DP Ruto adai Rais Uhuru anatumia Raila kubakia madarakani

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 29

  • @paulakechi9737
    @paulakechi9737 2 года назад +4

    Hayuko juu ya gari leo

  • @djjuniorsampler7528
    @djjuniorsampler7528 2 года назад +5

    Ulisema uhuru ako na kura moja tu mbona mnawasiwasi

  • @jumak.ismail2504
    @jumak.ismail2504 2 года назад +4

    Wewe mwizi acha maneno Uhuru has money he can't refused to go home like moi

  • @qrankmw.
    @qrankmw. 2 года назад +3

    bonyeza ruto...upate skiza uongo
    bonyeza uda...upate skiza hasira.

  • @kim_kim1144
    @kim_kim1144 2 года назад +4

    Hakuna makasiriko I thought waluke belongs to Jail. Rigathe frozen Accounts ya pesa za wizi. Karen official DP residence is a political theater

  • @linuskimani8442
    @linuskimani8442 2 года назад +1

    Sijaskia Ruto akisema kitu kama hio ama ni news siskizi vizuri😅😅😅

  • @ruthnjoki2131
    @ruthnjoki2131 2 года назад +4

    President uhuru kenyatta dawa ya Ruto

  • @aishaathman7340
    @aishaathman7340 2 года назад +3

    Na bado. Mtabweka sana. Simba alinyeshewa mukadhani ni paka.

    • @thomasmarende2445
      @thomasmarende2445 2 года назад +1

      Ndoto, without kalonzo weta and mdvid azimio la mawe is not going anywhere.period!

    • @aishaathman7340
      @aishaathman7340 2 года назад

      @@thomasmarende2445 mtashangaa

    • @thomasmarende2445
      @thomasmarende2445 2 года назад

      @@aishaathman7340 August,usikufwe.tupatane after 9/8/2022.any way Mimi ni undecided voter ,ju maybe siezi piga Kura ,coz nimeangaika since 1992 to 2018 .punda imechoka!

  • @Moses-Kuria
    @Moses-Kuria 2 года назад +3

    Hamjui kiswaili shut up kiswaili kibayaa

  • @brysonshayo5453
    @brysonshayo5453 2 года назад

    Apo xwa hatutaki io project ya uhuru

  • @wabannah9009
    @wabannah9009 2 года назад +2

    Wazalendo:"Raila the 5th(No to Ruto Presidency)"!!!.

  • @dankago8668
    @dankago8668 2 года назад +1

    Nonsense

  • @key-ur5vz
    @key-ur5vz 2 года назад +2

    Hustler Nation is God's plan,
    Ruto the people's project

  • @abdirahmanihwebo5860
    @abdirahmanihwebo5860 2 года назад

    Rais hafai kutumia mali ya wanainchi kumpigia debe RAILA

    • @fredkunyobo7987
      @fredkunyobo7987 2 года назад +1

      If that is the thinking pia ruto hafai kujipigia debe na pesa za imma they are both office bearers and they both have rights to compain for any one

  • @kellymartin77
    @kellymartin77 2 года назад

    Tumechoka na hii serikali...kindly just go home in peace

  • @alumanjr.4747
    @alumanjr.4747 2 года назад +3

    Uhuru ashatupa mwelekeo ninyi pegeni Tu domo, juzi mulikuwa muna mwambia ati ana kura moja tu, so why panic ?

  • @oduedu-nk4qi
    @oduedu-nk4qi 2 года назад +3

    Agenda na sera za UDA ni raila, sabina chege, na uhuru. Naona wafuasi wao wakienda kwenye vituo vya kupigia kura wakiwa wamejazwa na hasira na kupiga kura za kihisia wala sikuleta mabadiliko mema inchini