if people only knew how this track is old,,Tuliiskia na cuzo yangu mara ya kwanza 2018 back then when watu hawakuwa wakadinali,finally nice to see a VIDEO
Aress 66 Amekua akipiga hii sound inaitwa Arbantone toka tene kuna hii rwega kuna Ragga Muffin ya Scar na Cods and so much more Respect kwa huyu producer Aress 66 Big Beats Afrique
Hii ngoma ni ya 2018 . Hii time nlikuwa form four nakumbuka hadi Sewersydaa hakuwa amejoin Wakadinali but alikuwa anawashootia mavida akijiita Slim visuals
Wale wenye wana-feel vibaya cause hakuna bar's za sewer mikono juu
But the song is 5 years old
Ako behide the seen my Guy
Hii Ngoma ni ya kitambo sana
@@the_mayor6342 @Sting1 ni mgeni kwa WAKADINALI
Wewe ni mgeni huku?
Ma fans wa wakadinali Toka kitambo wanajua hii song, Quality Iko lit
niya teneee actually ndio wanadrop
if people only knew how this track is old,,Tuliiskia na cuzo yangu mara ya kwanza 2018 back then when watu hawakuwa wakadinali,finally nice to see a VIDEO
I think saizi kila msee anaangusha project zake coz kawaida artists wako na mangoma mob
I feel you
Hizi ni clips za song zao kadhaa hii si vida ya hii ngoma
Joh@@trevormnjama167
For real...but io part ya scar io video ilikua song flani alikua featured someone anikumbushe @@VJ_Made_It_EASY
Munga anamaliza game kenya hakuna mwingine✅️
Munga to the world
Scar's verse can be re-used in 5 other songs and still make a hit. That's how huge it is 🔥🔥🔥
Wawawa enyewe RUTO MUST GO 🇰🇪✊😎
Aress 66 Amekua akipiga hii sound inaitwa Arbantone toka tene kuna hii rwega kuna Ragga Muffin ya Scar na Cods and so much more Respect kwa huyu producer Aress 66 Big Beats Afrique
Mad Munga! My G that one! Ako zone
Najua Kuna wenye wanashangaa sewer ako wapi,lakini let's appreciate this one's coz they are also our own👏👏👏,piga like
Msupa anadhani ako na principles juu ako chuo😂💥💥
New comer atathani hii wimbo ni mpya🤙uwanga mbaya
😂😂😂nimemcheki rong don mahali big up mzee😂
MUNGA MY BROTHER FROM ANOTHER MATHAA
Mad Munga ameleta hii song from kwa archive ajitetee... Mbona hawakumbeba akichachisha
Hii nayo ishakua anthem 🔥🔥🔥
Munga back in the day alikua mdeadly Acha sai sjui huwa anaimba nini
Kumbe scar can do chorus😊 big up punisher domani
Am leaving this comment so when anyone likes, I come and listen to this banger ❤
Hii ni ngoma mzee
What a gwan Three GOATS🔥💥🔥✌️🇰🇪✌️
Munga on repeat nikiwasha mangwai🔥🔥🔥🔥💯
Mi ni Gen z and i can say wasee wengi wa hii gen ytu wanajua ngoma kiasi sana za Waksdinali,they only know bangers,
Hii ngoma ni ya 2018 . Hii time nlikuwa form four nakumbuka hadi Sewersydaa hakuwa amejoin Wakadinali but alikuwa anawashootia mavida akijiita Slim visuals
Mungaaaa, Wallahi Munga ndiye ukuwa na vibe ya wakadinali
Munga to the continent❤❤🔥🔥
We need international collaborations from Munga and the wakadinali fraternity 🔥🔥❤️❤️🇰🇪💯💯💯🌍 Damn 😮 the producer has killed it 🫡
Finally video lyrics tinajua back to back😅
the chorus is chorusing 🎉
mafans wa wakadinali wa tenee watarelate hii⛽️🤞🏾
😂😂munga 🔥... Ati upewe simu namba labda badayee💯
Nalilikana udu nathinie kituiii😂😂 I remember amuika show niliperfom nikiwa njaa🤣🤣uwanga bad
Been waiting for this video for a while sana
Vibe la kidrill kiraggae kidancehall🇰🇪🇰🇪 so nicee
Iko sawa mabudah✌🏿niliwazoea juu mna prove pple rong ki rende❤❤
Wakadinali hdi Tamati 🔥🚀 Zozaa ✊🏿
Nikisleki nibebe, scar to the world 🌎🎉
Nibebe.Nice song manze
Munga anaeza kupea Goosebumps manzeh ❤❤
Wenye hawajui hii ngoma ni ya kitamboo sana msishangae sewer ako wapi alikua anauguza jeraha za koo😂😂😂😂
ye ndo videographer
MUNGA THE PUNISHER 😊🔥🔥🔥
scar killed it on the chorus and his part too🎉❤
Pitia kwangu pia
Rong rende classic right there💯💯....NIKICHACHISHA NIBEBE
Zingazitia proverb..Gwaan
Twende na hii sasa, C you know munga never disappointe😉
Nimeshoot watu wengi kushinda Red na Black Magic, Cinematographer wanaelewa hii Punchline
Ndio nimetoka SoundCloud ku confirm
Juu hii hit 2018 ilikua 💥💥💥💯
This is mad manze 🔥 naskia not no go so naskia just got paid (insert emoji ya nduru)
Imetubeba sana na mamorio wangu vyenye inashika 🔥💪🏾
Hapa munga ameflow na beat...moto sana
100%APPROVED
100%GOOD MUSIC
100%VOCALS
10000000000000000%BLACK MIND PRODUCTION APROVED
Nuthin nuh go so🔥
Sampling Buy Out riddim 🔥🔥🔥 notting nuh go so by Notch.
@Domani umeamua ujitetee baada ya ile vituko....yenye still my fav🫡💪🏾👊🏾
Nataka baby anibebe anibembeleze, mi ni mtu mature
Munga weuweee 🔥 📛
Baas prime Doh Money is back🔥wapi likes za wuzu
Nilikua nimehata Dochman wa Mungu series 💯💯
Munga to the world 🎉🎉
Hii ngoma ni genje💯
Wakadinali to the world 🌎🌎
munga the punisher
Mungo is back wither mungo barz
Wenye wanakumbuka hiii hata before VOM ...HUWANGA VERY ROOONG
"nipe phone baadae labda naeza kadai number"WHUZU enyewe ni mjinga after kupass class ya Lyricism💀💀💀💀💀😂😂😂😂
Scazooooo 🔥🔥🫡
Vibe kalii
Hii Ngoma ni 🔥🔥🔥
Ukiicheza make sure Una fire extinguisher mkononi.
Wakadinali to the world
This song got me feeling some type a way , coz weeuuh zimeshika nibebe ..I Love it 🔥🔥♥️
finally what we've been waiting for🎉❤
❤️❤️❤️my love for wakadinali is unamatched lazima mtakuja harusi yangu Inshallah
😮😮😮halloooo mnipe liks
The WUZU effect🔥
Mad munga, so lit 🎉🎉🎉
Back to listen ndani ya cockpit best album
Eeeazuyyyy😂
Niko mara ya sita niki repeat the song both kwa tv na simu MAD Munga 🎉 wapi like za hii chemistry 🎉🎉🎉❤
siko solo nina msupa na maybe sina💥💥
Finally, and again.
Scar🔥🔥🔥🔥💥💥
Fully Vibe 💯
Nikichachisha nibebe!
Some old rong rende we love to see it!
Wuzu effect!
Sewer pia angekill na hii beat!!
Scar 🔥🔥
Always backing u wakadinali
Tupatane blankets😂😂😂😂😂😂
Before time you get it!
Top comment from a girl
Msupa anadai ako na principles, labda ako chuo🎉
nataka baby anibebe anibembeleze
with all the cool chorus most had forgot MF MUNGA ni moto wa kuotea mbali 🔥🔥🔥🔥he is the GOAT
Kali bt sewer cld have killed it with his deep bars ..... ❤❤❤❤❤
Sewer hakua anaimba nao hii time. Ukiangalia ngoma zao za kuanza walikua tu wawili ady hbr
Flow💯vibes💯#wakadinali ⚡💀🥶
Munga had to fix a hot cake for the recent drama hahaha genius
Nazikishika nibebe 🔥🔥🔥
Wuzuuuuuuu wuzuuuuuuuuuuuuuu🔥🔥🔥🔥
At last video imetoka🔥🔥🔥🔥
Those figure signatures 🔥🔥🔥
WAKADINALI siku zombo👊🏿
Mad munga timing 🧠🧠