Baada ya album ya MISA LUBA leo kwa mara ya pili nimesikiliza wimbo huu kutoka KENYA. Wimbo umetulia, sauti safi, vyombo vimepangiliwa, video safi , wanatikisika kikatoliki asanteni sana naisikiliza mara kwa mara
Atatawala milele ... Asante sana kwa wimbo mzuri kama huu ... kuwasikiliza ninahisi kushikamana zaidi na YESU na upendo wake milele, kutoka Uhispania, sio lazima kuelewa lugha kujua wakati mtu anaimba kutoka moyoni.❤️🇪🇸🙏🌹 Él gobernará por siempre ... Muchas gracias por tan linda canción ... escuchándolas me siento tan conectado con JESUS y su amor para siempre, desde España, no es necesario entender el idioma para saber cuando alguien canta de corazón.❤️🇪🇸🙏🌹
Asante sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi Yesu Kristu ndie mfalme wa wafalme ni Bwana wa ma Bwana Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Asanteni sana wapendwa ,MUNGU muweza wayote, aendelee kuwatunza nakumtukuza siku zone zamaisha yenu. Asante MUNGU kwa zawadi yawatumishi wako ukweli wanajitendea haki nakututendea haki amina
Though I live in the far region of northeast India I simply can't help myself falling in LOVE with this beautiful song and has listen to it hundreds of times.Language has no barriers when it comes to music.God bless you all unceasingly.
Christ kingship, I can't miss to play this music . There is a profound message that all who believe in him have a lot to reflect about. Thank you for helping many people to understand the meaning of Christ kingship. The entire mission and what is it that we are called to do. The music composer deserves grade "A". For the time you all sacrifice to fit it and harmonize the music, your participation and contribution in various ways; May the Almighty God bless and reward each one of you all the days of your lives.
How i manage to listen to such a blessing song right after the divine mercy sunday; and while we are faced with a challenge that has us questioning everything. thankfully, this song reminds us how powerful Jesus is, He is still King of Heaven, and He reigns and Reigns forever, and He deserves our praise and adoration, exalting and thanksgiving. thank you so much St. Pauls Choir, am blessed
Big ups all,its a modern piece,well composed, magnificently performed. The chorus is super hot,Bass parts the sweetest,wish i could be amongst you guys.
Asante I Sana wakatholiki wenzetu kutoka Kenya, uimbaji wenu mzuri umejikita ktk Litrujia tuliyoizoea yangu zamani, kwangu nyingi ndo kwaya bora of the time
Baada ya album ya MISA LUBA leo kwa mara ya pili nimesikiliza wimbo huu kutoka KENYA. Wimbo umetulia, sauti safi, vyombo vimepangiliwa, video safi , wanatikisika kikatoliki asanteni sana naisikiliza mara kwa mara
Asante, tubarikiwe sote
@@SautiTamu uliogopa
It should be made maybe an anthem to be sung at least in every Mass
sauti tamu sana choristers,great work Munywoki
Celestine Mutindi nimekuona dear ukiwa na Rozy
Atatawala milele ...
Asante sana kwa wimbo mzuri kama huu ... kuwasikiliza ninahisi kushikamana zaidi na YESU na upendo wake milele, kutoka Uhispania, sio lazima kuelewa lugha kujua wakati mtu anaimba kutoka moyoni.❤️🇪🇸🙏🌹
Él gobernará por siempre ...
Muchas gracias por tan linda canción ... escuchándolas me siento tan conectado con JESUS y su amor para siempre, desde España, no es necesario entender el idioma para saber cuando alguien canta de corazón.❤️🇪🇸🙏🌹
Asante sana, ubarikiwe
Asante sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi Yesu Kristu ndie mfalme wa wafalme ni Bwana wa ma Bwana Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Amina
Ubarikiwe nawe pia
Asanteni sana wapendwa ,MUNGU muweza wayote, aendelee kuwatunza nakumtukuza siku zone zamaisha yenu. Asante MUNGU kwa zawadi yawatumishi wako ukweli wanajitendea haki nakututendea haki amina
Amina, ubarikiwe
Sauti nyororo, zakupendeza, zinazotuliza roho na kuelekeza msikilizaji kuutafakari wema wa Kristo Mfalme
Thank you
Kazi nzuri
Shukrani sana Erick
Dear Mother Mary pray for us na ukanyage chini yule muovu 😢 🙏 🙏 🙏
Amina
Yesu Kristo mume mwema Sana kwa wajane,kama mimi,nampeda nya' ga 2
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
Songs of Sauti Tamu Melodies they gives me Hope. Keep it and God bless you all
Thank you so much Elise
Bwana awabariki, awaongezee neema zake mnapoendelea kumsifu.
Amina, ubarikiwe
Hakika astahili heshima, enzi na utawala... Yesu kristu ni mfalme. Great music good people of God
Thank you, ubarikiwe
panda shuka ya notern,saut ya 4 na tatu mawasikia vyema ,Toka Canada nawapenda,safi
Shukrani sana
Hakika sauti hizi ni Tamu.. !! Hongera kwenu , Yesu mfalme azidi kuwatendea mema milele...
Asante sana Kenn, nawe pia
wimbo mtamu sana comrades
Asante kwAmungilio na nyi MBO tAmu thanks allot
Asante Henry, ubarikiwe
Ubunifu na ufundi wa kiwango kingine, ladha ya kipekee kusikika Afrika Mashariki, nawapenda bure!
Amina
Though I live in the far region of northeast India I simply can't help myself falling in LOVE with this beautiful song and has listen to it hundreds of times.Language has no barriers when it comes to music.God bless you all unceasingly.
Thank you so much Nobert
Blessings
Naupenda huu wimbo tu saanaaa
Asante Jane
wimbo mtamu aisee
Asante Geoffrey
Muendelee vivyo hivyo. Na msalimie Anastacia Muema
Wow! Wimbo mtamu sana. Heko UON Catholic Chaplaincy choir
Great work guys. I always enjoy your music. Keep more tunes coming😊
Thank you🙏🏻🙏🏻🙏🏻 check out our latest tune
Hakika ni sauti tamu kweli..
Asante Rita. Ubarikiwe
Wow! Yesu Kristu ni Mfalme kweli. Asanteni sana kwa wimbo mzuri.
Kwasauti tamu izi ukweli hata karma mnamandokando MUNGU nahis anaweza kuwasamehe. Ukweli mnaimba vzr.
Asante Deodatus
kaZi mzuri sana
Asante Carol
wimbo mtamu... Forever proud of my University of Nairobi .
Wow.....its really a nice song.....pia napenda venye mmeblend
Mmeblend sauti
🙏🙏🙏
Nyimbo nzuri asante sana Mungu awabariki
safi sana
🙏🙏🙏
Hongereeni sana, kazi safi na tamu
Hongeren wimbo mzur
Asantee
Oh jamani jamani Mbarikiwe sana
Ubarikiwe pia, shukrani
Wimbo mtamu sana
From USA
Thank you Jane
Be blessed
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu
🙏🙏🙏
How much can say that I love you guys??? Mubarikiwe sana
Excellent 👌
Thank you🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Atawale milele yote Amina
Milele milele na milele
This is a very good song. I love the harmony
Thank you Samuel, be blessed
Can the choir be hired during occasions like weddings, anniversaries, ordinations etc?
Currently, we've not been doing events, but you can reach us via email sautizakuimba@gmail.com
If you come to United States of America let me know. I would buy tickets.
Thank you Kathleen
Huu wimbo ni mtamu sana, sauti zenyewe zimetulia vizuri nimeumependa... congratulations choiristers
Tena sana
Watching over and over, this is so awesome!!! I loove it
Christ kingship, I can't miss to play this music . There is a profound message that all who believe in him have a lot to reflect about. Thank you for helping many people to understand the meaning of Christ kingship. The entire mission and what is it that we are called to do. The music composer deserves grade "A". For the time you all sacrifice to fit it and harmonize the music, your participation and contribution in various ways; May the Almighty God bless and reward each one of you all the days of your lives.
Amen Cecilia, God bless you abundantly, in everything you do
How i manage to listen to such a blessing song right after the divine mercy sunday; and while we are faced with a challenge that has us questioning everything. thankfully, this song reminds us how powerful Jesus is, He is still King of Heaven, and He reigns and Reigns forever, and He deserves our praise and adoration, exalting and thanksgiving. thank you so much St. Pauls Choir, am blessed
very beautiful
which st Paul choir
nice voices...listening from karatina university
Wimbo mtamu... Congratulations
Nimewaelewa, Mungu awabariki sana kaz nzuli sauti ziko poa sana👏👏👍👍👍
Beautiful song
Thank you Collins
Inapendeza sana
Asante
Awesome
Kazi nzuri..
Awesome! All glory to God. Congratulations!
Wonderful music
Thank you
Thank you
Hongereni kwa kazi Nzuri, Mungu awabariki
sweet song. I love it
thank you
@@SautiTamu ur welcome
Big ups all,its a modern piece,well composed, magnificently performed.
The chorus is super hot,Bass parts the sweetest,wish i could be amongst you guys.
I love the fact that music is transforming and not loosing goodies. May God keep blessing you
Tamu sanaaaa.... Kitu safeee!
beautiful tunes, I have really cooled my soul
Thank you Fred
Blessings
hakika yesu ni mfalme wa wafalme 💯
sweet voices🔥🔥
O God strengthen my catholic faith.
Amen
wimbo mtamu sana
Asante Alex
Wakenya tunakuja mbioooo
Kazi safi sana
Christ the King Feast, best of the best
atawala milele,,,
Like it
Asante I Sana wakatholiki wenzetu kutoka Kenya, uimbaji wenu mzuri umejikita ktk Litrujia tuliyoizoea yangu zamani, kwangu nyingi ndo kwaya bora of the time
Naipenda
I love it kudos Uon.
Asante Cornel
Loveliest
Beutiful song
Asante
Great song 🙏🙏
Yatama ngumu
So sweet
Wonderful
vraiment
Lovely
Glory to God
Asante Esther
💕💕
Mabone
Uuuuuui can I get the soprano alone 😅😅maskio imekua confused
Tuwekee notes za huu wimbo
Swahili Music Notes utazipata,
Swahili Music Notes utazipata,
@@SautiTamu thanks for quick reply
Naweza zipata vipi
Kuna website inaitwa swahilimusicnotes.com ukifungua tafuta Atawala Milele.
@@SautiTamu sawa
How can I get this sauti tamu audio disc please. I really need it
CD itakuwa out soon. Makanisa yakifunguliwa fully
How can I get the notes of that song?
Email us sautizakuimba@gmail.com
Kazi safi sana