Jifunze NJIA Rahisi ya KUKATA KAPTURA ya SHULE
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Jifunze NJIA RAHISI YA KUKATA KAPTURA ya SHULE, ni video inayolenga kukufunza na kukuelekeza njia rahisi ya kukata vazi la kaptura kwa mtoto wa shule, lakini pia kupitia njia hii utaweza kujifunza na kujua kukata nguo za watoto endapo utahitaji kuwashonea kaptura za kushindia katika mazingra ya nyumbani au hata kumshonea kama mtoko wa kutokea sehemu muhimu. Karibu sana usiache kushea, subscribe na kukoment kwa Maoni na shukrani mara na ya kutazama hii video
Mashaallah unnajua kuelekeza
Keribu sana
Nice
Thanks
Asante🎉
Karibu sana
Ungu akutunze kaka unafundisha vizuri
Amina 🙏🏽