Kibwana hongera sana kwa kuenndelea kuwa na kiwango kizuri tunawaombea kesho kutwa muwe na mashikamano tutawashinda tp mazembe kwa uwezo wa mungu inawezekana
Yaani KIBWANA wewe ni mchezaji mwenye nidhamu na uvumilivu saaan naamini utafika mbali saana unajua ukiwa na mwili mdogo basi akili inakuwa kubwa saana
Kibwana unajuwa kujibu vizuri sana wana Yanga tu nakupenda ukikaa nje tutaandamana
Kibwana hongera sana kwa kuenndelea kuwa na kiwango kizuri tunawaombea kesho kutwa muwe na mashikamano tutawashinda tp mazembe kwa uwezo wa mungu inawezekana
Hongera kijana anaonekana amekuwa kiakili na yupo saw kujibu maswali ya mtego.🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera Kibwana unajitambua. Umejibu maswali kwa hekima, busara na utulivu mkubwa.
Uko vizuri sana na una majibu ya msingi mnoo maana wachambuzi maandazi hawa unawafahamu kumbe go on kibwana bwana
Tunakupenda sana mwenetu
Big up Kibwana Shomari. Unajua sana kujibu maswali kiungwana.
Mtangazaji unauliza maswali mazuri pia kibwana yupo vizur sana anajibu kwa busara sana afu wachezaji wengi wazawa wa yanga wanajua kujieleza sana
💚💚💚💚💚💚🔥🔥🔥🔥🔥Kibwana uko poa sana
Your the best
Mungu akubariki Sana kibwana.
Be blessed upo vizuri saana
Chasambi ajifunze kujibu maswali kama wenzio sio kulopoka tu hongera kibwana umejibu vzur maswal
Mm wakwamza kufurahi kibwana kupewa nafsi nakupenda sana kutoka moyoni km mwanangu
Big up kibwana
Mbona unaakiri sana dg
Wauliza maswali sio watu wazuri wanapenda kuchonganisha wachezaji.
Dogo upo vizuri kaza
Kijana umetulia.tunakuombea.
Bado tulikuwa tunakuona una uwezo pamoja na gaming kutukukupanga
Kibwana🎉🎉
Dogo upo vzr umejitahidi kujibu maswali kwa akili sana big up!
Wewe kile sio kitoto ni kiemolo Cha timu , yaani Mimi nakipenda kizido kuwepo yanga hata kamaakichezi Nkane
How it feel....huyu dada....mmmh dada acha kizungu hukijui
"How its feel?" Tube vingereza hili yai sio viza kweli eti?!😂😂
Huyu kijana amemwacha mbali sana Mtenje Albano (msema hovyo)
Kibwana unajua kujibu sio mtenje
hauna baya mwanetuu pambana uko vzr
Unajua sana kuongea na media hulopoki ovyo kama MTENJE
Yaani KIBWANA wewe ni mchezaji mwenye nidhamu na uvumilivu saaan naamini utafika mbali saana unajua ukiwa na mwili mdogo basi akili inakuwa kubwa saana
Nyinyi waandishi tafuteni maswali mengine kwa hawa wachezaji hebu kuweni very innovative kila muandishi ni reprtance ya swali hilo vipi nyie
Muulizeni na yeye swali alilo hulizwa chasambi tusikie majibu yake na yeye.
Sio kwamba anajua kujibu semaa anajua kiswahili kwa ufasaha.
Na ANAJIBU akijua kuwa hii kitu itarushwa live
Gamondi alikuja kuuwa wachezaji kiwango,anabagua sana yule bora kaondoka
Muulizeni na yeye swali alilo hulizwa chasambi tusikie majibu yake na yeye.