Nkimwambia mambo yote Anituliza moyo vema Nkimfanyia kazi zangu Anibariki hapa na juu Msimuliwe sifa zake Hana mwenzake mponya pekee Afurahisha moyo kweli Yeye ni Yesu tumtukuze. Nkimjutia nmekosa Anaondoa na mashaka Yeye hapendi nkishindwa Anipa nguvu za kwendea Msimiliwe sifa zake Hana mwenzake Mponya pekee Afurahisha moyo kweli Yeye ni Yesu tumtukuze Ubarikiwe mtu wa Mungu, pastor!
mchungaji shaloom ! Nyimbo inani bariki hasa kipind hiki nimepoteza mtoto wangu wa kwanza mwenye miaka 10. Naomba niimbie nyimbo 304 nyimbo Hiyo inanip nguvu sana Amen… @mwaipopo
Barikiwa mtumishi maomba mahubiri uliosimama ukiffundisja ktk zamu ya wiki iliyopita kuhusu familia kiukweli mimi nilibarikiwa sana natamani niwe narudia rudia zaodi
Waaaoh so amazing pastor ur the best nilihisi ni Mimi ndo najua kuuimba guy wimbo but nimebaki mdomo wazi ur really blessed sir really really blessed God bless you son of God
Nkimwambia mambo yote
Anituliza moyo vema
Nkimfanyia kazi zangu
Anibariki hapa na juu
Msimuliwe sifa zake
Hana mwenzake mponya pekee
Afurahisha moyo kweli
Yeye ni Yesu tumtukuze.
Nkimjutia nmekosa
Anaondoa na mashaka
Yeye hapendi nkishindwa
Anipa nguvu za kwendea
Msimiliwe sifa zake
Hana mwenzake
Mponya pekee
Afurahisha moyo kweli
Yeye ni Yesu tumtukuze
Ubarikiwe mtu wa Mungu, pastor!
Wimbo huu kwa mara ya kwanza nausikia kwa kuswahili.mbona mtamu hivi jamani.ubarikiwe Pastor.msimuliwe sifa zakeeeeee....
Hakika heri kumjua Yesu Bwana tu, ubarikiwe mtumishi
Afurahisha Moyo kwelll
mchungaji shaloom ! Nyimbo inani bariki hasa kipind hiki nimepoteza mtoto wangu wa kwanza mwenye miaka 10.
Naomba niimbie nyimbo 304 nyimbo Hiyo inanip nguvu sana Amen… @mwaipopo
Barikiwa mtumishi maomba mahubiri uliosimama ukiffundisja ktk zamu ya wiki iliyopita kuhusu familia kiukweli mimi nilibarikiwa sana natamani niwe narudia rudia zaodi
namtukuza Yesu afurahisha moyo wangu kweeli❤, ubarikiwe mtumishi
Yeye hapendi nikishindwa, anipa nguvu za kwendea
Waaaoh so amazing pastor ur the best nilihisi ni Mimi ndo najua kuuimba guy wimbo but nimebaki mdomo wazi ur really blessed sir really really blessed God bless you son of God
This song blessed me ❤️ so much thank u my pastor
Nabarikiwa sana kwa uimbaji wako, Mungu akubariki Mchungaji
Be blessed Mchungaji,
Wimbo wa kwanza kuujua nlipoanza mafundisho kipaimara mpk leo naupenda maana unanipa nguvu, furaha, amani, na tumaini daima.
Amina.
Afurahisha moyo kweli
Amen
Mtumishi wa mungu natamani niwe na album yako maana unanibakiri hakika mungu akutunze
Napenda sana na nafurahishwa na kazi zako Mtumishi wa Mungu
asante Mungu kwa kutuletea mtumixhi kama huyu unagusa moyo wang moja kwa moja
❤❤❤ Mungu akutunze
My mind goes back to early 2000s at Kisarawe Lutheran Junior Seminary. I love your channel Reverend
Yeah the morning and evening devotions at the hill of hope.
Ooooo Glory to God...thank you
Barikiwa
Msimuliwe sifa zake hana mwenzake mponyaaji pekeeeeeee
Dah! Mungu akubariki mtumishi mtumishi
Hanibari hapa na.juuu Ameni yeye hapendi nikishindwa anamwezake mponya pekee yeye ni yesu tumtukuze.nabarikiwa sana
Hakika mungu akubariki mchungaji like voice 🙏🙏
Kaka Knapp unamjua
Mtumishi ubarikiwe sana nakubali huduma hii yauimbaji asilimia 190
MUNGU Amekupa sauti nzurii sanaa
Na uta ponya wengi sanaa kwa uimbaji huu
Tumwabudu Mungu wetu
Amen. Mungu Azidi kutubariki.
So blessed with this song
Barikiwa Baba
MCHUNGAJI NAOMBA NAMBA YAKO UNITUMIE NYIMBO HIZI KWA SIMU
Absolutely stunning and amazing voice🤩😍
Nimebarikiwa sanaa,Mungu akutunze mtumishi wake
Wimbo unabariki sana. Ubarikiwe
Amen ubarikiwe mtumishi
Glory be to God
Mchungaji Mungu azidi Kukutunza, tunabarikiwa sana!
heri kumjua Yesu Bwana!
Ni wachache waliobarikiwa sauti kama yako, tunabarikiwa sana na uimbaji wako, MUNGU atukuzwe!!!!
Ata mm😅
Sweet voice indeed
Am so blessed, Praise the Lord. May God bless you, Pastor.
Barikiwa sana mchungaji.
yani naikubar voic yako hstali pastor basi wachungaji wote wawe hivi jamani mbona nitakuwa nashida kanisan kwa hizi sauti ubsrikiwe
Amen wimbo huu leo umenipa amani
Asante sana mchungaji
🌄Annointed voice.be blessed Pastor
Hana mwenzake Mponya pekee!barikiwa Pastor
I am so blessed my pastor
Barikiwa
Be blessed mpakwa mafuta wa bwana
Ameni barikiwa mchungaji
Amina mtumishi wa MUNGU
Amen Amen🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
The anointing i fill 😭😭😭😭😭👐👐👐👐 be blessed Reverend
Glory be to God 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Am blessed with your voice.. keep shining pastor
Amen Amen🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
😍👌🙏🙏 my own dad!
Amen glory ma daughter
What a lovely voice
Amen Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Barikiwa.
Aaaamen
😘😘😘 so talented with a nice voice ❤️❤️
Glory to God
Hakika tunabalikiwa
Amen
Amen amen.
Amen Amen🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Wapendwa hizi nyimbo zapatikana kitabu gani???
Tumwabudu Mungu wetu
Wimbo wangu wa kipaimara
😂😂😂
Amina
Amen Amen🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Hakika nabarikiwa mchungaji
Amen
Amen Amen🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Pastor you love your calling. God bless you!
192
Can I get your number so as to can send to me these songs pastor for sure every one has a certain talent your good in singing pastor
Gory to God on high
0629728623
Pasta nitumie stsup 0758126075
Sawa will do so
Amina
Amen
Amen