BARZANJ. Mfahamu sheikh JAFAR Al BARZANJ mtunzi wa kitabu cha maulid ya barzanj

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025
  • ‪@BABDEOMILADU‬
    ‪@sheikhyusufdiwan2489‬
    @Qadiria Tanzania
    ‪@shamsulhudahtv7068‬
    ‪@ShamsulMaarif‬

Комментарии • 265

  • @rahmanrajab7462
    @rahmanrajab7462 Год назад +6

    Dah yani Kuna watu watachomwa sana Kuna watu Leo wanavyo mkosowa huyu shekh kisa wamesomea uhabiii uhabiii uhabiii yani wanatia hasira sana kazi yao kuwatia motoni wenzao kwa elimu zao mchwaraa,,, muachekni huyu shekh al barazanjii apumzike huko aliko kwa Amani Allah mlipe kwa kazi kubwa alio I fanya shekh jaafar al barazanjii 🤲

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 Год назад +8

    اللهم اغفر له وارحمه واجعل قبره روضة من رياض الجنة يارب العالمين

  • @ustadhayub8733
    @ustadhayub8733 Год назад +3

    Mashaallah twayyib mabruuk umetarjimi na kumuhadithia Kwa ufasaha wa hali ya juu Allah akubarik sana

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv Год назад +1

    MASHA ALLAH 💚

  • @اماحمد-ي2ل7س
    @اماحمد-ي2ل7س Год назад

    ASANTE SANA KWA UFAFANUZI MUNGU AKUBARIKI SANA JAZAKALLAH KHER

  • @salumjuma9072
    @salumjuma9072 Год назад +4

    اللهم اغفرله ورحمه ورفع درجته في المهديين وخلفه فلغابرين وغفرلنا وله اللهم افسح له في قبره وغفرلنا وله

  • @amyassyassin7909
    @amyassyassin7909 Год назад +2

    Mtangazaji, muogope Allaah, unawadanganya watu kweupe

    • @fikratulmuhibbonlinetvismail
      @fikratulmuhibbonlinetvismail  Год назад +2

      Huenda uko sahihi lakini usituhumu

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 Год назад

      acha kutuhumu watu, na wewe muogope mingu wazua uongo na ilhal hujui mshenzi wewe

    • @اماحمد-ي2ل7س
      @اماحمد-ي2ل7س Год назад

      ATAKAE AMUONGOPE MUNGU NANI ??? NI MWENYE KUTOA DAAWA KWA UPOTOFU NDIO MTUME AMEMFUNZA KUKOSOA WATU NA KUKUFURISHA WATU HVYO? NABI MUSA MWENYEWE ALIKWENDA KUTOA DAAWA KWA FIRAUN HAKUONGEA KAMA HYO MPOTOFU WENU ALIVYO ONGEA TENA AMABO FIRAUN ALISEMA YY MUNGU TAKUA HYU AMETOA KITABU CHA KUMSIFU MTUME NA KUMTUKUZA ALLAH AJAPOTOSHA WATU ANDE HUKO AKASOME KWAZA KISHA ARUDI ATOE DAAWAA

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 Год назад +1

      Na ww muogope 👉 MINGU Usitukane Kufikisha kunatosha bila ya matusi

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 Год назад +1

      Kama Anawadanganya kosoa wapi amedanganya ili watu waone ukweli wako KWEUPE

  • @Mswahili-12
    @Mswahili-12 Год назад

    Duh,
    Muogope ALLAH ewe mzungumzaji kwenye vinanda,
    Barzanj hajawai kuwa imam wa msikiti wa mtume wala hajawai kuwa muft madina,
    Yaani unamjaza sifa ilimradi tu uwaaminishe wasiojuwa.

    • @fikratulmuhibbonlinetvismail
      @fikratulmuhibbonlinetvismail  Год назад

      Sawa ikiwa unafahamu hivyoo hebu jaribu kusoma historia yake

    • @اماحمد-ي2ل7س
      @اماحمد-ي2ل7س Год назад

      HAWA WOTE WANAOJIIBU UPOTOFU HAWAJASOMA NDIO MANAA MUSIWALAUMU KABISAA WACHE NA UJINGA WAO

    • @Mswahili-12
      @Mswahili-12 Год назад

      WAtu wa bidaa munatunga mpaka uwongo ilimradi tu muonekane mpo sawa,
      Ukweli hautabadilika hata kama mukisema alikuwa imam wa msikiti gani hiyo haitabadilisha maneno ya urongo yaliyomo kwenye maulid ya barzanji,
      Endeleeni kutunga uwongo.

    • @fikratulmuhibbonlinetvismail
      @fikratulmuhibbonlinetvismail  Год назад +1

      Kaa usome mwanaume hatopokwi tuu

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Год назад +1

    Jamani waisilamu tumefungamana na Quran ,hadithi na sunna za mtume na pia wanavyuoni lazima tuwape heshima yao inavyo stahili wao wamesoma kutushinda nasi tumezaliwa majuzi tu mbona tushindane na walio kuwa na ilimu zaida yetu sisi sote tunaongozwa na Quran na kila linalostahili kwa uisilamu nasi sote ndugu tusiwakashafu wanavyuoni hata mmoja labda kuna ilimu iliyojificha ndani ya maneno ya barzanji inafaa tuende tusome ilitujue nasi kwa sababu hii yote ni kiarabu na labda baadhi yetu hatuna ilimu zaidi kumliko kwa hiyo bila kukimbilia kukashifu tujiulize wewe na mimi na bacho elimu yetu imefika kiwango gani hadi kuwakashifu wanazuoni Allah atusamehe na atupe hekima na maarifa tupate ilimu zaidi 🤲🤲🤲

  • @risalaonlinetv
    @risalaonlinetv Год назад +3

    MashaAllah❤

  • @dahirgaraar360
    @dahirgaraar360 Год назад +2

    Hiyo ni historia haiwezi geuzwa, ukibishia kilichopo naam unahoja na ni haki tupate majibu ukibishia historia hutaeleweka , na ukibishia kijacho utaambiwa hakijatokea. Wallahu a'lam.

    • @fikratulmuhibbonlinetvismail
      @fikratulmuhibbonlinetvismail  Год назад

      Hivi mwalimu unajua usihusike katika tuhuma hizo kwa sababu hizo hoja 19 basi12 ni zaungo haziko.katika kitabu cha maulid ya barzanj. Ila hii ninhistoria tyu

  • @aishachuo4036
    @aishachuo4036 Год назад +3

    Allah akulipe kila kher inshaallah

  • @kingsolomoni
    @kingsolomoni Год назад

    Allahu yaalahlam

  • @MustafaOyoo-qz7rp
    @MustafaOyoo-qz7rp Год назад +1

    Mbona umeweka vinanda

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 Год назад +2

    Ana asli ya ushia flani

  • @iddimasika1173
    @iddimasika1173 Год назад +8

    MuongozJi wa kipindi nakuomba ungepunguza hz firimbii 7bu hata saut yako haisikiki vizur huo ni ushauri wng na Allah akulipe kw kz yako ishaallah

  • @AlimohdAmeir
    @AlimohdAmeir Год назад

    Allah akulipe kheyr kwa kutuelimisha

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 Год назад +4

    Kisha amekufa amezikwa Bakii jirani kwa Mtumi. Tushikeni ababu na wanazuoni. Wewe mtoto wa Bachu. Hiyo ilimu yako iweke vizuri kwahisani yako inshaAllah

    • @allysuleiman517
      @allysuleiman517 Год назад +1

      Hata ikawa vp atabaki kuwa Mwanazuoni wa bidaa tu huyo ameacha uovu unaendelea Allah lmustaan

    • @misbahukhalifa3216
      @misbahukhalifa3216 Год назад

      @@allysuleiman517 wewe wajuwa bidaa ama wasikia tuu ما معنى البدعة لو سمحت ممكن اعرف

    • @misbahukhalifa3216
      @misbahukhalifa3216 Год назад

      @@allysuleiman517 hebu nieleze na mm ufahamu wako wa bid aa

    • @misbahukhalifa3216
      @misbahukhalifa3216 Год назад

      @@allysuleiman517 chunga na kusema vibaya kwa wanazuoni wema yeye amepata mwisho mwema mm na wewe hatujui tutakufa wapi. Yeye amezikwa Baqii jirani na Babu yake kipenzi chake Mtumi.

    • @allysuleiman517
      @allysuleiman517 Год назад

      @@misbahukhalifa3216 wakulla bidaa tu dhwalala wakulla dwalalatu finnar sasa sijui una maana nyengine tofauti na hii alosema mtume alaih ssalat wassalam

  • @اماحمد-ي2ل7س
    @اماحمد-ي2ل7س Год назад

    MAULID MPAKA QIYAMA KAMA WAUME KWELI ZUWIYENI KAMA MUTATUZUWIYA MUNAKEREKA SANA NDIO MAANA MUNA LAZMA WATU WASISOME HASBIYALLAH

    • @Mswahili-12
      @Mswahili-12 Год назад

      Hata makafiri husema kama uvosema,
      Hakuna atakayezibia njia.
      Fanyeni muwezavyo ikishafika qiyama mutapata malipo yenu.

  • @9119-r4t
    @9119-r4t Год назад +2

    Masharubu yake nikama.mayaudi subhanaallah hana tafauti nao

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 Год назад

    Mbona mnaitukuza Barzanji kana kwamba ni QUR-AN??

  • @mussakisope7207
    @mussakisope7207 Год назад

    Mtangazaji umetoa kauli ambayo huna ushahidi nayo yakusema "KITABU KIMETUNGWA KWA USAHIHI" tuwaache walioruhusiwa kutoa fatwa.

  • @KhalidIdrisa-x4z
    @KhalidIdrisa-x4z 28 дней назад

    Niutovu wanidhwamu tu

  • @ZainamavooMavoo
    @ZainamavooMavoo Месяц назад

    Maslafi mawahabi Mabwa tu

  • @hajiameir8688
    @hajiameir8688 3 месяца назад

    Kwahoja ya ndevu hata maalim sefu alikuwa nazo kwa hoja ya sharubu basi na Amani Karume anazo

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 Год назад

    Je mlisoma wapi katika tarjama zake kwmba yy pia alkuwa akikusanya watu na kuwasomea kwa kughani na dufu mikononi

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 Год назад +1

    Kitabu cha Barzanjy n kitbu cha sira tu kama vitbu vyengine tafauti na kina rahiiq makhtoum n kwamba hiki ni uslub wa nadhmy ..na uongo wake ubaki uongo ukweli pia ukubalike ..acheni kutetea mambo yasyo na asli sahihi ..barzajy sio sahaby kukosolewa isiwr ngurumo ....

    • @AbdallaMwagora-sm1rj
      @AbdallaMwagora-sm1rj Год назад

      Ww kitabu chako nikipi ndio ukosowe vingine !hadhi aliyo nayo sheikh barzanje ww huna na hata mm Kwa hiyo tumheshimu.

  • @MohamedHasan-kt4lw
    @MohamedHasan-kt4lw Год назад

    Mi naomba HAO watu wa twariqah wanieleze katika tarehe kma Zama za Abubakar asidiq Ra na makhalifa wengine waliofuta kma walikua wakisoma maulidi hta kwn wao ndio viigizo vyema baada ya mtume wetu Muhammad saw

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj Год назад

      Quran mtume hakuikusanya walikusanya omar na bida nyingi zilikua mtume s a w akiwa hai wajua hayo ama waongea

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 Год назад

    Kwa hiyo Haya yoote ya Maulidi yanayowatoa mapovu dhini ya Bach u MASWAHABA WA MTUME S.A.W HAWAKUYAJUA!? Hakuna hata sehemu moja Bachu kabeza Elimu ya Barzanj ila kakosoa yaliyomo ndani kwamba ni Uzushi

  • @HajiHaji-r6n
    @HajiHaji-r6n Год назад

    Allah amrehemu lkn akida yake na vitabu vyake vyote ulovitaja ni vya kimaajabu

  • @abamohamed7092
    @abamohamed7092 Год назад

    Abdul Malik Mohamed we hii historia ya mwanazuoni huyu inakukera Nini?,hapa kwanza unapata fursa ya kumfahamu huyu mwanazuoni na upime msomi huyu anawezaje kufanya makosa katika kitabu Chake Cha maulid,tatizo mawahabi Hana elimu na zaidi mmeishika misimamo yenu ya kiwahabi ndio inayowasumbua,huyu ni msomi aliyekubalika na wanazuoni wengi ktk ulimwengu wa kiislamu,

  • @hassanmzandy1421
    @hassanmzandy1421 Год назад +1

    Masharubu kama paka pori

  • @MustafaOyoo-qz7rp
    @MustafaOyoo-qz7rp Год назад +1

    Kitabu chenye uwongo na shirki

    • @fikratulmuhibbonlinetvismail
      @fikratulmuhibbonlinetvismail  Год назад

      Jitambue sio kila kitu unacomment

    • @اماحمد-ي2ل7س
      @اماحمد-ي2ل7س Год назад

      KILA MMOJA AONA ILE TABIA YAKE INAMFUNZA KAMA WW WAONA HVYO SIO MAKOSA YAKO TABIA YAKO HIO JIONGELEENI KWA TABIA ZENU MAULID MPAKA QIYAMAH KAMA WAUME KWELI SMAMISHENI

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 Год назад

    Kwahyo yy pia alipiga dufu na kupiga mipunga ya hfla hixi

  • @binrajab9431
    @binrajab9431 Год назад

    Maajabu makubwa ya enzi za leo.

  • @salumjuma9072
    @salumjuma9072 Год назад +4

    BACHU KATUNGA KITABU CHA KIBRI NA KUTUKANA WANAZUONI NA KUMTUKANA ALLAH NA MTUME WAKE INSHAALLAH ALLAH AMUANGAMIZE KWA KAZI YAKE SHEKH JAAFAR ALIKUWA MUFTI WA MADINA BACHU MUFTI WA KIBRI NA UJINGA NA UJAHILI

    • @fikratulmuhibbonlinetvismail
      @fikratulmuhibbonlinetvismail  Год назад +2

      Muombee dua ya hidaya Allah amuongoze

    • @AbuuhudhayfaMwanyuki
      @AbuuhudhayfaMwanyuki Год назад

      Haji upepo ndo anaongoza Kwa matuss Kila koona lazima atukane Allah amuongoze naee

    • @jumakumala1337
      @jumakumala1337 Год назад

      Sheikh kumbuka ukimuimpea mwenzio Dua nzuri ama mbaya basi nao Malaika akuombea hata ww , tafakari ww na Malaika wasio muaswi ALLAH nani Dua yake itapokelewa kwa haraka

    • @tamashamagoma2941
      @tamashamagoma2941 Год назад

      Ndio kawaida, shetwan hulipambia jambo lisilo na maslahi. Bacho simama kwenye haki na Allah yuko pamoja nawe na tunakuonbea kwa Allah akulinde na hasad.

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 Год назад

      ​@@tamashamagoma2941kwa hy barzanj hako ktk haki? wamtuhumu mtu? huo si usheitwani na ujinga mipumbavu
      barzanj si umfananishe na paka au panya bachu huyo,, hicho kipanya

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 Год назад

    Wamuhayan kashamsi Minka mudhiu......

  • @abdulmalikmohamed732
    @abdulmalikmohamed732 Год назад +2

    Kwan jama mkiacha kusoma hayo maulid mtapungukiwa nn, halaf kuna watu wamekaa kiushabik, tuache ukang'ang'ani jama dini haupo hvo, ukiiona hii ni haqq ni wajibu kwako kuifuata, tatzo c jina la maulid tatzo yaliyomo kwenye hyo maulid, kuna mambo anasemelewa mtume sala na salam ziwe juu yake wala hayathibit katk sheria hayo ndo tunayopinga cc mnaotuita mawahabi, ili muwe katk haqq hebu LETENI HOJA NA DALILI kuhusu hzo sifa alizopachikwa mtume sala na salam ziwe juu yake katk barazanj ikiwa ninyi mnasema kweli

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 Год назад

    Mm nakwambia ukweli mtoto wa Bachu chukuwa msha hara wa kuwa wahabi na kutukana wanazuoni na ujuwe nyama ya wanazuoni ni sumu nani haramu na waweza kufariki katika njia mbaya. Mungu atuongoze Aamiin Aamiin

  • @tamashamagoma2941
    @tamashamagoma2941 Год назад +1

    Bachu endelea kutuelimisha, Mungu atakulipa, maana usipo jambo hili la maulidi utadhani uko sawa. Ninachokishanga, hawataki kubadilika, au michango ya wali wa maulidi?

    • @NuldinMwanaid
      @NuldinMwanaid Год назад

      We una elimuu bwana kaa mbalii

    • @AllyAbubakary-q5l
      @AllyAbubakary-q5l Год назад

      Pamba ukiwa wewe unakataa maulid unakubali tauhid 3 kama sio bidaa kua na akili basi mbona nyie mawahabi mnatia hasira

    • @sayidshion
      @sayidshion Год назад

      Naam Bachu Aendelee kiwatowa watu katika Giza, haitakii ilmu NI akili ya MTU... Common sense.

  • @UmAkram-z1u
    @UmAkram-z1u Год назад

    shia huyu

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 Год назад +1

    Ni mashairi tu, kitabu Barzanji si Quran.

  • @ShaniKimoku
    @ShaniKimoku Год назад

    Maneno yasio kuwa na mastadari yamezoeleka ktk vinywa via masufi

  • @salmaali7080
    @salmaali7080 Год назад +2

    Maulidd yalianza kusomwa kabla hajajulikana kama atazaliwa Bachu, sasa atuletea storyy nyingi.,swalluu alanabyyyyy

    • @muhamadyabubakary6750
      @muhamadyabubakary6750 Год назад +3

      Hata abuu jahali alikuwa kabla yenu

    • @abdurahimabdulkadir3926
      @abdurahimabdulkadir3926 Год назад

      @salmaali waulize hao wakubwa wa maulidi nani alieanzisha maulidi? Na yalianziswali lini?

    • @salmaali7080
      @salmaali7080 Год назад

      M mwenyewe ntakujibi babuyake babuyako alikua hajazaliwa maulidd yakianza upo

  • @Muadhin1
    @Muadhin1 Год назад

    sharubu ndeefu halafu eti ni mufti wa madina subuutuuu

    • @اماحمد-ي2ل7س
      @اماحمد-ي2ل7س Год назад

      UMEONA KAMA NI WAPOTOFU??? HIO NDIO LIMEKUKERA??? HIO SHARUBU YAKE ?? NDIO DINIBYAKO IMEKUFUNZA HVYO HAMUNA HATA HAYA WATU NYINYI WAJUA KAMA NYINYI MU WAPOTOFU SANAA... NABI ISA ALIENDA KUMPA DAAWAA FIRAUN HVYOOO

  • @fawziaabdurrahman2251
    @fawziaabdurrahman2251 Год назад

    Nimetamani niskize lakini hizo kelele huko nyuma zinakera. Afadhali ingekua mazungumzo tu

  • @zanbroadtours7462
    @zanbroadtours7462 Год назад

    Kwanini aliandika kitabu cha maulidi na malengo yake yalikuwa yapi?

    • @fikratulmuhibbonlinetvismail
      @fikratulmuhibbonlinetvismail  Год назад

      Aliandika kitabu hicho kama kuelezea historia ya mtume na malengo ni kumsifu mtume.

    • @abdurahimabdulkadir3926
      @abdurahimabdulkadir3926 Год назад

      ​@@fikratulmuhibbonlinetvismail na hii maulidi haswaa ilianza lini sababu huyu wakati anatunga kitabu mtume ashakufa sasa tufahamishe maulidi haswaa yalianza Karne ya ngapi na yalianzishwa na nani?

    • @اماحمد-ي2ل7س
      @اماحمد-ي2ل7س Год назад

      MAULID MPAKA QIYAMAH PAMMOJA NA MTUME

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 Год назад

    WATU WA TWARIQANA TABU SANA,SUALA LA MAULIDI MNALIONA NI IBADA KUBWA SAAANA! HALI YA KUWA KUNA WATU HAWASWALI KABISA WAO HUSUBIRI MAULIDI TU WAKAIMBE KASWIDA NA KUPIGA UBWABWA ! SASA HUKO NDO KUMPENDA MTUME?

  • @fikratulmuhibbonlinetvismail
    @fikratulmuhibbonlinetvismail  Год назад +1

    Tarekh mzuri ya bwana mkubwa barzzanj

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf Год назад

      Wanasema kwamba kuna baadhi ya mambo yanaonekana ni.makubwa na hayapo katika quran na sunnah kama.alivobainisha shekh Muhammad Bachu... Unaweza ukatusaidia Shekh Jaffar aliyatoa wapi??

    • @muhamadyabubakary6750
      @muhamadyabubakary6750 Год назад

      Hakuna uwakika wa historihi kwan zama hizo hapakuwa na video uzushi huu

    • @fikratulmuhibbonlinetvismail
      @fikratulmuhibbonlinetvismail  Год назад

      ​@@muhamadyabubakary6750eeeeh hii kali

    • @fikratulmuhibbonlinetvismail
      @fikratulmuhibbonlinetvismail  Год назад

      VIP kuhusu historia ya mtume haina ukweli pia maan hakukua na video

  • @awdhimbaraka6154
    @awdhimbaraka6154 Год назад +1

    😂😂😂😂😂😂 kisingiziokikubwa ni balagha

  • @JumaOmar-lj9yh
    @JumaOmar-lj9yh Год назад

    Naona shekh katika sifa za mtume ni ndevu yeye kaweka masharubu bado mnaendelea na vioja jibuni hoja hatutaki kuonyeshwa watu

  • @aboumuqbil2529
    @aboumuqbil2529 Год назад

    Jamani hemu tutosheke na mafundisho ya mtume na makemeo. Hivi huyu sheikh anaesifiwa mwana wa chuoni mkubwa. Mi nawaomba mnijibu hizi sharubu Zina maana gani ،?

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 Год назад

    UKIONDOA KITABU CHAKE CHA BIDA'A CHA MAULIDI BARZANJI KWANI KUNA KITABU GANI KINGINE KATUNGA HUYU

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 Год назад +1

    BACHU ACHA MAULID BORA UPAMBANE NA MASHOGA MABASHA /TARABU/MDUNDIKO/MATEJA WALA UNGA....UNAPATA FADHILA KUBWA KWA ALLAH.....

    • @amyassyassin7909
      @amyassyassin7909 Год назад

      Mtume alipambana na maovu yote, hakuchaguliwa maovu yepi awachane nae.

    • @AliDaud-si3fg
      @AliDaud-si3fg Год назад

      Hayo yotte yanajulikanwa kua ni madhambi wala hakuna mashaka, Bacho anawatoa watu taka za masikio kua utaratibu unaoitwa maulid ni bidaa na c o ibada

  • @NasibuJuma-e6u
    @NasibuJuma-e6u Год назад

    Kumbe ndie jafar huyo anafanana na zile mbwa za kizungu mdomoni alivyo nyoa ndevu na kuaca sharubu

  • @abuusuhaibmchumi6509
    @abuusuhaibmchumi6509 Год назад +2

    Mnadanganyan sana nyie masufi mnakufuru halaf mnaita balagha kurani maneno ya Allah yapo nyuma zaid ya maneno ya Jaafar eee?

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 Год назад

    Mitwarika fahamu zenu ndogo sana neno mawlid sio kupiga dufu wala kulazimusha kusoma hicho kitabu kw jamahiri ..kumbe huyo Barzanjy pia hamkumuelewa

  • @MusaYusuphu-y2l
    @MusaYusuphu-y2l Год назад

    Alichanganya usufi na ushia na ushafi, kinacho takiwa ni kufuata madhehebu manne tu kisheria

  • @jumu1964
    @jumu1964 Год назад +2

    Bado hujatoa dalili barazanje inamauongo tetea hoja

  • @eddieeddie2755
    @eddieeddie2755 Год назад

    Yeye Barzanji alikua akishushiwa wahyi na yeye ? Ktk Uislam kua utakae kua ukikosea lazima uambiwe , hii ni dini si chama cha Maulidi.

  • @ibrahimmussa7069
    @ibrahimmussa7069 Год назад +2

    Masufi watu wanataka dalili

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 Год назад

    Mitwarika tukubaliane kuwa barzajy hakufamika malengo yake kwenu ..pia watu wa madina hawakufaidika na imu yke..

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 Год назад

    Mwanachuoni kama huyu alobobea kwa ilimu ndani ya msikiti wa Mtumi Madina. Ametunga kitabu kisha aje mtoto wa Bachu atowe makosaaa 😂. Aliyekuwa mufti wa shaafii ndani ya Madina. Mungu atuongoze Aamiin.

    • @jumasalum2677
      @jumasalum2677 Год назад

      Tetea zile hoja acha siasa
      Kwani yy hakosei acha ubabaifu

    • @FakiSuleiman-kn7mj
      @FakiSuleiman-kn7mj Год назад

      ​@@jumasalum2677apohakuna hoja achani ujinga

    • @sayidshion
      @sayidshion Год назад

      Suali kama kimetungwa Madina mbona hakisomwi huko Madina wala Makkah .?

    • @fikratulmuhibbonlinetvismail
      @fikratulmuhibbonlinetvismail  Год назад

      Hakuswomwi unanihakika

    • @mudimaalim217
      @mudimaalim217 Год назад

      Tatizo ni ufahamu unawasumbua mawahab maana wanatafsiri maandiko wanavyotaka wao na wanasahau kuwa kitab cha barzanji kimeshehen fani za lugha so huwez kutafsir unavyotaka ww.

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 Год назад

    Sasa vinanda ni vya nini sheikh twataka kusikia unavyo ongea ww hatuna haja na vinanda sheikh pole lkn

  • @binrajab9431
    @binrajab9431 Год назад +2

    Sasa Sheikh mkubwa kama huyu wa zama hizo eti anatolewa makosa na watu wasiokuwa na Silsila

    • @zahormbwana9916
      @zahormbwana9916 Год назад

      Hiii sio dalili watu walisali na mtume na walikuwa wanafik watu walikuwa watoto wa mitume na walikosea huyu nani asikosee kukosea ni kawaid tu kwa bina damu kakosea kukosolewa wajub

    • @tanzaniaonmzamiloon8627
      @tanzaniaonmzamiloon8627 Год назад

      @@zahormbwana9916 yani ukijiingiza Kwenye kundi la kiwahabi unakuwa mwehu

    • @dullahbatuf9223
      @dullahbatuf9223 Год назад +1

      Kwnn asitolewe makosa mkamilifu ni Allah tu yap atayokosea km mwanadamu watu Walikosea mbele ya mtume na mtume akawakataz hiv msifany hiv msiseme seuze yy. Allah atamlipa kw Kaz yake kubwa ya kupigania dini na pale alipokosea Allah atamfanyia wepesi

    • @halimahussein6792
      @halimahussein6792 Год назад

      huyu ni mwanaadamu kukosea kwake ni wajibu na kukoaolewa vilevile ni wajibu. HAISHANGAZI sisi waislam tutaka dalili sahihi BASI

  • @ibrahimmussa7069
    @ibrahimmussa7069 Год назад +1

    Izo birojo tu bachu kidume maulidi uongo

    • @fikratulmuhibbonlinetvismail
      @fikratulmuhibbonlinetvismail  Год назад

      Hujafahamu makusudio ya hii video akhyy hii ni historia

    • @hashimmoshi3052
      @hashimmoshi3052 Год назад +1

      Shekh Barazanji zama zake hakuna alie mkosoa sasa leo utashangaa wa tu wanamkosoa na hali Shekh Barazanji kuhudum katika msikit wa Mtume Sisi Masufi tunamuamini Shekh jaafari kwani ni katika Salafu swaleh

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 Год назад

      Mulid ni mazazi .kwaiy mtume hajazaliwa?hata asiesoma anajua maana ya maulid.kasome usiwe mbumbumbu

  • @HassanSalum-pg9yu
    @HassanSalum-pg9yu Год назад

    huyo alikuwa mtunzi mkubwa wa mashairi sasa punguza uwongo kijana

    • @fikratulmuhibbonlinetvismail
      @fikratulmuhibbonlinetvismail  Год назад

      Sawa habib ikiwa unaamini hivyo je unawwza kulitetea hilo msimu ya kiama kama unaweza basi sawa ila kama huwezi ni bora ukae kimya

  • @osmaniidrisa6290
    @osmaniidrisa6290 Год назад

    Aliku shia au sunni

  • @HassanSalum-pg9yu
    @HassanSalum-pg9yu Год назад

    punguza uwongo wewe mtangazaji huyo sisi tunamfahamu vizuri kuliko wewe

  • @jumasalum2677
    @jumasalum2677 Год назад

    Hata wewe hujielewi