NDACHA AVUNJA AHADI NAKUTHALILIKA MBELE YA HALAIKI YA WATU.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 173

  • @sheikhsaidonlinetv6045
    @sheikhsaidonlinetv6045 4 года назад +8

    Huu ndio ukafiri tena wa wazi kabisa, Nashkuru Allah kwa kuzaliwa katika uisilamu

  • @aminachowa1123
    @aminachowa1123 5 лет назад +6

    Mashallah mashekhe wetu,bibilia yao na hawaijui mtihani mkubwa

  • @AshaMahamudu-ty8eo
    @AshaMahamudu-ty8eo 10 месяцев назад +1

    Mashallah ndacha akisilimu atapendeza

  • @AhmadSalim-dm4uk
    @AhmadSalim-dm4uk 4 месяца назад

    Maashallaah mashekhe zetu Allah akulipeni kila lenye kheri Wallah hakuna hoja itakayo jengwa na mcristo ikakosa majib kwa muislam Alhamdulillaah kwa neema ya uislam

  • @hafsachepngetich1413
    @hafsachepngetich1413 3 года назад +1

    Allah awajaalie afya.umri mrefu yenye barka masheikh wetu inshallah

  • @alwaysthink0220
    @alwaysthink0220 5 лет назад +8

    Dasha Sema nyuma yangu maneno ifwatawo. ASH HADU AN LA I'LL AHA ILA ALLAH WA ASH HADU ANA MUHAMMAD RAUL ALLAH

    • @alwaysthink0220
      @alwaysthink0220 5 лет назад

      Jamaani mfahamisheini ndasha. Ana tafutwa na Mr matiang interior minister na IG kututhibitisha Yale aliye Sema (Ahadi ni deni ajwe tu) afalu Onyango pia mfahamisheini. Au sisi wafwasi wa daawa Kutoka Maricani tuta mfwata na FBI aje kutu jibu Maricani.

  • @nancysakwa2810
    @nancysakwa2810 5 лет назад +3

    Ewe mwenyenzi mungu nionyeshe njia iliyo bora ili siku ya mwisho utakapo niita, niuone ufalme wa mbinguni, Amen

    • @suleimanomar1096
      @suleimanomar1096 4 года назад

      Je? Unakubaliana na ndacha anaposema mariamu sio mamae yesu?? Na Kama unakubaliana nae, naomba unifahamishe ni nani kamzaa yesu

    • @MariaShehemba
      @MariaShehemba 10 дней назад

      Yesu ndiye njia kweli na uzima mtu haji kwa baba ila kwa njia ya yeye Yohana 14:6 Mkubali yesu leo aongoze maisha yako yeye atakusaidia ufike mbinguni

  • @tanishaabdul9725
    @tanishaabdul9725 5 лет назад +7

    Mashallah kijana mdogo Allah akuzidishie

  • @bahatihadijabahati7456
    @bahatihadijabahati7456 5 лет назад +2

    Mashaa Allah masheikh wetu nawaombea kila la kheri in shaa Allah

  • @jashisham6280
    @jashisham6280 5 лет назад +3

    Assalam aleikum warahmatullah wabarakatu Mashekhe zangu Allah swt awa zidishie kushikamana kwa ajili ya Allah swt na Mtume Mohammed sw

  • @hamishasan7737
    @hamishasan7737 5 лет назад +4

    Alhamdulillah allah awakinge maalim zetu na maadui

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 лет назад

    Allah Akbar, Huyu alikuwa atafuta njia ya Kusilimu,maana Kavaa Top Yake Vizuri kaongezewa Kofia Maa Shaa Allah. Hongereni sana Ma Sheikh Mungu awazidishie.

  • @athumansalim3109
    @athumansalim3109 3 месяца назад

    Maashallah shekh Qaasim ALLAH AKUHIFADHI

  • @biggyydail2658
    @biggyydail2658 5 лет назад +13

    Huyo ni mjanja tu ,lakini ya kushangaza wakristo hawasomi kitabu yao wanategemea hao waizi

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  5 лет назад +1

      Wanafwata tu

    • @benjaminkabui7338
      @benjaminkabui7338 5 лет назад +2

      Eeeh waislamu wangapi hawasomi quran.. wala hawajui kiarabu....mi huniambii kitu..

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 года назад +2

      @@benjaminkabui7338 waislamu wanafundishika na wanaelewa wakiambiwa. Je wewee

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 5 лет назад +15

    AIBU KUBWA NDACHA,USICHEZEE WAISLAMU WEWE, WAKIRISTO HAMUNA VIONGOZI WALA DINI,Tuekeeni full debate

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 лет назад +11

    Masha Allah yani rahaaaa ila ka short kweli
    jamani Uislam raha c raha, rahaaaaaaaaaaaa

  • @mjitenaziofficial3035
    @mjitenaziofficial3035 2 года назад

    Daah Leo Nime fika hapa Kuamini kumbe Ndacha ndo ule ule anaye hiteteya Dini ya Christo Mungu akubariki sana

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b 4 месяца назад

    Alhamdulillah Ndacha amesilimu❤

  • @abdilatifhashi9659
    @abdilatifhashi9659 5 лет назад +7

    Huyu hakujua waisalamu ni wasomi

  • @rilkabuya6519
    @rilkabuya6519 4 года назад +1

    Waislam takbiriiiiiiiiii

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 4 года назад +1

    Huyu Ndacha anapotosha wakirsto kwa kweli

  • @boontujimmaa9462
    @boontujimmaa9462 4 года назад +1

    Uislamu Raha

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 4 года назад +1

    Waislam raha sirahaa

  • @nailahsaeed837
    @nailahsaeed837 4 года назад

    Mashallah Shekh Allah akubarik walai umempa Dasha shindano inayo mfaaa

  • @alimwatajiri4083
    @alimwatajiri4083 5 лет назад +5

    Huyo mchungaji amechanganyikiwa

  • @hatibusuleish7273
    @hatibusuleish7273 4 года назад

    Mashaallah.... Sheikh Yahya nataka hiyo continuation ya io part

  • @jamalcali7299
    @jamalcali7299 5 лет назад +1

    Mashallah.,sheikh's you are doing a great job,clip was too short Please can we have the full clip for that particular day if it's possible.Shukran.

  • @asmaaabdalla9372
    @asmaaabdalla9372 5 лет назад +4

    Dacha dacha Hapo huko kanisani Hapo umepampana na walimu wakisawasawa usionge Kama ulivyo ongea kanisani

    • @asmaaabdalla9372
      @asmaaabdalla9372 5 лет назад

      Dacha kazi yake asha soeya kuongea uongo kanisani kuita sadaka bila uongo kanisani sadaka zawatu😂😂😂😂

    • @asmaaabdalla9372
      @asmaaabdalla9372 5 лет назад

      Mungu WA wakristo Kumbe anaenda kusheherekea harusi msiba wakristo😀😁😁

    • @nooordubem2802
      @nooordubem2802 5 лет назад

      Na imagine wakristo nao wanawaamini tu kina Dacha kuwapoteza na wanaona tu ukweli wenyewe..

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy Год назад

      Yn uong anaye utumia kanisan anataka ku utumiya kweny muhadhar

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 5 лет назад +2

    huu ni msiba mkubwa kweli ndacha amesema ati nn kweli

  • @japharynduko6139
    @japharynduko6139 5 лет назад +1

    kweli wakristo mfungue macho na mfuate kweli mmepotezwa na wachungaji wenu

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 5 лет назад +1

    Ukitaka kujua hawa ndugu zetu katika ubinaadam hupenda ushabiki kuliko ukweli’ huwaoni hapa wakimkemea Mwalimu wao Ndacha Kwa kuvuka mipaka na kusema Mariam si mama wa Yesu’...Na Ndio ukweli ulivyo hata katika kitabu chao..!
    Hii kauli Ndacha itakuadhibu mpk mwisho usipokiri kufanya kosa....!...ALLAH yupo na anakuona unapochupa mipaka...!
    UTAENDA KUWA NDAFU Yaani Zaidi ya CHIPS..!

  • @jnrhassan4629
    @jnrhassan4629 5 лет назад

    Asalamu aleykum ya sheikh yahya .nisalimie huyo kidume Cha Allah .rafiki yangu sana .

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 лет назад +5

    Ndacha leo kachanganyikiwa, mpelekeni polepole mpaka mumuingize ndani ya Uislam dini ya haqi

  • @jumjumsaid3552
    @jumjumsaid3552 5 лет назад +2

    Bibilia ishasema wachungaji wao wamewapoteza mmoja wao ni huyu

  • @MohamedHassan-tf3kn
    @MohamedHassan-tf3kn 5 лет назад +1

    Aki Dacha amedhalilika kweli pole Maskini. ...

  • @jaffarumar708
    @jaffarumar708 5 лет назад +1

    Masha-Allah masheikh ni Rahaaaaaa...mbona fupi”Ama kidogo ndo kina Utamu”

  • @hamadamabali2895
    @hamadamabali2895 4 года назад +1

    Ndacha kichwa yake si mzuri

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy Год назад

      Astakafilullah 😂😂😂😂

  • @saidgande1806
    @saidgande1806 5 лет назад +2

    Mwambieni Ndacha aache uongo!

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  5 лет назад

      Khabari anayo

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy Год назад

      Shid bil uong me na on hawez faul😂😂😂😂😂

  • @kitkatpleasesubscribe6720
    @kitkatpleasesubscribe6720 5 лет назад +8

    My dear brothers *PLEASE PLEASE PLEASE* add English subtitles 😊
    *Jazak"Allahu Khairan*

  • @alicesamson6316
    @alicesamson6316 3 года назад

    Mashaallah

  • @AbdillahBakar-qx9sr
    @AbdillahBakar-qx9sr Год назад

    Kaaaa😂😂😂😂 mtihan kweli Ili ndacha ni bwabwa kwel kumbe anakataa kua yesu mamake sio Maryam..ndacha kichwa boga bungubungu

  • @najmasalimsalim2741
    @najmasalimsalim2741 5 лет назад +1

    Wallah nimsiba hata ukiangalia unajua wazi anapotosha wenzake coz amekuja nakanzu yemwenyewe

  • @mariamkassim5539
    @mariamkassim5539 4 года назад

    ما شاء الله،

  • @nooordubem2802
    @nooordubem2802 5 лет назад +3

    Wakristo kweli mnashangaisha zaidi! Mnajifanya mnajua kusoma ilhali nyie ni vipofu wa macho na nyoyo ,na hayo ni kwa ajili ya hasira zake Allah juu yao...inna lillahi wa inna illaihi rajiun!

    • @kitkatpleasesubscribe6720
      @kitkatpleasesubscribe6720 5 лет назад +3

      Nooor Dubem , My dear brother/sister *PLEASE* you must also watch my very important videos in my *Playlists*

    • @nooordubem2802
      @nooordubem2802 5 лет назад +1

      @@kitkatpleasesubscribe6720 okay my brother, i'd like to in shaa Allah..thanks so much,am grateful

    • @ev.charles
      @ev.charles 5 лет назад +1

      Ninyi si ni wasomi,sasa nionyeshe mimi katika Qur'an aya yenye Mungu anasema mwenyewe Mimi ni muumbaji.Hilo ndilo swali langu, na usinionyeshe reported speech.

    • @nooordubem2802
      @nooordubem2802 5 лет назад

      @@ev.charles ww ni kafiri mkubwa kwa sababu hata hayawani ama shetani anajua Mungu ndiye Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ndani yavyo...hata mtoto wa miaka mitatu anajua hilo..ww ni kiumbe cha wapi kisichofahamu hilo???!!!....hatima yako moto kama hujui Mungu ndiye muumbaji,loooh!..hata hili swali lako sio swali wala haliitaji aya popote pale,lakini kwa vile ww kafiri nitakuacha hivyo

    • @kitkatpleasesubscribe6720
      @kitkatpleasesubscribe6720 5 лет назад +1

      Nooor Dubem
      *Jazak'Allahu Khairan*

  • @ocroafff5527
    @ocroafff5527 5 лет назад

    Mashallah

    • @kitkatpleasesubscribe6720
      @kitkatpleasesubscribe6720 5 лет назад

      ahmed duale,
      My dear brother *PLEASE* you must also watch my very important videos in my *Playlists*

  • @h.alshidhani8971
    @h.alshidhani8971 4 года назад

    Kenya Dawaah, nina marekebisho kidogo. Ni KUDHALILIKA👍 sio Kuthalilika ❌

  • @minaminaa1669
    @minaminaa1669 5 лет назад +1

    SubhanAllah yani waksrto msiba ndacha msiba 😃

  • @hamisimuhammad6225
    @hamisimuhammad6225 2 года назад

    Kweli wakristo hamna kitu

  • @cabcal754
    @cabcal754 5 лет назад +1

    Asalam Aleikum
    May Allah reward you all for the good work.
    Brother wapi full version/clip ya hi debate..

    • @kitkatpleasesubscribe6720
      @kitkatpleasesubscribe6720 5 лет назад

      Cab Cal
      Wa'Alaikumu s-Salam
      My dear brother/sister *PLEASE* you must also watch my very important videos in my *Playlists*

  • @bilalissack7573
    @bilalissack7573 4 года назад +1

    🤣🤣 amevuliwa nguo

  • @twahir75
    @twahir75 5 лет назад +2

    Alhamdulillah mwalimu wetu na mashekhe wako ngangari.....lakini video fupi jamani twaomba full majadala Insha'Allah ☺️☺️

    • @kitkatpleasesubscribe6720
      @kitkatpleasesubscribe6720 5 лет назад

      twahir75 ,
      My dear brother/sister *PLEASE* you must also watch my very important videos in my *Playlists*

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  5 лет назад

      Tutaweka mjadala wa week inshaAllah

    • @josedynamik3040
      @josedynamik3040 5 лет назад

      Sheikh anatohoa kijisehemu cha video kuwadanganya,,angali full video ujue ukweli aliwajibu,,Hakuna mahali Yesu alimwita Maria "mama" He called her woman instead

    • @emanuelkyomo3772
      @emanuelkyomo3772 Год назад

      @@josedynamik3040 sasa inamaana Basi hicho Biblia sio kitabu kama kwa kiswahili wanawaandikia maneno mengine na Kiingereza wanaandika mengine tusikilize kipi huo ni msiba

  • @kelvinkamau3174
    @kelvinkamau3174 5 месяцев назад

    Waislam huwa hawaelewi swali,wakristo wakatai maryamu ni mama wa yesu.Ameuliza ni wapi yesu kamuita maryamu mama yangu

  • @saidmzee2554
    @saidmzee2554 2 года назад

    Haya makafiri Kila ciku tunayashinda kwenye hoja hayana elimu haya makafiri yakina ndacha bora tu wasilimu

  • @MoherZO
    @MoherZO 4 года назад

    TAKBIIR

  • @bakarikalama6099
    @bakarikalama6099 5 лет назад +1

    Ndacha yuko Kazi ni tu. Anatia cku lakini hana haja ya kutetea ukristo

  • @absameosman9113
    @absameosman9113 4 года назад

    Jameni ndacha baado hajasilimu wah basi n mwongo sana

  • @ashamasudi9441
    @ashamasudi9441 5 лет назад +1

    ndacha ameumbuka wako wapi wale wanaodanganywa huyo ndacha mrongo hata mkatae uislamu ndio njia ya haki

  • @omaryissagumbi5242
    @omaryissagumbi5242 Год назад

    Wakiristo hawanawiongozi ila matapilituu wallah dini yakweli ni uislam tuu mwenyezimngu alivyo sema

  • @frankmpembu2505
    @frankmpembu2505 2 года назад

    Waislamu mtaacha lini uongo 😂😂😂😂 huo mdahalo mmeweka fupi😂😂Mimi nimeuangalia Mwanzo hadi Mwisho.
    Ndasha kawauliza, Wapi Yesu anamuita Maria Mama "Yangu",, hilo swali hamkujibu😂😂weka ndegu Mwanzo hadi Mwisho alafu uone Ndasha aliporudi jinsi alivyo wafundisha😂😂😂

  • @absameosman9113
    @absameosman9113 4 года назад

    Eti nn? Yaani sheikh ustad Qasiim anaonyesha ndacha andiko n amevunja ahadi...... Takbiiir

  • @SukariSukari-sq9tf
    @SukariSukari-sq9tf 4 месяца назад

    Ndacha hajui bibilia hyo ni aibu lkn anabaki ubao kusomewa na watu kuona ukweli.

  • @musanike3079
    @musanike3079 3 года назад

    Link ya full video tafadhali

  • @johnmnonjela9809
    @johnmnonjela9809 5 лет назад

    Yaani hata kufikiria hujui,,ndasha alisema wapi Yesu alimwita Mariamu Mama yangu....kofia kubwa lakini kufikiri ni zero rudi shule ukasome we bado Mdogo kifikra sheikh wangu

    • @suleimanomar1096
      @suleimanomar1096 4 года назад

      Ndacha alikana mariamu sio mamake yesu, Sasa wewe sijui unateta nini

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 года назад

      Sasa kama yeye ni mfuasi wa Ndacha atuambie yesu alizaliwa na nani

  • @salehesengiyanka5397
    @salehesengiyanka5397 4 года назад

    NDACHA MBONA UNATOA AHADI ZA UONGO ILA KUMBUKA NA HILO NI DHAMBI, WW SILIMU TU UWE MWISLAMU USIKATAE, ndacha hiyo n aibu sasa apo wanafunzi wako unawafundisha nn wakati ww n muongo wa ahadi

  • @mimahmimah8793
    @mimahmimah8793 5 лет назад +1

    Na amevaa kanzu mwenyewe

  • @setholivier4862
    @setholivier4862 4 года назад

    Why is too short?? You should put all along, so we can understand what he was talk about

  • @omarchuo2178
    @omarchuo2178 Год назад

    Muendelezo uko wapi

  • @HamiduNnitolela-pg1ew
    @HamiduNnitolela-pg1ew Год назад

    😱😱😱😱😱😱😱

  • @zulficarbacarsuale6877
    @zulficarbacarsuale6877 4 года назад

    Mimi siamini cama wacristo wanahakiri.

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 4 года назад

    Kwa hiyo aliezaliwa na Nani Ndacha umechemsha hapo

  • @aminachowa1123
    @aminachowa1123 5 лет назад +2

    Video haikuisha sheikh ama

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  5 лет назад

      utapata full lesworry

    • @josedynamik3040
      @josedynamik3040 5 лет назад

      Huyu sheikh anatohoa tu kijisehemu kudanganya watu,fwatilia full video utaona Ndacha alirudi kuwajibu,,, Jesus called her woman not mother,,,waongo hawa

    • @suleimanomar1096
      @suleimanomar1096 4 года назад

      Bro, then Jesus must be going to hell, coz he never respected his mom. Anyway,what do you call your mom???

  • @hassanmedia4107
    @hassanmedia4107 4 года назад

    Wameandikwa Kazi na kanisa la kisabato duniani dhamira Yao kuvunja Uisilamu badala ya kushughulika na kueneza Dini Yao ya kikiristo. Mtaeza wapi Dini ya Mungu ya UISILAMU

  • @ramazecha2877
    @ramazecha2877 3 года назад

    Hyu ndacha ni mnafiki tu

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 4 года назад

    Takbriii !!!!

  • @zaitunsuleimanramadhan4294
    @zaitunsuleimanramadhan4294 3 года назад

    Unadanganya wakristo. Nitafute ni kufundishe

  • @alexchege1004
    @alexchege1004 4 года назад

    Mbona mimi nimepata jina woman sio mama kwa holy bible wacheni ushabiki hilo jina hakuna

  • @bahatihadijabahati7456
    @bahatihadijabahati7456 5 лет назад +1

    Huyu chizi nilikuwa nasikia kidacha nikawa nahamu kumjua n Nina kumbe Ni huy kafiri mkubwa inalilahi waina Lilah rajuhun

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 4 года назад

    Mimi nambie I huyu ndacha anatafuta abiria wa kuingia nao motoni ila yeye na wafuasi wa kafiri ndacha msipo mkataa na mkadhani huyo ana fundisha neno la Mungu shetani huyo

  • @Mitama49
    @Mitama49 8 месяцев назад

    Mama yangu..mama maana yake woman

  • @remigimtenga7608
    @remigimtenga7608 4 года назад

    Amesema Mama yangu sio Mama tu.Ndacha hajavunja ahadi hapo mnadanganya.Kunatofauti kubwa kati ya Mama yangu na Mama.

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 года назад

      Kwani wewe ukiwa nyumbn na mama yako unamwita vipi
      Unamwita mama yangu au unamwita mama tu

    • @emanuelkyomo3772
      @emanuelkyomo3772 Год назад

      Mbona unaanza ujanja ujanja kijana.,,🤣🤣🤣🤣🤣 Kwanini unataka kuuficha ukweli na ukweli unaujua

  • @dawaliside7988
    @dawaliside7988 Год назад

    Ndacha achapwa 1000 kwa bila.

  • @Ibrahim-qw4qr
    @Ibrahim-qw4qr 5 лет назад

    🤣🤣🤣🤣 mchungaji....

  • @jashisham6280
    @jashisham6280 5 лет назад +7

    Ndasha wewe danganya wakristo wenzako sio sisi Waislam

  • @ZamdaZinduna-j3j
    @ZamdaZinduna-j3j 9 месяцев назад

    najivuniya kuwa muislam

  • @عليحمد-ح8ث4ح
    @عليحمد-ح8ث4ح 4 года назад

    Hawa wakristo majuha.

  • @caponegaming2230
    @caponegaming2230 5 лет назад +1

    Sheikh there are videos that have been blocked over copyright issues.. Tunawezazipata aje

  • @gshdhvdhf8283
    @gshdhvdhf8283 4 года назад

    Kushindana na elimu ya waislam ni kushindana mola mwenyewe na utoeza

  • @yassinmohamed8241
    @yassinmohamed8241 4 года назад

    Hahaahahaha

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 3 года назад

    Wewe ndacha chezea na haoo haoo zombi nyenzioo sio wasomi wenye akilizao na msimamo wa dini yaoo na kitabu chaoo unafikiri waislaam wanakurupuka tuu ni wasomii sio wacheza kwaya na mingoma yenu hiyo na kuchezeana vichwa makanisani mwenu hukoo

  • @saidabae7101
    @saidabae7101 5 лет назад +1

    😂😂😂

  • @danielmahela2436
    @danielmahela2436 4 года назад +1

    Hiyo biblia labda freemason bible Au king version(biblia ya katoliki) lakini sio complimentary bible ambayo kwa imani ya ndacha ndio anatumia kwa hiyo ndacha yuko sahihi waislamu mnajua nn

    • @AliKhalid-we4qn
      @AliKhalid-we4qn 2 месяца назад

      Wew hujaelewa swali, ndacha kataka andiko kwani Hilo sio andiko, acha ushabiki

  • @kombokai9796
    @kombokai9796 4 года назад

    Kumbe uyo ndacha hana kitu huijui Ata iyo biblia

  • @abdinasirmohamed2238
    @abdinasirmohamed2238 4 года назад

    😅😂😅😂😅😂🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Andaybuidingworks
    @Andaybuidingworks 8 месяцев назад

    post yote

  • @charokazungu1655
    @charokazungu1655 2 года назад

    Maliza clip ww wacha unafiki

  • @muslihmohd9420
    @muslihmohd9420 4 года назад

    Uislamu ni imam sio kuahd kitu ukipata ndio usilimu,wewe kama unataka kusilimu lazima ukubali miyoni,hatuna lazima asilimu maana pia jehhannamu kuna makazi yanatakiwa watu ila afadhali Allah kaonyesha kuwa waislamu ni watu aina gani,yani hapana cheza na sisi.

  • @rammeysrambo887
    @rammeysrambo887 5 лет назад

    Hyo ni comedy kma kweli mbnona hukupost jibu la ndacha acha kupost video nusu

    • @josedynamik3040
      @josedynamik3040 5 лет назад

      Waislamu waongo,,kutohoa vijisehemu kutudanganya

  • @shimuld6721
    @shimuld6721 5 лет назад

    Sio uta silimu utakuwa murtadi neno silimu yaani kusilimu ni kuwa muislam

  • @josedynamik3040
    @josedynamik3040 5 лет назад

    Waislamu acheni uongo,, mbona mmekatizia hapo ilhali Ndacha alirudi kuwajibu,,, mwataka kumdhalilisha ila hamtaweza,,soma biblia ya kiingereza Jesus called her "woman" not mother

    • @sokakilumbi9293
      @sokakilumbi9293 4 года назад

      Jose Dynamik
      ha ha ha ha kwaiyo bibilia ya kiswahili ni ya uongo na ya kiingereza ndio ya ukweli?? kweli nazidi kuamini kuwa bibilia sio kitabu cha mungu!!

  • @sawikifadhili148
    @sawikifadhili148 4 года назад

    Hata kama nimechelewa ila kama wew Muslim gonga like 👇👇👇