jinsi ya kukata na kushona skirt ya marinda ya shule kwa beginners

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Jifunze skirt ya rinda box

Комментарии • 46

  • @rechosagumo8971
    @rechosagumo8971 11 месяцев назад +1

    Afundisha vizri nimeelew honger

  • @Rahma-b4l9o
    @Rahma-b4l9o 11 дней назад

    Ahsante dada unajua kuelekeza vizur

  • @phainesymasanzula4611
    @phainesymasanzula4611 3 года назад +3

    Unafundisha vizuri sana dada ubarikiwe sana yaani hata kama mtu ni mwanafunzi ana uwezo wa kushona mpaka akamaliza.

  • @SaraAmosi-r1p
    @SaraAmosi-r1p Год назад

    Aese nimeipenda kanuni Yako mwalimu mzuli sana ww mungu abaliki kazi ya mikono yako

  • @ameria2332
    @ameria2332 Год назад

    Nakupenda sana mungu aendelee kukutunza uko sawa ,labda kuhusu mfuko hujauweka.

  • @mamajohari
    @mamajohari 3 месяца назад

    ❤❤❤❤unafundisha poa

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 4 года назад +2

    Mwalimu unafundisha vinzur Mungu akubar sana utuletee na jins ya kushona shat la shule

  • @loyc6306
    @loyc6306 Год назад

    Kwa kweli unaeleza vzr sana nitaambatana nawe Kila unapotuma video

  • @SabahSalumu-yd3po
    @SabahSalumu-yd3po Год назад

    Masha Allah unafundisha vizuri

  • @Bertha-qq6uh
    @Bertha-qq6uh Год назад

    Unafundisha vizur sana Mungu akuxaidie sana

  • @hagulwamalishe8117
    @hagulwamalishe8117 Год назад

    Asante sana. MUNGU akubariki mnoooo. Nimeelewa

  • @winkistamazoya7865
    @winkistamazoya7865 11 месяцев назад

    Asante sana madam unafundisha vizur Hadi Raha

  • @kadijajumaa6975
    @kadijajumaa6975 4 года назад +1

    Asante sana my
    Mwenyezi akuzidishie kipaji chako maana unambinu ya ufundishaj mzur

  • @dativakashilimu7102
    @dativakashilimu7102 4 года назад +1

    Sante dear yaan nakupenda bure

  • @ZawadiKhamis-d8s
    @ZawadiKhamis-d8s Год назад

    Asante-mung-akubarik

  • @nerymshana3333
    @nerymshana3333 2 года назад

    Asnt sana madam wang leo naxhona sket ya mteja wang wa kwanz ya xhule cz xjawah xhon sket ya xhule .

  • @violetsessa8898
    @violetsessa8898 2 года назад

    Unajua kuelekeza adi nimeelewa ❤️❤️❤️❤️

  • @nerymshana3333
    @nerymshana3333 2 года назад

    Asante sana dada ang nimeelew xn

  • @remsykinyele8355
    @remsykinyele8355 4 года назад +1

    Ahsante dada

  • @abdulmajd6303
    @abdulmajd6303 4 года назад +2

    Asante teacher uko vizuri kufahamisha.nitajaribu.Inshaallah

  • @sahnnkhude923
    @sahnnkhude923 3 года назад

    Sawaa, japo sijaelewa kidg kweny kuwek belt me nikiweka huwaa inaanza kujikunja katikat

  • @anneakinyi4078
    @anneakinyi4078 Год назад

    Nitajuaje kiasi ya material ya kutumia.

  • @jamilajosephat4572
    @jamilajosephat4572 4 года назад +1

    unafundisha vizuri naomba kujua jinsi ya kuweka mfuko

  • @tumainimwampashi1120
    @tumainimwampashi1120 3 года назад +1

    Asante dear

  • @allykamota7758
    @allykamota7758 3 года назад +1

    Samahn mwalimu uwe unatuambia ni mita ngapi kwa mtoto wa miaka mingapi, itakua imekaa poa sana

  • @LeahLeahRaphahermganga
    @LeahLeahRaphahermganga Год назад

    Naomba unisaidie jinsi yakuweka mfuko

  • @josephinemallya7091
    @josephinemallya7091 Год назад

    ❤❤

  • @estathomas1647
    @estathomas1647 4 года назад +1

    Habar

  • @johnmfinanga7679
    @johnmfinanga7679 3 года назад

    Naomba niidie kushona sketi ya rinda boks imwage sana napata shida ads video nimeiona lkn nikishona sketi haimwag sana

  • @tarakwaemmanuel3217
    @tarakwaemmanuel3217 4 года назад +1

    Kwanini umefanya urefu ukawa 46 na si namba nyingine kam 39 ?

  • @fatmahilary594
    @fatmahilary594 3 года назад

    Tufundishe jinsi ya kuweka mfuko mpendwa na je maximum ya marinda madogo kwa mbele ni mangap na nyuma pia kwa sketi Ya Linda box

  • @mathail3588
    @mathail3588 4 года назад +1

    Ubalikiwe Sana unafundisha vizuri kuliko kule tunako lipa ada

    • @aishamsangi983
      @aishamsangi983 4 года назад +1

      Tunapigwa pesa na hatuelewi 😂😂😂😂

    • @lizzybahati9833
      @lizzybahati9833 4 года назад +1

      Pole sana my ila kitu ukiwa na nia nacho utaelewa tu mm najifunza kupitia mtandao ila nimeshaolewa

    • @lizzybahati9833
      @lizzybahati9833 4 года назад +1

      Kikubwa kuwa na vipimo vya ufundi anavyofundisha mwalimu unafatilizia na kuwa makini utaelewa tu

  • @michaelmkubwa8050
    @michaelmkubwa8050 Год назад

    Kwann upana umefany 46 sijaelew hapo

  • @emiliekapile2069
    @emiliekapile2069 2 года назад

    Zipu inawkwa upande gan

  • @lucyloy7995
    @lucyloy7995 2 года назад

    Thanks alot

  • @LiberathaFrance-jo9rz
    @LiberathaFrance-jo9rz Год назад

    You tube

  • @hermansempongo7075
    @hermansempongo7075 3 года назад +1

    Ayo madinda unaweka ya nchi ngapi ngapi au unakadilia 2

  • @kombohamisi1020
    @kombohamisi1020 3 года назад

    Naomba namba ya wasapu au namba ya group LA wasapu