Bro kiukweli ni dhahili beka ndo alikuwa na tatizo maana happy anampenda sana beka ila beka shida yake pombe na binti alikuwa anaumia kuona beka kasahau majukum yake
Shida hapo ni mwanaume beka hajitambui, aliingia kwenye umaarugu kwa bahati mbaya, hivi angekuwa na pesa kama walizonazo akina mond si angemnyanyasa sana huyo binti, kapata mwanamke anayejitambua halafu yeye hajitambui, Happy vumilia huo ndiyo msalaba wako
Ww haujui tu ujue mwanamke kwenda kinyume na ww unavyotaka huwa inakera SNA , beka hapendi mke wake awe video vixen ila mwanamke anapenda hivyo ujue ucpoziba UFA utajenga ukuta
@@denisimaliyaweni9183 amemuoa lini? Au husiki mwanamke akisema kama beka anataka ampangie kila kitu basi afate utaratibu aende kwao akatoa pose siyo kukaa naye kienyeji halafu anatka kumkoromea
Brother mm naitwa ismail Hashim nipo marekani North Dakota Dickinson kijana hana bahati mno mm Alhmdullah Allah ananijaliwa kipato kikubwa ila mke sina kila ni kiagaliya masaibu wezangu wanapitia na wake zao naona mdao ni jambo kubwa ila lina mambo makubwa ila kama nampata uyu bint najuwa sababu hanajuwa hanacho hitaji sio hanacho tamani .
Kikubwa hapa mimi nawaombea mwenyezi Mungu awafanyie wepesi katika kila hitaji la mioyo yenu changamoto nisehemu na ndio zinawakomaza mumtangulize Mungu
Nimempenda sana huyo dada anataka amani na anampenda beka kaeni kwa upendo kugombana kupo malizeni tofauti zenu wenyewe msiwape watu nafasi..nawapenda sana.
Nimelia me jaman ila kiukwel nendeni mkaishi maisha ya kumpendeza mungu migogoro ndio njia yakufikia lengo happy Valentine's day and happy birthday dear hapo studio
Wanawake wakarim na wastaarab kama sisi, haya ndio matokeo yetu, unampenda mpenzi wako kwa dhati na yeye hana time kabisa wala hakufikirii kama unavyomfikiria 😭😭😭😭😭 Mpaka chozi limenitoka.
Nime enjoy sana, uyo binti anampenda sana beka kufanya yare yote ilikuwa kama kumkumbusha beka azinduke ajue majukum yake alikuwa hana ubaya wowote, pia inaonyesha alikuwa anaumia sana kumuona beka kalewa chakali akiangalia ahadi nikama kasahau ko alikuwa anatafuta ni jinsigani amuokoe beka ili maisha yao yafike mbali.
Waooh muacha ss mambo ya kuongea kwenye media mausiano yenu mkiacha muachane kimya kimya kasichana kazuri arafu kanamapezi ya kweli basi tu wanaume wenyewe wanazingua akija akisema basi huyu beka utalia utompata kama huyu ss tushapitia ukose na wanajuta ss
Saf sana ila harmo me shabiki yake sana ila kuna mda inabdi awe anaangalia huyo mke wa mtu unabdi umuheshim et maana ilitakiwa uongee na beka kwanza kabla ya maamzi ya mke wake hatakama kazi anaifanya ye mwenyewe
Natamani mupate Corona ameen ameen mnatangazia ujinga Corona mmekaa kimya washenz wakubwa kila tukiamka watu wanakufa washenz wakubwa nishazika watu wa wawili kwa siku mbili tu
Daaah nasikia moyoni kuchomeka na mkuki💘Eeee M/Mungu nijaalie binti Kama huyu🙏🙏🙏 inshallah ❣️❣️❣️❣️
Watu wanasema huyu bint ndio mmbaya kiukweli kwa dunia ya sasa huwez kupata msichan kama huyu hakutegemei kwa lolote anapambana
Tafuta pesa acha usenge kutaman upumbafu
@@africanQueeny-u7o 🤣🤣🤣
Dah, mwisho wa siku wamepatana. Dah! Machozi yananilengalenga. 😅 Mungu awasaidie sana kwakweli 🙏🏽
Nimewapenda🥰
Bro kiukweli ni dhahili beka ndo alikuwa na tatizo maana happy anampenda sana beka ila beka shida yake pombe na binti alikuwa anaumia kuona beka kasahau majukum yake
@@dauddavis6686 kwalie yani mimi naliya mm🥺🥺🥺 beka mkorofi
@@albainoro1023 ni kweli ukiangalia happy qnavoongea lazima choz lidondoke
Kwa kweli amini
Wanawake wa zuriii wanapata tabu saana kwenye mapenzi
True tena kwa vivulana vibayaa
Hahaaaaaaaa
This reunion imenigusa sana 😋😋🙌 hongereni
Shida hapo ni mwanaume beka hajitambui, aliingia kwenye umaarugu kwa bahati mbaya, hivi angekuwa na pesa kama walizonazo akina mond si angemnyanyasa sana huyo binti, kapata mwanamke anayejitambua halafu yeye hajitambui, Happy vumilia huo ndiyo msalaba wako
Ww haujui tu ujue mwanamke kwenda kinyume na ww unavyotaka huwa inakera SNA , beka hapendi mke wake awe video vixen ila mwanamke anapenda hivyo ujue ucpoziba UFA utajenga ukuta
@@denisimaliyaweni9183 amemuoa lini? Au husiki mwanamke akisema kama beka anataka ampangie kila kitu basi afate utaratibu aende kwao akatoa pose siyo kukaa naye kienyeji halafu anatka kumkoromea
Brother mm naitwa ismail Hashim nipo marekani North Dakota Dickinson kijana hana bahati mno mm Alhmdullah Allah ananijaliwa kipato kikubwa ila mke sina kila ni kiagaliya masaibu wezangu wanapitia na wake zao naona mdao ni jambo kubwa ila lina mambo makubwa ila kama nampata uyu bint najuwa sababu hanajuwa hanacho hitaji sio hanacho tamani .
Mungu awasimamie daima, mpk machozi yamenitoka.Happy unahisia na umeumia kweli Mungu alisimamie penzi lenu.
Happy nakuelewaa saana pole i know it pain kama mwanamke na mama pia mungu atutangulie sisi wanawake lov u happy
Kwa kweli anatia huruma uyo mtoto vo
Kwa mara ya Kwanza nacoment RUclips mapenzi yao ila furaha nimeipata Mimi awwww Mungu awatunzee
Kikubwa hapa mimi nawaombea mwenyezi Mungu awafanyie wepesi katika kila hitaji la mioyo yenu changamoto nisehemu na ndio zinawakomaza mumtangulize Mungu
Wanawake tunapitia mengi jamni😭😭😭chozi limenito l feel anavoumia huyu dada
😭😭😭😭 kwel kabisaa
Yaah beka kamuumiza sana
Hata mimi imeniuma
Wewe beka usipomuoa uyo binty mungu atakurani Sana ameonyesha upendo wa Hari ya juu sio mbabaifu
Kumbe haya mambo ndio yana kuwaga na raha hivi dah!
Huwezi amini eti mimi huku ndio nimefurahi kupita huyo Beka
Najichekesha kmmchizi mpya
Bek una mtt mkal sn kak
Kama wamepatana vizuri safari hii mvumiliane kweli sio baada ya muda tena tunawaona mnagombana kwa media. Na bado mnaonekana bado mnapendana.
Mungu awaongoze muelewane mulee mtoto wenu ❤️❤️❤️
beka umeniboa sana haupo romantic kaka badilika hapo mbeleni utamkosa huyo dada anajielewa sana amin
Nimempenda sana huyo dada anataka amani na anampenda beka kaeni kwa upendo kugombana kupo malizeni tofauti zenu wenyewe msiwape watu nafasi..nawapenda sana.
Beka a acha kiburi cha pombe mwanamke a nakupenda sana acha ujinga anavyokasirika mara nyingi ndy mana unafelly sana kila cku unamliza
Nimelia me jaman ila kiukwel nendeni mkaishi maisha ya kumpendeza mungu migogoro ndio njia yakufikia lengo happy Valentine's day and happy birthday dear hapo studio
Mungu tusaidie wanawake wapole ndo tunaonewa jaman 🤲
Happy mzuri sana mashalaaslh
inshallah nawaombea muoane happy umeniliza 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Matangazo ni mengi kuliko kipindi usika
Dah huyu dada anamoyo mungu kamjaalia subira mungu akuongoze
kaka mwijaku na timu yako hongeleni sana big up side mnyamwezi mzungu wa Dubai
Happy mtoto mzurii amuwowee
Am happy for the reunion. God is always faithful
Wanawake wakarim na wastaarab kama sisi, haya ndio matokeo yetu, unampenda mpenzi wako kwa dhati na yeye hana time kabisa wala hakufikirii kama unavyomfikiria 😭😭😭😭😭
Mpaka chozi limenitoka.
Kabisaa huyu dd anaumizwa sana na tabia za huyo bwana harafu anachukulia poa sana habar hana
Mwijaku hapo umemfanya happy atoe machozi 😀😀😀😀😀😀😀😀😀🎉🎊🎊🎊🎊💋❤️🌹🎈🎈🎈
Beka si amuache ili wengine tumuoe mtoto mzuri. Natamani happy kweli Kweli atii
nimeikubal mwishoni walivyokubaliana hongereni sanaaa
Hadi nimelia jamani mnapendana sana
Nime enjoy sana, uyo binti anampenda sana beka kufanya yare yote ilikuwa kama kumkumbusha beka azinduke ajue majukum yake alikuwa hana ubaya wowote, pia inaonyesha alikuwa anaumia sana kumuona beka kalewa chakali akiangalia ahadi nikama kasahau ko alikuwa anatafuta ni jinsigani amuokoe beka ili maisha yao yafike mbali.
Clouds mko vzr asntn sna kuunganisha familia mbarikiwe sna
Bêka vumilianeni jamani mwanamke anajielewa alaf mzuri ila amekuvumilia
Ukiona ndoa imenyoooka kunammoja anaumia ili maisha yaende
kwel
Happy nmekupenda bure😍😍😍😍
Kwa majibu anae jibu mama huu amevumilia mengi sema Tu Beka hana mshiko...
Beka ww unazngua yaaan hapo mwanamke anampenda sana beka kuliko beka kumpenda mwanamke
Daah!! Jifunzeni kupunguza matangazo , mb zinaisha kwa matangazo kuliko kipindi chenyewe😏😏
Kwa bahati mbaya sana maisha ya ndoa so ya mitandaoni. Jifunzeni kumaliza issue zenu wenyewe.
Mm kiukwer sijajisikia vzr beka Ampendi huyo mwanamke bali huyo mwanamke ndiyo anampenda beka
Uyo msichana ni kiburi atakusumbua sana beka bro angalia sana
KWA experience yangu wanapandana namba warudiane na mtuletee muendelezo wao
Jamani nimeioenda sana. Hii
Beka mdogo wangu Kama ni mwanamke umepa mke nzuri tena mwenye heshima fungeni ndoa huyo ndiyo chaguo lako naitwa Robert longo kutoka mlandizi
Happy alivyo lia nami nikalia
#cloudsmedia mnazidi matangazo bhan kpnd kinzma matangazo tuuuu duuh 😀 that y 2meamia upande wa pili #wasafimedia
Huyu dada ni mrembo angeamua kuangaika angeweza Ila anaupendo was dhati
Kabisa
Laminitis huyu kaka c angemuoa tu
Maskini uyu dada yuwaumwa mapenzi bwana💐
Ndowanaume wetu wakibongo ndowalivyo Yani bas tu
Waooh muacha ss mambo ya kuongea kwenye media mausiano yenu mkiacha muachane kimya kimya kasichana kazuri arafu kanamapezi ya kweli basi tu wanaume wenyewe wanazingua akija akisema basi huyu beka utalia utompata kama huyu ss tushapitia ukose na wanajuta ss
Huyu kaka hana mvuto hana nyota ni kama kaokota dodo kwa happy lkn maona anachezea shilingi chooni
binti hana furaha kabisa anajua mume tabia mbovu
Masikini nyee uyo mwanamke hana furaha kabisa
Mungu awaongoze jamani
Ila mbona kama Beka hayupo hapo kihisia??
Nimejikuta nalia kwa furahaaaa
Jmn mijitangazo yakazigani khaaa mwabowaaaaaaa
Huyu happy anampenda saaan bekkar sema tyu mapenzi ya wasanii bhaan kuumizan kichwa
Ivi nimelia nn😭wakati yangu yamenishind😔
Mimi pia nimelia
Hahahahahha
Hahahaha sasa mnalia nn kwani
🤣🤣🤣🤣
@@saudatwalibu574 Yani wewe wauliza wanawake kwakulia tena kiukwer mi nimelia kisa huyu demu anampenda mume Harafu mume anakera comed nyie wanaume mbingu mraisikia tyu😂😂😂😂😂
Pamoja San natamani kuwa kupata mpenzi kama happy
Ukiwa msani lazma,umeona Harmonize
Beka acha mbwambwaya fanya uoe uyo dada
Jamen hadi raha mambo ni hayo Beka sio kutoaminiana.
Natamani mimi ndo ningekuwa beka hapo mwishoni 😂😂😂😂😂😂
Oh hun😪♥️♥️🙌
Wa kwetu kuwa na subra mama ,subra Haina hasara
Hzo kasoro za Beka za ulevi na kutokutoka nae outing arekebishe na ndoa baadae
Beka una cheza kwa aibu kwa nn?
Huyo mwanamke mnafosi tu ila hapo hakuna mapenzi tena
kabisa
Kuwa na subra kipenzi uyo ni wako
Hichi kimwanamke kizuri
Hiki sio kipindi wala interview ni matangazo ya ma sponsor tu maana kati ta dk 36 mahojiano ni dk 7 tu🤣🤣🤣
yaan wana ufala mwingi mpka wanaboa
Miss dija muwaerewe bila matangazo hata iyo intevie isingekuwepo hiyo ndo pesa kwao
@@dauddavis6686 ni sawa ila ni mengi sana dk za kipindi na matangazo hazina uwiano kaka
She's LOYAL 💥
Kadada kazuri💋😍😘
Mungu awazidishie Amani
Huyu beka mwanamke anatokwa chozi anashindwa hata mkumbatia?mijanaume mingine bwana, yn mpk uambiwe eti mkumbatie mfyuuuuuuu
Dada anajua ndo inanguvu kubwa ila beka kibri sana
Shem jina gan tumfollow
Gea kosha nywele, unaona unajikuna tu
Beka umenyoa vbaya Sana budah
Matangazo mengi mnabowa
Acheni usenge matangazo meengi
Hawanao kila siku kugombnaaa
Wasemee bulee 😅😅😅😅😅
Saf sana ila harmo me shabiki yake sana ila kuna mda inabdi awe anaangalia huyo mke wa mtu unabdi umuheshim et maana ilitakiwa uongee na beka kwanza kabla ya maamzi ya mke wake hatakama kazi anaifanya ye mwenyewe
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🌹
Huyu Dada anaweza kua na mapungufu yake but anaupendo wa ukweli mnooo...... Ningekua mimi kwa uzuri huo ningeshamtema kitambo huyo Kaka
Ndo maana siyo wewe
@@samsonmartin2712 na ndo maana siwezi kua humble kiasi iko
Hero Redeemer Mungu huwa hakosei pia so mind ur business
@@samsonmartin2712 is this your business bro ?au happie or beka ?😎mind yours first and go do what pays u off
Natamani mupate Corona ameen ameen mnatangazia ujinga Corona mmekaa kimya washenz wakubwa kila tukiamka watu wanakufa washenz wakubwa nishazika watu wa wawili kwa siku mbili tu
Kwny ndoa kna mkono wa Mungu
Beka.huyoni.mke.wauhakika
Beka mkorofi jamani katoto kawatu kapolee ila bwana hajapata kabisa alafu happy anamavazi ya heshima jamani umevaa ki Tanzania vo sio wasanii wengine
Kwani beka ananini mpaka kuliliwa hvo
Mimi uyo ndie nae mjua kwasasa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yani mm na mwanaume wangu amelazimishwa kuoa mke na wazazi wake asa tuna miaka 10 nampenda na ananipenda tuna mtoto nipen ushauri nifanyaje
Unapoteza mda dyadya olewa naww anakuzuga uyo
Nimeipenda show👏
Naskia msauti wa mwijaku😂😂😂
Beka uta kuja kunjuta badaye
Mwijaku mbona kiherehere ivo? Ana mike yake lakini analazimisha kutumia mike ya mke.wa beka, why?
Ucpoziba UFA utajenga ukuta, beka ucchoke kumkataza mke wako kuwa video vixen ataaribika pambana hivyohivyo