 2025