Halafu Hussein رضي الله عنهما hakuwahi kuwa Imam, ama kaka yake ambaye Hassan رضي الله عنهما ni kweli alikwahi kuwa mtawala kwa miezi 6 kisha akajiuzulu.
Tumetajiwa Imam Hussayn ni nani lakini naona kama ni bora pia tungeelezewa mpinzani wake Yazid ni nani na vipi alichangia katika kuuliwa kwa Sayyidna Hussayn. Tumegusiwa katika hii khutba kuhusu Mtume (a.w.a.s) kusema Hussayn ametoka kwake na yeye ametoka kwa Hussayn. Ningependa kujua zaidi ufahamu wa huu msemo na kama Mtume alisema hivi kwa mtu yeyote mwingine. Alafu kuhusu kuadhumisha siku alouliwa Sayyidna Hussayn. Ni bora pia tungeelezewa kama vile hauli za wanazuoni walotangulia mbele ya haki, je ni sawa kuadhimisha siku Sayyidna Hussayn alouliwa? Na kama ni sawa basi ni vizuri zaidi tungeelezewa umuhimu wa kuadhimisha hio siku kama vile zile siku za hauli za mahabaib walotangulia huelezewa umuhimu wa kuadhimishwa na pia ni vili bora kuadhimisha hio siku na kama vile tumeelezewa mambo yasofaa kama kujidhuru mwili, basi natuelezewe na mazuri yanaofaa kufanywa kuadhimisha hio siku kwa utukufu wa Sayyidna Hussayn. Baada ya yote haya naona pia tuelezewe mafunzo tunayopata kutokana na msimamo wa Sayyidna Hussayn maana watu bora tukiwasoma huwa twajaribu kupata na faida kwao katika kuwasoma. Tumeona kwa mfano baadhi ya viongozi na wanaharakati was Gaza wakisema hawaezi kukosa ushindi, imma watapata uhuru wao ama Gaza itakuwa Karbala. Je ni ushindi upi ulopatikana na waislamu walokuwa Karbala siku hio ya Ashura? Mungu atujaalie tuwe wenye kuchukua mafunzo bora katika kusoma tarikh ya wema walotutangulia na katika kusoma na kufahamu tarikh yao kueza kuepuka makosa yalotokea na kuzuia dhulma zilizofanywa kujirudia. 🤲
Pia kuadhimishwe na kuomboleza siku alokufa Imam Ally bin Abu Twalib. Coz pia na yeye aliuliwa kwa kudungwa kisu ndani ya Swala Alfajiri. Na pia kuadhimishwe na kuuliwa kwa Imam Hassan bin Ally bin Abu Twalib. Coz nae alitiliwa sumu na mkewe Jadah. Kwa hivo isiwe Imam Hussein peke yake. Waadhimishwe wote .
Masha Allah Allah akuhifadhi na killa hasidi
😂😂😂
Mashaallah
UMEKOSEA HIYO AYA MWISHONI nı الكاذِبين NA SIYO # ظالمين
Halafu Hussein رضي الله عنهما hakuwahi kuwa Imam, ama kaka yake ambaye Hassan رضي الله عنهما ni kweli alikwahi kuwa mtawala kwa miezi 6 kisha akajiuzulu.
Imam alikua ni muawiyah na mwanawe yazid laanatullah alayhimaa 😂😂😂
Tumetajiwa Imam Hussayn ni nani lakini naona kama ni bora pia tungeelezewa mpinzani wake Yazid ni nani na vipi alichangia katika kuuliwa kwa Sayyidna Hussayn.
Tumegusiwa katika hii khutba kuhusu Mtume (a.w.a.s) kusema Hussayn ametoka kwake na yeye ametoka kwa Hussayn. Ningependa kujua zaidi ufahamu wa huu msemo na kama Mtume alisema hivi kwa mtu yeyote mwingine.
Alafu kuhusu kuadhumisha siku alouliwa Sayyidna Hussayn. Ni bora pia tungeelezewa kama vile hauli za wanazuoni walotangulia mbele ya haki, je ni sawa kuadhimisha siku Sayyidna Hussayn alouliwa?
Na kama ni sawa basi ni vizuri zaidi tungeelezewa umuhimu wa kuadhimisha hio siku kama vile zile siku za hauli za mahabaib walotangulia huelezewa umuhimu wa kuadhimishwa na pia ni vili bora kuadhimisha hio siku na kama vile tumeelezewa mambo yasofaa kama kujidhuru mwili, basi natuelezewe na mazuri yanaofaa kufanywa kuadhimisha hio siku kwa utukufu wa Sayyidna Hussayn.
Baada ya yote haya naona pia tuelezewe mafunzo tunayopata kutokana na msimamo wa Sayyidna Hussayn maana watu bora tukiwasoma huwa twajaribu kupata na faida kwao katika kuwasoma. Tumeona kwa mfano baadhi ya viongozi na wanaharakati was Gaza wakisema hawaezi kukosa ushindi, imma watapata uhuru wao ama Gaza itakuwa Karbala. Je ni ushindi upi ulopatikana na waislamu walokuwa Karbala siku hio ya Ashura?
Mungu atujaalie tuwe wenye kuchukua mafunzo bora katika kusoma tarikh ya wema walotutangulia na katika kusoma na kufahamu tarikh yao kueza kuepuka makosa yalotokea na kuzuia dhulma zilizofanywa kujirudia. 🤲
Pia kuadhimishwe na kuomboleza siku alokufa Imam Ally bin Abu Twalib. Coz pia na yeye aliuliwa kwa kudungwa kisu ndani ya Swala Alfajiri. Na pia kuadhimishwe na kuuliwa kwa Imam Hassan bin Ally bin Abu Twalib. Coz nae alitiliwa sumu na mkewe Jadah. Kwa hivo isiwe Imam Hussein peke yake. Waadhimishwe wote .
@@suuahmed71sababu imam Ali Anaona wivu ya kua mwanae atukuzwa mno si ndio😂😂😂