Tena unakwenda Kenya kuwachonganisha na ndugu zao kwa kutoa uchawi wa uongo, wala huoni aibu kujitangaza, Sharifu feki humuogopi Allah nasikitika hata kusoma dua hujui hatariii
Sheikh abdallah kasome quran usiingie kwenye utapeli huo kwa kunufaisha tumbo hilo kwani laki moja au mbili kitu gn ndo kikufanye uingie kwenye uadui mkubwa wa Allah ondoka hapo hufanani sheikh abdallah ww unasoma vzr quran isije siku ukafa ukaenda kukuta kwenye daftari zero
Mbona una bweka km mchungaji na miraa inatwa miraa sio milaaa kwa hakika mtu mwenye elimu hawezi kwenye maneno yenye R haweki L ww kwenye L unaweka R unamaanisha huna elimu
Labda Kenya ya pwani kwa makhurafi wenzako wanaoamini udajjaal na sha'awadha,Kenya mainland shilingi kumi Yao sahau huna soko kule,watu wanaendeshwa na matrix,algorithms,na materialism watu walioathiriwa na ubepari capitalism Fanya kazi na bidii ili upate sio nguvu za kiza na soda
Tapeli kavaa msalaba shingoni, katapeli watu wa waafrika kusini akajidai anakituo cha watoto yatima haya tuma picha ya watoto kashindwa huyu tapeli Allah atakufedhehesha
Mnapoendeleza fitna musiweke picha ya kishiki Kwanza kishki hana hayo majigambo yenu na pili hawajahi kudhalilisha kina mama Kikubwa kabisa akona elimu ya dini kushinda firdaus n wapuuzi wanaomkubali
Wewe sio sharifu ama wewe hujui maana ya sharifu, mtu hawezi kujipachika usharifu,usharifu ni kizazi cha mtume tuuu!! ama wengine kama wanamakarama hawaitwi masharifu huitwa mawalii au mashekhe. Wewe hatta ukapanda mbinguni kwa msala huitwi sharifu kabisaaaa!!!! Ama ukizaliwa wazee wako wakakuita jina sharifu hilo halikufanyi wewe ukajiita sharifu, hilo ni jina kama majina mengine
Dunia imegeuka , badala ya watu kumchunguza huyu sharifu feki tapeli, ndio bado anaitwa Kenya akatapeli watu Uislamu uko wapi ??? Inasikitisha Kwa nini mashekhe wa Kenya hamuungani mkamzuia asije
Mimi nasema huyu kijana ansyosema siri anaijua yeye na allah ila nakwambia ukweli kama angekuwa sio mwanaume haaaswa huyooo mngemsahau wachawi sio watu wazuri jaribu uone
Allah akbar waisilamu 2weni makini 2siwe wajinga kama wale wajinga waloibiwa na kiboko ya wachawi wabuza sasa huyo anataka kuuhalibu huu wiislam msikpokee tapeli huyo
Unatumia nguvu kubwa sana dogo sharifu hatumii nguvu na maneno mengii ili uaminike na allah akitaka kumpoteza mtu anamwelekeza huko unakotaka wewe na kujitokeza watu wengi sio sababu ya kuaminisha watu wewe ni sharifu watu wanashida sanaa kwa sasa hata wakidanganywa watakubali tuh..
Eti mime wa wachawi, katika hili hata ukileta tafsiri tofauti,twajua kwamba mume ndio mwenye kuelekeza katika nyumba, kwa hivyo unajinadi kuwa wewe ndio mchawi msimamizi,yani unawaongoza wachawi wote au wengi,kenya utachanganya tu wapumbavu kama wewe mwenyewe tu.sijakusikia hata siku moja ukiambia waislamu kufanya nyiradi na kusoma Qur'an na kujifanyia ruqya ili kupata wepesi na shifaa,,,nakuona mpumbavu kweli.
My people,Kenyan people don't be foolish mwizi huyo don't buy anything from him anajificha Kwenye uislamu ili aibie watu sisi waislamu TWAJITAMBUA NA TUNATABAHISHANA.KAMA YEYE MUMU WA WACHAWI NA YEYE MCHAWI KASHINDWA HUKU KUUZA MAJI ANAKUJA HUKO DON'T GIVE HIM ANY SUPPORT BE AWARE
Upumbavu wako huo,hata ukiusiwa huskiiumegundua kenya hela zipo,tema zenye thamani kuliko za tanzania,hii ni hulka ya wachungaji wa kikristo,sio katika uislamu,jua kila chembe ya uovu unaoufanya utakuja kuuona.
Huyu mtu hata Quran haijui pia anafukia mauchafu Kisha anakuja kufukua anasema ni uchawi pia hakua muislam kafanya kuslim alafu akawa mfanyikaz wa usafi masjid sahii ndio kajiita sharifu kwa ajili ya utapeli
Huyu Jamaa simpendi..Yaani waislam hamuoni huyu ni Muongo tena tapeli wa wazi kabsa.yaan hata haihitaji elimu nyingi kujua.Baki Tanzania huku Kenya hatukupendi
Tuweni na upeo jamani kumuogopa Allah nenda muhimbili kawaponye wagonjwa wenye matatizo sugu.
Allah akuongoze kama alikupangia kuongonga la sivo akuvunjiliye mbali na shiriki yako
Waislamu wa Kenya msituangushe , huyu Tapeli anaudhalilisha Uislam
Kweli kbsaaa
Tutajuwa apo akifika
Ukija Kenya warudi kwenu maiti
Tena unakwenda Kenya kuwachonganisha na ndugu zao kwa kutoa uchawi wa uongo, wala huoni aibu kujitangaza, Sharifu feki humuogopi Allah nasikitika hata kusoma dua hujui hatariii
Ponya watu muhibili kwanza Wacha uwongo
Aende mahospital akawaponye
Mh huu mtihan sipend wasanii kama haw
NAONA UNAONGEA KIKENYA KWEL WW MWIZI DAH😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅😅😅😅
Uchawi wa daa umemaliza kuufukuwa bimaana daa hakuna uchawi teena Allah atuongoze jamani
😅😅😅😅😅hapo chacha
Wewe ni mganga kama waganga wengine muogopeni mungu taperi wewe😭
Ooooh kumbe uaenda miambaa😂😂
Ustz naogea hata kumtaja mutume Mohamed s,w😢😢😢
Kenya ukija tutakutambua tu kama mganga wala hatuwezi kukuchukulia kama Sharifu
Alhamdhulillah twakusubiri sana tena sana.❤
Allah akulinde na mahasid
Hajui quruan mwizi tu
WAISLAMU SIO WAJINGA
Wewe mganga wa kienyeji sio sharifu
Sheikh Abdallah fani yako kusoma quran.vipi umeingia kwa sharifu feki.
Majisifu tubu ila Allah toba. Nasuha usipoteze watu
Hizo ndio mbinu zenu za utapeli eti mafuta yamebaki kidogo
Sheikh abdallah kasome quran usiingie kwenye utapeli huo kwa kunufaisha tumbo hilo kwani laki moja au mbili kitu gn ndo kikufanye uingie kwenye uadui mkubwa wa Allah ondoka hapo hufanani sheikh abdallah ww unasoma vzr quran isije siku ukafa ukaenda kukuta kwenye daftari zero
Hata Shaiytwan/Ibilisi huitwa (hutemba/hufika)Miji/Maeneo mbalimbali Duniani.
Wakenya mkataeni huyu mtu mutibiwa
Wakenya wenzetu huyo arudi kwa minguu tapeli mkubwa msimuache salama anazalilisha mama zetu afu kasema mume wenu nakuja afu kwa kujinadi kabisa😂😂😂😂😂
Mmmh makubwaaya
Hataamini uku Kenya uyu anafata kifo chako....mganga mchawi wew...labda uwafate majumbani mwao lakini sio kwa uwanja hautaamini
Mbona una bweka km mchungaji na miraa inatwa miraa sio milaaa kwa hakika mtu mwenye elimu hawezi kwenye maneno yenye R haweki L ww kwenye L unaweka R unamaanisha huna elimu
Ameshindwa kutapeli Tz atakuja kutapeli watu huku,maze huku ni nchi ya wajanja😂😂😂
Labda Kenya ya pwani kwa makhurafi wenzako wanaoamini udajjaal na sha'awadha,Kenya mainland shilingi kumi Yao sahau huna soko kule,watu wanaendeshwa na matrix,algorithms,na materialism watu walioathiriwa na ubepari capitalism Fanya kazi na bidii ili upate sio nguvu za kiza na soda
Mshirikina
Tapeli kavaa msalaba shingoni, katapeli watu wa waafrika kusini akajidai anakituo cha watoto yatima haya tuma picha ya watoto kashindwa huyu tapeli Allah atakufedhehesha
Allah awasamehe wallah
Ww shoga njoo Kenya twakumgoja
WAKENYA WASHACHANGANYIKIWA NA MAISHA WATAMUAMINI TUU HUYUU TAPELI
Nyokonyokonyoko, iblisi aliahidi atawateka akili watu wake... wale wa Allah s.w hawapati.
Maneno hayo si mageni kwetu😅
Chunga sana Kenya sio Tz. Huo utapeli wako unaeza ishia iyo siku
Kabisa hajui hii ni 254 ...ajiulize maswali kabla kuanza safar
@@Mealiim6 tena kwa kiburi asema mme wenu nakuja. Yaani sisi kama wakenya yeye ni mme wetu? Huo ni msiba wa kujitakia hauna pole
@@ramak.9587kwamba nimumewenu kawaoa wote wanawake nawanaume
Chunga Kinga na nguo Kenya sio Kwa matapeli utarudi peku
Mwizi tapeli na genge lake
Andamaneni atatoka tumwenyewe tena kwambio wakenya tena nawakubali
mwizi mkubwa ww
Hii tumbili bado inadanganya watu
Huyu hana Dini wala,ila siku zote matapeli ndio wanao aminiwa na walio beba ukweli kupuuzwa.
Wakenya akija zomea kwa sana huyo tapeli musikubali
Tapeli
قال تعالى فلى تزكو أن فسكم هو اعلم لمن اتقى
Mnapoendeleza fitna musiweke picha ya kishiki
Kwanza kishki hana hayo majigambo yenu na pili hawajahi kudhalilisha kina mama
Kikubwa kabisa akona elimu ya dini kushinda firdaus n wapuuzi wanaomkubali
Duuuh uislamu umevamiwa bakwata munayalujibu kwa Allah huu ni msiba kwani mnapqta nn hadi kudhalilisha dini hivi
Wewe sio sharifu ama wewe hujui maana ya sharifu, mtu hawezi kujipachika usharifu,usharifu ni kizazi cha mtume tuuu!! ama wengine kama wanamakarama hawaitwi masharifu huitwa mawalii au mashekhe. Wewe hatta ukapanda mbinguni kwa msala huitwi sharifu kabisaaaa!!!! Ama ukizaliwa wazee wako wakakuita jina sharifu hilo halikufanyi wewe ukajiita sharifu, hilo ni jina kama majina mengine
Mwizii tapelii
Dunia imegeuka , badala ya watu kumchunguza huyu sharifu feki tapeli, ndio bado anaitwa Kenya akatapeli watu
Uislamu uko wapi ??? Inasikitisha
Kwa nini mashekhe wa Kenya hamuungani mkamzuia asije
Hivi ulikua wp miaka yote tangu ukiwa mdogo. Husikiki wala huonekani umetokea kama kimbunga
Mimi nasema huyu kijana ansyosema siri anaijua yeye na allah ila nakwambia ukweli kama angekuwa sio mwanaume haaaswa huyooo mngemsahau wachawi sio watu wazuri jaribu uone
Njoo nayataka hayo maji kuna mmoja anakula gokaa kama mbuzi,,mimi nitampatia pesa aje anunue.
Wakenya amkeni tepeli huyo tanzania wamemstukia wamemkomesha hata sio shekhe
Acha kudanganya watu ww ni jambazi au hizo kauli zako za kutia nahau nahau ndio unaijiita sharif
Tunataka mje snaa uku
Wewe n freemason hakuna sharifu alijoa majina ya kishenz mme wa wachawi bnt fridaus
Jambazi wwwww!
Agija kenya huyu tutampa mume
Huyu ni tapeli tu Waisilamu wakenya umsidanganywe amepigwa vita na Aya kubwa kubwa ndio amekimbia Tz
Acha utapeli,tafuta kazi ya kufanya hata kuuza mkaa
Sharifu feki mshirikina mkubwa tunaku subiria ganjoni tuku fesheheshe
Tapeli huyu tunamsubiria likoni
Ushtapeli watanzania sasa wataka kutapeli wa kenya mlaghai wewe
Kama huna ki2 cha kuongea basi nyamaza ...na usijitakase n kuita watu waongo
@BintiAliKufuli ww pia bora unyamaze uachane na comment isio kuhusu 😏😏
Unaomba wachawi wafe wakati genge lako alijasamika na shirk
Fika mtongwe kuna wangaa wachawi
Muhongo shenz
Eti safali yangu. Plesha ndio nini ?
Uo mtasbihi wa shingo ndo nini
Watu wa mombasa sio wajinga utajutia
Muongo mkubwa wewe sijawahi kukuelewa hataa
Tapeli ww na hao wanakusikiliza 🤒
Allah akbar waisilamu 2weni makini 2siwe wajinga kama wale wajinga waloibiwa na kiboko ya wachawi wabuza sasa huyo anataka kuuhalibu huu wiislam msikpokee tapeli huyo
Lugha ya biashara lazma upandish
Acheni kumuweka shekhe kishik kwenye ujinga wenu muekeni shaitwani mkipata picha yake
WAKENYA KAZI KWENU SS
Sasa Picha Ya Kishki Inafanya Nn Hapo
MatAperi nyny acheni usufi ulioptiliza
Hii dunia ni ndogo jameni
Tanzania ushamliza uchawi wote ama biashara hamna kitu shenzi ww
Unatumia nguvu kubwa sana dogo sharifu hatumii nguvu na maneno mengii ili uaminike na allah akitaka kumpoteza mtu anamwelekeza huko unakotaka wewe na kujitokeza watu wengi sio sababu ya kuaminisha watu wewe ni sharifu watu wanashida sanaa kwa sasa hata wakidanganywa watakubali tuh..
Mimi nasema kitu kimoja tu Muogope mungu tuu
Muhuni tu
Tafauti ya mganga na mchawi ni ipi?
Bro usijaribu Kenya kwani ni mji wa sunna
Wewe hujujui hatakusoma quran, jifunze kwanja ndousomeewatu uislam niwepesi
Eti mime wa wachawi, katika hili hata ukileta tafsiri tofauti,twajua kwamba mume ndio mwenye kuelekeza katika nyumba, kwa hivyo unajinadi kuwa wewe ndio mchawi msimamizi,yani unawaongoza wachawi wote au wengi,kenya utachanganya tu wapumbavu kama wewe mwenyewe tu.sijakusikia hata siku moja ukiambia waislamu kufanya nyiradi na kusoma Qur'an na kujifanyia ruqya ili kupata wepesi na shifaa,,,nakuona mpumbavu kweli.
Wewe wacha usaniii
WAONGO HAKUNA MWENYE AMETOA ODA,USIKU MSILALE ANACHIMBIA VITU CHINI ALAFU ANAVITOA ANASEMA UCHAWI HUO
Mjinga mmoja
Kama huyu wakatikati mtu mzima kabisa anajiunga na wahuni matapeli wewe baba muongope mungu
My people,Kenyan people don't be foolish mwizi huyo don't buy anything from him anajificha Kwenye uislamu ili aibie watu sisi waislamu TWAJITAMBUA NA TUNATABAHISHANA.KAMA YEYE MUMU WA WACHAWI NA YEYE MCHAWI KASHINDWA HUKU KUUZA MAJI ANAKUJA HUKO DON'T GIVE HIM ANY SUPPORT BE AWARE
Upumbavu wako huo,hata ukiusiwa huskiiumegundua kenya hela zipo,tema zenye thamani kuliko za tanzania,hii ni hulka ya wachungaji wa kikristo,sio katika uislamu,jua kila chembe ya uovu unaoufanya utakuja kuuona.
😂😂😂😂😂😂😂
Wasokutaka sheikh achana nao,, njoo kenya mombasa mtongwe nakuita sanaa
Huyu mtu hata Quran haijui pia anafukia mauchafu Kisha anakuja kufukua anasema ni uchawi pia hakua muislam kafanya kuslim alafu akawa mfanyikaz wa usafi masjid sahii ndio kajiita sharifu kwa ajili ya utapeli
Sio sisi hamtumtaki mpaka Allah pia hamtaki kwa shirk zake na uongo
Quran ni ponyo jisomee mwenyewe
Keshajijua Quraan hajui ndo anasema maji yamesomewa na mashekhe wangu huyu na huyu. Umebadili gear kweli wewe ni tapeli
huyu ni tapeli mshirikina
Sharif gani wewe Acha shirqi ogopa mungu
Wacha shirki huna uwezo pumbavu ww
Huyu Jamaa simpendi..Yaani waislam hamuoni huyu ni Muongo tena tapeli wa wazi kabsa.yaan hata haihitaji elimu nyingi kujua.Baki Tanzania huku Kenya hatukupendi
Watanzani washakujua wewe tapeli wafikir wakenya wajinga km ulivyo.usharifu wako my foot. Wewe tapeli tuu.njaa yakumiza
njoo lamu tushindane karama muongo mmoja hujui hata mayaka ya quran
🤔😏🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa mshamuengezea cheo amekua Dokroor?matapeli tu nyie katafteni kazi ya halali mufanye